Mashaallah.... Honestly it's a good mawaidha.... I really like it.... May ALLAH bless you sheikh and protect you from evil eyes.... 🤲(Amin)... From Kenya in Mombasa county 001.... Mashaallah feel blessed sheikh 🤝😊🤗
MAY ALLAH AZZA WAJAL GUIDE ALL UMMAH OF NABII MUHAMMAD SALLALAHU ALEYHI WASALAM ALLAHUMMA AMEEN. SHUKRAN JAZELAN SHEIKH HASHIM RUSANGAYA MAY ALLAH CONTINUE TO BLESS AND PROTECT YOU FROM AN EVIL EYE AMEEN YAA RABAL ALAMEEN. MUCH ❤AND RESPECT FROM YOUR (AKHI) BROTHER IN DIASPORA .
MASHALLAH SHEIKH U SAY EVERYTHING IS RIGHT TRUE ABSULTE 😢😢😢😢😢WE WANT TO PRAY FOR THAT PEOPLE WHO HAVE MONEY AND THE DONT WANT TO HELP ANOTHER PEOPLE MY ALLAH SHOW THEM GOOD WAY TO HELP ANOTHER PEOPLE INSHALLAH AMEEN AMEEN AMEEN ❤❤❤❤❤❤❤❤
Hizo ndizo point sawa za kuwaambia watu inakela sana hasa vijana nishida wanalazimisha uchafu unekane nisawa kuufanya mungu tusaidie sana viumbe wako tuwe na hofu ya hasila yako vinginevyo tunaangamia
Na Serikali nayo inachangia kusapoti machafu kwa kisingizio cha eti "Ajira kwa Vijana, kukuza Uchumi kwa Taifa na Serikali haina Dini" !! Na Serikali hiyohiyo afu inalalamika kuvunjika kwa Maadili.
Huyu anaimba nyimbo nyingi za kumtukuza mungu wake. Watu wanacheza tu bila kujua anamaanisha nini akiimba baba lao, tetema, kanyaga kanyaga, anachukua anaweka waah, hana maana hio mnayoijua nyie, ni hadi uwe na elimu ya mambo ya giza ndo utajua anamaanisha nini.
She, Allah SubhanAllah wataala akupee wewe na team yako Janah Firdaus. Ameen . Nimejifunza mengi sana kupitia Mawaidha zako na khutuba. Mimi ni mtu wa kusilimu.
Labda ningekusaidia kitu endelea kufundisha na kumuabudu mwenyezi mungu mambo ya dunia yatakutoa kwenye leli mzeee mbingu ngumu sio laisi ivyooo msikilize mungu mi naona we upo tu
Yumefika mbali sana. Unapoona hata viongozi Wa dini wanakosa ushawishi kiasi cha kuendesha mawaidha yao kwa myindo Wa kiki. Nimesikiliza ila sijatoa kitu kabisa katika mafundisho ya kiongozi Wa dini. Ninapoona mtu mweusi Tena kutoka kigoma ambako wenye dini hiyo waliwatesa na kuwaua ndugu zake bila huruma nashindwa kuelewa kabisa. Huu in utumwa wa hali ya juu sana. Mzee danganya watu ila usichafue watu maana hata wewe unaeongea si mkamilifu mbele ya huyo mungu wako wa kusadikika.
Sio lazima utokenakitu (uelewe) kwani hata darasani mwalimu hufundisha wengine wakafaulu na wengine waka zungusha (wakafeli) 😊, Dini especially ISLAM peke yake ndio imebaki kusimamia maadili ya mwanaadam hao wakina Basta wakipewa hela mfukoni nyimbo zisizo na maadili zinaruhusiwa, Tukubaliane tu UKWELI UNAUMA SIKU ZOTE 😊😊........SIKU ZOTE HARAMU TAMU......
