Kitendo WASAFITV walichomfanyia ALIKIBA / MUNGU Yupo Atawalipa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • Kitendo cha WASAFITV walichomfanyia ALIKIBA / MUNGU Mkubwa
    © 2018 Romanus Television. All rights reserved.

КОМЕНТАРІ • 269

  • @khamismasaai5307
    @khamismasaai5307 5 років тому +9

    Mziki hauendi kwa team ndio maana kunabaki watu wawili tuu siku zote na kuna vipaji Vingi sana bongo is time to wake up angalia Nigerian's wanavyo bebana na wanafanikisha suport good music to the world maswala ya team wa bongo acheni munaua industry yenu wenyewe kwakuto kuelewa gonga like kama ni fun wa mziki mzri team uwanjani.

    • @rosemaiko9405
      @rosemaiko9405 5 років тому +1

      Khamis Masaai wakina Mario wanakuja,Benson Na wengi watafikaje juu utim tu

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 5 років тому +7

    Isingepigwa bado mgelaumu lkn imepigwa bado mnaleta maneno mengi...big up wasafi kwa sapoti yenu kwa kiba.

  • @yuzotv458
    @yuzotv458 5 років тому +1

    daima kiba na mondi hawana bifu ila watu wanaotafuta mkate wawatoto kwanguvu ndio wagombanishi ilo mbona tunalijua#
    by the way kiba ni kakaake mondi kimziki na mond anamuheshim kama kakaake kimziki ndio maana unaona anaruhusu ngoma ya kiba kuchezwa kwenye wasafi tv,Hongera mondi kwa moyo mzuri wa sapport pia hongera kiba kwa ngoma tamu....
    mwambie sina ohh,wakutamba nae.
    mwambie sina ohh,wakuringa nae.
    #Kizazi sana asee.
    #call me yuzo b mapesa from dsm tz.

  • @paschalluwela5629
    @paschalluwela5629 5 років тому

    ngima kaliii sana mtuanapofanya kizul anasitahil pongez ngoma ya kings muzk ikopoa sanaaa king kiba sana.

  • @aminadaudi4680
    @aminadaudi4680 5 років тому +6

    WASAFI TV nikama tuu TV nyingine nawala sio kwa sababu ndo tv ya wcb basi warushi nyimbo zao tuu amna uwo ni mtazamo wawatu wanje jinsi wanavyo ona wenyewe ila mond wala hata roho mbaya ya ubaguzi ndio maana anafanikiwa sana coz roho yake aina konyongo wala bifu na mtu yeye anaangalia maisha yake na pesa na kuishi na watu vizuri basiii😍😍😍😍

    • @RomanusTv
      @RomanusTv  5 років тому +1

      Umeandika point tupu

    • @ritherfintan1119
      @ritherfintan1119 5 років тому +1

      Nikwelii kabisa magazeti na mitanandao uwatengenezea team Katie ya kiba na mond lakini wakosawa mbona

    • @agostinomapigano3299
      @agostinomapigano3299 5 років тому +1

      Amina Daudi poa sana

    • @aminadaudi4680
      @aminadaudi4680 5 років тому +1

      Romanus Tv pa1 sana 👏

    • @aminadaudi4680
      @aminadaudi4680 5 років тому +1

      Rither Fintan sawa kabisa hawa waandishi wa habari ndo huwa wanaanzisha hayo mambo ya team

  • @husseinc
    @husseinc 5 років тому

    Wasafitv isaidie sanaa yenu icho ndo chamuim kuliko kumfikilia kiba nyimbo moja miaka 7 na hii juzjuz katoa wmbowa2012 yani ajielewi

  • @jildow4533
    @jildow4533 5 років тому

    Tz yetu. Na wote wanaipeperusha bendera hii ya Tz. Hivyo kama wamefanya ku shared muziki wa ndugu zetu Kutoka Kingmusicrecord wamefanya vyema. Mungu ndie muweza na anajua kwanini iwe hivyo.

  • @muhsinmsimu7115
    @muhsinmsimu7115 5 років тому

    kiba tatizo unachelewesha sana nyimbo.

  • @jumakapora2691
    @jumakapora2691 5 років тому

    Nyie waandishi wapumbavu sana acheni kuchonganisha watu waacheni wapige kazi apa kazi tu majungu kwenu waandishi """"""

  • @omalykipeto2390
    @omalykipeto2390 5 років тому +1

    Rajab abdul wasaf tv ni chaneli kama nyengne haimaanish ya wcb wacheni ushamb

  • @mkwandagaspar7098
    @mkwandagaspar7098 5 років тому +1

    Wasafi ndio maisha mzee baba

  • @windkazidi690
    @windkazidi690 5 років тому +1

    Ninachojuaga waandish ndiowachochez kumbe namashabikipia!acheni uteam mnafeli waswahiliwenzangu.( by wind the one)

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 5 років тому

    Ngoma ya Kiba na watoto wake ni kubwa kuliko kangaroo,na nyimbo zote za wasafi 2018

  • @mr.crazytv7649
    @mr.crazytv7649 5 років тому +7

    WCB ni kama media zingine

  • @stephennzaro643
    @stephennzaro643 5 років тому

    Hapo zarau kaka amefanya kitendo cha unyama sana kwa mwwnzake akumbuke pia yeye ana roho kama yy mbona umuone mwenzake kama kiatu...walllahi Mungu ywamuona.

