Asante kwa nyimbo nzuri sana. Hii nyimbo Ina spirit ya Mungu. Nyimbo za zamani zina umungu jamani. Mbarikiwe. Naomba wekeni nyimbo nyingi za zamani tafadhari. Nita share kwa watu wengi
@@kwekalucasferan br kheri na amani iwe juu yako tafadhani ningeomba kujua unapatikana wapi na ikiwezekana naomba mawasiliano yako namba yangu 0789880300 nimeipenda kazi yako
Congratulation all of them never give up for your ministry also greeting bro shelembi and bro kinyenze by timotheo
Fr. Ana free organ zake kabisa.😅
kinanda kinalia vizuri sana na mpiga kinanda yuko vizuri ningependa kumfahamu
Berry interested one
🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿 nakubali
This got me Missing Tz... Hongereni sana!
Nimefurahi sana keep it up. Nawasalimia kutoka washington dc
Huyo aliyeimba shairi kapatia Sana Yan kiujumla mpo gud Alfonce, Kibiriti, Bonaventure na hao wengine wawili hongeren
Seminarian life is so amazing.. 🔥
Kweka...safi sana kwa vijana. Msalimu B.Maro
HONGERENI SANA KWA UTUME HUO WA UIMBAJI.....mpiga kinanda yuko vizuri sana...pia waimbaji...wakiwa na kaka kiberiti...safi saaana
Asante sana kaka, next sunday tunaweka nyingine
@@kwekalucasferan asante... pia kila la kheri.. na salamu kwa methodi kiberiti
very cool free organs
Organist kafanya vzur kweny hzo free organ,nice creativity🔥🔥
Asante kwa nyimbo nzuri sana. Hii nyimbo Ina spirit ya Mungu. Nyimbo za zamani zina umungu jamani. Mbarikiwe. Naomba wekeni nyimbo nyingi za zamani tafadhari. Nita share kwa watu wengi
kazi yake Marehemu John Mgandu binafsi naguswa sana na nyimbo zake, Mwenyezi Mungu ampe pumziko la amani-Amina
Sure.
Kazi mzuri sana
Msalimu bro kibiriti
Good job
You guys mnanirudisha kwa choir jamn
Jaman Mungu anasaidia, week ijayo tena tunaweka😋
Uyu bro ana free organ zake bhn 😅🙌🏽🔥
Hahaaa si poa asee
Hahahaa ujifue
@@kwekalucasferan br kheri na amani iwe juu yako tafadhani ningeomba kujua unapatikana wapi na ikiwezekana naomba mawasiliano yako namba yangu 0789880300 nimeipenda kazi yako
Kaka feran naomba tuwasiliane.....0743187154..