Part2_USHUHUDA VICTORIA MSOMALI ALIYEOKOKA KWA MBINDE"Yesu alinitokea,ilibidi aje mwenyewe kuniokoa"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 790

  • @PromovertvTz
    @PromovertvTz  Рік тому +36

    Namba za Victoria ni:+255 753 351 056
    Namba za PROMOVER TV ni: +255766294335 / +255784074462
    BONYEZA LINK HII KUJIUNGA NA GROUP LA MARAFIKI WA VICTORIA MSOMALI 👇
    chat.whatsapp.com/KWg93F3FpjREH4kyqDaVmX

    • @Jackson-n2c
      @Jackson-n2c Рік тому +8

      Nimejifunza mambo mawili. 1 kwamba unaweza ukawa unateswa au unapitia wakati mgumu LAKINI BADO WEWE NI RAFIKI WA MUNGU NA RAIA WA MBINGUNI.
      2.Kwamba MAOMBI ni UFUNGUO, kila mara Victoria alipo omba MUNGU alionekana.

    • @winnahdanny5599
      @winnahdanny5599 Рік тому +1

      Ubarikiwe kwa kumkubali YESU was msalaba nitafute nimefurahiya madhihirisho ya R/Mtakatifu

    • @florencewilson162
      @florencewilson162 Рік тому +3

      @@winnahdanny5599 karibu kenya kiserian

    • @peterkamau6997
      @peterkamau6997 Рік тому +1

      Amen Amen.

    • @emmanuelolemwarabu
      @emmanuelolemwarabu Рік тому

      Mungu Akubariky sana Victoria Akusaidie katika maisha yako yote daima na milele Mungu Ako ndugu zangu Akika Aky me ni mtanzania alis nazaliwa Kilimanjaro naishi tanga nafanya biashara Nairobi Kenya

  • @frolasospeter6000
    @frolasospeter6000 Рік тому +14

    Hakika Neno la MUNGU halitanguki,alisema kua na Kondoo wengine ninao ambao sio wa zip hili nao imenipasa kuwaleta, Hakika BWANA ni Mwema Amen.

  • @rachelissa115
    @rachelissa115 Рік тому +67

    Karibu Sana Dada yangu, huku uko sehemu salama , hata Mimi nilikuwa muislam lakini nimeokoka na nimesha muona Yesu mara nyingi, Mungu akubariki sana 🙏🙏🙏

    • @sofiasalimchengo3922
      @sofiasalimchengo3922 Рік тому +1

      Ulimuona wapi uyo yesu jamanj

    • @evaristamwinuka6494
      @evaristamwinuka6494 Рік тому +1

      Waooooo🙏🙏🙏💪🤩🤩🔥🔥

    • @rosemery542
      @rosemery542 Рік тому +1

      Otaomba sana sana hao wakiristo hawatakusaidia cho chote. Kweli huna akili unamwacha Mungu ambaye hakuzaa Wala kuzaliwa yuko peke yake. Unamwabudu Yesu aliye zaliwa na mama.Allah akuongoze.

    • @rosekadzonyambukadzo
      @rosekadzonyambukadzo Рік тому +3

      ​@@rosemery542 Wewe uneona hana akili Mungu aliye hai akusamehe na akuguse uone Utukufu wake.

    • @kiddyalite
      @kiddyalite Рік тому

      ​@@rosemery542 mmmmh

  • @paulnjoroge7586
    @paulnjoroge7586 Рік тому +51

    Being a Kenyan, I wholeheartedly thank God for granting our sister Victoria victory in her faith- journey.

  • @halliganagade9845
    @halliganagade9845 Рік тому +25

    Such a glorious TESTIMONY. One day we shall write and publish her book in Jesus Name AMEN.

