Mungu akubariki sana Paulo siria sijaelewa kimasai lakin kunaujumbe mzur ndani ya wimbo nunakuomba kama mungu atakupa neema ututafsirie kiswahil au kingereza
Hongera Ndugu Paul. Tumepata Nyimbo za Sherehe ,Ndoa na injili ila wewe uliamua pia kukosoa na kuelimisha kuhusu Ndoa na majukumu za nyumbani. Naitazamia Nairobi Kenya.
Paulo babaangu nakupnda sana kwasababu unaimba nyimbo zako kwa ishara huu wimbo umebadilisha watu weng kijijin kwetu wakabadilii l am gladness from Tanzania
Paulo Siria let God bless you king of maaa the is very realistic and touching on our modern men and women ❤ we love you from Kilgoris,,,,, kilgoris men wapi likes za poulo siria
Wow ever found the most touching song the real face of man life story may God give you more strength and wisdom to educate nation's toward the hardship of life
This is powerful, what a message to our beautiful ladies... Have listened more than 20 times and still not getting enough of it . Give us more Siria. Keep us here by listening to your work. .
The advice to our wives through this song is totally godly and if our wives take heed of the spiritual advise we shall be living in a society less of GBVs ......kudos
Mungu akubariki san mwimbaji wa njimbo za injili za kimaasai hakika huu wimbo nimesikia mpaka nikalia imenikumbusha mengi san ubarikiwe sana hakika hii wimbo itawabadilisha wengi watakao guswa na huu wimbo
Am understand it most. This song is touches my soul. But i believe every successful person have a painful story, every painful story have a successful ending. Be blessed brother together we can in Jesus name.
So impressive ❤to all men who try to their wife's aki isalute u zaidi....women lets gather here and appreciate our husbands for their trials ❤ Paul siria tonyua oltau hii wimbo imefikie my husband 😘😘😘😘
Bravo Siria I think we should also sing to men too and pass the same message. Most women nowadays work, take care of their families and no one appreciate them instead their men waits them at home and beat them
This song sends me to many flashbacks. A friend of mine who was in Somali for solar projects, the wife left left home, stating money sent isn't enough 😢😢 I met Olkisongoi selling shoes in Siaya, Kigali & Zanzibar lamenting of their women at home not respecting them coz of the nature of their work.
Hatakama siyaelewi inani guza moyo God bless you work💕💞🙏🙏🙏
Hata kama sielewi maneno lakini inaniguza tu moyo.God bless you so much my brother
Amen 🙏
Mbn
Soma maandishi towards the end
Hii nyimbo imengusa kila mtu mweny ako na masikio
Me too here
Paulo siria kwa kwel mungu akubariki sana japo nilikualika ukanikataa ila uma yako hakika inanibariki san mpendwa wa mungu,MIMI VERONIKA MTO WA MBU,
Mungu akubariki sana Paulo siria sijaelewa kimasai lakin kunaujumbe mzur ndani ya wimbo nunakuomba kama mungu atakupa neema ututafsirie kiswahil au kingereza
Hongera Ndugu Paul. Tumepata Nyimbo za Sherehe ,Ndoa na injili ila wewe uliamua pia kukosoa na kuelimisha kuhusu Ndoa na majukumu za nyumbani.
Naitazamia Nairobi Kenya.
Osingoli oitukuj nitang'e ilpulata loo inkonyek enkerai enkaji EMAASINTA too inaaimarita ... Ashe poul siria itonyuaa aidedeyie aaku eutaroroto oo isingoliotin lenkitukuja oloorrep Enkai oobore engeno Enkai .... Meeta entoki nekincho iyie ... Kake kiomon Enkai naata , mekitoponiki engeno omayianat enyana .... Ira Makititiai too ilaranyak lolosho lemaa .... Kinyorr iyie oleng ..... Empalai Caleb from loitokitok Kenya.... God bless you 😇❣️🙏
Paulo babaangu nakupnda sana kwasababu unaimba nyimbo zako kwa ishara huu wimbo umebadilisha watu weng kijijin kwetu wakabadilii l am gladness from Tanzania
congratulations... great message educative and real fact... God strengthen you osinga le nkai
Paulo Siria let God bless you king of maaa the is very realistic and touching on our modern men and women ❤ we love you from Kilgoris,,,,, kilgoris men wapi likes za poulo siria
hongera sana kwa wimbo mzuri
Hongera sana muimbaji hakika hii nyimbo imegusa wengi sana na kuwafundisha wanawake katika ndoa zao
Sielewi kimasai lakini siria unanibarki kwa nyimbo zako baba. Ubarikiwe.
