Sasa hii ndio Mboga ya Kulia Ugali?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 16

  • @witnessmallya5114
    @witnessmallya5114 10 місяців тому

    Asante.. mi ntapika na nyama ya ng'ombe kavu hope itakuwa poa❤

  • @maryamharuna8051
    @maryamharuna8051 Рік тому

    Hongera mnaijeria mwenzangu...ila siku ingine kwenye ugali ongeza unga ukaze usifany mlain sana

    • @ikamalle
      @ikamalle  Рік тому

      Huo ni ugali wa muhogo (ni mlaini na unavutika) alafu hiyo ni raha yake

    • @maryamharuna8051
      @maryamharuna8051 Рік тому

      @@ikamalle ndio wa muhogo lkn umeufanya lain sana ukiongeza unga unakuwa vzur zaid na hausumbui kupika wala kweny kula

    • @lilianestephanie7881
      @lilianestephanie7881 Рік тому +1

      @@maryamharuna8051sio lazima

  • @foodbae124
    @foodbae124 Рік тому +1

    Tupikie na Egusi soup pls🥰🤗

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 Рік тому +1

    Tupikie na jollof Ika, ila wale wanaigeria mboga ya wiki wao wanakula kwa siku moja, wao hapo bd bamia na nyama

  • @user-vk9hj8mc1z
    @user-vk9hj8mc1z Рік тому +1

    Tupikie na mboga za kinyamwezi kama NSASA na n.k

  • @CelinaBeda
    @CelinaBeda 2 місяці тому

    Nilazima iwe nyama pori

  • @rachelmlawise9325
    @rachelmlawise9325 Рік тому +1

    Bada kwa mabenda mambo sawa.

  • @beatriceakumu23
    @beatriceakumu23 3 місяці тому

    Hiyo umeiga vyakula vya ki West Africa siyo za East Africa. But you have tried.