Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
EE MUNGU NENDA MBELE YANGU JULY - 3RD JULY 2024
Вставка
- Опубліковано 1 лип 2024
- New Day Church International
Mbezi Beach - Makonde, Mkabala na Shule ya Libermann
Ratiba za Ibada:
________________
Jumanne na Ijumaa saa 11:30 Jioni na Jumapili saa 4:00 Asubuhi
#livestreaming #madhabahuyamoto #Tanzania #Live #2024
Nenda mbele yangu Bwana YESU
Amen Amen Napokea kutetewa na Bwana
Nitetee juu ya uchumi wangu Baba
Amen na kwako pia Apostle Mungu akuinue zaidi katika utakatifu wa Mungu 🎉🎉🎉
Bwana Nipe kupumzika
Naenda mbele kuongezeka wingi utele
Enda mbele yagu bwana. Nishike mkono nitambulishe kwa wakuu
Nitapata title,nitapata msichana mzuri wa kukaa na wanangu mwezi huu wa saba nitapata pumziko