SAKATA LA VURUGU ZA WAMASAI JESHI LA POLISI LATOA TAAMKO KUHUSU UKWELI WAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 114

  • @RahimahTn
    @RahimahTn 7 місяців тому +16

    Wamasai mpo tujuane pleas gonga like❤

  • @randomtube3002
    @randomtube3002 7 місяців тому +2

    Tumshukuru Mungu hawakutumia sime zao duuh yangekuwa makubwa hawajamaa hawatakagi kufokewa mimi shuleni kuna jamaa alikuwa hataki kudeki darasa akiuulizwa anasema ni kazi ya wanawake sasa tupo boys tu class monitor akamkazia hiyo siku jamaa saa ngapi ajapandisha mori anajitupa chini hadi akaitwa mmasai mwenzake aje amtulize ety anadai waende porin wakazichape atakaerudi ndo mshindi

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln 7 місяців тому +4

    Warudisheni kwao bara wakawinde wanyama pori wasituletee fujo Zanzibar

    • @Shuu.A
      @Shuu.A 7 місяців тому +1

      Kabisa yaani wabongo wameiharibu zanzibar yetu

  • @khatibabass3106
    @khatibabass3106 7 місяців тому +8

    Jamaa wanatembeza rungu balaa😂

  • @AbdulNassir-jk1jf
    @AbdulNassir-jk1jf 7 місяців тому +2

    Jamani hii zanzibar imefanywa kama jaa mtu akiwa na elfu thelathini anaingiya ,umeona nchi Gani ?

    • @ramseyhusseinkhamis8258
      @ramseyhusseinkhamis8258 7 місяців тому

      We uko kila sehemu bona watu hawakusemi sheikhhh tunaodoka katika hii dunia hatutokwenda na nchi sheikh Aamal Allah atuongoze inshaAllah

  • @user-tn9io1vt7h
    @user-tn9io1vt7h 7 місяців тому +1

    Asante serikali yetu ya haki

  • @teteniwery758
    @teteniwery758 7 місяців тому +5

    Hii ndio serekali tunayoitaka inayoangalia ukweli na haki za watu wake

  • @user-zt2zx3un5g
    @user-zt2zx3un5g 7 місяців тому +4

    na mpaka mtasema wamasaai ni wanajeshi hiyo ni tesit tu

  • @alihaji215
    @alihaji215 7 місяців тому +11

    Wewe tetea tu jamaa zako ingekuwa wazanzibari ungekuwa ushawakata nyayo na vidole

    • @NdongaKichwa-hz7jf
      @NdongaKichwa-hz7jf 7 місяців тому +2

      Kudadeki comment yako imeshiba maelezo nakupa 💯

    • @user-or2wp7ss6j
      @user-or2wp7ss6j 7 місяців тому

      Kweli nduguzake hata mashekha ndio walewale

    • @user-or2wp7ss6j
      @user-or2wp7ss6j 7 місяців тому

      Mimi nilipigwa kufika hosptali
      Mwisho niliambiwa haina ushahidi

    • @salehkhamis-ob8ln
      @salehkhamis-ob8ln 7 місяців тому

      Kumbe jamaa zake

    • @NdongaKichwa-hz7jf
      @NdongaKichwa-hz7jf 7 місяців тому

      @@user-or2wp7ss6j hapa ushahidi hakuna ila kwa Mungu ushahidi upo na utalipwa kaka hii duniya tunapita tu

  • @sokoinendari5399
    @sokoinendari5399 7 місяців тому +3

    Jamani watu wanapigana sababu ni hawa security wana matatiso sana chanzo ni security wamasai hawana chida mbona wamasai wanalinda ila husikii wakipigana na mtu

  • @iwenikigodi5419
    @iwenikigodi5419 7 місяців тому +1

    Kiukweli hapo wamasai mliwaonea kama Wana makosa mnge wambia tuu wangeelewa au wafike police

