MAAMUZI YA LUKUVI KWA ALIYEDHULUMIWA MJENGO "NILIKUWA KICHAA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 січ 2025
  • Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi amefanya ziara katika maeneo ya Kigogo na Msimbazi Center jijini Dar es Salaami na kurejesha kiwanja cha Bwa. Ramadhan Sudi Balega kilichotapeliwa na mtu ajulikanaye kama Bw. Macha katika eneo la Kigogo.
    Waziri Lukuvi amerejesha kiwanja hicho kutokana na mgogoro uliodumu kwa zaidi ya miaka Kumi kutokana na kuwepo na utapeli katika eneo hilo huku akisisitiza kuendeleo kupambana na matapeli wa ardhi popote walipo kwani Wizara yake haitokubali wanyonge kudhurumiwa katika kipindi chake chote cha uongozi.
    Mh. Lukuvi amerejesha Hati ya jengo lake na kuchukua uamuzi wa kutengua uteuzi wa msajiri wa Hati ambaye alifanya makosa ya kubadili hati kutoka kwa Ramadhan kwenda kwa Bw. Macha huku akijua kufanya hivyo ni kunyume cha utaratibu na swala hilo linatafsiriwa kuwa ni kitendo cha utapeli.
    ‘’Nataka kuwapa matumaini wananchi wote walioonewa, haki yako itachelewa tu lakini ipo siku utarudishiwa haki yako nataka kuwapa onyo watu wote ambao wanafikiri wanaweza kunyan’ganya haki ya masikini yoyote alafu Serikali isiwaone watambuwe kwamba serikali ipo macho na inashughurikia migogoro yote’’. Amesema Waziri Lukuvi
    Hata hivyo Waziri Lukuvi amewataka wananchi kutoa ushirikianao kwa kuripoti matapeli na wadanganyifu wote waliyomo ndani ya Serikali ama nje ya Serikali ili hatua kali zichukuliwe dhidi yao kama ilivyofanywa kwa msajili wa Hati aliyetenguliwa kutokana na vitendo vya kujihusisha na utapeli wa ardhi.
    Kwa upande mwingine Waziri Lukuvi ametembelea eneo la msimbazi center lenye mgogoro wa muda mrefu kati ya kanisa katoliki na mmiliki wa kituo cha mafuta cha Victoria Bw. Harod Exavel ambapo eneo hilo limeonekana kuwepo na Hati mbili katika eneo moja hali hii inatokana na Kanisa kuwa na Hati iliyoipata tangu Mwaka 1965.
    Hali hii inatokana watendaji wa Halmashauri ya Ilala kupitia moja ya vikao vyake walifanya makosa na kumpa Hati Bw. Huweli ambapo Mwaka 2009, hivyo Bw. Huweli alimuuzia mmiliki wa Victoria eneo ambalo tayari Wizara ilishalifuta hati hiyo
    Aidha Waziri Lukuvi amefafanua kuwa, kwa mujibu wa sheria ni kosa kumilikisha Hati juu ya hati nyingine au mchoro wa upimaji juu ya mchoro mwingine na kama ikitokea kufanya hivyo ni lazima Yule mwenye hati ya awali arurudishiwe kwani kuna fomu maalumu ya Serikali ( Surrender form) inajazwa na ndipo utaweza kuingia kwenye ardhi yenye hati kuipima na kuipanga matumizi.
    Hata hivyo Waziri Lukuvi amewataka kukutana na pande zote mbili kati ya Kanisa Katoliki na Mmiliki wa kituo cha mafuta cha Victoria siku ya Ijumaa Septemba 2, 2019 saa tano asubuhi ofisini kwake Ilala Jijini Dar es Salaam ili kujadili namna bora ya kuweza kuutatua mgogoro huo.

КОМЕНТАРІ •

  • @mommary2424
    @mommary2424 5 років тому +20

    Acheni Mungu aitwe Mungu daima.leo kafuta chozi la baba wa watu na huenda hata huko kuwa kichaa ushirikina unahusika lkn Mungu amekataa.Asante Mungu kwakuonekana mahali pale kwa kumtumia mh.Lukuvu🤝

    • @mohammednaeem2734
      @mohammednaeem2734 5 років тому

      Halafu huyujamaa sindiye aliyekwenda kanisani akasema wazanzibar wasipewe nchi yao (kutawala wenzenu raha eee )mumejigeuza makaburu wa South Africa.