  • @RamaTraceur
    @RamaTraceur Рік тому +28

    Ameen Ameen 🙏 Bwana YESU KRISTO wa Nazareth asifiwe, ametenda tena mambo makubwa na ya ajabu ya kushangaza.. Hata mimi na mke wangu tulikua wa islamu, tume mpokea Bwana YESU KRISTO mwaka moja sasa..ametenda mengi sana kwenye maisha yetu. Asante YESU Kwa neema ya wokovu, kupitia mtumishi wa mungu innocent Morris holySpirit connect.. YESU KRISTO ni mwema sana. Jina lake litukuzwe daima milele 🙏🙏

  • @sirpleasureb
    @sirpleasureb Рік тому +41

    Isaiah 65:1
    “I revealed Myself to those who did not ask for Me; I was found by those who did not seek Me. To a nation that did not call My name, I said, 'Here I am! Here I ...JESUS IS LORD.SHALOM

    • @karispankamzungu5156
      @karispankamzungu5156 Рік тому +1

      This one is true she is exactly like that verse

    • @happyhousekeeper
      @happyhousekeeper Рік тому

      😢😢😢 May God forgive us and help us, thank you Jesus 🙏

    • @ciruAgneskamande9011
      @ciruAgneskamande9011 Рік тому +1

      I came across this chapter yesterday, again am here rereading it, thanks God

  • @JuaKali-q3r
    @JuaKali-q3r Рік тому +25

    Mama jibril mungu akubariki tu sana, maumivi hayo ulipitia imethibitisha kweli YESU alikutokea mwenyewe, ushuhuda wako ni wa kweli kabisa, mimi ni shahidi wa hayo yote ulipitia ukiwa pale mjini Garissa naijuwa. Garissa mjinni ni mahali pangumu niliishi huko miaka 10 niliyapitia kwa kusimama kwa imani yangu ndani ya YESU nikiwa nasoma Young muslim high school. Niko na furaha kumbe yesu anaokoa hata wasomali.

    • @sofiasalimchengo3922
      @sofiasalimchengo3922 Рік тому

      Anaye okoa wanadamu Ni Mungu sio yesu

    • @rosekadzonyambukadzo
      @rosekadzonyambukadzo Рік тому +1

      According to your ignorance.

    • @salomelonje3087
      @salomelonje3087 Рік тому

      ​@@sofiasalimchengo3922ukimtumainia Yesu hakika Mkono wa Bwana utakuokoa

    • @salomelonje3087
      @salomelonje3087 Рік тому +2

      ​@@rosekadzonyambukadzowapinga kristo siku zote huinuka mpaka siku ya mwisho wa hii dunia

  • @fadhili2293
    @fadhili2293 Рік тому +139

    Kuna watu injili tueipata bure bila jasho wala damu, wala maumivu ila bado kama hatuoni thamani ya Neema hii. YESU uturehemu

    • @augenmagabila3081
      @augenmagabila3081 Рік тому +4

      Hakika ndugu Fadhili, Injili ni gharama kubwa kuipata na ni kwa sababu ina Thamani kubwa ukiijua tu na kuitenda sawasawa, basi umepata Uzima wa milele hasa pale LUKA 10:26-37.

    • @aliemdogo
      @aliemdogo Рік тому +1

      Amina kaka umeongea kweli maana wengine wanaona niujinga bora aende kusilimu maana pepo yao unapata mabikra 70 nihatar hii

    • @augenmagabila3081
      @augenmagabila3081 Рік тому +2

      @@aliemdogo Hayo ni mafundisho ya kipepo, Neno la MUNGU liko wazi. Baada ya kifo au katika kiyama, na kama ni wewe ni mwenye haki; Hakuna kuoa wala hakuna kuolewa Mt 22:30 au Mk 12:25 na LK 20:35 YESU Anafundisha hivyo.

    • @rehemasamson442
      @rehemasamson442 Рік тому +1

      yaaani wee acha tu mok naogopa

    • @dicksonkomba8781
      @dicksonkomba8781 Рік тому +1

      Umenena kweli ndugu

  • @godfreyhiza1075
    @godfreyhiza1075 Рік тому +22

    Haleluya!!! Bwana YESU Asifiwe!! Tumtazame Yesu aliye chanzo na asili yetu!!

