Thanks For the Support wanangu wa Kitaa!! Comment hapo Chini ni Verse ipi umeipenda zaidi kwenye "Mtaa"... Share na wana wa Kitaa waenjoy mziki mzuri!!
Kenya tunakukubali...Simba wewe🔥🔥....Wasafi walidhani watakufelisha kumbe wapi....mwanangu uko vizuri...Kenya tunakukubali🔥🔥🔥❤❤...Alafu chibi kwa beat kaua♥️♥️🥺🥺🥺🔥🔥🔥🥺
UYU JAMAA NI SUPER STAR NA MSANII WANGU BORA WA MUDA WOTE TENA KABLA YA HAO MNAOWAONA NI MUNGU WA MUZIKI, MIMI NI SHABIKI YAKE AMBAYE SIWEZI KUMSALITI MILELE. ❤❤
huyu mesi ndomsanii wangu namba moja duniani safi kwabuludani nzuri mtaa ningomakali sana wekalaiki kama kama kweli shabiki walichi mavoko 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👑
Thanks For the Support wanangu wa Kitaa!! Comment hapo Chini ni Verse ipi umeipenda zaidi kwenye "Mtaa"... Share na wana wa Kitaa waenjoy mziki mzuri!!
kila verse
Kabla sijakua staa umenilea mtaa🔥🔥🔥♥️♥️♥️
Mtaa umekufunza kweli kaka ambia diamond akupe akaunt yako
Ndifuuu messiii🇹🇿✅💥💥
Ilamwana usinge hama wcb hii ngoma inge fika mbali messi
Oooya me naesabu like za bilionea kid mavoko 🔥like zake 👍
KUPANGA FOLENI YA MAFUTA YA BULE TU KUJA KUANGALIA VIDEO AAAAAAA!!
Mbona ana fanana na Burnaboy🎉🎉🎉🎉🎉
Kama unaamin huyu jamaa kalud Kwa kas ya abood gonga ma like hapa
Mtaa vibes Kinshasa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Si si Kinshasa WE are
Vocals za mavoko zimeenda skuli.. ❤❤❤
Thanks sana, Share na wana wa Kitaa
@@BillioneaKid Kula gwara Kwa kuikumbuka vingunguti 🤜🤛
Much Talented saaaana huyu bro.
Ua genius
🇨🇩
Mtaa
Wanangu wa magomeni tujuane hapa 🤲
Tukubali sisi kama Wakenya hii game ya mangoma Watanzania wamechukua. Sisi tumedoze kabisa. Love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Richi ndugu yangu ❤❤❤❤❤❤❤
Much love kwako chupa kali sana hiii
Thanks sana, Share na wana wa Kitaa
@@BillioneaKidwachawi wakae mbali
Billionea kidd ontop 🎉🎉🎉🎉🎉
Kenya tunakukubali...Simba wewe🔥🔥....Wasafi walidhani watakufelisha kumbe wapi....mwanangu uko vizuri...Kenya tunakukubali🔥🔥🔥❤❤...Alafu chibi kwa beat kaua♥️♥️🥺🥺🥺🔥🔥🔥🥺
Bila kutaja mume wako wasafi huwezi kuishi
UYU JAMAA NI SUPER STAR NA MSANII WANGU BORA WA MUDA WOTE TENA KABLA YA HAO MNAOWAONA NI MUNGU WA MUZIKI, MIMI NI SHABIKI YAKE AMBAYE SIWEZI KUMSALITI MILELE. ❤❤
Since day one Roho yangu mimi❤🙌🏼
Mavoko😊😊😊
Mishemishe magomeni yes kwenda kuforce kinondoni nakatakata mikocheni.......
Hii ni kasi ya JET niamini mimi🤞🏻🔥
Ila hiki kibango mpaka waseme🔥🔥🔥👑
Love from Kenya🇰🇪hii noma San🔥🔥🔥
Kimbiza baba😮
Umeua Rich....Kenya we love our own ✍️💥💥💥💤
Oyaa Gee hili ngomaa nexttt ankooo na moviesee hili nomaaa🎉😮
Oae Richi umeridi wamoto saan
Baruuza baruuza 🔥🔥🔥
Straight from Tabata... ankooooo 🔥🔥
Welcm back bro we miss u ur music since the day you stay along time without been held..love from malawi
Voko kama voko ❤🔥🔥🔥
Napenda hilo Video ❤🇰🇪📺
Sema goma linaisha kama ndo linaanza!❤
Hatari🎉🎉🎉
Dah believe or not uchawi uwa una expire date
Kaka aliekuroga dawa zake zishaisha nguvu
Now it's your time Kila goma ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mpaka Sasa nachukia diamond Kwa sababu Yako....