  • @mustaphawelder7022
    @mustaphawelder7022 7 місяців тому +1

    Wamasai wako sawa, Kwan mmezoea kuonea watu

  • @hassancharo1496
    @hassancharo1496 7 місяців тому

    Good Job Masai

  • @thomasgabriel588
    @thomasgabriel588 7 місяців тому +1

    Mnazingua sana polisi kwani mwaka Jana ni lini
    SI juzi tu hapa mnafeliiiii sana

  • @HashmanMakungu
    @HashmanMakungu 7 місяців тому +3

    Duuuu mm sina cha kusema

  • @BensonMpomo
    @BensonMpomo 7 місяців тому +1

    shidayenu maaskari mnapenda kunyenyekewa kama nyie ni mungu

  • @neemashabuke5106
    @neemashabuke5106 7 місяців тому

    Safi sana

  • @simonzelote5998
    @simonzelote5998 7 місяців тому

    Malizeni yaishe kwa usalama wa nchi yetu kwani Tanzania na Zanzibar Ni nchi ya amani wamasai hawana tatizo shida walinzi wamezoea kuwapiga wananchi hovyo Sasa ifike wakati tuwe tunafuata Sheria sio kuwapiga watu hovyo

  • @jacobwarieba5841
    @jacobwarieba5841 7 місяців тому +1

    Muliwahonea wamasai ni jadi la kimasai

  • @OmerSuley-gl7go
    @OmerSuley-gl7go 7 місяців тому +3

    Huyo polisi ni Mtanganyika ila Mkuu wa Wilaya ni Mzanzibari amesema ukweli mtupu

    • @Shuu.A
      @Shuu.A 7 місяців тому

      Warudi kwao hao wamasai na huyu polisi wao jinga lenzao

  • @allymsellem5353
    @allymsellem5353 7 місяців тому +3

    ww sio mzanzibar

  • @salmaabdu5011
    @salmaabdu5011 7 місяців тому

    Jamani hakuna askari wa kizanzibari mbona kumefurikwa na wabara tunataka passport zirejeshwe kwa usalaama wa wazanzibari na mali zao hao maaskari ukenda kushtaki wakikuona mzanzibari hawatusikilisi ukenda mahakamani ndokabisa wamekuja kuchuma tu zanzibar hao na kutuharibia nchi

  • @lizybabymgaywa8035
    @lizybabymgaywa8035 7 місяців тому +1

    Yaani wassail ni wakorofi sana

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 7 місяців тому +1

    Uyo wa pembeni namjua ni mtu smart sana au ashabadilika ?

  • @jacobwarieba5841
    @jacobwarieba5841 7 місяців тому +1

    Wwe afande munafanya Zanzibar siyo tz make wamasi.ndioo jadi yahooi

  • @salcle9702
    @salcle9702 7 місяців тому +3

    Jamaa wanapigwa rungu siyo mchezo kama muvi vilee😂😂

  • @kidzox324
    @kidzox324 7 місяців тому +3

    😂😂😂😂 shikamoo masai

  • @user-fk8if5im1w
    @user-fk8if5im1w 7 місяців тому +1

    Ushashiba

  • @omarsultan4502
    @omarsultan4502 7 місяців тому +2

    Askari wazee

  • @user-uy9ex4jl9w
    @user-uy9ex4jl9w 7 місяців тому

    Hata iwe vp masai wanazingua kwnn kilasiku wao tu sheria ifate mkondo.