  • @joskyshams4758
    @joskyshams4758 Рік тому +8

    As a Muslim Missionary I'm encouraged and happy.

    • @goodluckmolleltennis5980
      @goodluckmolleltennis5980 Рік тому

      Hello
      May I share some with you
      Please make time to learn about Jesus in the Bible
      Im not telling you to convert
      I just wat you to know about Jesus
      And when your praying
      Pray in your faith asking God to show you the right path
      Im sure he will
      Just say
      God if your real
      Reveal your self to me and show me the way

  • @rebecakigutu
    @rebecakigutu Рік тому +26

    kaka jactan Mungu wa mbinguni akubariki kwa kazi yako hii ...tukifika mbinguni Mungu atakuvika taji ..Amen

    • @gadimbajo
      @gadimbajo Рік тому

      Hakika, Mungu ambariki saaana, kazi yake ni njema

  • @muenikamuti6019
    @muenikamuti6019 Рік тому +17

    Mungu ni mwema kila wakati! Kule amekutoa ndiye atakuongoza uendako. I will keep you and your family in prayer always🙏🙏🙏

  • @lovenesswalter6650
    @lovenesswalter6650 Рік тому +10

    Wahoooo nmejifunza uvumlivu ukitulia Mungu anajitukuza sana

  • @bakarijuma9315
    @bakarijuma9315 Рік тому +5

    Mungu akupe nguvu dadangu na akuepushe na mabaya na akufungulie njia

  • @joshuamutindia9510
    @joshuamutindia9510 Рік тому +3

    My lovely sister victoria ubalikiwe sana tena sana mimi nimeisikia ushunda wako mungu akupe nguvu yakutosha ili ushinde mungu uko pamoja na wewe this is Eston from Zambia 🇿🇲 ❤ u

  • @NenoVitendo
    @NenoVitendo 2 місяці тому +1

    Amen,nimebarkiwa na nimejifunza mengi kupitia ushuhuda huu,Bwana akubarki mama ,zaidi ya yote ashukuriwe Mwokozi Yesu aliyekupenda akakufuatilia mpaka hata na sisi tumenufaika na maisha yko ,hakika akituwezesha tutakuwezesha ktk yote,big up promover tv,thx

  • @maryeer6392
    @maryeer6392 Рік тому +18

    Mateso ya mwenye haki ni mengi, Mungu akuinue Zaid,🇰🇪🇰🇪🙏 Amen. Ss tuko dadazako usijali.

  • @festusmulandi4224
    @festusmulandi4224 Рік тому +7

    Umeninguza mchungaji... MUNGU wako ni mkuu.. Niko Kenya na ningependa kutuma chochote hili upate kununua chakula. 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @martinkimathi4935
    @martinkimathi4935 Рік тому +4

    What a praising testimony,,have followed your testimony and God our God is faithful..may the name of our Lord bless you for standing with you.. I'm working north Eastern for decade and I can testify how the Muslim work with descrimanation especially to us Christian..may God expand your territories for standing with name of the lord...shalom shalom🙏🙏

  • @joskyshams4758
    @joskyshams4758 Рік тому +7

    Wakristo tuwe na mazoea ya kukubali watu wanapokuja kwetu jinsi walivyo. Wasomali wanaokoka na mtu anapookoka sio lazima abadilishe mavazi.

  • @isaacmaingi9488
    @isaacmaingi9488 Рік тому +7

    Ahsante Sana ubarikiwe upate maisha mapia na njia ya kupata ajira ya kutosha familia yako,umtumikie yesu,, ushuhunda wako umetuhimiza Sana kuomba na kuwa na ushirika na Roho wa mungu,,Amen,,

  • @troppe4295
    @troppe4295 Рік тому +8

    What a testimony. I thank God for preservation and miracles. You've been through so much bcs your future is great. I stayed in Kiserian, Ngong(outer suburbs of Nairobi). God provides where He orders. He's going to make a way for you.