  • @gervaswmigayo386
    @gervaswmigayo386 3 роки тому

    lukuvi jpm no2 hongera sana waziri,wangu lukuvi Mungu yupamoja nawe hakika unafanya kazi yake aliye juu yaani haki na kweli

  • @princeabdi9311
    @princeabdi9311 5 років тому +1

    Kenyan boy I salute Mr waziri tungekua na waziri kama we Kenya najua kuna watu wange pata adabu.

  • @mariamm2724
    @mariamm2724 4 роки тому

    Love sana mbunge wangu mheshimiwa lukuvi jimbo la isman.piga kazi bana mungu yu pamoja naww

  • @ibrahimkambi9288
    @ibrahimkambi9288 5 років тому +8

    Duh..!Ama kweli Kuishi kwingi kweli ni kuona mengi Hongera MH.LUKUVI

  • @SuperKibwana
    @SuperKibwana 5 років тому +1

    Kongole sana Mheshimiwa Lukuvi kwa kazi nzuri.

  • @jamesjoseph6825
    @jamesjoseph6825 5 років тому +8

    Mh lukuvi Mungu akuweke miaka mia, hadi nimesikia machozi kunitoka, mtu kageuzwa chizi ili adhulumiwe

  • @noahdavid6495
    @noahdavid6495 5 років тому +2

    We baba nimekuerewa vizuli Sana iyo wizala Nikipaji ulicho pewa na mungu. Mungu akutangulie mbere naakulinde siku zote zamaisha yako

  • @tatukhamis6349
    @tatukhamis6349 4 роки тому

    Hongera sana Lawama Mungu ni mwema hawezi kukuacha.

  • @rashidmughairy6456
    @rashidmughairy6456 5 років тому +3

    Dah... rama.. Allah atakulipa haki yako.. dua muhimu..

  • @lusungungimbudzi4265
    @lusungungimbudzi4265 5 років тому +3

    Hongera sana Mh. Lukuvi always am proud of you

  • @marcelinokayombo3575
    @marcelinokayombo3575 5 років тому +3

    Waziri namba 1 katika serikali ya awamu ya tano.... Piga kazi mzee lukuvi...JPM oyeeeee, Majaliwa Oyeeeeeee, samia suluhu Oyeeeee....CCM oyeeeeeee.....#tulienikunamengimzauri

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 5 років тому

    nasema hivi kwahakika nitwachukia wanaowachukia hapa kazi daima kwamazuri wanaowafanyia watz wenzangu Mungu bariki viongozi wetu wamaotupenda wanaomsaidia mtumishi wako Jpm uwainue kila kukicha Ee Mungu wape fimbo zamoto zisizo najina wawachape wazurumishi wape wepesi wakufanya kazi AMINA

  • @braysonminja2020
    @braysonminja2020 5 років тому +6

    My coming president nakuelewa sana Mh Lukuvi tangu ukiwa Dar city

  • @kasimuyahaya4010
    @kasimuyahaya4010 5 років тому +5

    Kama Umemuona mwenye ndevu tapeli gonga like hapa

  • @nestorymtirackmtirack8770
    @nestorymtirackmtirack8770 5 років тому +1

    barikiwa sana waziri lukuvi, jicho la Raisi halikuona vbaya juu yako

  • @abednegomhamba1471
    @abednegomhamba1471 4 роки тому

    Waziri Lukuvi udumu ktk haki na Mungu akubariki sana na malaika wake wakupiganie siku zote!

  • @saidpara7494
    @saidpara7494 5 років тому +3

    Lukuvi mungu akubalik mzee wetu

  • @hajiali2424
    @hajiali2424 2 роки тому

    Ubarikiwe na BWANA

  • @husseinsalimmaula4254
    @husseinsalimmaula4254 5 років тому +1

    Hakuna budi kuchagua ccm 2020 tumeona baazi ya mambo yanaenda sawa.

  • @shalomamani2670
    @shalomamani2670 5 років тому

    Safi sana waziri wa wanyonge Lukuvi.

  • @smaihsmaih2815
    @smaihsmaih2815 5 років тому +1

    asant mheshmiwa lukuvi huwa namwelewa vizur huyu wazir.

