КОМЕНТАРІ •

  • @khalidibrahim4579
    @khalidibrahim4579 Рік тому +1

    LA YAZID DHALIMINA ILA KHASARA
    ALLAHU AKBAR

  • @mwalimumkasi5734
    @mwalimumkasi5734 Рік тому

    Kwa kweli jambo hili linauma,linahuzunisha ,linahuzunisha na kila aliyeshiriki lwa njia yoyote ile Allah (S W) hatomuacha. Na Adhabu zitaanza hapa hapa duniani. Chamsingi waturudishie babaetu .!

  • @khalidibrahim4579
    @khalidibrahim4579 Рік тому +1

    Mwalimu Nyerere aliwambia wa zanzibari wa Afro Shirazi
    Hawa Hizbu tutawamaliza
    Akawambia Hizbu gani tena wapo zanzibar
    Mwisho mtauwana wenyewe kwa wenyewe
    Tumeona
    MENGI YAMETOKEA
    sasa CCM WA ZANZIBAR WANAKULANA WENYEWE

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 Рік тому

    Eee, Wamwachie Sasa. TANZANIA HAKUNA SIASA. NI UJAMBAZI TUUU.ACHENI CHADEMA WACHUKUE NNCHHI. AU KINA ZITO.

  • @EshaHamd-ed9yv
    @EshaHamd-ed9yv 6 місяців тому

    Ama kweli sasa imefika hatua hii kumbe hata wao kwa wao wanakulana ama kweli msimuole muonele mtindini yana mwisho

  • @talibsaid8096
    @talibsaid8096 Рік тому

    Anko JJM Allah atafanya wepesi hii Yule ni mitihani

  • @khalidibrahim4579
    @khalidibrahim4579 Рік тому

    The chicken came home to roost
    CCM HOI

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 Рік тому

    Halafu wanajiita eti ni Waaisilaam, jamaani. Hivo huyo Mama kweli hayo.hayajuii?. Mbona aliwatoa wafungwa wauamushoo?. Labda hajayajuwa. Pole mpenxi. Mungu yupo.

  • @MudyruAbdi
    @MudyruAbdi Рік тому

    Nadeer as a first suspected than Mabodi

  • @nafuutayb8452
    @nafuutayb8452 Рік тому

    poleni wanafamilia imetugusa sote km waislam wezetu ila tulisikia kauli serekali yangu haitoonea mtu nakubadili miskiti kilasiku hili MH:unaliangaliaje?

  • @mwalimumkasi5734
    @mwalimumkasi5734 Рік тому

    Wanachotaka watwambie tutawapa ,ila wamrejeshe tuu .Kwani hasa tatizo nn?

  • @wahdabintabilha3643
    @wahdabintabilha3643 Рік тому

    Nashauri Wafunguliwe mashtaka Nadir na Mabodi. Hapana shaka yoyote wao ni wahusika wa hili tukio na wanajua ukweli wote. Haki ya Mzee Juma wa Juma lazima ipatikane.

  • @fatumasukwaju226
    @fatumasukwaju226 Рік тому

    Enyi binaaadam machozi ya waja hayawasumbui?????Mwenye hofu na ALLAH kamwe hawezi kufanya vitimbi kama hivi,hali ya kuwa Dunia ni mapito

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 Рік тому

    Tatizo serikali h aifutilii matatizo kama haya . Huo ni uuwaji kabisa. Hiyo ndo Tanzania. Mwambieni Mama Samia , Yeye kashasema yeye ni Rais Anayeoenda haki. Basically Afanye haki Sasa. Aliwaachia wale waliowekwa ndani miakamingi kwa uamsho, basi na hili aliingilie. Kama Mama Ainslie hili.

  • @alifoum6758
    @alifoum6758 Рік тому

    Mabodi is a prime suspect