@Cheetah 6 If you have nothing to say it's better to be silent. Ignorance is more dangerous you stupid fool. Let the Bajunis enjoy their culture if you don't like it go fuck yourself asshole !
@Khalidi Mohamedi Lamu ipo Pwani ya Kenya sio Komoro, ila watu wote wa pwani ya Afrika mashariki na visiwa vyake Unguja, Pemba, Mafia na kadhalika mpaka Visiwa vya Komoro ( Ngazija walipotoka babu zangu, na visiwa vyengine vya hapo ) wote wanafanana kitamaduni.
Muombee Mungu amuongoze alopost wake na dada za watu bila Idhini yao,hao wako harusini na haijakatazwa kucheza Harusi but ndugu zetu kwa kupenda sifa za kupost UA-cam waeka videos bila Idhini ya wenyewe,mumefanya watu siku hizi waeke security kwenye Harusi zao,yaani Hakuna Tena Raha ya kusherehekea.
DUI Dala subhanaLLAH !!! Tukihesabu uchi mwanamke ni uchi yeye mzima ...kisha wajitingisha na wapiga ngoma ni wanaume hayo ni makosa ...kusherehekea harusi ni sunnah haijakatwazwa kwa dini lakini kila jambo lina Qiyas... hii imepita Qiyas ... kila mwanamume aona yake za watu hili huwa lishaingia kwa Haram ....wapiga ngoma ngoma na vizumari nao wamevaa miwani za mbao hawaoni wake za watu ? Ukumbusho ni kwa waumini .
Watu wote wa Pwani ya Afrika Mashariki ( kuanzia Pwani ya Somalia upande wake wa kusini mashariki unaopakana na Pwani ya Kenya, pia Pwani ya Kenya yenyewe, Pwani ya Tanzania kama Tanga, Bagamoyo na Mkoa wote wa Pwani, Morogoro Mashariki, Kilwa na Lindi yote, Mtwara, Tundruru Mkoani Ruvuma na Pemba ya Msumbiji na baadhi ya maeneo yake ( Msumbiji ) ya Pwani ya Kaskazini Mashariki yanayopakana na Tanzania) kadhalika na visiwa vyake ( visiwa vyote vya Afrika Mashariki) kama Unguja, Pemba, Mafia na pia mpaka Visiwa vya Komoro ( Ngazija, walipotoka babu zangu, na visiwa vyengine vya hapo, Mwali, Nzuani, na Mayotte ) watu wake wote wanafanana kitamaduni.
Asili ya Tanga, pemba, Ngazidja, sofala, Wangao ni wabajuni. Asili ya waswahili ni wabajuni ambao walikuwa wakiitwa Wangozi kutoka east Ethiopia tangu karne ya 7.
Emame kwechu I miss chundwa my homeland... Mmmwaaaaaaaaaaaaaah ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️nchu nkwavo nami kwechu ni Tchundwa
Nami kwechu tchundwa
Tawheedaeeee eeee mwenechu nko doha
@@firdausmuhaji7025 Hi
Madi mera uko juu
Bajuni hoyeee 👍nchu nikwavo chume mameee
Mwacha asili mtumwa wanikumbusha marehemu mamangu Allah amuweke pema penye waja wema
Ameen
Ameen
Mashaallah ajab....i love it
Miss sanaaaa hzi song After 16 years in London
VUGO Hilo Very nice. I'm proud to be MBajuni Please keep the tradition and the culture I miss. Home
MaashAllah salimu Ahmed Kwa video pekee
MaashAllah Mambo Kwa mipango InshAllah heri nawaombea umoja ni nguvu,
I am proud of my tribe
I miss this after long time I'm proud of my trb home sweet home
Sweet home
Hongera kwa hilo vugo
Im proud to be bajun🇰🇪
hakuna county naipenda kama lamu yaani nipate swahiba anitembeze huko.ntafurahi 💃🙏Inshaallah
mombasa kushaniboo
yaaish baybe plz call this no 0701294701 Nitakutembeza
Twende
Tuko ndani tchundwa iburini wanikumbusha mbali na mimi mbali.
