Huyu Ruto akili yake ni mbovu kweli hawezi kulazimisha watu wanunue simu za kenya kwasababu kila mmoja ana choice yake na uamuzi wake wa kutumia Trade Mark of their choices . Isitoshe simu za Europe ni quality nzuri mimi niko abroad na sijawahi kununua simu kenya labda kuwanunulia familia yangu tu. Mbona ruto anaforce watu wafanye anavyotaka in which century are we living in?? 1920?? Next atakataza watu kununua plots na kujenga ndio tupangishe hizo nyumba zake za serikali na aki win tena 2027 things will get worse and worse ataongeza ushuru kwa kila kitu mpaka kwa mashamba na wanyama.
Hatutoishi milele siku mmoja ulizaliwa na siku mmoja utakufa Kwa hivyo twapita njia ukumbuke ww ni maiti mtarajiwa anytime anyday any minute teseni maskini lakini mbele ya muumba Haki itapatikana
😢😢hizi vituko za kenya aki.hii serikali inataka kiturambe lakini ngo.ukinunua kitu itusha receipt na useme utaenda nayo kwenu wakupe receipt iko na vat keep it safe.hivo tulifanya juzi when another person was traveling and she was ok at the airport.
Kwa mm hizo paths nmebuyia za mwaka na huwa zinyeshi sijui niliacha period airport 😂😂😂 ama shida iko wap ama hizi vyakula I will ningekuwa kwa ndoa😂😂😂😂😂
Kenya walioko serikalini Wana roho mbaya Sana ulaya .china beba nunua hawana tabia hio Kenya hawatengezi hata cover ya simu standard gani walio nayo ? Hii ni biashara hawataki maskini ajimudu na asimiliki chochote
Hio nilisikia kutoka 2017 thats true ukitaka vizuri kama unabuy kitu kama bado hujaeda kenya jaribu hio kitu ukitumie kwa mda ikiwa mpya seriously ni shida ukifika kenya
Hii ni sim za kenya sio za inje walisema ukinunua sim umwabie yule amekuhuzi a search kama imelipiwa usuru kama hawajalipia wataifunga wanahaza November this 2024 sio 2025 hata hii kitu ilikuwa 2013 sim zikafungwa sasa ruto amerundisha
Hii story ya simu ukibuy nje ya Kenya na uki home haifanyi ipo mm last year nlibuy simu saudi after kuhome ukikataa ikabidi nibuy simu kenya but nlivyorudi gulf kufika india ikafanya,mm najuta kuzaliwa kenya hivi hawa waliomchagua rudi walipuliziwa dawa ama
Uhuru alipokuwa kwa power alot was said about him hayo hayo ya kuvumilia kuwa wakenya muliaongea sana...sahi munaona uhuru was good.the something na moi s we did kebaki hivyo hivyo na wote wakitoka munawalilia Kenyan be serious.
The Kenya Revenue Authority (KRA) will begin monitoring all locally assembled and imported mobile phones sold in Kenya starting January 1, 2025, to ensure tax compliance
Huyu Ruto akili yake ni mbovu kweli hawezi kulazimisha watu wanunue simu za kenya kwasababu kila mmoja ana choice yake na uamuzi wake wa kutumia Trade Mark of their choices .
Isitoshe simu za Europe ni quality nzuri mimi niko abroad na sijawahi kununua simu kenya labda kuwanunulia familia yangu tu.
Mbona ruto anaforce watu wafanye anavyotaka in which century are we living in?? 1920??
Next atakataza watu kununua plots na kujenga ndio tupangishe hizo nyumba zake za serikali na aki win tena 2027 things will get worse and worse ataongeza ushuru kwa kila kitu mpaka kwa mashamba na wanyama.
