URUSI YAFANYA MASHAMBULIZI HATARI TENA|MAREKANI NA WASHIRIKA WAKE WALAANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 32

  • @imanuelnguya9277
    @imanuelnguya9277 Рік тому +3

    Saf sana tumelipiza kisasi wao walipiga dalaja letu juzi wakijibu tutajibu zaidi

    • @IsmailBagayabakwe-bb1pl
      @IsmailBagayabakwe-bb1pl Рік тому

      Wewe unasema abari ya daradja n'a lazima kukata kichwa ya putine tena ana lolotte lakukataha asikatwe kichwa tumesha juwa kama ana ulinzi naana nguvu kila kipimo tumemupima IKO namukamata

  • @Askari22
    @Askari22 Рік тому +3

    Kulikua na wajeshi ya wa nato

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp Рік тому +2

    Huyu mzee ninamuami ondoa vibaraqa wote walio nania yakutaka kuisambaratisha urus usiwache kamwe vuruga hadi ufurike bahari😂

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 Рік тому +2

    Putin baba lao ❤❤❤

  • @kijokasumu
    @kijokasumu Рік тому +1

    alaaniwe mpaka wanyooke america na wenzake

  • @jimmyselejimmysele2821
    @jimmyselejimmysele2821 Рік тому

    Ok

  • @user-sl8bu3we1m
    @user-sl8bu3we1m Рік тому +1

    Mwanamme anaendelea kuwatesa wazungu

  • @adamchaka-vl7yk
    @adamchaka-vl7yk Рік тому +1

    Zelensky waonee huruma watu wako

  • @johnsombi545
    @johnsombi545 Рік тому +1

    Lakini wanasema palikuwa na mamluki wengi kutoka marekani sababu wamekutwa na vitambulisho vya marekani pia wanaongea kingereza kwa wale manusura katika eneo hilo

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 Рік тому

    Mara hii wameyakanyaga putin wanyooshe hvo hvo

  • @simonndunguru1629
    @simonndunguru1629 Рік тому

    Huenda walikuwepo wamerika na Nato. Putin ameanza kazi

  • @NOORMOHAMED-sg9lo
    @NOORMOHAMED-sg9lo Рік тому

    Vizuri sana

  • @mayombomajenga9778
    @mayombomajenga9778 Рік тому +1

    Ni mwendo wa kipigo tu mpaka magharibi waseme humo hotelini palikua na nn

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 Рік тому +1

    Kulikuwa na Wanajeshi wa NATO wskifanya kikao hapo.. wamekipata Cha mtema Kuni!!!!

    • @IsmailBagayabakwe-bb1pl
      @IsmailBagayabakwe-bb1pl Рік тому

      Wewe kiwelewele waakili Nani kakuambiya kama NATO wame kuwa pale

    • @festohaule9716
      @festohaule9716 Рік тому

      @@IsmailBagayabakwe-bb1pl ...Hayo ni maoni yangu...usiningilie Uhuru wangu Tafadhari.. kama unaerementi za kishoga komaa nazo!!!!!

    • @mudighurayra
      @mudighurayra Рік тому

      Ndio maana nato wakalalamika sana

  • @Askari22
    @Askari22 Рік тому +1

    Ujasusi alifanywa walikua wanafanya mkutano

  • @hajimaruzuku6583
    @hajimaruzuku6583 Рік тому

    Kuna mmluki wa marekani na nato urusi sio wajinga ku rusha makombora bil ya sababu maluki kibao wame kufa

  • @IsmailBagayabakwe-bb1pl
    @IsmailBagayabakwe-bb1pl Рік тому

    Urusi alisha shindwa vita anabakiya kuuwa raiya bure kwa sasa anashindwa kupigana nawana jeshi wenzake biko namukamata miji alikuwa naikaliya kuuwa raiya nikuonyesha kushindwa vita

    • @ahmednassor9131
      @ahmednassor9131 Рік тому

      Wewe uko gizani kabisa hata hujifahamu kabisa,

    • @IsmailBagayabakwe-bb1pl
      @IsmailBagayabakwe-bb1pl Рік тому

      @@ahmednassor9131 wewe uko kwenye mwanga

    • @IsmailBagayabakwe-bb1pl
      @IsmailBagayabakwe-bb1pl Рік тому

      @@ahmednassor9131 wewe akili nindogo unapenda kushadikiya kuliko kufata abari za vita gisi IKO naendeleya putuni atakufa kama kuku moja ivi putine nikoma nguruwe kwenye potopoto tu

    • @abduljuma7807
      @abduljuma7807 Рік тому

      Mashoga nawenzaoko walikuja hapo Wacha watwangwe walishazoe kuua Afrika wewe Ismail huelewi kwa sababu unapenda ushoga

    • @IsmailBagayabakwe-bb1pl
      @IsmailBagayabakwe-bb1pl Рік тому

      @@abduljuma7807 mimi siezi kuku elewa urusi alisha Pata shida mengi sana ndani ya iyi vita kupoteza wana jeshi wengi sana