Mume wa Zamaradi amjibu Mange ‘mjinga mpuuze inawauna kukupenda mke wangu’

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024
  • Tembelea www.sns.co.tz kwa habari nyingi zaidi
    Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti

КОМЕНТАРІ • 68

  • @minjesha
    @minjesha Рік тому +12

    Waache utapeli na fake life..mange tupe tupe..mpaka wamlipe megy..tunakupenda sana mange sanaaa yani kwa kutetea wanyonge..Mungu akuweke sana❤❤❤❤

  • @samniza1763
    @samniza1763 Рік тому +1

    She is our whistle-blower. Serikali iwaonee na watu pia wawaonee jamani mnaishi dunia ya wapi????

  • @سعدههوام
    @سعدههوام Рік тому +14

    Ila mangi kimambi anakera sanaaaa jamaniii kufatilia maisha yawatu bingun hufiki kimambi

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 Рік тому +20

    Kwani mwanamke kulisha familia ni dhambi

  • @ibrahimkibira9943
    @ibrahimkibira9943 Рік тому +1

    Zamarad wacha ya mkute. .what's Goes around comes around alivujishaga voice note za Boss Ruge leo apambane na fake life yake kwanz simpendag alimfanyiaga figisu figisu Dinnar Mario's hakatoka clouds fm leo mwenzie Ana shine malipo hapa hapa

  • @simonitaagesti4765
    @simonitaagesti4765 Рік тому +26

    mnavomjibu huyu mange ndo mnampa kichwa sasa ubaya upo wapi mke akimsaidia mume jmn

    • @madawamchuwa8253
      @madawamchuwa8253 Рік тому +10

      Ww hujamuelewa mange mange hakuwa na shida kabisa ya Zama kumsaidia mume wake .shida ya mange ni? Kwanini pesa ya kumsaidia mumewe na mkusafisha kwa watu anayo lkn pesa ya kumlipa mtt wwtu Hana? Na bado alipoamua kusema ukweli amemuweka ndani

    • @vickydan2869
      @vickydan2869 Рік тому

      @@madawamchuwa8253 Bora ww umesema

  • @SesiliaTemu
    @SesiliaTemu Рік тому

    Pole sana zamarad, watanzania wengi huwa hatafikir kabla ya kunena mimi nilikuelewa sana uliposema mkataba uliisha kitambo, ikabaki nipe nikupe, yaani nionyeshe kazi uliyofanya nami nikupe pesa, ila hii nayo ni kosa kukaa na mfanyakazi zaid ya miezi 3 bila kumpa mkataba, binadamu tumebadilika, mimi niliwahi kushuhudia mama anamlipa house girl million 4, chanzo alifanya kosa aliposemwa akadai kuondoka, baadae akanda office za kazi kulalamika hajalipwa mshahara muda wote aliyofanya kazi kwa yule mama, haya mambo yanauma sana,

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 Рік тому +2

    Mange 💯 %mtu mwenywe uwakika na maisha awezi kuangaika na kupost nyumba watt wanachenza ukiona ivyo ajiamini .watu wanav2 kibao na awajawai post

  • @nellymtambo8432
    @nellymtambo8432 Рік тому +1

    Mange anajua anajua anajua tena😂❤

  • @marrypius576
    @marrypius576 Рік тому +5

    Huy dada Sijui yupoje anakera sana

  • @aishaally6602
    @aishaally6602 Рік тому +8

    Mange atakufa vibaya kwa kufatilia maisha ya watu

    • @madawamchuwa8253
      @madawamchuwa8253 Рік тому +5

      Hujawahi kutapeliwa ndugu hujui uchungu WA kufanyakazi kwa bidii halafu usilipwe. Narudia tena subiri ya kukute 😢

  • @tanzaniaoman6423
    @tanzaniaoman6423 Рік тому

    Asante lwa kutufahamishs yanayojili mana usomaji wako sichoki kukusikliza na kukuelewa pia

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 Рік тому +12

    Mange anatafuta ugali wake, ulaya maisha ni magumu sana, kwaiyo ni lazima atafute choko choko ili afatiliwe.

    • @wozanawewoz979
      @wozanawewoz979 Рік тому

      Tatizoo unyanyasaji mwingi uko kwenuu, kujigamba kwa kunyanyasa watuu kwani sisi si wazazi walikuwa na biashara zao , tanzania hakuna hakiì.

