kwanza mmevaa nguo fupi zimechanwa mipasuo na mnanengua viuno kama wapagani, nawaonya acheni, hata sijui pengine labda makanisa yenu hayana wazee au ndio fundisho la neema mmelipokea kwa uelewa huo, maana saizi maonyo yamekwisha kwenye kanisa la Mungu, hata wale wazee na wachungaji nao wanachekelea tu, mimi nawafatilia sana wakenya love you from DAR ES SALAAM TANZANIA...msijisahau sisi ni chumvi na barua ya kusomwa, tusomeke vyema wajori, mziki una nguvu kubwa sana ya kukufanya uwe chochote, tusiwe vituko, tuwe watauwa, kusema hivi sio kuhukumu, ni maonyo kutoka kwa mdhambi mwenzenu
huu mtindo wa kujifanya kama mna fanya marching kumbe mnacheza na kunengua viuno acheni, mambo ya uharibifu yanaanza taratibu kisha yanazoeleka inakuwa ndio kawaida kumbe ni uasi, mtakuja kushituka mmesha dika mbali sana katika uasi na kurudi nyuma inakuwa ni kazi mwisho wengi tumewaona wamepotelea huko, mziki una nguvu kubwa sana ya kuumba, tafakari mziki wako unaumba nini asante
i can see iven your profile picture, it seem so as your tongue verify how you are inside you. keep moving my dear under the umbrella of grace, do nudity also if you can because the law of libert says so, that any one must live as he/ she thik is better for him or her, go club do any thing my dear because we are all saved by grace keep moving eeeeh mamaaa
hiki kikundi cha vikanyagi ni cha kisabato au mmewaalika tu kutoka makanisa mengine, kama ni waalikwa tu sawa, lakini kama ni wasabato acheni maa moja huo mchezo wa kudance kwenye ibada, huo ni uasi, mmesuka manywele mpaka mgongoni, yaani mko kimataifa zaidi, hili kanisa la Mungu sio la Vurugu, stop it my brethren in jesus christ
@@nelsontorah30You not noticing the err, doesn't mean that kind of music is good for worship before a holy God. Please find time and read Selected messages Volume 2 pg.36 par. 2,3
@@elderhezekiah6147 if we can only caution with love ,the reason why most Adventists have gone astray is this kind of harsh judgements, more doctrines less word of God .
@@carolinechumo4749 Talking of love, the Bible says in Revelation 3:19; that as many as I love I REBUKE AND CHASTEN. It's Ok to sing but it must be with understanding. That cannot be in that atmosphere.
@@elderhezekiah6147 Hypocrisy will not take you to heaven elder..all I know is we are all sinners before the eyes of God. We are all living under His grace ..
I love this song am not an SDA but this song teachs more one day I will be an sda bcz I love your songs teachers more
kwanza mmevaa nguo fupi zimechanwa mipasuo na mnanengua viuno kama wapagani, nawaonya acheni, hata sijui pengine labda makanisa yenu hayana wazee au ndio fundisho la neema mmelipokea kwa uelewa huo, maana saizi maonyo yamekwisha kwenye kanisa la Mungu, hata wale wazee na wachungaji nao wanachekelea tu, mimi nawafatilia sana wakenya love you from DAR ES SALAAM TANZANIA...msijisahau sisi ni chumvi na barua ya kusomwa, tusomeke vyema wajori, mziki una nguvu kubwa sana ya kukufanya uwe chochote, tusiwe vituko, tuwe watauwa, kusema hivi sio kuhukumu, ni maonyo kutoka kwa mdhambi mwenzenu
We don't know u na wat ur dress is ...stop judging
huu mtindo wa kujifanya kama mna fanya marching kumbe mnacheza na kunengua viuno acheni, mambo ya uharibifu yanaanza taratibu kisha yanazoeleka inakuwa ndio kawaida kumbe ni uasi, mtakuja kushituka mmesha dika mbali sana katika uasi na kurudi nyuma inakuwa ni kazi mwisho wengi tumewaona wamepotelea huko, mziki una nguvu kubwa sana ya kuumba, tafakari mziki wako unaumba nini asante
I was here and fell in love with the choir ....y break 😢
Congratulations to heavenly echoes. Their latest songs hakuna vikanyagi👏👏👏
This choir eh❤❤❤
Kujipamba kwenu kusiwe kwa kusuka nywele
Chairman we can have team vikanyagi and their choir combine ts gona be litt
Performed it today on 18th June 2022 at Malindi Central SDA Church and on 04th June 2022 at Saika Central SDA Church
Jemedari...amina
Natamani kuwaona live Karibu bungoma
Hallelujah amen master piece
This song touches my soul
Amen
Moto sana
Who appointed some to be judges,are you even SDAs ,waah play safe tukutane mbinguni Mungu akipeana verdict,alaaah!!!!
i can see iven your profile picture, it seem so as your tongue verify how you are inside you. keep moving my dear under the umbrella of grace, do nudity also if you can because the law of libert says so, that any one must live as he/ she thik is better for him or her, go club do any thing my dear because we are all saved by grace keep moving eeeeh mamaaa
Wow
hiki kikundi cha vikanyagi ni cha kisabato au mmewaalika tu kutoka makanisa mengine, kama ni waalikwa tu sawa, lakini kama ni wasabato acheni maa moja huo mchezo wa kudance kwenye ibada, huo ni uasi, mmesuka manywele mpaka mgongoni, yaani mko kimataifa zaidi, hili kanisa la Mungu sio la Vurugu, stop it my brethren in jesus christ
Sawa "mungu"😂
liet ka pass😂😂😂
Alleluyah 🖐🖐🖐🖐🙌
Why are people so judgmental??? Check yourselves!
@@elderhezekiah6147 I don’t see any wrong here
@@nelsontorah30You not noticing the err, doesn't mean that kind of music is good for worship before a holy God.
Please find time and read Selected messages Volume 2 pg.36 par. 2,3