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 7 місяців тому +1

    Inavoelekea ni kwamba hatuwa zinazochukuliwa hazitoshi na ndio maana yakatokea tena hapo darajani.Vipindi vya uchaguzi wananchi wanapigwa na kuuliwa mchana kweupe,lakini hawa jamaa wa kimasai naona hawashughulikiwi ipasavyo

  • @feisalomar-hr3hq
    @feisalomar-hr3hq 7 місяців тому +4

    Kama lazima wamasai muwatetee sisi wengine tunayo asili ya kiarabu mbona hatutembei na mapanga tunakamatwa na tukiacha asili ya uarabu sisi waislamu ni sunna kutembea na silaha mbaona mutatiita magaidi hapo suluhishu syo tukio limetokea lini ni mueke marufuku Kwa wamasai kutembea na mapanga na hizo silaha zao kwasababu hata wasiokuwa wamasai wanaweza kutumia mavaz hayo nakufanya uhalifu kma utamaduni bas wakakae arusha

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 7 місяців тому

      Silaha mabomu sasa? Acha masikhara

    • @feisalomar-hr3hq
      @feisalomar-hr3hq 7 місяців тому

      @@madetetv6576 hhhhhh Kwani silaha ni pomu tu ata jiwe likitumika pia hua ni silaha

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 7 місяців тому

      @@feisalomar-hr3hq sasa itamadun wa waarabu ni kutembea na mabomu huo utamaduni hatuitaki

    • @feisalomar-hr3hq
      @feisalomar-hr3hq 7 місяців тому

      @@madetetv6576 waaraabu tandu ww na babu yako baba Ako na uko wenu mzima hamjazaliwa muarabu lazima awe na upanga kiunoni ulizia vitu vya kueleweka ww kama Masai wanakufurahisha kutembea na mapanga sibir sku uyakanyage ww ndo utajua kama wale ni wakorofi

    • @user-ql9or5lx5q
      @user-ql9or5lx5q 7 місяців тому

      Wewe ni msengi kama wasrnge wengine kanyonywe huko uliko sawa

  • @shamissuleyman4894
    @shamissuleyman4894 7 місяців тому +3

    Kama wengefanya waxanzibari hayo sahivi wengetafutwa nyumba kwa nyumba nakupigwa risasi ah!!wacha tu tutafika japo mmoja mmoja.

  • @issaalfani1030
    @issaalfani1030 7 місяців тому +3

    Polis wazee vijana wako mitaani kazi hakuna achieni ngazi

  • @xingho3990
    @xingho3990 7 місяців тому

    Palestina na Israiel

  • @khalidibrahim4579
    @khalidibrahim4579 7 місяців тому +2

    Ingelikuwa haya wamefanya wa zanzibari
    Lakkini wamasai muna watetea
    Ali mwaka jana
    Nyie Polisi mumechukuwq hatua gani
    Kuwashulikia 😊hawa
    Hamuwezi
    Kwa sababu ni jamaa zenu .
    Muna watetea

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 7 місяців тому

      Sheria ipo juu sio Polisi ni sawa na mwevuli wa jua na mvua tu!

  • @Alburtukal
    @Alburtukal 7 місяців тому +2

    Wamasai warudi porini wakawinde swala,

    • @akimu-gl7zp
      @akimu-gl7zp 7 місяців тому +1

      Acha zipigwe tu. Mbona nakopolin wanafukuzwa?

  • @barakasayuni
    @barakasayuni 7 місяців тому +1

    Sielew nin shida hapo najikuta nacheka😅

  • @saidyussuf2291
    @saidyussuf2291 7 місяців тому

    Kama ni mwaka jana basi iyo ni tabia yao , warudi kwao uko , wakafanye izo fujooo , sisi si watu wa fujo

  • @user-or2wp7ss6j
    @user-or2wp7ss6j 7 місяців тому

    Kwendaa

  • @user-my5yp6xx5s
    @user-my5yp6xx5s 7 місяців тому

    Kwanza nyie police chunguzeni nani alimwanza mwenzake ndipo mlaumu wamasai hao walinzi wenu walistahili kipigo kwasababu inaonekana wazi walikuwa wanatumia nguvu ambapo hapakustahili ilikuwa ni kuwaelimisha basi

  • @MohammedAlnabakhany
    @MohammedAlnabakhany 7 місяців тому +2

    Wamasai washenzi sana 😂😂😂😂😂😂

  • @lizybabymgaywa8035
    @lizybabymgaywa8035 7 місяців тому

    Kama hawa security wangekuwa na silaa ingekuwaje, Masai wote silaa waache nyumbani.