  • @michelinamuthoni5845
    @michelinamuthoni5845 Рік тому +7

    Glory be to Jesus Christ our Lord and our Saviour. Halleluya. All tribes, all nations, all languages will bow before Our Lord Jesus.

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 2 місяці тому

    Ila Bwana Yesu ni mzuriii sana jmn!!! Bwana Yesu ni mwema wakati wote chini ya hii jua. Nahumu 1:7. Nampenda Bwana Yesu Katika maisha yangu!! Nampenda kwasababu walio katika Kristo Yesu hawahukumiwi, Warumi 8:1, Yohana 3:17-18. Haleluyaaaa!! Ulimwengu mzima uokoke katika jina la Bwana Yesu Kristo, Ameeeeen!! Yesu Kristo asifiwe sana!!!!

  • @hadasafesto6111
    @hadasafesto6111 Рік тому +12

    Ushuhuda wa huyu mama umeikuza Imani yangu. Mungu awabariki sana promover tv. Mungu azidi kukubariki sana mtumishi wa Mungu Victoria. Ulinzi wa Mungu na uzidi kukuzingira pande zote.

  • @harrietkiden7808
    @harrietkiden7808 Рік тому +11

    GOD Greatly bless you our dear Sister for this Great Testimony 🙏🏽🙏🏽👍🏼

  • @pascalwangira6124
    @pascalwangira6124 Рік тому +7

    Kwa kweli Mungu anaweza kukuteua miongoni mwa wasiodhania na akakufanya chemichemi na kielelezo kwa walio wengi wasioamini na kulitukuza Jina lake. Jina la bwana lipewe sifa👋🙏🙏🙏Amin.

  • @rubefabi8366
    @rubefabi8366 Рік тому +13

    Hakika tunapaswa kuchangia ujenzi ili uwe na pa kuishi. Maana kwakufanya hivyo tutadhibitisha upendo wetu kwa Kristo Yesu.

  • @shirugaks7464
    @shirugaks7464 Рік тому +3

    Wow what an amazing testimony. Lord Jesus christ you are indeed wonderful!

  • @elizabetheliza4751
    @elizabetheliza4751 Рік тому +8

    akika nimenguswa na huu ushuunda Sana mama uinuliwe na YESU akufanyie Jambo ambalo litakusha gaza nasema nimeamua kuto kurundi nyuma kamwe nilipo sikiza huu ushuunda jamani YESU yupo anaishi you Hai milele barikiwa Sana mama Victoria Nisha Enda Kwa channel yako tayari na Nika kufollow ❤❤❤❤

  • @ClaudineLulonga
    @ClaudineLulonga Рік тому +6

    Ubarikiwe sana dada kwa yote uliyo pitia kwa ajili ya kumpokea yesu Kis to kuwa bwana na mokozi wako yesu krristo ndiye njia ya uzima wa milele

  • @kissageorge3987
    @kissageorge3987 Рік тому +9

    Asante YESU kwa ukombozi wa kalvaly umetupa kondoo mpya tunaomba no yake angalau kidogo tulixho nacho tushee

    • @neemajohn4023
      @neemajohn4023 Рік тому

      Barikiwa @Kisa G...utakapotoa Akurudishie. AMEEN

    • @JumaKahili
      @JumaKahili Рік тому

      Mungu awe nawe na familia yako kwa ujumula. Hakika Yesu kristo atabaki kuwa MWOKOZI. Ushuhuda wako umenigusa sana. Kwa imani hakuna jambo gumu kwa Mungu kazi yetu tuwaombee watu wengine kwa Mungu awaguse nao siku ile tuwe pamoja.

  • @arttilioemiliam2419
    @arttilioemiliam2419 Рік тому +4

    There is power in the name of Jesus hallelujah hallelujah.

