Kamwe atamba na takwimu za Yanga msimu wa 2023/24

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 вер 2024
  • Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe amekumbushia hekaheka zilizotokea katika mechi za mwisho za NBC Premier League msimu uliopita wa 2023/24 huku akiitaja mechi yao dhidi ya Tanzania Prisons.
    Kamwe pia ametamba na takwimu za timu yao msimu huo wa 2023/24
    #Kamwe #Yanga

КОМЕНТАРІ •