@abeidsalim8008 Zamani kutokana na vifaa vya unyozi kuwa adimu na vya kuumiza watu wote wazamani walikuwa na nywele ndefu, hata Abu lahab na Abu jahal pia walikuwa na nywele ndefu, kwa sasa Alhamdulillah Technology imeongezeka na kunyolewa ni starehe na ni just 10Minutes deal, nywele ndefu ni view ya kike na dini imetukataza kujifananisha na wanawake
BismiLlah masha Allah you did great
Shukran
Keep it up brother.... Masha ALLAH good work...
Thanks a lot
Amazing content MashaAllah
Asante kaka
Nyama ya sunguraa nzuri mashaAllaah unapo za ugonjwa wa mwenyee baridi
Mashallah thank you for the information 🙏🙏🙏
Amazing 📸
Thank you so much
❤🎉
🙏🙏🙏
Nywele zako hazina tofauti na mwanamke Bro, change style
Ni Sunnah kwa mwanamume kueka nywele kuliko kunyoa machinja!
@abeidsalim8008 Zamani kutokana na vifaa vya unyozi kuwa adimu na vya kuumiza watu wote wazamani walikuwa na nywele ndefu, hata Abu lahab na Abu jahal pia walikuwa na nywele ndefu, kwa sasa Alhamdulillah Technology imeongezeka na kunyolewa ni starehe na ni just 10Minutes deal, nywele ndefu ni view ya kike na dini imetukataza kujifananisha na wanawake
Kaka nataka mafuta ile manamke ilikua anauza kwa sababu nikona kiara kubwa ndugu yangu nisaidie kama amekuzaidia mafuta nipe number yao
Piga hio number ndugu 0720411480
Thanks ndugu