  • @williammasesya2363
    @williammasesya2363 Рік тому +9

    Shalom Mtumishi wa Mungu Alie Hai yaani Yesu Christo Mbarikiwe Jactani naomba no ya huyu bint yangu. Amina

    • @maryandason1815
      @maryandason1815 Рік тому +3

      Ukiandika YESU KRISTO.plzz andka kwa heruf kubwa...not heruf ndgo..ilo n jina kubwa Sana dunian n mbngun

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  Рік тому +1

      Namba za Victoria ni:+255 753 351 056
      Namba za PROMOVER TV ni: +255766294335 / +255784074462
      BONYEZA LINK HII KUJIUNGA NA GROUP LA MARAFIKI WA VICTORIA MSOMALI 👇
      chat.whatsapp.com/KWg93F3FpjREH4kyqDaVmX

    • @mackfasonmoshi4629
      @mackfasonmoshi4629 Рік тому +2

      ​@@PromovertvTz Ubarikiwe. Mungu azidi kukupigania. Namba yako Pse. Hata kwa kidogo kwetu kije kwakoooo...Amen..

    • @gracekasambala4712
      @gracekasambala4712 Рік тому +2

      Pole Sana Victoria na hongera sana kwa kushikilia wokovu. Mungu azidi kukuinua tupo pamoja

  • @adelahaule711
    @adelahaule711 Рік тому +4

    Shalom nimebarikia na ushuhuda wako ♥️❤️

  • @topistermghoi1130
    @topistermghoi1130 Рік тому +3

    Oh lord blessed be your name. May you bless your servant

  • @pastorpetermageta6833
    @pastorpetermageta6833 Рік тому +8

    Very powerful testimony

  • @richysilaha3895
    @richysilaha3895 Рік тому +2

    God bless for the testimony so touching.mungu awabariki.

  • @asaphdaniel260
    @asaphdaniel260 Рік тому +8

    Lol mama Mungu akubariki sana, Yesu Kristo ni Bwana. Niongee machache tu, maana wewe Bwana pekee Yako ndiye Mwokozi.

  • @samid1937
    @samid1937 Рік тому +7

    Ameeen mam pole kwa yote uliyopitia Mungu akubariki kwa ushuhuda wako nashukuru Mungu kwa kunitia moyo na azidi kukuinua na kuineza injili yake

  • @pudensianamhasi5364
    @pudensianamhasi5364 Рік тому +11

    Naona imani yangu imezidi kukua kwaajili ta huuu ushuhda .

  • @janetdundul3858
    @janetdundul3858 Рік тому +2

    Good bless you 🎉🎉🎉🎉🎉🥳🥳🥳🥳🥳mungu adhidi kukutumia na hakutie nguvu ameeeeeen 🙌🙏👏🙏🥰

  • @ceciliagits4486
    @ceciliagits4486 Рік тому +9

    Waaaaah I'm from Kenya she has touched my heart tupewe no pls

  • @tantinebettynduwimana380
    @tantinebettynduwimana380 Рік тому +3

    Mimi sijaukubali huu ushuhuda kwa hio na nabii mkuu ni kweli Yesu kmtokeya tumuogope Mwenyezi Mungu jamani

    • @stevensosipita
      @stevensosipita 2 місяці тому

      NABII MKUU GANI UNAYEMSEMA WEWE?NA HUO UNABII KAPEWA NA NANI??IMEANDIKWA SIKU ZA MWISHO WATAKUJA MANABII WENGI WA UONGO KUWENI MAKINI

  • @jamesluvisha5485
    @jamesluvisha5485 Рік тому +3

    What a testimony,God will never let his people be forsaken and be let down whatsoever,God bless you Mama Victoria.