  • @jacobwarieba5841
    @jacobwarieba5841 7 місяців тому

    Kwani huko manyara akuna wazanIbara watafute wakili awatete hiyo kesi ningekuwa karibu ningewapa utetezi

  • @user-or2wp7ss6j
    @user-or2wp7ss6j 7 місяців тому

    Hizo tv zilikueko wapi

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 7 місяців тому

    Mafatani wakubwa wengi tu Tzd kwakweli. Cjui wataja sema nn cku ya hesabu zao

  • @philiplugalia3724
    @philiplugalia3724 7 місяців тому

    Huyu karao ni fala tu tunatambua makarao huwa na ufala Mob but this round walipatana na league yao

  • @fatmamuhammed9713
    @fatmamuhammed9713 7 місяців тому

    Mbona ilivyokua hyajatokezea hyajatangazw lkn. Yametokezea wajibu kusambazwa kwakua sio la uongo

  • @ngoyaboy1590
    @ngoyaboy1590 7 місяців тому

    Ety kosaa kisheria sema mmepigwa rungu na wamasai

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 7 місяців тому

    Ndo iyoo tarifaa muitoe apo nyooote mukusanyike kishindoo hee ilimradi tuu Wengine tuwaone nao ilitosha apoo mkuu akae sehem atoe tarifa ingependeza lakon apo tunaona kama mkoo utayarii vilee😂😂😂 musije mukatupiga tu kwa ivyo mulivyoo kaaa

  • @ayoubrashid8392
    @ayoubrashid8392 7 місяців тому

    Mh Rais muite huyu kiongozi umshughulikie anateteaje wahalifu?

  • @mwajemwafula5777
    @mwajemwafula5777 7 місяців тому

    Huyu police vp walinzi nasasilaa za jadi cha msingi ni kuweka ukweri tuu

  • @mosaidi2633
    @mosaidi2633 7 місяців тому +4

    Wame kuwa wengi warejeshwe kwao

    • @ramseyhusseinkhamis8258
      @ramseyhusseinkhamis8258 7 місяців тому

      Wewe kwenu wapi
      Wemwenyewe mjaruo rudi kwenu basi

    • @Shuu.A
      @Shuu.A 7 місяців тому

      Warudi kwao watuachie znz yetu mahasidi nyie

  • @francisgituti2494
    @francisgituti2494 7 місяців тому

    Masai na makampuni ya ulinzi wapi na wapi na hapo ni ufukweni

  • @AbdillahSOthman
    @AbdillahSOthman 7 місяців тому

    Wahamishwe peleka umasaini wakafuge ng'ombe

  • @samsonkichele3530
    @samsonkichele3530 7 місяців тому

    Mnajitafuna mnambiwa dunia ni kijiji hamjaelewa?.

  • @user-xs1cc1hg3y
    @user-xs1cc1hg3y 7 місяців тому

    😂😂😂😂

  • @user-mo5zl9sm9t
    @user-mo5zl9sm9t 7 місяців тому

    Nachukia wanapakaza uzushi serekali sheria za v hbr ziko wp kwnn hivi ss inakera sn

  • @mathewkoshal
    @mathewkoshal 7 місяців тому +1

    I see you pple blaming Maasais ,and you know well maasai can't fight if not provoked.