Shaban Abdullah from Zanzibar Tanzania
Waniivaimi Mjukuu Wa shahasi arumii iburini
Wow bajuni hoyeee
MaashAllah InshAllah heri
Mashalla nice video and sound , imetulia sana big up
Shukran sana Mimi ni dadake Umi MaashAllah Diya na wezake
MashaAllah Ajab mwanatee miss u
Wapi hii wadau taaam jmn
Mpaka raha wanawake wote wamevaa Stara maashaAllah Kwa hilo
Ndio raha ya bajuni mashallah
Raha yao bajuni mashallah
Samahani, but Hilo bado sio vazi la mwanamke.
@Cheetah 6 If you have nothing to say it's better to be silent. Ignorance is more dangerous you stupid fool. Let the Bajunis enjoy their culture if you don't like it go fuck yourself asshole !
hii kwa Dini yetu ya kiislam haijawa ni stara ...kuwaanika mama zetu na ndugu zetu kwenye mitandaoni .
Home sweet home I miss natoka hapo ndio home kabisa Madi rovu wa tchundwa InshAllah heri nawaombea kila la heri
shamefully for me i have not been home for close to 20 yrs... and ooh the guy would do an adhan like no other
FAIZ miss u
Mopiga zumari nakuona jamani watu walamu kama kwetu pemba salamu kutoka wete babu yangu katoka lamu mis you all😘
@Khalidi Mohamedi
Lamu ipo Pwani ya Kenya sio Komoro, ila watu wote wa pwani ya Afrika mashariki na visiwa vyake Unguja, Pemba, Mafia na kadhalika mpaka Visiwa vya Komoro ( Ngazija walipotoka babu zangu, na visiwa vyengine vya hapo ) wote wanafanana kitamaduni.
subhana Llah Allah awaongoze dada zetu njia ilionyooka amiin
Saada Khalfan
Ameen Ameen yaa RABB😢
Muombee Mungu amuongoze alopost wake na dada za watu bila Idhini yao,hao wako harusini na haijakatazwa kucheza Harusi but ndugu zetu kwa kupenda sifa za kupost UA-cam waeka videos bila Idhini ya wenyewe,mumefanya watu siku hizi waeke security kwenye Harusi zao,yaani Hakuna Tena Raha ya kusherehekea.
Tchundwa ni Haswaaa.
#proudlybajun all the way from tchundwa
Kwenda 🤣
@@marseloyahya5711 uwe nawee uko kila mahali
sinikwetu lazima tuwepo🤣
This is very 😎 I like it!!!!!! Miss my home 😔😔😔😔
Hoyaaaa chundwa hoyeee tahareni hoyeeee nakuvona
Nice ni lamu machachari comedy i need your support plz
I Miss tchundwa! 😙😙😙😙
Emamee kwechuuu
عليهم الصلاة والسلام اقطاب الامة النبوية الاسلامية المتحدة في التوحيد الدينين الشريفين المكرمين في الكونين
Mashallah.....timizeni aliyoyafanya mtume.....
Mtume s.a.w. hakufanya upumbavu huu
Yaaish Baibey njoo Zanzibar utapenda zaidi ya Lamu.
Nmejikuta mwili wanyumbuka kidogo kidogo.......Raha sana
Umeonaeee
Kabla ya porojo za corona kuanza
Uislamu hauruhusu hivi mwatuanikia mama zetu na madada zetu wengine wako uchi
Nilaana hio wallahi mama nikitu bora yaarabi maskini hatahajui
Mumewaanika yarabi tusamehe
Albert Junior
kasome ujue maana ya Uislam.
Rukia Osman
Ameen yaa RABB
Yupi ulo muona uchi hapo ibilisi mkubwa wewe hebu tuambiye ? Kwani uislamu ulisema watu wasiteze ngoma kwenye harusi zao ?
DUI Dala
subhanaLLAH !!!
Tukihesabu uchi mwanamke ni uchi yeye mzima ...kisha wajitingisha na wapiga ngoma ni wanaume hayo ni makosa ...kusherehekea harusi ni sunnah haijakatwazwa kwa dini lakini kila jambo lina Qiyas... hii imepita Qiyas ... kila mwanamume aona yake za watu hili huwa lishaingia kwa Haram ....wapiga ngoma ngoma na vizumari nao wamevaa miwani za mbao hawaoni wake za watu ?
Ukumbusho ni kwa waumini .