  • @severinmmassy7627
    @severinmmassy7627 5 років тому

    Umetisha sana lukuvi

  • @CTM.24Updates
    @CTM.24Updates 3 роки тому

    Nko hapa tarehe 18,March 2021, nasema R.I.P JPM UMEZIZIMA🇹🇿😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @edisonrukamba3865
    @edisonrukamba3865 5 років тому

    Muhushimiwa na sisi tulizurumiwa Viwanja vyetu Manisipaa ya Bukoba mjini , tumezunguka sana yaani wakiona viongozi wakubwa wanakuja hawataki kujua mpaka tume ya usuruhishi ya Rais ilishatupa barua lakni halmashauri wamechukua viwanja vyetu, Mh, Mungu akulinde sana

  • @f.a6043
    @f.a6043 5 років тому

    Kamanda LUKUVI👍🏽👍🏽👍🏽🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @emmanuelterry4916
    @emmanuelterry4916 5 років тому

    Nakuelewa sana Waziri ww kuliko mawaziri wote

  • @josephmateru8892
    @josephmateru8892 5 років тому +7

    Kweli Kbsa Serikali Hii Ni Ya Magufuli Uonevu Mwisho Kbsa

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 5 років тому

    Hongera Waziri naomba ufuatilie ile kesi ya Moshi Liwali street.Ile ulioelekeza Polisi.Polisi Moshi wanazungusha haijulikani kwa nini wanasumbua.Waziri tusaidie

  • @mzitoclassic545
    @mzitoclassic545 5 років тому

    Safi sana mheshimiwa rukuvi

  • @amnaalshabani2777
    @amnaalshabani2777 5 років тому +1

    Mungu akupe umri baba mtukombowe wanyonge seif kabisa

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 3 роки тому

    Mmmmh mtihani huuu daaaa

  • @marsgenesis7200
    @marsgenesis7200 5 років тому

    Da aisee kwa kweli ni jambo jema ukidhulumiwa upate haki yako.

  • @elizabethjoseph8410
    @elizabethjoseph8410 5 років тому

    Mh Lukuvi kuna bibi yangu ana miaka 114 anadhulumiwa shamba lake na mtoto wa mke mwenzie bibi amekimbilia huku Dar tangu mwaka 2008

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 5 років тому +2

    Tatizo mwenye pesa anatumia pesa kuchukuwa cha mtu asiye na pesa,si vizuri

  • @ibrahimmungure7493
    @ibrahimmungure7493 5 років тому +4

    Mafisadi hameni, nchi hii haiwafai tena

  • @danielphilipo9088
    @danielphilipo9088 5 років тому

    Kweli mungu ni mwema huyo jamaa kuna siku nilimkuta maeneo ya kariakoo watu wamemzunguka ndugu zake wakitaka kumfunga kamba yeye akawa anakataa duh kweli Acheni Mungu aitwe Mungu

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 5 років тому

    Asante babaaaa

  • @thobiasbukali9008
    @thobiasbukali9008 4 роки тому

    Jamani anayeona jicho la mwenye ndevu nyingi

  • @halimatanzani8587
    @halimatanzani8587 5 років тому +1

    Safi sana

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 5 років тому

    Awamu ya 5 ningependa mkae hata miaka 30 maana huko tulikotoka huo ndio ulikuwa mchezo wao hakukua na kiongozi hata mmoja anajali.wananchi wao kweli watu waliteseka sana, Awamu 5 ikiongozwa na JPM mbarikiwe sana sana kwa kujua vilio vya wa TZA

  • @yassersalleh8409
    @yassersalleh8409 5 років тому +1

    Muheshimiwa waziri sisi ni wanyonge njoo mwanza huone muheshimiwa Jose msukuma alivyotutapeli na sisi wa nyonge muheshimiwa tunaitaji msaada wako