Wow ever found the most touching song the real face of man life story may God give you more strength and wisdom to educate nation's toward the hardship of life
This is powerful, what a message to our beautiful ladies...
Have listened more than 20 times and still not getting enough of it .
Give us more Siria.
Keep us here by listening to your work. .
What does this song mean in English boss? I'm really in love with it though I can't hear it I like his creativity
The advice to our wives through this song is totally godly and if our wives take heed of the spiritual advise we shall be living in a society less of GBVs ......kudos
Kazi Safi Sana ndugu lai Dunia inaenda ikikukubali mungu amuongoze na ujuzi zaidi
Barikiwa sana kaka leo nimejikuta nimeamka na uwepo wahuu mwimbo be blessed MUNGU akuinue viwango vyajuu akutumie apendavyo
Hongeraaa Paul sijuw kimasai lakn imenibid niufuatilie adi nmeuelewa mungu akuongoze zaid
Hongera sana kaka paulo siria kwa kazi kubwa unayoifanya wakika huu nyimbo umeniguza moyo ubarikiwe sana 🙏🙏🙏🙏🙏
Umeimba sana Kaka yangu imenigusa kweli
Mungu akubariki san mwimbaji wa njimbo za injili za kimaasai hakika huu wimbo nimesikia mpaka nikalia imenikumbusha mengi san ubarikiwe sana hakika hii wimbo itawabadilisha wengi watakao guswa na huu wimbo
Touching music,,,, i just found myself crying sijui ni kwa nini,,,, God bless you abundantly siria,,,, 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Why!
Is it sympathy or guilt!
Pongezi sana bro Paul siria... this is the best message delivered in the highest needed, qualified way thanks 👍 be bless
👏👏👏👏👏👏❤️❤️ Mungu akutunze sana Paulo Siria mjumbe mzurii sanaaa 🤝🙏🙏
Am understand it most. This song is touches my soul. But i believe every successful person have a painful story, every painful story have a successful ending. Be blessed brother together we can in Jesus name.
congratulations brother siria for your touching song Mungu akujalie neema zake kwa kueneza neno lake milele
So impressive ❤to all men who try to their wife's aki isalute u zaidi....women lets gather here and appreciate our husbands for their trials ❤ Paul siria tonyua oltau hii wimbo imefikie my husband 😘😘😘😘
Bravo Siria I think we should also sing to men too and pass the same message. Most women nowadays work, take care of their families and no one appreciate them instead their men waits them at home and beat them
Aki amungu iko powerful song waammbie wamama 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
This song sends me to many flashbacks. A friend of mine who was in Somali for solar projects, the wife left left home, stating money sent isn't enough 😢😢 I met Olkisongoi selling shoes in Siaya, Kigali & Zanzibar lamenting of their women at home not respecting them coz of the nature of their work.
😅
Hongera sana paulo siria hiyo imetulia kwelikweli,,siku ukizindua nialike nikuletee zawadi yako
Ngoma safiii... it's an open source of remind to all women to respect and trust their husbands hustles.
Xafi xana umekuwa mfano nzuri ya kuigwa na vijana wa xaxa mungu akubariki xana wakwetu tupo pamoja
Ubarikiweee sana ndg paul nice song with wonderful messsage
Pongezi sana,, Mungu akubariki sana. God bless you and your family.
Mungu akubariki Sana nimefurahi a huu wimboo mno❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
kwa kweli Paulo hii wimbo ina ujumbe mzuri Sana duuu mungu wetu akubariki Sana mimi Kama mshabiki wako naomba endelea kutunga nyimbo za hivi jmn
Ubarikiwe sana kazi nzuri sana tatizo ruga inaubinafsi raiti.tungekua twaifaham ruga tungebarikiwa sana
Mungu akubariki azidi kukuinua viwango vingine 🙏wimbo umenibariki unaujumbe mzito👍
Barikiwa sana na nyimbo nzur ya kupendeza mungu
My brother god bless you and your family. ujumbe wako ni mafunzo
soo touching song message nzito sana big up siria,,much❤️❤️from Laikipia Kenya
Great composition and output,great beat and rendition,big up Siria and dedication to all Maa ladies
Kweli mungu anakuza vipaji ndani ya watu wake mungu Akutienguvu kila uamkapo nakuombea heri ufanikiwe kwa viwango vya juu
Ewaaaaa a very truth pain indeed. May almight God bless the work of ur hands
Aki paul mke wangu amenipenda tena zaidi kwa kuskia hii song mungu akubariki
Big up bro💪💪God bless you
Kazii nzuriii nyimbo yenye ujumbe mzurii
Oow my God!! This song had me in tears, God bless you man of God.
So powerful and touching.....