  • @victorianjoki5822
    @victorianjoki5822 Рік тому +1

    Such a powerful testimony,jamani mungu yupo💯

  • @fatimafatima6796
    @fatimafatima6796 Рік тому +2

    Amen amen amen daa , ushuhuda wako unazidi kunitia nguvu nisimame katika Imani ya wakovu wa Yesu Kristo,, barikiwa sana sana Mungu azidi kukuhudumia na kufungua wengi kupitia ushuhuda wako 🙏🙏🙏

  • @FloraJosephat-l3t
    @FloraJosephat-l3t 5 місяців тому +1

    Asante mtumishi wa Mungu hakika umenifanya niinuke zaid kwenye imani yaang Mungu azidi kukuonekania

  • @mercymwaka4995
    @mercymwaka4995 6 місяців тому +1

    Glory to God..may God bless and increase you 🙏

  • @gracelauzi9746
    @gracelauzi9746 Рік тому +3

    Amina Amina MUNGU atukuzwe milele Asante kwa ujumbe

  • @esthermliga4875
    @esthermliga4875 Рік тому +2

    Amen amen!! Hakika Mungu wetu ni mkuu, yeye anasema akiwa upande wetu ni nan aliye juu yetu warumi 8:31, pamoja na mapto magumu yote, tunashinda na zaid ya Kushinda, Mungu aendelee kukutetea dadangu Victoria, ni yeye yule yule hajabadilika aliyekuvusha, anaendelea kukupigania hata sasa! Aisee ndani ya Yesu raha jaman, kikubwa usirud nyuma pamoja na changamoto ita jina la Yesu tuu naye atatatua, namshkru Mungu kwa ajili yako, hakika ushuhuda wako umenivusha mahali ktk maisha yangu ya wokovu! Be blessed

    • @RachaelInyanji-mr8jy
      @RachaelInyanji-mr8jy Рік тому

      Amen and Amen hakuna siku mungu atamuacha mja wake mama endelea kusambaza injili wewe n kama Eliah wakati Eliah alikuwa nyikani mungu alimtumia kunguru akamlisha ata wewe utalishwa kama Eliah

  • @johnallen680
    @johnallen680 Рік тому +7

    USHUUDA unagusa sanaa ni vzur I kufanya kitu watumishi

  • @RamadhanMwinyimvua-ry8yp
    @RamadhanMwinyimvua-ry8yp Рік тому +6

    Mungu azidi kukuinua Dada yangu

  • @euniceokello7718
    @euniceokello7718 Рік тому +5

    You are blessed my dear sister, you are a true servant of God

  • @faridashabanifaridashabani5950

    Amina Sana mama Mungu pia akufungulie milango yako na atushike mkono tumalize mwendo salama🙏

  • @josephkarisa6246
    @josephkarisa6246 Рік тому +1

    God will lead you he is everything. Mama na baba na ndugu ni wale wasikizao neno la mungu.

  • @jessemach4459
    @jessemach4459 Рік тому +18

    Tupatie namba ya uyu dada...tafadhali.
    Kidogo kidogo tuchangie,huduma na maisha yake iendelee

    • @maryandason1815
      @maryandason1815 Рік тому +1

      Is true

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  Рік тому

      Namba za Victoria ni:+255 753 351 056
      Namba za PROMOVER TV ni: +255766294335 / +255784074462
      BONYEZA LINK HII KUJIUNGA NA GROUP LA MARAFIKI WA VICTORIA MSOMALI 👇
      chat.whatsapp.com/KWg93F3FpjREH4kyqDaVmX

    • @neemajohn4023
      @neemajohn4023 Рік тому +1

      Barikiwa @Jesse Mach

  • @annchanda8074
    @annchanda8074 Рік тому +1

    May God provide whatever needs you have, what a Testimony, It has really touched my life. You're a winner in Jesus mighty name.

  • @ebenezerchurchsupremetv9490
    @ebenezerchurchsupremetv9490 Рік тому +8

    Yesu kristo aliyekuita hawezi kukuacha kabisa kama alikusaidia tangu mwanzo magumu yote basi utaona akisimama tena na wewe kupitia watu.

  • @sarahkapange252
    @sarahkapange252 Рік тому +4

    Ameni Mungu akubariki mtumishi

  • @esthersamwel8716
    @esthersamwel8716 Рік тому +4

    Mama Mungu akubariki Sana na akupe nguvu...tumebarikiwa Sana na ushuhuda wako...Bwana hatakupungukia kabisa.