  • @anafisuleimani7083
    @anafisuleimani7083 5 років тому

    Safi sana awamu ya tano kwa kuondoa dhuruma

  • @kaishazabengesi2971
    @kaishazabengesi2971 5 років тому

    Hakika Mheshimiwa Lukuvi wastahili kuombewa kwa kuwa kazi unayoifanya ina mazingira yasiyo rafiki. Ni Mungu tu anayekubariki uwe na ujasiri huu. Ijapokuwa pengine mababa wetu wa kiroho wanaweza kuwa na haki kisheria na kiutaratibu, mimi nakwazika kunapotokea migogoro hii kinyume na wito wa Bwana wetu Yesu Kristu katika Injili ya Mathayo 6 : 31 - 34. Ni kana kwamba Mungu tunayemwamini hawezi kutenda tena miujiza kama iliyoshuhudiwa na Padre Maksimiliani Maria Kolbe ambapo itakapofika tarehe 14 /8/2019 tutaazimisha siku ya Padre huyo mashahidi na Mtakatifu wa Auschwitz ambaye ni dira kwa utawa kumtegemea Mungu si binadamu katika kufanikisha mipango ya uinjilishaji. Kwa msaada wa Mama Maria Immakulata aliweza kuanzisha kiwanda cha uchapishaji. Akaanzisha miji kimiujiza ya Immakulata Niepokalanow Poland ambapo kabaila (Prince Lubeck) aliitoa ardhi yake kwa ihari bila malumbano au kuigharimia kama makanisa yafanyavyo siku hizi na kule Japan Nagasaki kilima cha Seibo No Kishi. Muujiza wa kujitoa uambukiza na wengine hivyo kuikimbiza mbali roho ya udhalimu. Maadministrant jikumbusheni sala ya Baba Mtakatifu Benedict XVI. Pia tuizingatie hekima ya Kaisari Julius kuwa "mke wa Kaisari hapaswi kutuhumiwa'' ikiimanisha ni ajabu kanisa kulumbana na waamini au waamini watarajiwa !!!!!!!!!!!

  • @najimshaib9306
    @najimshaib9306 5 років тому +1

    Mashaallah

  • @iqraibrahim2300
    @iqraibrahim2300 5 років тому

    Mmmmh nzito jamani

  • @abubakarikisuju5374
    @abubakarikisuju5374 5 років тому

    Hili jamaa limefanana rais wa Sudan kusini)Rick machal

  • @florangido202
    @florangido202 5 років тому

    Ntakutafuta Lukuvi
    Mtoto wangu hata kidogo halichopewa na msimamizi wa mirath hataki kumpa! Na yupo kwa mgao wa mali za marehemu!!

  • @dickaugustino2214
    @dickaugustino2214 5 років тому

    Hapo safii

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 5 років тому +1

    walahi tumeona ugumu wakazi mnayoendelea kuifanya sio kazi nyepesi ni MUNGU tu anasaidia hakika MUNGU hatawasahau watetezi wawanyonge kwakua amesema HERI AMKUMBUKAE MNYONGE MKUMBUKWE KTK KITABU CHAUZIMA

  • @moodychanday9220
    @moodychanday9220 5 років тому +2

    Kama namuona Rick Mashary kama sio Salva Kiry wa Sudan 😂😂😂😂

  • @saidkhalef2093
    @saidkhalef2093 5 років тому

    Huyu jamaa mzee wa Victoria kama vile yule actor Sam boja wa movie flani ya zamani

  • @zuenajohn8325
    @zuenajohn8325 3 роки тому

    Jamani mbona wa tamuuwa kaka wawa tu.

  • @abouomeryackederackeder9781
    @abouomeryackederackeder9781 5 років тому +2

    duuuuu nusuu niliee jamaniiii

  • @macknkulangowe6606
    @macknkulangowe6606 5 років тому

    Wa muhilaaa umeshinda oyeeeeee

  • @jacksonlicky3826
    @jacksonlicky3826 5 років тому +2

    Ktk mawaziri namkubari lukuvi tu

  • @danielimwaluki7403
    @danielimwaluki7403 3 роки тому

    Lukuvi uko sahh katka maamz

  • @zegelibilishanga6047
    @zegelibilishanga6047 2 роки тому

    Samia alone aibu akurudishe kazini

  • @linnageorge7795
    @linnageorge7795 5 років тому +1

    Njoo kagera baba utukomboe Luna matatizo mengi

  • @hemednongwa4130
    @hemednongwa4130 5 років тому +1

    Tunaomba namba za wazir lukuvi maana kunauonevu maeneo mengi had kwetu

  • @asiaisaka2898
    @asiaisaka2898 5 років тому

    Daaah dunia hii

  • @mirynjeri5850
    @mirynjeri5850 5 років тому

    Kenya tutatoa wapi raisi kama tz nau wabuge kama hawa wanayofanya kazi kama hii.

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 10 місяців тому

    FIDA HUSSEIN NI TAPELI WA MANUMBA YA WANYONGE

  • @manasemwakilasa5931
    @manasemwakilasa5931 3 роки тому

    Dunia mapito aisee

  • @honekisebwa226
    @honekisebwa226 5 років тому

    Afukuzwe kabisaaaa uyo alosajili

  • @hassanimmam1627
    @hassanimmam1627 5 років тому

    serikali awam ya tano ni kaziiii tuuuu

  • @elizabethsimemba5146
    @elizabethsimemba5146 5 років тому +1

    Nimetoa chozi jinsi gani tunavoonewa wanyonge

  • @grantler1726
    @grantler1726 5 років тому

    Kumbe huko kwenu pia kuna akina "arap"mashamba kama hapa Kenya!!!

