Wanavokali - I Wonder (Cypher) SMS ‘Skiza 69810006’ to 811

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 5

  • @wanavokali
    @wanavokali  11 днів тому

    I WONDER -LYRICS
    Natokanga bash
    Nikikutana na ma school bus
    Eh I wonder
    Eh I wonder x2
    (Chep)
    Bei ya mafuta imepanda
    Na tukilewa leo hatuwezi drive
    Basi Uber tunashika tunapanda?
    Ama form ya leo ni mata tu uu uu
    Ni nani anacome through uu uu
    Na si unakumbuka last time?
    Ah ah!
    Last time tukitoka bash tunapatana na ma- schoolbus
    Watu walipass out, house party tunatoka tumebebana ma-
    shoulders
    Weh Promise hutableki leo
    (Aki sitableki leo)
    Promise hutableki leo
    (Ai mi ni bleki leo?)
    Siendi ka unableki leo
    (Umeona nikibleki?)
    Siendi ka unableki leo
    (Hatutbleki)
    Chorus
    Natokanga bash
    Nikikutana na ma school bus
    Eh I wonder
    Eh I wonder
    (Mellah)
    Weh ni criminal, eh I wonder
    Jana si ulitufanyia ma blunder
    Ukanyora kwa fence ya kanjo
    Ukachota madoh uhepe alcoblow
    Hizo vitu ulikunywa zilikushow
    Ukaleta maujinga ukatubore
    Next time imagine tu ubaki home
    Ju weh ni criminal
    Weh ni criminal
    Delete, Delete
    Hizo picha za jana zidelete
    Delete, Delete
    Hizo video za jana zidelete
    (Riki)
    Nilitoka session
    Brown lika in my glass, bad decision
    Nikafeel bash yangu ime baaash
    Leo nalipia vitu na cash
    Sip sipper
    Who's got the bottle of lika
    Whose got the weed and whose got the speaker
    Kaskia poa
    Eheee
    Kaskia fiti
    Ahaaaa
    Hiyo feeling walai ikazidi
    Chorus
    Natokanga bash
    Nikikutana na ma school bus
    Eh I wonder
    Eh I wonder
    (Sam)
    Very nice, very nice, very nice
    Zimeshika videadly, yaani
    Very nice
    Zimeslap nitazima, yaani
    Very nice
    Kimeumana kimeniramba, yaani
    Very nice
    Nikubali zishuke?
    That's not very nice
    Heri nichizi kimathare
    It's my only vice
    Na turudie jana lazma turevise
    Juu ikinice zimenice
    And that's very nice
    (Ythera & Lena)
    Tunakanyaga kubwa kubwa
    Big Steppa
    Step up to di plate
    Trendsetter
    You know I run my own race
    A trailblazer
    Everywhere I go
    Mi natesa
    Si ati tafadhali
    Mi nimeweza

    A littu delulu is the solulu
    Me hupiga luku nimevaa ma nu nu
    Maisha ya ustar, aki inanifaa
    Na leo lazima kirudiwo, swezi kataa
    Chorus
    Natokanga bash
    Nikikutana na ma school bus
    Eh I wonder
    Eh I wonder
    Outro
    Tunaanza usiku
    Kupokea nyota
    Story za jaba aluta
    Mpaka kesho kutwa

  • @StanzaMata
    @StanzaMata 10 днів тому +1

    From Rwanda 🇷🇼 ❤❤❤

  • @kasmilermemeske1337
    @kasmilermemeske1337 6 днів тому

    I'm from Russia but this Hit is something else

  • @ammikendegwa
    @ammikendegwa 10 днів тому

  • @gatuhamungai
    @gatuhamungai 10 днів тому

    View No. 118.