Kumbe maisha ya pwani uanafanana kama ,tanga ,unguja,Pemba na bagamoyo utamaduni sawa
Kama msanja,tanga tunaita
Jamani...ninatoa mimachoo..natamani nipaterafiki
Watu wote wa Pwani ya Afrika Mashariki ( kuanzia Pwani ya Somalia upande wake wa kusini mashariki unaopakana na Pwani ya Kenya, pia Pwani ya Kenya yenyewe, Pwani ya Tanzania kama Tanga, Bagamoyo na Mkoa wote wa Pwani, Morogoro Mashariki, Kilwa na Lindi yote, Mtwara, Tundruru Mkoani Ruvuma na Pemba ya Msumbiji na baadhi ya maeneo yake ( Msumbiji ) ya Pwani ya Kaskazini Mashariki yanayopakana na Tanzania) kadhalika na visiwa vyake ( visiwa vyote vya Afrika Mashariki) kama Unguja, Pemba, Mafia na pia mpaka Visiwa vya Komoro ( Ngazija, walipotoka babu zangu, na visiwa vyengine vya hapo, Mwali, Nzuani, na Mayotte ) watu wake wote wanafanana kitamaduni.
Kwani hujui ni waswahili wote
Makabila ya waswahili watokeya hapo pwani
❤❤❤❤❤❤
Masha allah beautiful from where's this, country
Kenya
Masha allah
Mashallah I am proud to be Bajuin
Mashallah
Aa nikiwa nawataka ntawapata wapi na no zao ziko
Mashallah mashallah mashallah
Proud of my tribe😍😘
Natafuta_rafiki_wa_lam_mie_ni_wa_mombasa_na_Tanga
Nami pia natafuta Rafiki wa mombasa tujuane basi +97477575460
A pokomo from Kipini hapa..
Weeee hapa hakuna wapokomo😷
@@mamufamau1724 kuna wagani
@@Said_KE hawa ni wabajun, kutoka kisiwa cha Tchundwa, hamna wapokomo
Masha'Allah amu rwaha jamanieee
Maa sha allah
mansha allah
Mashallah
MashaAllah
Bi shaale uko
Bajuni hoyeeee😘😘😘😘😘😘💪
Hoyeee
Jamani asili aifi....mbona..kamawatu twafanana kamakwetu Tanga tunasemaga msanja..?bgp
Sini makabila ya waswahili yalioko ufuoni wa baharini pwani Sote ni watu wamoja ndio tuka fanana
Km msondo pia
Asili ya Tanga, pemba, Ngazidja, sofala, Wangao ni wabajuni. Asili ya waswahili ni wabajuni ambao walikuwa wakiitwa Wangozi kutoka east Ethiopia tangu karne ya 7.
It's call vugo by bajun tribe Proud to be
mbona km 2na fanana from Pba
Mbona hao ndio sie sie saida mie mwenyewe baba yasili yao huko wanavyo zungumza sawa na kwetu lamu naipenda ipo siku nitaenda
+DAZUU ZUlly kwn uko wp ww my no +96898554379hii text me whatsapp
هههههه.!!!!!! ألله يحفظهم.
ههههههههه.
Mola awahifadhi nyote
Bajun wapemba jamii moja
Ni makabika moja ya waswahili
Home sweet home
@@usongoali9201 hoyee
nice mashaallah
M ntk npte mume w lamu
Mima kama hili jina nakujua mwenechu
Usongo bajuni hoyeee hawatuezi
A S C SISTER WICH COUTRY IS THIS I LIKED
Kenya , Lamu
utamaduni wetu unaenda kupotea. machozi yanitoka
be strong
jiungeni tena pambaneni culture will never end
Nakwambia ama ushapotea kabisa
tuwaombee hidaya Allah atuongoze sisi na wao waloghafilika.
mashallah lamu yetu
Msanga
Where is this?
Lamu Kenya
Lamu county ,sub location Tchundwa village.
Vugo poa la tchundwa juu
Juu
Mashaallah raha kweli
Am proud to be bajun
Swabra Abdalla Hi swabra vipi naona unajivunia
Zumari not allowed in Islam. Kwani vugo lazma zumari
Tuuhifadhi utamaduni wetu, raslimali yetu
Lamu siendi mashoga wengi
Wacha zako
Wapi hakuna mashoga dunia hii
Hatukutaki
Wewe mwenyewe ni Shoga
Mashallah