@@mahamoudduchi3318 kwanza fahamu kuwa Diamond sio muislam, sasa munashuulikia matendo ya mtu asiyekua muislam! Ata kama ameimba matusi kubwa zaidi shekh afundishe uislamu ili watu waijue njia ya hakki
sema shee wangu na afrika isikie ikombolewe na wasichana waache kuvaa nguo fup na zilizo bana huku chup zinaonekana wanaume nao wanavaa soksi na sendo walivyo kuwa walaini na heren kusuka nywele wanaume n udhalilishaj shee MUNGU atusaidie
Mashallah tabaraka llah 🤣🤣 Yani sheikh Rusanganya nakupenda kwaajili ya Allah ❤️❤️😍
Hadija naomba utizame hii
ua-cam.com/video/xRKMhikhr9g/v-deo.html
@@bodyaman kwani si upuuzi huu Astaghfiru llah 🤔
Am from Kenya,but I like this,very educative 👍
Same to mee
Mimi Ni mkenya pia ( mkristo).HAPO KWA BOLINGO BOLINGO.....😅😅😅
I love you Sheikh🥰, Allah akulinde na Shari na fitna za Watu Usogeze dini ya Allah mbele inshaallah👍👍
Big up sheikh Hashim
The love of Allah which i have for this sheikh rusanganya is on another level.. Allah akupe umri mrefu sheikh
Ameen yaa Rabbil Alameen
ua-cam.com/video/ysaJlm7kBa4/v-deo.html
Aamiin, umr wenye kher na barakah.
Mashaallah.... Honestly it's a good mawaidha.... I really like it....
May ALLAH bless you sheikh and protect you from evil eyes.... 🤲(Amin)...
From Kenya in Mombasa county 001....
Mashaallah feel blessed sheikh 🤝😊🤗
Kwahiyo watu tusifanye mazoezi?
Ameen
MAY ALLAH AZZA WAJAL GUIDE ALL UMMAH OF NABII MUHAMMAD
SALLALAHU ALEYHI WASALAM ALLAHUMMA AMEEN.
SHUKRAN JAZELAN SHEIKH HASHIM RUSANGAYA MAY ALLAH CONTINUE TO BLESS AND PROTECT YOU FROM AN EVIL EYE AMEEN YAA RABAL ALAMEEN.
MUCH ❤AND RESPECT FROM YOUR (AKHI) BROTHER IN DIASPORA .
Mm ni mkristo Ila nabarikiwa Sana na huyu shekh mungu akujalie maisha marefu
wewe ni pagani tu acha kujiita mkristo unaefagilia wapunga majini na mshetani
Alhamndulillah allah atupe mwisho mema watu wa siku hizi hawajielewi wanachojujuwa na ujinga tu
Mungu akuhifadhi akubariki zaidi utupe elimu zaidi Ameen Yaarabi
Subuha Allah Mola atulindie watto wetu in sha Allah
God Will protect u,sheikh nakupata sana sheikh big up
Masha Allah
Sheikh wangu, Masha Allah, mm nakupata vzri sana, unaongea yaliyomo Kabisa
SubuhanAllah Allah atusitiri na vizazi vyetu na jamiya islam
Subhanallah Yaa ALLAH naomba utupe husnul hatima indal maaut
Amin yarabillah lameen wakielewa kiarabu kweli dorcas
Jazaka Allah khaira shekh
MASHALLAH SHEIKH U SAY EVERYTHING IS RIGHT TRUE ABSULTE 😢😢😢😢😢WE WANT TO PRAY FOR THAT PEOPLE WHO HAVE MONEY AND THE DONT WANT TO HELP ANOTHER PEOPLE MY ALLAH SHOW THEM GOOD WAY TO HELP ANOTHER PEOPLE INSHALLAH AMEEN AMEEN AMEEN ❤❤❤❤❤❤❤❤
Maa shaa Allah ujumbe maridhawa
Allah atuongoze na atupe mwisho mwema
Mashallah Allah akujaze kheri shekh wetu umetuzindua
SubhanaAllah. Allah atupe mwisho mwema. Amin
Amina🙏🏾🙏🏾🙏🏾
JazzakaAllah khayra sheikh🌹🙏🙏
Sheikh nakukubali sana mpk mahasini tv nakufatilia mawaidha yk Allah akupe umri mrefu
Allah akbal mungu akuifadhi na shari za binadam inshaallah
Mashaa ALLAH akupe umri mrefu tuzidi kunufaika inshaa LLAH.
Hizo ndizo point sawa za kuwaambia watu inakela sana hasa vijana nishida wanalazimisha uchafu unekane nisawa kuufanya mungu tusaidie sana viumbe wako tuwe na hofu ya hasila yako vinginevyo tunaangamia
Na Serikali nayo inachangia kusapoti machafu kwa kisingizio cha eti "Ajira kwa Vijana, kukuza Uchumi kwa Taifa na Serikali haina Dini" !!
Na Serikali hiyohiyo afu inalalamika kuvunjika kwa Maadili.
