Askofu au maaskofu na mashekhe,naamini wanahusika na haki ya wananchi,maana waamini wao ndo Wana siasa.Tujitahidi sana kuwa wakweli.Maaskofu hawahitaki Madaraka ya siasa,bali inawapendeza wanapotushauri.
Nchi ambayo viongozi hawana maadili itakuwa kuwa na Maendeleo kweli?? Kila ya aina ya maovu, ujambazi, wizi and what have you will be the order of the day. Tuwe na huruma na VIZAZI vijavyo 😢😢😢
Kweli ccm wameshinda kwa kujaza form haina haja kufanya uchaguzi tena kwasababu dhahili walioweza kujaza form wote ni wagombea wa CCM sasa tunaenda kumpigia kura nani wakati walioshinda kujaza form ndio wanaenda kupigwa kura peke yao?
Fanyeni kati ya moja uwe kiongozi wa siasa au usiingilie mambo ya siasa ubaki kua kiongozi wa dini uzalendo unawashinda na kuingila siasa tuache watu wa vyama wafanye kazi.zao
Tujiulize kwanini watu wanafanya makosa katika kuanza fomu? Je siyo matunda ya elimu mbovu iliyozaliza watu wasiojua kusoma na kuanzia vizuri?Kwahiyo WANAINCHI hao wakose hali zao za kisiasa?
Chama kina mambo ya ajabu,"mpaka yanatia aibu,na kinyaa kuyasikia "
Yaan wanasiasa wanataka wawatumie viongoz wa dini kwa maslah yao, wanapokosolewa ndo utasikia dini na siasa. Huu ni ujinga uliopitiliza
Wewe unayepinga viongozi wa dini akili zako haziko sawa.watanzania msipoacha kuabudu viongozi wa vyama na vyama kuwa ndo dini mna hasara kubwa.
Wewe ni mtu wa haki kweli askofu
Askofu BAGONZA UISHI BABA...SIJAWAI KULIPITA ANDIKO LAKO NAJUA KIPO CHA KUTAFAKARI
Kwani Siasa ni kwa ajili ya nani na dini ni kwa ajili ya nani " ujinga mtupu "
Askofu au maaskofu na mashekhe,naamini wanahusika na haki ya wananchi,maana waamini wao ndo Wana siasa.Tujitahidi sana kuwa wakweli.Maaskofu hawahitaki Madaraka ya siasa,bali inawapendeza wanapotushauri.
huyo anayepiga viongozi wadini kukosia wanasiasa wezi nihamnazo kichwani kabisa hajui siasa ni kilakitu kinacho itajika kwa mwanadam
Nchi ambayo viongozi hawana maadili itakuwa kuwa na Maendeleo kweli?? Kila ya aina ya maovu, ujambazi, wizi and what have you will be the order of the day. Tuwe na huruma na VIZAZI vijavyo 😢😢😢
Viiongozi wa dini wanasaidia taifa
Kweli ccm wameshinda kwa kujaza form haina haja kufanya uchaguzi tena kwasababu dhahili walioweza kujaza form wote ni wagombea wa CCM sasa tunaenda kumpigia kura nani wakati walioshinda kujaza form ndio wanaenda kupigwa kura peke yao?
Askofu Malasusa mbona Huwa uko kimya sana kwa haya yanayofanywa na CCM? Toa neno kama kiongozi mkuu
Ccm mbona mnamtumia Askofu Malasusa?
Fanyeni kati ya moja uwe kiongozi wa siasa au usiingilie mambo ya siasa ubaki kua kiongozi wa dini uzalendo unawashinda na kuingila siasa tuache watu wa vyama wafanye kazi.zao
Kuda la chadema hilo halina jipya
Tujiulize kwanini watu wanafanya makosa katika kuanza fomu?
Je siyo matunda ya elimu mbovu iliyozaliza watu wasiojua kusoma na kuanzia vizuri?Kwahiyo WANAINCHI hao wakose hali zao za kisiasa?
Hiv ni kweli wapinzan tu ndo wanakosea kujaza hizo form? Ni vile tu washatuona watanzania wajinga
NI UONGO UONGO UONGO
Yupo sahihi,KWA sababu siasa na dini vyote vinagusa MAISHA ya wananchi.