😢😢Wallah there’s where we are heading
Mimi mambo ya siasa ya ruto hata news siwezi weka juu nimechoka na mambo inaendelea kwa inchi yetu
@@254frida hata mimi pia nimechoka hii ni comment yangu ya mwisho 😪
Me nauliza waweke sheria gani haina shida bt hizi viungo za watu zinapitishwa aje zikienda kuuzwa
My question too
Zinalipiwa ushuru
Shukran bro,bt ruto anakaza kweli mungu amuone aki this is too much
Hatutoishi milele siku mmoja ulizaliwa na siku mmoja utakufa Kwa hivyo twapita njia ukumbuke ww ni maiti mtarajiwa anytime anyday any minute teseni maskini lakini mbele ya muumba Haki itapatikana
Exactly 100%
Si lanzima nishuke JKIA KASUMI, UGANDA IS THE BEST
@LydiaKarioki good to know mi kwanza nachukia sana JKIA Airport wafanya kazi ni wajeuri na corrupt sana
Naona nikishuka Uganda wallai 🤔🤔
Tutashuka Kisumu wanaboo sana
KRA Iko kila mahali so we have to face the music
Waaaah ss hizi ni gani, hii nchi yetu inabore yaani hdy tunaregret kuzaliwa Kenya kabisaaaa
yani wacha tu sahii Kenya sio Kenya hile ya kitambo walai n Mungu tu kwa kila jambo
Ruto aende nyumbani mimi nasikia kuchoka 😢😢😢😮😮
Asante kwa kutujurisha aky
Kwa ukweli kabisa hii serekali is like ina laana kutoka kwa (Mungu) kila kitu wasemacho ni uwongo na kusababishia wakenye maisha magumu zaidi
Watengeneza cover za simu au wanatengeneza simu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kenya wana manufacture smart phone saii😮EADAK company
😅😅😅😅
Thanks for informing us 😮😮😮
Wanyonge ndo wateswao, mzungu hawawezi kumfanyia hiyo, hata matajiri wao haita wezekana. Pole raia
Waaaah
Waah thank you KG
Aky ata heri Uhuru akutufanyia izi vitu za Ruto anatufanyia aky
😢😢hizi vituko za kenya aki.hii serikali inataka kiturambe lakini ngo.ukinunua kitu itusha receipt na useme utaenda nayo kwenu wakupe receipt iko na vat keep it safe.hivo tulifanya juzi when another person was traveling and she was ok at the airport.
Aa ametumaliza kabisa wakenya kimeturamba huyu rais atatuuwa
Shukran
Bona ana roho baya iyo jamani😢
Kweli KG hata mm nilienda na simu sikua nimeiweka line huku ikqnipa shida na nyengine km hiyo nilikua nimeiweka line huku ikawa sawa haikuleza shida
Thanks thank you so much
Ruto jamani chuma chake kimotoni 😭😭
Ruto mpaka 2036 mlipigia kura wenyewe hakuwalazimisha kwa hivyo tulieni ni rais wenu
Huyo ni ruto na kampuni yake anataka tufanyeje sasa surely yaani ameamua kutumaliza kwa kila kitu seriously
Asante kk
Asante sana
KAMA WALIFUNGA SIM ZA CHINA SAA MOJA ASUBUHI NA BY SAA NNE WATU WALIFUNGUA NA WANATUMIA MPAKA SAA HII SASA HIZI NI BURE
Kenya ni kenya
Kumekucha😢😢
Kwa mm hizo paths nmebuyia za mwaka na huwa zinyeshi sijui niliacha period airport 😂😂😂 ama shida iko wap ama hizi vyakula I will ningekuwa kwa ndoa😂😂😂😂😂
Waah mbna wanatukazia life hvo
Mimi natuma vitu zangu na cargo and next year August natuma ya mwisho nikienda airport staki stress ya tax bags itakuwa empty
Sasa wachina ndio kutengeneza simu wakenya ndio kutoanisha ushuru shienzi sana
Utumwa ume rudi ruto falaa tu 😂😂😂😂
❤
Mungu nisamehe kwan hawa wachaw mbn hamalizi uyu ruto😢
Yeye ndio mchawi mkubwa kummaliza ni ngumu
Wuueeeh, ni kunoma sana
Kazi ipo
Aki huyu ruto mungu ebu mcha kiboko kikubwa aki
Nitashukia Tz hata
Aki mm na simu yangu mpya
Na kazi ni Muhimu watupe hapa nyumbani sio tupelekwe nje
Asante baba
Mm. Nmeshuka n simu mbili n laptop hawafny kitu lucky me
Ni next yr not now
Next Yr ndio mm nilikuwa nataka kubuy simu ingine
I will buy in Kenya ... nothing else
Sasa nikija lets say nimebeba pad zangu kutoka huku nje pia haifai?