  • @rajah9328
    @rajah9328 Рік тому +6

    Watanzania mko na wivu mwingi sana sas kujenga ata mtu wa kawaida akiamua tu ila mtu yyte akitoboa kdgo maneno

  • @DeborahMrema
    @DeborahMrema Рік тому

    Yani Kuna watu wanasahau kwamba hapa duniani sio kwetu kwani kama zama ndio mwenye pesa na anamsapoti mumewe Kuna shida Gani hata ingekua mm Nina pesa mume wangu ananiheshimu ananipenda jamani ningempa mihela anipe raha kwani mihela bila kua na furaha haina maana zama dada hata kama Hana hata mia kama anakupenda kwa zati inatosha upendo ni zaidi ya kila kitu duniani

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 Рік тому +2

    Mwanaume huwa haongei😂😂 ukiona hivyo mange amemkuna ndipo bwana shabani Sasa subiri kwenye App utakavyochafua Hali hewa

  • @shadiathemedshadiathemed8699
    @shadiathemedshadiathemed8699 Рік тому +1

    Wanao sapot mange wapuuzi sn kama mange

  • @Kulindwa
    @Kulindwa Рік тому

    Freelance writer halipwi mshahara

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Рік тому

    😂😂😂😂😂😂😂wanywe diclopa walale

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 Рік тому +1

    Roho mbaya inaumaaa mngenyamaza ingependeza

  • @mussakiziyzi408
    @mussakiziyzi408 Рік тому

    Km zama anamstir mumewe na kujitoa
    Huyo ndio mwanamke na nusu.
    Na ni jambo jema sn

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 Рік тому +5

    Kwani Kila mtu si mzuri ila mange tu, jamani jamani mwache kuumpa mange airtime

  • @fatmakiraga4016
    @fatmakiraga4016 Рік тому +2

    Lakini iyo ndio inatakiwa kuwa anamuonesha Mume wake ndio kusema bwana

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Рік тому

    👍👊✌️。

  • @sarastephano3409
    @sarastephano3409 Рік тому +1

    waache tu kumjibu maana wanajidhalilisha tu

  • @edinachami4318
    @edinachami4318 Рік тому +4

    Watu mnasahau mange kimavi umbea wake ndounamuwe
    Ka marekani inatakiwa msimjibu chochote ili asitrend kbisa mkimjibu ndoanafurahi

  • @hamimumlindwa3244
    @hamimumlindwa3244 Рік тому +1

    Wale wa cloudz wameshindwa kuwalipia ada watoto wa ruge

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ Рік тому

    50-50

  • @ibrahimfarha3853
    @ibrahimfarha3853 Рік тому

    Ila watanzania mmekosa kushikamana na umoja mmunyoshe huyo kimaviiii

  • @saadanao9578
    @saadanao9578 Рік тому +1

    Muacheni huyo mambe kimavi

  • @janetahmed6948
    @janetahmed6948 Рік тому +3

    sasa huo mange nani jamani

  • @SesiliaTemu
    @SesiliaTemu Рік тому

    Ila pia tusisahau, mange akimdhalilisha ndio kipato chake so kufa kufaana

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 Рік тому

    Huo uandishi aise dah

  • @omanmct135
    @omanmct135 Рік тому

    Mange hagopi kufatiliya watu hatari kabisa Pole zama usijali

  • @rukaiyamayoga5700
    @rukaiyamayoga5700 Рік тому

    Inawauna nini😏

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 Рік тому

    Shoo off ni sumu kama ni kweli hatari hapo kujifunza

  • @mandyuwimana7735
    @mandyuwimana7735 Рік тому +1

    Mange hauko mkweli !! Tu fais toujours deux poids et deux mesures

  • @shaaden-
    @shaaden- Рік тому

    😂😂😂😂

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 Рік тому +1

    mlipeni tu yule maskini wa mungu jasho lake

  • @shadiathemedshadiathemed8699

    Uyu mange Kwan anashida gn kila mtu anamkosoa

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 Рік тому +2

    Mange kimavi nae 😅

  • @ireneimbuhira7759
    @ireneimbuhira7759 Рік тому +3

    Hope he will not live him one day 🙏

    • @hopechidera
      @hopechidera Рік тому

      He will not live him🤔. That him is who...

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 Рік тому

      @@hopechidera 🤣🤣🤣

  • @norfenvgeraldo9493
    @norfenvgeraldo9493 Рік тому

    Kwani watanzania munafeli wapi kumkomesha huyu mange ,kwasababu kila siku yeye tu na maisha ya watu ata usipomchokoza yeye anakuchamba tu , 😓 😓 .

  • @elizabethchabluma-zw5qz
    @elizabethchabluma-zw5qz Рік тому +2

    Huyu kimbau mbau siku akikanya tanzania watamkaanga

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 Рік тому +1

    Ila mange anahakikisha ndoa za wenzie za vunjika😂 zama amlipe Megay pesa yake apumzike

  • @ghadaalzuhari2739
    @ghadaalzuhari2739 Рік тому +3

    Wizi wamlipe kaka wawatu Pumbavu zao

    • @IsraelKisaila
      @IsraelKisaila Рік тому

      KIUKWELI wakishamlipa tu,YOTE haya yatakwisha

  • @mariamibrahim6738
    @mariamibrahim6738 Рік тому

    Mange kila siku kufatilia watuu khaa asubutu aje bongo watamlaa na ile mifupa yke km mfajio

  • @Kibaadvocate
    @Kibaadvocate Рік тому +2

    Shida mme wake shule hamna

  • @silverman6930
    @silverman6930 Рік тому

    You don’t need to reply this patient .::