Kwa damu ya yesu najitenganisha na laana ya kifamilia mimi na nduguzangu....Asante mungu kwa kunichagua...Navunja utegemezi wa kifamilia. Sitategemea, Sitaombaomba .Nimeokolewa dhidi ya nguvu za giza. Am blessed kwanzia leo hili ndio somo la kufatilia ili kujitoa katika laana ya kifamilia.. PASTOR GEORGE GOD BLESS YOU . Nimejua ambayo yalikuwa giza kwangu. HALLELUJAH
Asante huduma ya JRC kwa kunifundisha nimesonga mbele zaidi kutoka mahali nilikua na hata nimekua kiimani.Natoka Kenya nashukuru sana kwa pastor George mkabwa.

Ameen mungu twaomba uturehemu
Laana ya familia uvunjike katika jina la yesu
Amen...ahimidiwe bwana
Amina,yes listening from USA
Laana ya familia iteketeekwa Moto wa yesu amen
Nakataa laana ya ukoo na familia kwa jina la Yesu!
GlorytoGod
nanyakua nafasi ya uamuzi kwenye lango la familia yetu kwa jina la Yesu.
Amen!!!!
Ameeeen ameem
From ikolomani Kenya
Amen 🙏🙏🙏
Laana ya familia iniachie mi na familia yangu
Amen
Laana ya familia na ndoa zikafunjike
AMEN