  • @thereal_mtangojr2634
    @thereal_mtangojr2634 5 років тому

    Nilikuaa kichaaa

  • @edwardmkwelele
    @edwardmkwelele 5 років тому

    Dar ardhi ni dhuluma tu wapo wangu hao

  • @bahiyalumelezy3016
    @bahiyalumelezy3016 5 років тому

    Lukuvi babalaooo

  • @florangido202
    @florangido202 5 років тому

    Naombeni no za Lukuvi jamani
    Nina Tatizo nitampataje?

  • @bugdadiajm8270
    @bugdadiajm8270 4 роки тому

    RC wameshindwa kuchukua eneo lao?

  • @mariamfaki1166
    @mariamfaki1166 5 років тому +3

    Muheshimiwa mbona awamu zilizopita hukuwawa kama ivi?

    • @kbdk3065
      @kbdk3065 5 років тому

      Mariam Faki Wonga asifukuzwe kazi na .....

    • @ngwanafabian7532
      @ngwanafabian7532 5 років тому

      Tatzo serikali iliyopita iliongozwa na asiyependa haki. Awamu hii inaongozwa na wapenda haki.

    • @abednegomhamba1471
      @abednegomhamba1471 4 роки тому

      Mariam Faki
      Angefanya vipi kinyume na nia ya mfumo uliokuwepo?

  • @ahmedshariff8064
    @ahmedshariff8064 5 років тому

    kwa hapo mheshimiwa utakuwa umekomesha lakini Ondoa wachafu Tupa jela

  • @ramadhaniyahaya7021
    @ramadhaniyahaya7021 5 років тому

    lukuvi okoa wanyonge baba

  • @deusmauka9626
    @deusmauka9626 5 років тому +2

    Mh. Lukuvi wewe ni jembe, piga kazi.

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 5 років тому

    Huyo aligeuza mwenzake kichaa ili achukie nyumba yake

  • @afrobongoofficialmedia
    @afrobongoofficialmedia 3 роки тому

    Saf

  • @markjuliusdaud8005
    @markjuliusdaud8005 5 років тому

    Rick Ross kashikishwa miship ya fisi

  • @ibraobed8273
    @ibraobed8273 5 років тому +3

    Hata waziri wa aridhi unamakosa tu hiyo kesi ni ya hawamu ya nne wakati uo ulikua madarakani je hilo tatizo hukuliona kwel mweshimiwa lukuvi...??

    • @annassuleiman4508
      @annassuleiman4508 5 років тому +1

      hakuwa waziri wa ardhi kila jambo lina mwenyewe

    • @aidanhamza4656
      @aidanhamza4656 5 років тому

      Ibra obed ni kweli unacho sema kuwa alikuwepo lkn je alikuwa na nguvu ya kumsapoti ??

  • @marwajoseph578
    @marwajoseph578 5 років тому

    Nadhani jamaa lilimroga ili limdhurumu

  • @msowanelson5452
    @msowanelson5452 5 років тому

    Uyu Mzee madevu so mrokole au

  • @daudimwanandezi2905
    @daudimwanandezi2905 5 років тому

    shikamoooo baba

    • @thobiasfredrck3703
      @thobiasfredrck3703 5 років тому

      Jamani samahan naombeni namba ya lukuvi jamani mwenye nayo kuna mambo huku hatuyaelewi

  • @dorothyannan8184
    @dorothyannan8184 5 років тому

    Kwenye shell...hapo mwenye makosa ni serikali na serikali inatakiwa ilipe na sio mwingine

  • @oyay2821
    @oyay2821 5 років тому

    Labda bado kichaa huyo

  • @muhidinihassani520
    @muhidinihassani520 5 років тому

    Mnafanyakazi kwa ajiri ya raisi Magufuri au kwa ajiri ya sheria?.acheni kusema hii NI serikali ya magu mnaonyesha udhaifu wa uwajibikaji.sema nafanya kazi yangu sio hii NI serikali ya magu, kwa hiyo wataka useme wafuata maelekezo ya mtu,acha kusema hivyo