Allah akuzidishi hekima na elimu
Mashallah sheikh...may Allah give hasnul hatima as you reminde us very minor things which lead to huge elimination from our Deen
Ameen
Mashallah shukrani kwa zako darasa
Mashallah sheikh ww ni mfano wa kuigwa kwa masheikh wengine
Maashaallah. Khutba nzuri sana Sheikh.
MashaAllah, Tunapenda sana mawaidha yako Kenya
MUNGU akufanyie wepesi na akuzidishie kila lenye kheri Shekh wetu #Hashimu_Rusaganya
🙏🙏🙏🙏🙏
Subhana ALLAH. Allah Atunusuru Ya Rabb. Allahumma Amiin
Shukran jazakAllah ukheri sheikh
Maashaallah sheikh wetu
MashaAllah Allah akupe Umri mrefu InshaAllah
Nazipenda Hela na tena naziogopa Hela mungu atupe zenye kheir na sisi, semeni Ameen 🤲👇
Ameen
Aameen
Amiin
ua-cam.com/video/ysaJlm7kBa4/v-deo.html
Amiin thumma amiin 🤲
Shukrani sheikh mwenyezi mungu atuongoze yaarab
Allah akubariki ustadhi❤ much love
Mashallah sheikh Allah akupe umri mrefu
Masha Allah shekhe Asante kwa kutukumbusha
Allah akukeweke kwa ajili yetu inshaallah ❤ uzidi kutufahamisha
Allah akujaze kher sheikh
Allah akupe umri mrefu Sheikh Rusaganya.
Amiin 🤲
Ameen
Ameen, yaa Rabbil Alameen
Ameeen
Shukurani Sana jazakallahu kheri ♥️♥️♥️
Masha Allah 🌹
Shukran sheikh
Maa shaa ALLAH sheikh
Mkenya Mkristo na nimependezwa na mafinox ya Sheikh,Diamond is lost and needs prayers
Free Masons yule na wamfano wake
@@iddawiboga9419 wewe unamtetea Diamond nini
We invite you to Islam sister please accept the invitation
Ukristo umekujaje hapa😅
Umesikiliza alichosema kuhusu diamond lakini😁😁😅 kasema maana ya amaboko maana yake mikono, sijui yapi mengine umeyasikia
Ostadhi nimekuelewa sana mwenyezi mungu akujaalie
Mashaallah Shekh wangu nakupenda kwa ksema ukweli
Ma shaa Allah kweli kabsa
Mashaallah mwalimu wangu
Ma Sha Allah Sheik
Huyu anaimba nyimbo nyingi za kumtukuza mungu wake. Watu wanacheza tu bila kujua anamaanisha nini akiimba baba lao, tetema, kanyaga kanyaga, anachukua anaweka waah, hana maana hio mnayoijua nyie, ni hadi uwe na elimu ya mambo ya giza ndo utajua anamaanisha nini.
Tupo izo maana basi tupate elimu nasie
Acha kudanganya watu ww
Kweli she mungu akujaalir umri mrefu ili uendelee kuwaelimisha waislam
Mm huw sifwatilii nyimbo za Diamond na sipendi
Sio diamond tu hata zingine ukiwa Muslim haruhusiwe kusikiliza nyimbo yyte
Maa Shaa Allah
Kali 😂😂Sheikh sector zote yupo Allah akihifadhi.
Allah akujaalie nuru uzidi kutufahamisha zaidi
MashaAllah shukran sana
Shkrani kwaukumbusho
Xwadaqta maalim Hashim Allah akuinuw
She, Allah SubhanAllah wataala akupee wewe na team yako Janah Firdaus. Ameen .
Nimejifunza mengi sana kupitia Mawaidha zako na khutuba.
Mimi ni mtu wa kusilimu.
