A.C.K St. Peter's Nyali Parish Choir -Bwana Yesu Alitamka

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024
  • CONTACT US :-
    Facebook - ackstpetersnyali
    Email - info@ackstpetersnyaliparish.org
    Twitter - ack_st_peters
    Instagram - Ack St.Peters's Nyali Parish
    Tel - (+254) 715745446 / 0100394166
    www.ackstpetersnyaliparish.org
    #Gospel #Mission #Outreach #Reachingout #choir
    Lyrics
    Bwana Yesu alitamka
    verse 1
    Bwana Yesu alitamka
    Mimi ndimi njia ya kweli

    Mtu haji kwa Baba yangu
    Ila kwa njia yangu mimi.
    chorus
    Hebu jiulize
    Njia gani uifwatayo?

    Nawe waelekea wapi?
    Nawafwata njia ya kweli.
    verse 2
    Ngamia ni rahisi sana
    Kuingia tundu la sindano

    Kuliko mtu mwenye dhambi
    Kuingia mbinguni kwa Baba.
    chorus
    Hebu jiulize
    Njia gani uifwatayo?

    Nawe waelekea wapi?
    Nawafwata njia ya kweli.
    verse 3
    Njia nyembamba yenye tabu
    Ndio iendayo mbinguni

    Na ile pana ya anasa
    Yaelekea jehanamu
    chorus
    Hebu jiulize
    Njia gani uifwatayo?

    Nawe waelekea wapi?
    Nawafwata njia ya kweli.
    verse 4
    Mimi ndimi mwanzo na mwisho
    Mimi Alfa na omega

    Mtu haji kwa baba yangu
    Ila kwa njia yangu mimi.

    chorus
    Hebu jiulize
    Njia gani uifwatayo?

    Nawe waelekea wapi?
    Nawafwata njia ya kweli.

КОМЕНТАРІ •