  • @kiokojm
    @kiokojm Рік тому +2

    Wacha mungu aitwe mungu. Powerful testimony.

  • @elizabethmjema1730
    @elizabethmjema1730 Рік тому +7

    Nimeumia sana kwa ushuhuda huu atupe no yake tumsaidie

  • @neemakalugila7674
    @neemakalugila7674 Рік тому +4

    Mungu wa mbinguni akubariki dada, from Europe

  • @fgk824
    @fgk824 Рік тому +1

    Wow. You had a near death experience kwa theatre. Thank you for sharing your testimony.

  • @loisekisanga2754
    @loisekisanga2754 Рік тому +1

    Huu ushuhuda umejenga Imani yangu Sana, God bless you sister Victoria, endelea kumtumikia Mungu aliyekuita

  • @ipyanamwasampeta653
    @ipyanamwasampeta653 Рік тому +1

    God bless you Vic! Let the Mercy and favour of our Lord Jesus Christ be upon you!

  • @harowario3712
    @harowario3712 Рік тому +8

    Great testimony. Christ is alive and he continues to reveal himself to people. Iftar, your living testimony will open the eyes of many and draw them to God. Without accepting Jesus Christ no one will get into heaven. The Lord be with you and bless you.

  • @esthermatu9346
    @esthermatu9346 Рік тому +1

    That is a great testimony God bless you so much

  • @nananailla7723
    @nananailla7723 Рік тому +2

    Mungu mwema kweli ❤❤❤❤❤ mama mungu azidi kukulinda pia akujaze nguvu zaidi

  • @karisaasnath2833
    @karisaasnath2833 Рік тому +2

    Mungu wa neema akubariki na akuzidishie dada

  • @mariemerimuluka8096
    @mariemerimuluka8096 Рік тому +5

    May God bless you Victoria. Mungu yuko nawe

  • @neemaseleman3020
    @neemaseleman3020 Рік тому +2

    Kweli kabisa acheni kusemanja kwann aliacha vyiyote yesu ninjia kweli nauzima wamilele🙏❤

  • @finaflowers7033
    @finaflowers7033 Рік тому +8

    Ushuhuda wa nguvu, kweli kumfuata yesu kuna garama , nashukuru mungu kwa wale wamekubali kulipa hio garama ingawa hazifanani na si rahisi but rehema na nehema za mungu zinatosha na mungu atabaki kuwa mungu siku zote.

    • @adrianjungu8360
      @adrianjungu8360 Рік тому

      Hakika Mungu wetu ni Mungu mwenye nguvu astahilie heshima na utukufu

  • @joelmutua4239
    @joelmutua4239 Рік тому +1

    Am from Kenya, i have felt for you, God is with you.

  • @sarahmudogo6878
    @sarahmudogo6878 Рік тому +1

    My sister,asante Kwa ushuhuda wako. Nimetiwa moyo kuzidi kumpenda Mungu na kumtumikia. Mungu hatkuacha kamwe na watoto wako watasoma na kuwa baraka kwako

  • @khanatrahmad127
    @khanatrahmad127 Рік тому +4

    Innalillah wainna ilaihi rajiuun msiba mzito huu tena mzito haujawahi tokea

    • @stevensosipita
      @stevensosipita 2 місяці тому +1

      NDO USHANGAE MUUJIZA WA MUNGU WEWE BAKI NA MSIBA WAKO😂😂

    • @pendomwaiteleke1636
      @pendomwaiteleke1636 Місяць тому

      @@stevensosipita 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @violachelangat2935
    @violachelangat2935 Рік тому +1

    Amen sister in Christ,I couldn't be able to hold back my tears throughout the testimony moreso that part when you are finally connecting with your children,I'm from Kenya 🇰🇪🇰🇪 and I wish you have your UA-cam channel then we subscribe though I have subscribed to promover too,May you stand firm forever.