Wataka kuniambia hakuna kampuni inayo safirisha simu kwenda kenya na kuuza
Iko na wanalipishwa ushuru zaidi😢
Huku Uk wameruhusu sasa hivi kuingia na lap top ndani ya ndege unaibeba mwenyewe je wao wakataze
Na ushuru unalipa kwa duka unalo nunua
@@kgchippysasa KG inamaana sasa ata hizi sim tumenunua huku na tayari tunatumia je c ata tukienda nazo kenya c watazima to wakenya hawana issue bro
Badala mfwatilie wakenya wananyanyanswa inche ya nchi ni bag za watu m achungulia JKIA 🙄🙄
Obomabi
Hakuna tatizo wafikiria tunajadili sana kila jambo.. ndio maana tutakuwa maslaves daima
Shameful government
Wezi hawa 😢😢😢😢😢
Tusinunue kama china wameharibu products zao itakuaje za kenya ziwe nzuri hatutaki vitu zatengezwa kiholela
Hali ngumu waaah 😢
Ruto anataka wakenya wawe maskini kabisa…
Nakama nilifanya kupewa simu na haikua mpya nitafanyaje?
Waah
Waaaa sasa utapata hixo kampuni za dimu ni za ruto tu
Kawaida
Kenya walioko serikalini Wana roho mbaya Sana ulaya .china beba nunua hawana tabia hio Kenya hawatengezi hata cover ya simu standard gani walio nayo ? Hii ni biashara hawataki maskini ajimudu na asimiliki chochote
Mi sioni vibaya madam its serving the same purpose kwani kulikoni kujipanuwa sisi kwa sisi kiuchumi.. kazi njee..
Kaa mimi phone yangu ilikata kufanya since last yrs niko gulf
Hio nilisikia kutoka 2017 thats true ukitaka vizuri kama unabuy kitu kama bado hujaeda kenya jaribu hio kitu ukitumie kwa mda ikiwa mpya seriously ni shida ukifika kenya
Nope this is serious. Even mpesa is gonna be more tax to receiver. Dig
Wengine tuna pewa kama zawadi Sasa tukatae
Hii ni sim za kenya sio za inje walisema ukinunua sim umwabie yule amekuhuzi a search kama imelipiwa usuru kama hawajalipia wataifunga wanahaza November this 2024 sio 2025 hata hii kitu ilikuwa 2013 sim zikafungwa sasa ruto amerundisha
Tuta shukia uganda ama Tanzania 😢😢😢😢
Kabisa tupande bass
Hii serekali walai iko na laana kweli tangu lini kenya ikatengeneza ata charge pekeake ama kitu yeyote imeandikwa made in kenya 😅😅
Matunda yako mwenzangu 😂😂😂
😅😅😅😅😅
@@reazahmohjey7724 sibasi kufa hatufi ila chamoto tutakiona kwa hii serekali ya ruto
@reazahmohjey7724 n ukweli Kenya akuna kitu inajua labda tu unyanganyi pekeake
Hii story ya simu ukibuy nje ya Kenya na uki home haifanyi ipo mm last year nlibuy simu saudi after kuhome ukikataa ikabidi nibuy simu kenya but nlivyorudi gulf kufika india ikafanya,mm najuta kuzaliwa kenya hivi hawa waliomchagua rudi walipuliziwa dawa ama
You're supposed to put your sim to activate it before going to Kenya
Kenya barabara iliwashinda mpka mchina aje
Na ukituma kwa cargo
What do we do like wenye tayari tumenunua hizi device
Like this government is realy frustrating us kenyan
HUYO RUTO ANATAFUTA CHA KUFELEA.....MKATABA WAKE NA WACHINA CC UNA TUHUSIA NIN?