Maa Shaa Allah... Allah akuongoze
Sio peke yako tunampenda sote kwa uhodari wake ujasiri wake ukweli wake Allaah atulindie Sheikh wetu ampe umri mrefu wenye siha na afya
Subhanallah
Shukriyaa sheikh
Aamiiiin inshaallah
Amin
Mashaallah
Maalim mashallah
Labda ningekusaidia kitu endelea kufundisha na kumuabudu mwenyezi mungu mambo ya dunia yatakutoa kwenye leli mzeee mbingu ngumu sio laisi ivyooo msikilize mungu mi naona we upo tu
Kweli maneno yako shekh mwalimu wa madras wapo hoi njaa tupu😊
Shekhe nakukubali sana mungu atakulipa
Maashaallah
Allah akuhifadhi sheikh
Allah atujalie nafsi zetu ziweze kumhofia yeye
Halima naomba uiangalie hii
ua-cam.com/video/xRKMhikhr9g/v-deo.html
Mnakiharibu kiswahili,inafaa kuwa,"mnajua maana ya huu wimbo"
True 100%
MASHAALLAH
Yumefika mbali sana. Unapoona hata viongozi Wa dini wanakosa ushawishi kiasi cha kuendesha mawaidha yao kwa myindo Wa kiki. Nimesikiliza ila sijatoa kitu kabisa katika mafundisho ya kiongozi Wa dini. Ninapoona mtu mweusi Tena kutoka kigoma ambako wenye dini hiyo waliwatesa na kuwaua ndugu zake bila huruma nashindwa kuelewa kabisa. Huu in utumwa wa hali ya juu sana. Mzee danganya watu ila usichafue watu maana hata wewe unaeongea si mkamilifu mbele ya huyo mungu wako wa kusadikika.
Innalillah wainna ilah rajiwn 😭😭😭😭
Mashaka allah
Sio lazima utokenakitu (uelewe) kwani hata darasani mwalimu hufundisha wengine wakafaulu na wengine waka zungusha (wakafeli) 😊, Dini especially ISLAM peke yake ndio imebaki kusimamia maadili ya mwanaadam hao wakina Basta wakipewa hela mfukoni nyimbo zisizo na maadili zinaruhusiwa, Tukubaliane tu UKWELI UNAUMA SIKU ZOTE 😊😊........SIKU ZOTE HARAMU TAMU......
Kelele wee nyie mmeuwa wangapi hasidi mmoja
😢😢😢Niww tu ambae humuelewi huyu sheikh itakua unachuki nae tu sio bure
Ubarikiweee
Mashallah shekh
TT TBt⅜qqq²1 zee WS z😂😂😂😂😂❤❤❤211112²Dee😂😂 www www2wwwqqqwwqqaaaaaaaaaaasszxxzs
Allah akulehemu shekhe wetu
mashallah
Kwa kweli umesema point za msingi sana
Allaha atupe mwsho mwm Ya Rabby 🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺
Salhiya
@@menalikechildren8836 Yes
Amaboko pia ni Lugha ya kiburundi inamaanisha mikono Subhanallah 🤔 Astaghfiru Llah
Nikwelii shekh wangu ishallah Amin
Amims
Tumia kamera au mic nzuri ambayo inaweza ku cancel noise
Helloo kumbe dio hivo??
Hii ni Noma sheikh
Allah barik ya Akhiii
Shekh chambua qur-an na hadithi watu wapate ilimu aliyoitaka Allah watu waijue achana na mambo ya upuuzi Allah apendi upuuzi Surat Al muuminun-03
Sasa Apo kuna upuuzi gani aliyouzungumza? Mbn kifuu tunduu wewe
@@mahamoudduchi3318 kwanza fahamu kuwa Diamond sio muislam, sasa munashuulikia matendo ya mtu asiyekua muislam! Ata kama ameimba matusi kubwa zaidi shekh afundishe uislamu ili watu waijue njia ya hakki
@@dadychipula una ushahidi gani kama Daimond sio muislamu ndugu yangu??
Kwemye sadaka watu kutoa ni shida aisee na ukihubiri sadaka wanasema anaombea tumbo ila Kwa waganga tunatoa Mungu atusaidie jamani
sema shee wangu na afrika isikie ikombolewe na wasichana waache kuvaa nguo fup na zilizo bana huku chup zinaonekana wanaume nao wanavaa soksi na sendo walivyo kuwa walaini na heren kusuka nywele wanaume n udhalilishaj shee MUNGU atusaidie
Ndugu, Kuvaa Soksi na Sendo hakuna Tashwishi Yeyote.
Mume Kuvaa CHAIN, Au Kuvaa Vitu Vya Dhahabu ndio Dhambi.
Na wala Sio Soksi.....
Unavaaje soksi mchana shee na miguu yako haina shida kisa tu hutak kuchafuka 😅😅wajitahid tu kuwa wasafi sio kuficha uchafu ndan ya soksi shee
Ni kweli shehk
Subhuhanallah
Sheikh wachana na hizi habari za kuchambua nyimbo we weka nyimbo zote hazifai
Assalamu aalaikum
Walaikum salam warahmatullah wabarakatu
Baba Kul~laty au Father Mafyonso
Ulakoze dawe
🙏🙏🙏