SEIF MIPAPA:AWAVUA NGUO YANGA"DODOMA SIO KIPIMO CHA UBORA WAO"|SIMBA HAINA MECHI RAHISI KWA SINGIDA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 12

  • @humphreyhassan8197
    @humphreyhassan8197 18 днів тому

    Ni kweli kbs ndugu

  • @RehemaMahamudu-x4g
    @RehemaMahamudu-x4g 17 днів тому

    Kk upo Smart kwenye akir kuusu manara anatukana watu na kudharau wenzie sababu ya ulemavu wake na kuna wastaafu wana mtetea ache kinyanyasa watu kwa ulemavu alionao kwani ajue kuna walemavu km yeye wapo jela

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 18 днів тому

    Sefu niukwer kabisa janjajanja tu wanazifanya yanga ila watakuja umbuka siku

  • @lenziangowoko9325
    @lenziangowoko9325 18 днів тому +1

    Tatizo unayeuliza maswali maswali yako ni marefi sana

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 18 днів тому

      Huyo Japhet ni yanga .. kama walivyo waandishi wengi bongo..! Ili wapande ndege bure kwenye ziara za samia..!

    • @wispoti_tv
      @wispoti_tv  18 днів тому

      Pole kwa changamoto tutalifanyia kazi

  • @PiusLaymond
    @PiusLaymond 18 днів тому

    Unaongea utumbo wewe kwani simba ilivyopata shida kuifunga Dodoma ilikua shida nn Dodoma wamezidiwa uwezo kiaz ww Hawa ndio wachambuz uchwala

    • @semuhunge2310
      @semuhunge2310 18 днів тому

      Tatizo maalifa Pius mungu anasema watu wangu wanateketea Kwa kukosea maalifa baada ya mechi kuisha mavunde alitoka kwenda kushangilia na yanga pia huyo ndio mlezi wa Dodoma Jiji pole Kwa kutojua Hilo @ seif mipapa

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 17 днів тому

      Anajifanya hajui kilichokuwa kinaendelea wakati wanacheza na Simba huyo Utopoloooo tu hawezi ona Dodoma ilichofanya jana ni mchezo wa kuigiza tu

    • @simonnjovu586
      @simonnjovu586 17 днів тому

      Je Kagera ni kipimo sahihi kwa simba?
      Azam kwa simba si ni nyanya tu?

  • @ElyrehemaMartin
    @ElyrehemaMartin 18 днів тому

    Maswali marefu lakini pia yanakirudia rudia. Pia muulizaji maswali anaingilia mazungumzo kabla hajji iwa na mwisho msemaje hana uwezo wa kufanya analysis. Mfano seif amemwambia yanga anayoisifia imejengwa kwa miaka minne wakati simba anayoizodoa imejengwa kwa miezi minne na ukiangalia takwimu Simba anatakwu bora kuliko yanga kwa mashindano ya ndani na ya nje

    • @wispoti_tv
      @wispoti_tv  18 днів тому

      Nashukuru kwa maoni tunayafanyia kazi