KG naomba utufanyie upekuzi wa ticket tax za airport ya Mombasa hadi ukunda na vanga please
😂😂😂😂
Uhuru alipokuwa kwa power alot was said about him hayo hayo ya kuvumilia kuwa wakenya muliaongea sana...sahi munaona uhuru was good.the something na moi s we did kebaki hivyo hivyo na wote wakitoka munawalilia Kenyan be serious.
Hio n yao
Kwahio ukinunua simu mpya nibora uitumie ukiwa hapa ukifika ili ukifika kenya wasiifungie
Tutashuka Mombasa
Pia Mimi nataka kujua kama Mombasa kuki hivo Dio nishukue uko aki juu wah
Hizo ni mipango za ruto nakupandisha vitu kila siku ako na wivu tu kila maali natamani vile anapenda kuzuzura pia yeye afungiwe akifika huko kila kitu
Kwa hivyo tukae gulf bila y CMU haiweze kn
Ee Mungu itakuwaje na mm tayari nlinunua Tablet ya mwanangu tokea 2022 na Niko nayo hapa pia narudi Kenya next year
Usijali book airport ya kisimu au mombasa mimi lazima ninunuliye mtoto wangu next year 😂😂😂😂mungu mbele
Weka na cargo mimi niliweka na cargo watoto wanatumia sasa hivi tena mbili kwa cargo they dont check kama airpot na makesure umeitumia kidogo
Itumie tumie mamaa. Isiende ikiwa mpya.
Basi kama ni ivo serikali isiingize wachina kutujengea kwa sababu hapa hapa kenyan wapo wajenzi wengi saana na hawana kazi ....this is unfair
BT cio lazima nishuke jk
Mzigo bags unafaa iwe na kilo ngapi na zinalipiwa kilo bag za bag
na kwa nn serikali hii inaandama raia kiasi icho jmm
Mbona unapenda kudanganya watu?...
The Kenya Revenue Authority (KRA) will begin monitoring all locally assembled and imported mobile phones sold in Kenya starting January 1, 2025, to ensure tax compliance
Ruto wakati wake utafika
Na mimi nauliza bags yaani mzingo uwa unatumia
Mm sirudi Kenya 😂
Silazima nishuke jomokenyatta niashukia Kwa samia suluhu tz kwani Iko nn
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
hizo vitu wanasema tununue Kenya n fake ndio maana wanalasimisha tununue Kenya jamani Kenya yetu aki wah
This is control and oppression .
Huo ni wizi tu hizo ata haziwezi dumu kenya tumeisha
2 years 7months turudi kwa debe yaaani mtu mmoja anatusubua hivi vyote watu walifurahi ati bottom up ndio hii sasa 😢😢
😂😂😂😂😂😂😂
Tumeisha sasa
Neno la adabu ni kunyesha,kuvuja sione neno laadabu tafadhali
Samahani ,kiswahili sanifu angetumia kwa kusema siku za hedhi
So no company inasafirosha hizi bdhaa kuuza
Kampani ni zao Ruto Adani.
😂😂😂 IME na tax ?how are they related 😂😂😂 pumbavu
Shame - another trick to squeeze poor mwananchi again ! So- hakuna tena zawadi ya mobile kwa mzee wangu ?
Uwa una niboo na video zako ndefu fanya kitu short bana khaa
KG chipande je nkisafirisha na cargo
From 🇧🇮 mimi ni waburundi😂😂 alhamdulillah
Mi husafirisha na cargo zikafika Kenya zikiwa safe Alhamdhulillah
Si nitanunua Kenya, wajinga hao
Bullshit!! They can't disable American gadgets!!
Kama uko na line mbili huku na ubuy phone hiyo 2025 na uweke pia ukifika Kenya may be dec huko itakataa kazi
Ndio maanake Ruto anatuchapa kila kona 😢
Nivizuri pia kukuza uchumi wetu kenya