MURAKOZE (ASANTE) EPISODE 02

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 55

  • @kapusilogybwoy
    @kapusilogybwoy День тому

    Hiyi umeenda furaha kwetu Burundi 🇧🇮 Rwanda 🇷🇼 🎉🎉🎉

  • @hassanjuma6144
    @hassanjuma6144 День тому

    Kiha ni kirundi na kinyarwanda kabis yan hapa wa rundi na wanyarwanda ndo wana Elewa kbs ❤❤❤

  • @hassansaidy6425
    @hassansaidy6425 12 годин тому +1

    Mbona kiingereza hamkosoi chenyewe mnakielewa

  • @Jajafilms-my3
    @Jajafilms-my3 День тому

    PROFESA BASTOLA YANGU IMEPOTEA😢😂 Sijui itakuaje Epsode3... Kazi nzuri sana kaka angu Sabufa🔥🔥🔥🙌🙌

  • @LuckStar-uf5kv
    @LuckStar-uf5kv День тому

    Yani lingo sabufa namukubali sana

  • @Mr..a_brandvevo
    @Mr..a_brandvevo 3 дні тому +3

    Ringo kaka naomba na Mimi unipe nafasi ya kuigiza kiha murakoze chane

  • @josephemmanuel2131
    @josephemmanuel2131 2 дні тому +1

    Action moja inachukua muda mwingi

  • @MuharamiBakari
    @MuharamiBakari День тому

    Ringo Isee unakua sana brother

  • @EnockMkwashu
    @EnockMkwashu День тому

    Mmenkosha sana waha we zangu mpoooo

  • @jessalmas2122
    @jessalmas2122 2 дні тому +1

    najivunia kuwa muha

  • @NeemaJulias-c2y
    @NeemaJulias-c2y 2 дні тому

    Dakika chache

  • @Kendry_jenner
    @Kendry_jenner День тому

    Noma

  • @mwanatime
    @mwanatime 2 дні тому

    mliwalenga waha pekee au

  • @kananidamacene
    @kananidamacene 2 дні тому +1

    Kazi nzuli Ila Munachelewa sana

  • @YohanaLukosi
    @YohanaLukosi 3 дні тому +1

    🎉🎉🎉🎉🎉 Umetishaa

  • @kingstone1434
    @kingstone1434 3 дні тому +1

    Proud to see my tribe language Ha 😂😂🙌🙌 ulakoze chane Ringo 👊👊👍

  • @MussaBustotant-dd8ty
    @MussaBustotant-dd8ty 2 дні тому +1

    Love from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @allychakatu2017
    @allychakatu2017 3 дні тому +1

    Scene nzima imeisha jamaa akitega mtego wa kanga tu na kufanya sherehe ya kumla kanga...daah Ringo bhna..
    Hapo umetuweza😅

    • @ringosabufa
      @ringosabufa  3 дні тому

      Utaipata full movie

    • @allychakatu2017
      @allychakatu2017 2 дні тому

      @ringosabufa shukran sana, Ila zinazofata tuwekee translation sasa.

  • @Kitufemiwashofilm
    @Kitufemiwashofilm 3 дні тому

    Kazi kubwa San hii hapa ila nimechelewa kufika hapa kutazama ila tujitahid nakusapoty vya kwetu jamn 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂

  • @dadivencetv8608
    @dadivencetv8608 42 хвилини тому

    Icho mbona kama kinyakyusa wanaimba twende bhule ejobhaaaaa

  • @Rich-media-r-e
    @Rich-media-r-e 3 дні тому +2

    noma sana

  • @Kijembe21-b8w
    @Kijembe21-b8w 2 дні тому

    Kazi nzuri boss wangu

  • @JamesMgimba
    @JamesMgimba 2 дні тому

    Story nzuri sana

  • @IscoToss
    @IscoToss 3 дні тому

    Munazingua muna chelewakutoa

  • @selemanially-c3h
    @selemanially-c3h 3 дні тому +4

    Maico manga from USA 🇱🇷🇱🇷🇱🇷 shida ume tia zana dakika ndogo sana 14 kwenye ep2 nime hona kuna scene 2 tu kwaiyo zina bidi kuwa nadakika 20 au 19 ili watu wawe na nguvu yaku sapot kazi kikamilifu cheki kazi inavyo kwenda taratibu kwaiyo rekebisha broh ila sorry kama nime kuhuzi ila ndomaendeleo ya sanaa yetu kwenda mbali ila hongera kwa camera man👍👍👍

    • @ringosabufa
      @ringosabufa  3 дні тому +1

      Asante sana boss Tutafanyia kazi❤️🙏🏽🙏🏽

    • @heppy768
      @heppy768 3 дні тому

      Burundi Bujumbura 🇧🇮 hiyi flm tumeipenda lakini munapa ep ya dakika ndogo Sana mnazingua sana

    • @N.S.GGROUP1
      @N.S.GGROUP1 2 дні тому

      Iyo so bendera ya U.S.A 😂😂😂😂😂

    • @AdamHamis-sg6zz
      @AdamHamis-sg6zz 2 дні тому

      Ewaaaah kumbe na Wewe umemstukia .!!
      U S A gani hajui kuandika.???​@@N.S.GGROUP1

  • @NuhuMaiko-t6c
    @NuhuMaiko-t6c 3 дні тому +1

    Nimpole

  • @Ezekielngar
    @Ezekielngar 2 дні тому

    Nzuri sana ila mnachelewa

  • @africansinema7420
    @africansinema7420 3 дні тому +2

    Good

  • @Gamba81
    @Gamba81 3 дні тому

    Good good 👍🏾

    • @ringosabufa
      @ringosabufa  2 дні тому +1

      Thanks 💯

    • @SilasShopinvestment
      @SilasShopinvestment 2 дні тому +1

      Ringo nipe nafs pia mm naish mwanza ndoto yangu kubwa ni juiguza plz bro give me a chans

  • @GilbartiDeo
    @GilbartiDeo 3 дні тому

    Kitu nikikali ongeza dakika katika EP❤❤❤❤❤❤

  • @Nzoya-z3h
    @Nzoya-z3h 3 дні тому

    Sahihi 🎉

  • @RaphaelRadaboy
    @RaphaelRadaboy 2 дні тому

    move nzur lkn tatizo lugha sio wote n waha jaman muwe mna tafsiri kwa kiswahili

  • @EssanPius-l6i
    @EssanPius-l6i 2 дні тому

    Ubhorozi😅😅😅😅😅

  • @Benny-fm6hk
    @Benny-fm6hk 2 дні тому +1

    Sawa kiha tunakielewa lakini mjitaidi kuongea kiswahili sio wanaoingailia ni waha2 hata makabila mengine wanaangalia ko mjitaidi jamani kujali mashabiki wenu

    • @ringosabufa
      @ringosabufa  2 дні тому

      Tutalifanyia kazi Boss Asante na pole pia❤️

  • @ClementNkombe-tl9hm
    @ClementNkombe-tl9hm 3 дні тому +4

    Ungejalibu kuweka maana ya maneno hayo wanaongea kwenye maandish apo chn itakuwa vzur mana sio wote wanaoelewa kiha

  • @clatfoa4952
    @clatfoa4952 2 дні тому +1

    💣💣💥💥🔥🔥👊👊✌️

  • @AbdulabelMuidine-s8m
    @AbdulabelMuidine-s8m 3 дні тому +1

    Nkbl

  • @MrMiwani-oz9dw
    @MrMiwani-oz9dw 2 дні тому

    Kumbe ringo unaweza kuzungumuza kiha?