  • @HashmanMakungu
    @HashmanMakungu 7 місяців тому

    Lakini hii video ni ya zamani sana

    • @maikomatayo2794
      @maikomatayo2794 7 місяців тому

      Hapana video siyo ya samani

    • @HashmanMakungu
      @HashmanMakungu 7 місяців тому

      Hiii video ni ya zamani kwa sababu mm naishi kwenye mtaaa huuu uliotokea hili tukio ndio maana ni kakwambia hivo

  • @khamisali9907
    @khamisali9907 7 місяців тому +3

    Acha kuwatetea wabara wenzako wewe

    • @Shuu.A
      @Shuu.A 7 місяців тому

      Ndio warudi kwao hatuwatako shenzi hao

  • @maxlattinokiki8105
    @maxlattinokiki8105 7 місяців тому

    Sasa mzee unacho taka kuongelea hapo ni nini? Hawa jamaa wana tembea na silaha hicho ndiocho uongelee habari ya video ya zamani cc haituhusu na ndio kwanza tunaoyona

    • @mulijanja4483
      @mulijanja4483 7 місяців тому

      mbona polic wanatembea na silaa

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 7 місяців тому

    Nyie mmewachokoza wamasai Maana hawanaga shida na mtu

    • @abrahmanhamad3253
      @abrahmanhamad3253 7 місяців тому

      Sio tumewachoka hi Nchi sio ya kwao hi ni nchi ya wazanzibar

    • @ramseyhusseinkhamis8258
      @ramseyhusseinkhamis8258 7 місяців тому

      Hakuna mwenye kuishi milele sheikhhhh walikuepo kabla yako wakaondoka hwakwenda na nchi wailiacha ukaja wewe na wewe iposiku inshaAllah utaondoka so jitazame na utakari sana Allah akuonze inshaAllah ​@@abrahmanhamad3253

  • @fedhalashidi1336
    @fedhalashidi1336 7 місяців тому

    nyie niwango kwani mbonawao wamewapigamasai

  • @kipigapasilisungu2581
    @kipigapasilisungu2581 7 місяців тому

    .

  • @HAKHASH312
    @HAKHASH312 7 місяців тому

    Hii yot n sababu Moja tu Zanzibar hakuna utaratibu wakuingia kama zamani yaani mtu akishamiliki elf30 tu bas anakuja Zanzibar ni ujinga kabsa sheria ni ziwekwe tu kama zamani bila Zan ID au vielelezo vya kutosha huwezi Kuingia Zanzibar bas haya mambo yasngekuwa yanatokea Zanzibar inahrbika kwa Sababu ya uingiaji wa watu wengi wasiokuwa wazanzibar

    • @abdullahmanalex2306
      @abdullahmanalex2306 7 місяців тому +1

      Vipi kuhusu wazanzibar wanaokuja bara na wao waje KWA ID????

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 7 місяців тому +1

      Wewe kilaza kweli ndugu yangu Yani unamanisha watu wa nje na zanzibar wasiingie hapo ama? Kumbuka zanzibar ni sehemu ya Tz so labda uwazuie wakenya ila sio bongo jifunze kutatua tatizo kwa hikma sio hivo unavofikiri

    • @HAKHASH312
      @HAKHASH312 7 місяців тому

      @@madetetv6576 kwan hapo haikutumika hekma ama kwan wamasai wapo Tanzania tu Kenya Hamna na nlchomaansha mm as long as sio mzawa wa Zanzibar bas uktaka Kuingia Zanzibar lzma uingis kwa hati maalum

    • @HAKHASH312
      @HAKHASH312 7 місяців тому

      @@abdullahmanalex2306 ndio kwan s znatolewa kwa utaaratibu maalumu ama watu wanapewaga tu

    • @HAKHASH312
      @HAKHASH312 7 місяців тому

      @@madetetv6576 hata hao Wanaweza kuzuiliwa kw nn wasizuilwe wakat watakuwa hawana sfa za Kuingia Zanzibar elewa acha wenge

  • @user-lp6vc6sx2s
    @user-lp6vc6sx2s 7 місяців тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-sl2hk8wp1p
    @user-sl2hk8wp1p 7 місяців тому

    Sasa mwaka jana si jana tu kwani ni miaka mingapi sasa wewe na mkuu wa mkoa msaraka pinja nani anajua zaidi