Mwanaidi by Pensita

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 вер 2024
  • Pokea ujumbe nilo kutumia ewe mwanaidi nilokutumia usinitese bure usinihangaishe usinitese moyo utaniua bure

КОМЕНТАРІ • 24

  • @user-my5lo8tj7u
    @user-my5lo8tj7u 6 днів тому +1

    Nyimbo iko sawa wallah Tokea enzi za Ibiza na mtoto mwanaidi wa mkwamkwani😅😅😅

  • @dokasalim943
    @dokasalim943 12 днів тому +4

    Namkubali Pen6 toka kitambo huu wimbo (Mwanaidi) old is gold nautafuta kitambo na likua nangoja vibao vyake tu 😂🔥🔥🔥🔥🔥🙌

  • @user-yc1sh6ow8k
    @user-yc1sh6ow8k 8 днів тому

    Naskilz nikiosha hammam ndani ya gulf..wee uogopi ❤❤❤❤😅

  • @RashidAbuu-gz7hb
    @RashidAbuu-gz7hb 12 днів тому +4

    Kazi nzuri xna

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 8 днів тому

    Ulifanya vizuri huu wimbo kuurudia tena kwenye teknelojia ya kisasa, zamani instrumental zilikua hazitoi sound nzuri na naona mtazirudia tena kuzirekodi nyimbo zenu za zamani ukiwa na Tumu... Tunasubiri na Zuwena yako Pensita

  • @zombiijr
    @zombiijr 11 днів тому +2

    Hahahah walahi originaly yamoto ndiyo usema mtaani wengine ni kelele tu

  • @saidichikarata1015
    @saidichikarata1015 11 днів тому

    Kali sana Yamoto kama yamoto💯

  • @RahmaSsid
    @RahmaSsid 7 днів тому

    ❤❤❤Peda sn mm 👌👌

  • @bahatiomar5297
    @bahatiomar5297 11 днів тому

    Wacha naburudika nikiwa saudi maneno kuntu Penisita unawezaa unaga mambo meusimeusi siku zote😂🎉

  • @zohramariga6678
    @zohramariga6678 11 днів тому +2

    Safi sana🎉🎉🎉

  • @user-qz8gn6bn6r
    @user-qz8gn6bn6r 11 днів тому

    Pensitaa mtuu mbayaaa

  • @munaashyahya1059
    @munaashyahya1059 12 днів тому +3

    Jamani nipeni likes zangu nyimbo safi kabisa

  • @user-qz8gn6bn6r
    @user-qz8gn6bn6r 11 днів тому

    Nomaaaa

  • @athmanozzy9749
    @athmanozzy9749 11 днів тому +1

    Peni ujue hua nakuambia kila siku wee n * boy......kakaaa uko juuu.....maua yako chukua toka kisite simba

  • @GbahatiDk-xl1ru
    @GbahatiDk-xl1ru 11 днів тому +1

    Safi sana kijna 6 nakubali

  • @hamadiomari6839
    @hamadiomari6839 11 днів тому +1

    mwambie azirudie zote mpaka jimama

  • @deejaysalo0023
    @deejaysalo0023 10 днів тому

    Hàwa jamaa niliwaambia warecord tena tuliza roho but nkama hawakuskia

  • @bakarimsovu
    @bakarimsovu 11 днів тому

    hizi ngoma nazipenda siopoa ❤❤❤

  • @AthumanMlonda
    @AthumanMlonda 11 днів тому +1

    Pen6

  • @HamisiNgoli
    @HamisiNgoli 11 днів тому

    Ukiskia kuishiwa ndio huko utarudiaje nyimbo uliimba na band nyengine shilingi kimuswa atabaki kuwa juu hata akiwacha mziki hawezi rudia nyimbo

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 8 днів тому

    Ulifanya vizuri huu wimbo kuurudia tena kwenye teknelojia ya kisasa, zamani instrumental zilikua hazitoi sound nzuri na naona mtazirudia tena kuzirekodi nyimbo zenu za zamani ukiwa na Tumu... Tunasubiri na Zuwena yako Pensita