May de lord bless u
Sooo touchful ,,,, may the Lord bless you my mentor Paul siria na akupe neema
Ongera mtegemee mungu kwa kila Jambo yeye ndie muweza wa yote
Listening from Kenya-Samburu...Wimbo huu unaguza na pia yafunza mengi. Hongera sana
Paulo siria, nakupenda, sana. Kwetuni, RWANDA
Nimeipenda wimbo kwa mafundisho ispo siierewi nakuomba kwa mungu akuzidishie kipaji amee🙏🙏🙏🙏
Hongera Paulo kwa nyimbo nzuri
Hongera saana bro inatugusa Sana wenye maisha ya kawaida
Sina zaidi ya kusema coz u done all hongera broo paulo siria by siria studio much love engaj emaaa
❤aminaa sanaaa
❤❤ kakaangu Paulo kiukweli nakupenda San huu wimbo mungu akubariki naazidi kukuinua
Hongera paulo yetu wimbo hii ni kali sana
Jmn wimbo unaujumbe mpaka nimejiskia vby🙏🙏🙏🙏Mungu akubariki
Ndugu paulo umeimba kweli Mungu azidi kukuinua viwango vingine
Ara siria...ero mikitaapo nkai nikilepunye...tesiai lenkai liasita....Ashe oleng ltung'ani lai
This is there many many more what I thinking on this song big up my brother 💟 kongole
Paulo Siria my boy, Aiteruwa oyee.
Mungu akulipe ,kwa kazi nzuri.
Hongera Sana Paulo Siria, Mungu akuinue zaidi. Karibu Handeni Tanga
waaah wimbo poa ndungu yangu na Mungu atakusaidia kwa kazi poa unafanya
Iko sw
Hongera sanaaa my brother mungu akutunze Zaidi ❤️❤️❤️❤️❤️💯💯💯✔️💪🔥🔥🔥
Safi sana mr poul sira
Laiti wimbo huu ingetafsiriwa kwa lugha zote. Mungu akubariki sana, hii kazi inemeandaliwa kwa umakini mkubwa! It touches the hearts of all people
sure 🙌
don't worry, this song is very good
Ubarikiwe xana ndugu, ujumbe umewafikia
Nice Song Paul Siria 👌 pongezi sana
Hongera sana broo uzidikuinuliwa juu zaid
Hongera sana Paulo Mungu akuinuwe katika viwango vya juu zaid🙏🙏
Wimbo wko imeni bariki xna nawew ubarkiwe mutumshi wamungu 🙏😄
Ero miosho doi inakito naibukoo osukari nemeyelo enindugaaa. Hongera wimbo mzuri sana
Wimbo huu inawajenga wengii sana bgp sana onjore Lai Paulo siria mekitorivo engai natii shumataa
Wimbo wenye uchungu na ukweli mtupu barikiwa paul
Wah! Kidogo nilie 🥺🥺 nakunenea neema kuu ndugu yangu
Hongera sana Paulo mungu akuinuwe katika kazi ya mungu viwango vya juu
Bravo Lalashe lai 👏👏 Good song heavy message
Hongera sana kaka mkubwa unazidi kufanya vzr na makubwa 👏👏👏👏👏
Waambie kabisa tunangangana kila namna hongera paulo
God bless you bro........ Love from Ghana 🇬🇭💙
Congratulations 👏👏👏 keep it up
Ni ujumbe mzuri Sana wahusika tafakarini Sana hayo yaliyo fikishwa ndani ya wimbo huo
Imenigusa hii wimbo big up broo siria
Same to me😭😭
Mungu ambariki kazi ya mkono yako hii wimbo ime bariki wengi
Hongera sana ole siria una kipaji nzuri
Congratulations brother good songs
Congratulations to you Paulo siria, this song is so educative.
May the good Lord furthorm you with wisdom to continue hitting
It so powerful keep it up my brother
kazi inzuri xna bro akubari mungu congratulations brolai
Siumeona stalihii ya zuku unaiwezea sana imbia stahili hii kaka ,nakukubali sana kamanda nyimbo Kali sana kaka🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hongera zana ndugu....wimbo inatutia nguvu as young generation expecially ladies...
Enkai tagolie ilewa,🙏,
Wimbo nzuri sana
Mwenye tafsiri ya huu wimbo please aiandike hapa. May Almighty God bless you all.
Mekitamayana engai enkeper
Good Mr pauloo waambiee watufumiliee
This is really touching 😢😢😢😢 can’t stop listening,,,God bless you ole siria noto omom tenkai 👌👌
Alf
Thank you so much
Hello 👋 how are you now, where are you now
Where are you from
Alie rudia rudia kuskiza huu wimbo kama mimi jaman mpo 😍😍😍😍😍