Hizo story za food zimenikumbusha time chuo mob zilikam high school yangu mambo ya sports. Kulikuwa na mthama alikuwa anauza samosa kutoka kwa ndoo. Nikaskia jamaa fulani akisema "nigekuwa Birr Gates, nigesema weka hiyo doo mzima kwa gari yagu". Nikajiambia, Bill Gates akiona hizo samosa za bucket, anaweza tapika mbaya sana. Na akikula ata moja atakuwa na food poisoning for 1 month. 21:31 Jamaa karibu afanye sama na kuku za rotisserie
Dude, I spent half a day at the railway station in Malmo 2 years ago and got approached by a random black dude who turned out to be a Kenyan who moved to Sweden in 2001 and became homeless in 2004! He has been living like that ever since. Pride is such a useless thing manze... Msee ameishi hivo kaa ndege in a region that has the most hideous winters yet when I told the dude aende hata akuwe deported back than living like that he was like, "watasema nini mimi kurudi bila kitu after 23 years away?" Bought him a meal and left him there ajisort.
My daily dose of laughter 😂😂
Tokeni kwa gisa...kujeni kwa mwagasa...rapcha bana🤣🤣🤣
Iko nini❤
The gang! iko nini💪💪💪
IKO NINI
🔥🔥🔥🔥🔥
Raw and Unkut Like 4skin...😂😂😂
😂aki Rachel hatawai tokea IKO NINI
Mwaf kuja tour ya UK man,Raptcha always killing the show😂😂
Can't get enough of these podcasts madze, keep it up,,, IKO NINI💪
ukitoka Qejani urudi upate units ni crazy😂😂😂😂
Iko nini Iko kitu😎😎
141k 🎉🎉🎉
Mwaff rada huko mwisho kumekuwa na blackout
ati uhuru was a great prsdnt, mwizi
17:33 story ni sad but funny at the same time. Nimecheka yangu yote tbh
Free gaitho
Dj zac understand that bed part!!
lmao.. so funny
Hyo jamaa wa bed ya kucharge is my kuzo..anaitwa gadget man fb.msake huko
Ama niitishe # yake
Mwaf nyamaza kiasi😢
Acha wamalize kuna housing inawangoja (mjengo)🤦
Tap water is taxed kaka,Si tunapewa bill ya maji kila idhaa
Hizo story za food zimenikumbusha time chuo mob zilikam high school yangu mambo ya sports. Kulikuwa na mthama alikuwa anauza samosa kutoka kwa ndoo. Nikaskia jamaa fulani akisema "nigekuwa Birr Gates, nigesema weka hiyo doo mzima kwa gari yagu".
Nikajiambia, Bill Gates akiona hizo samosa za bucket, anaweza tapika mbaya sana. Na akikula ata moja atakuwa na food poisoning for 1 month.
21:31 Jamaa karibu afanye sama na kuku za rotisserie
Buda, i have seen Mr Salasya doing a few good projects huko kwao. What's your view on that?
I think walishika the wrong Gaitho and not Francis [Yule journalist] and they claimed it was mistaken identity
47:58 Kimboro Primary School ni gani 😂😂
Iko mlango kubwa uko mathare
Weston is rated as a 4 star hotel.
Hiyo homa, ni covid ama allergies? Haiishi. Make vitamin D your friend.
Huyu Mwaf keeps boasting eti kenya has Freedom, na abduction ni daily
Ushags pia iko abductions
Dude, I spent half a day at the railway station in Malmo 2 years ago and got approached by a random black dude who turned out to be a Kenyan who moved to Sweden in 2001 and became homeless in 2004! He has been living like that ever since.
Pride is such a useless thing manze... Msee ameishi hivo kaa ndege in a region that has the most hideous winters yet when I told the dude aende hata akuwe deported back than living like that he was like, "watasema nini mimi kurudi bila kitu after 23 years away?" Bought him a meal and left him there ajisort.
Rapture ni mtoto mtundu😂
Iko nini 💯