Alitaka kukumaliza kimziki
Love from Burundi 🇧🇮 ❤❤❤
Mtaa
Respect rich mavoko 👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
Natoka kenya mimi...huyu mwamba namkubali kishenzi i say
Balaaaa🔥🔥🔥🔥🔥
Shout out kwa director
Oya kama bado unasikiliza ngoma la kitaa weka like❤
First kenyan artist to comment. Wapi like za "ibaki story*
Weh mzeee..uko vipi
@DjVoizzmixes niko poa sana kaka
Mtaa
Hilo ji video ndo nimelikubali sanaaaaaa
Mavoko ni wa moto
Mmh oya mavoko wa moto🔥🔥🔥🔥🙌🏼
Mtaa unaongea🎉🎉🎉🎉
Badmannnn ✈️✈️✈️
We jamaa ni hatari mbaya ntafurahi unisikilize siku moja
Messiiiiiii much love❤❤❤ 🙌🙌🙌
Billionaire kid apa mimi nimekubali🔥🔥🔥👑👑👑👑🙌🏼
Mtaa
Acheni siri wanangu, hivi kusema Tu kuna goma la kufunga mwaka huku mnashindwa
Bad man god bless you papaa
Bilionea nakukubali sana kwa mistari
huyu mesi ndomsanii wangu namba moja duniani safi kwabuludani nzuri mtaa ningomakali sana wekalaiki kama kama kweli shabiki walichi mavoko 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👑
Mtaa
Messi10 is Back Again No chukii ni kazi juu Ya kazii✊🏿🏆🏆
Welcome back Rich Mavoko Burundi tunakupenda sana bro!!
Mavoko siku zote💯love from 254🇰🇪
Ngoma imeheanda iyo master, Aqui Moçambique 🇲🇿 Parabéns para você meu Mano Rich Mavoko
mas forca
Nguvu ya mond ndo iyo Sasa ❤
Mavoko unaendeleya vizuli
Big up kwa mtaa yngu TUDOR in kenya mombasa kwa kunikuza na kunilea
Mtaa
kali sanaaaaa
Bad man 🔥🔥🔥🔥💥💥💥💥💯💯💯#mtaa
Much love from 254 🇰🇪
Noma kaka much love from Side b
Ngoma kubwa sana now we gooooo 🎉🎉🎉🎉
Kaka nakubali sana inshallah ufike mbali 🙏🙏🙏
🎉🎉mavoko to the world
Tiko apa adi video yetu iwe trend namba1 maana sio kwa kichupa ichii
Mtaaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉
Mtaa
Unyama
Fundi ni fundi saluti kwako
From 254 huwa nakumbali mziki wa Rich mavoko sana
laikipia ndo mtaa 254
Nani alisema kipaji kinajificha?, kipaji hakifichiki, Rich Mavoko King 👑 kaka🔥🤞🏻❤
yaani nampenda huyu mwamba tangu zamani maanake vocal za wee usimwambie mtu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Billioneakid 🎉🎉🎉 kichupa Kikali kinoma ni tishio hill
Mtaa
Mmmh ii video konyooooooo🔥🔥
Dua kaka tunaishi watu
Waba richi mavoko nac jobo❤❤❤❤❤🎉🎉
Braza richi mavoko
Mtaa
Kiwalani ❤
Fire❤🔥❤🔥much love from Madagasca
Mtaa walete kati movoko ❤❤
Messi wa bongo fleva🔥🔥
Fire fire kaka mule mule ntabakia humu sielewiii asira unatoaga ila nimekupata salut MESS
Wakenya tumpee support.
😂hujaona anafanana na parroty😂
🔥 🔥 unatishà.màvoko
Mtaa umenikuzaaaa🎉🎉🎉
Chuma mi nakuitaga chuma mzee🎉🎉
Hujai feli ❤❤❤❤ messsiiiiiiiiiii
Mziki ni kama baiskeli ukijua ndo umejua we jamaa una kipaji ambacho hakizeeki
Bad maaaan
Oyaah...umetisha xna ❤
Mtaa imekuw sloughan mtaan
Let's go Mtogole Nokia City🏃🔥🔥💯
Mwanangu unakuja kasi kinyama endelea ivo ivo bloood akuna kufeli an,binafsi nakupata sana
Huu mwaka ni ngoma juu ya ngoma
Kazi juu ya kazi 👊🏾👊🏾👊🏾
👊🏽👊🏽👊🏽❤️❤️❤️💥💥💥💥💥🥂🥂🥂🥂unyama sana msanii unapaswa kukaa hivi hivi huvumi kama wao lkn unafahamika na kila mtu @bilioneakid @mavoco badman killer
Huna unacho Jua mzee
Mzigo nimeucheck naona niwenyewe kabisa
UNYAMA SANA 🔥
Ngoma kaliii knyama
Nyimbo Nzuri sana mungu Azidi kuku bariki
Mbona fupi sana❤