  • @rebeccamaunde4085
    @rebeccamaunde4085 Рік тому

    Asante sana dada victory kwa ushuhuda huu...wacha watu wajuwe ya kwamba yesu ndie njia pekee....watching from arabs originality from kenya

  • @FouziaFarah-jw5kq
    @FouziaFarah-jw5kq Рік тому +10

    Hallelujah hallelujah glory to God woman of God may God bless you so much...may God protect you and may your ministry expand In Jesus Christ Amen 🙏

  • @antoinettendayizeye5884
    @antoinettendayizeye5884 Рік тому +4

    Jamani kweri kabisa umepitiya magumu wokovu siaci amen amen asantee pole sana Yesu akuteteye

  • @wilsonk9598
    @wilsonk9598 21 день тому

    May the grace of our lord Jesus Christ and the blood he shed on the cross for our sinful nature continue being your shield. The name of our saviour is a strong pillar where righteous run to and are saved. God bless you & protect you and your family mum.

  • @reginadavid4454
    @reginadavid4454 Рік тому +7

    May God bless her more ❤❤

  • @JesusChristSaves4ever
    @JesusChristSaves4ever Рік тому

    Victoria sister in christ you're very blessed.
    Jesus loves you soo much.
    Karibu sana kwa Jesus He is too faithful to dissapoint you.
    Much love from Germany 🇩🇪

  • @felistamushi
    @felistamushi 7 місяців тому +1

    Mungu anakupenda dear usikate tamaa muubiri kristo utavuna usipozimia moyo, mungu akutunze my dear.

  • @meshackmayenga969
    @meshackmayenga969 Рік тому

    Victoria Mungu anawewe nasisi wakristo wenzio tupopamoja na wewe, nami naahidi nitaku-support kile nikachojaaliwa. Ushuhuda wako Victoria umetugusa sana. Mungu akubariki.

  • @simonirafael
    @simonirafael Рік тому

    Emen ubarikiwe sana mungu hawezi kukuscha uteseke hayouriyo pitia nikuonyeshwa kuwa njia sahihi niipi utafika mbali

  • @romathosimfukwe4240
    @romathosimfukwe4240 Рік тому +7

    Jamani wana wa Yesu tumshike mkono huyu mama am so proud of her for sure mjomba nipo hapa dada angu Yesu ni baba yetu .

  • @sundaystanley5322
    @sundaystanley5322 8 місяців тому +1

    Inafikirisha sana,pole sana victoria

  • @irenebbossa
    @irenebbossa Рік тому

    This is a very moving testimony am touched may God continue sustaining you. He is very faitful satan you are always a looser. May God lift you from one glory to anothe

  • @johnboscokiringo2398
    @johnboscokiringo2398 Рік тому +3

    🙏🏿🙏🏿🙏🏿Mungu akulinde na kukuponya,kukulinda na kukufanikisha.

  • @KuradusengeAbdurahman
    @KuradusengeAbdurahman 2 місяці тому

    Pole sana dadangu ukifahivyo unaenda motoni fanya tauba

  • @williammasesya2363
    @williammasesya2363 Рік тому +3

    Mungu wa Mbinguni Akubariki Sana Jactan pamoja Promover TV nimefurahi Kwa namba ya Victoria

  • @JoyceEmanuel-i3k
    @JoyceEmanuel-i3k Рік тому +1

    Mungu akubariki sana mama hakika utafika mbali sana na utapata haja zote za moyo wako , utafanikiwa uingiapo na utokapo🙏🙏

  • @carolyneatieno6815
    @carolyneatieno6815 Рік тому

    God is truly faithful.Glory to God for beautifying Victoria's testimony .

  • @rozijackson4467
    @rozijackson4467 Рік тому +7

    Yesu nisamehe sana kwakutokujali wokovu huu😢😢😢

  • @mugishaayvess6972
    @mugishaayvess6972 Рік тому +1

    Ubarikiwe sana mama

  • @JohnPaul536
    @JohnPaul536 Рік тому +2

    Very Powerful Testimony

  • @gloricemateva2190
    @gloricemateva2190 Рік тому +2

    God bless you a lot Victoria. You really went through a lot.