Yaaani kuanzia chalinze mpaka segera kwa wanao kwenda tanga ukimaliza salama ilo eneo shukuru Mungu kwa wanao enda moshi basi mpaka same kiiiidooogooo unaweza kusema safari hipo salama sasa turudi Kabuku ktk kumbukumbu zangu 1996/1997 kama kuna mtu anaijua bus lilikuwa linaitwa C line dar‐tanga ilipiga chini ndugu zangu walikuwemo iliuwa lkn ndugu zangu walitoka salama kwa kusema wana pumua lkn viungo walikosa....sharo milionea ni kipande hicho hicho tumemkosa na kuna dada mmoja msani naye 2022 au 2023 maeneo hayo hayo ya kabuku aliponea chupu chupu na nyie pia daaah poleni sana kwa majeruhi ALLAH awaponye fasta aliye tangulia mbele basi ALLAH ampe kauli thabit Inshallah Amiin 🤲 ila kama mtapiga maokoto mazuri msihisahau familia ya dereva ni mshikaji wenu 🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪
Mwanaume Kuna kitu mungu kampa sijui ni nn kwasabb mm sio n mwanaume nakuwa sielew ila hapo tungekuwa sisi wanawake tushalia interview nzima lakni wanaume wanaumia Ila wanajikaza sisi wanawake hatuna hyo ni wachache Sana

mzungu mwenyewe mzeee marioo nae
Hapo inaonesha wazi ni kuwa dereva alilala
Pole Sana ukiona hivi basi wakati wake Bado Mungu anachuma tunda kwa wakati wake
Polen mno ndugu zetu ndio mzunguko wa maisha 😢😢
Wasanii wanaisha sana wakiwa wanatoka dar kwenda tanga dah😢
Huyu mwamba Yuko real sana
Daah😢😢😢 poleni sana ndugu zetu
Pole sana ndugu zangu
Allah amlaz mahal pema pepon
Poleni saana nduugu zangu apo amna uchawi wala nduba ila usingizi 2 imejini kama wewe ndugu mwandishi ugelikua unaendesha basi la abilia72 alafu wewe ndie dileva ikatokea ote 72 wamelala ugeweza kukomaa mwenyewe kingine amna dileva anaeweza kungoga usokwauso akiwa anaona washabiki 2mepokea misiba 2mepoa
Kwahio wewe peke yako ndo mlevi😅😅,nimecheka sana😂😂😂
Pole n sana
Poleni sana banandugu
Mwanaume Kuna kitu mungu kampa sijui ni nn kwasabb mm sio n mwanaume nakuwa sielew ila hapo tungekuwa sisi wanawake tushalia interview nzima lakni wanaume wanaumia Ila wanajikaza sisi wanawake hatuna hyo ni wachache Sana
Aiseeee Wewe ni malaika
Pole
Sauti yenu Iko chini sana jaribuni kutengeneza hilo suala
Kaa sehemu iliyotulia utaskia vizuri 😂
😢😢😢😢😢😢😭
Nataman kucheka etiii awanywiii pombe labda mm
Dj msabato
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Duuh huyu mwamba bado yupo? Kitambo sana huyu
Pole sana ndugu zangu