  • @diamondplatnumznewsajm2053
    @diamondplatnumznewsajm2053 5 років тому +5

    Wasafi na Diamond haina tatzo na m2 ila wao wengine ndo wanamatatzo

  • @ziadajoisa8752
    @ziadajoisa8752 5 років тому

    Ifike mahali tubadike watanzani kwani muziki watanzania ni wetu sote kwahiyo japo NASIBU ni msanii anaweza ipenda ngoma ya ALLIKIBA na akaisikiliza na Kiba vilevile anaweza kufanya hivyo kwenye ngoma za Nasibu. Tusiwe wachochezi kwani hakuna anayejitosheleza kila kitu hivyo wanatakiwa kushirikiana kwani wao ndiyo kioo cha Tanzania .

  • @lenjeevara3407
    @lenjeevara3407 5 років тому +7

    wamepiga mbona wamepost

  • @willyhill7593
    @willyhill7593 5 років тому +2

    What I know Kiba Na Diamond have no beef,, if you know you know,,,hit my comment,,,from Kenya 254

  • @RomanusTv
    @RomanusTv  5 років тому +23

    watu wanashindwa kuelewa kilicho zungumzwa kwenye video,ni hivi = wasafitv wamepiga wimbo wa alikiba bila hata mwenyewe kuupeleka ofisini kama wanavyofanya wasanii wengine, *so kitendo hiki ni upendo wa dhati na MUNGU ATAWALIPA KWA HILI, fikilia kabla ya kutoa comment yako*

    • @etropiabrighton6365
      @etropiabrighton6365 5 років тому +1

      tatizo wanakurupuka tu na stress zao

    • @jayratumaulid582
      @jayratumaulid582 5 років тому +2

      Romanus Tv sio mapenzi tyu bali ni mziki umekubalika jaman ndo maan akaitwa king

    • @mohamedhamis9933
      @mohamedhamis9933 5 років тому

      Wapendane &kusupportiana tu sioni km ni xhida saaana..One love

    • @princehancesam9892
      @princehancesam9892 5 років тому +1

      Diamond nia yake mxiki ufike mbali zaid

    • @kaushibe_tz6478
      @kaushibe_tz6478 5 років тому

      Status yako inafanya watu waplay tujue ulivyo andika ni kweli acha uchochezi ms3ng3 nn

  • @misalabadotto6251
    @misalabadotto6251 5 років тому +1

    ngoma yetu nizur

  • @abdulahimohamed9480
    @abdulahimohamed9480 5 років тому

    Kama umesikia I don't sure like hapa

  • @georgeearthworker7981
    @georgeearthworker7981 5 років тому

    Mungu Awalipe Kwa Kipi Niwajibu Wao Kupiga Mziki Mzuri Hawawezi Leta Personal Ishu Kwenye Kazi So Kawaida Ongezeni Juhudi Kutuletea Habari Zenye Mashiko Sio Mambo Madogo Kama Haya

  • @benoseaone
    @benoseaone 5 років тому +15

    Waandishi wa habari ndio wachochezi wa migogoro.
    Ndiyo maana hata Serikali inavifungia vyombo vya habari visivyo na maadili kutorusha matangazo.
    Kiba na Chibu wote ni watafutaji so lazima kila mmoja apambane ili afanikiwe kuliko mwingine but haimaanishi kuwa ni maadui kiasi cha kutoshirikishana mambo yao.
    Kazi ya chomba cha habari ni kufukisha habari au ujumbe kwa wasikilizaji, watzamaji na wasomaji so wasafi tv wako kwenye majukumu yao.
    We mtangazaji acha roho mbaya ya uchochezi.
    Siku nikitoka na demu wako nadhani hata hatutasalimiana wakati yeye mwenyewe atakuwa karidhia.

    • @RomanusTv
      @RomanusTv  5 років тому +1

      Kwani kuna sehemu nimeongea vibaya ndugu? Ipi hiyo? Kama ipo nisamehe sana

    • @festoedward1902
      @festoedward1902 5 років тому

      Benedicto Hosea hahahahahaha

    • @ayubuhenry5426
      @ayubuhenry5426 5 років тому

      @@RomanusTv Labda amemanisha kichwa cha habari kama mtu hata watch mmh ataelewa makubwa

    • @elizacharles3147
      @elizacharles3147 5 років тому

      Benedicto Hosea Fact

  • @mohamedbakari9167
    @mohamedbakari9167 5 років тому +1

    Watangazaji punguzeni njaa,,Wasafi ni homa ya Dunia

  • @mwajayshekallaghe568
    @mwajayshekallaghe568 5 років тому +10

    Hata Iweje Kiba Ni King Him self Jesh La Mtu M1 Mungu Akucmamie zaidi

    • @feliciankazimoto8888
      @feliciankazimoto8888 5 років тому

      Leo ndo nimeamini kuwa mashabiki wa Kiba ni wapumbavu.

    • @samsonmusa7626
      @samsonmusa7626 5 років тому

      Jeshi la mtu mmoja hao wengineo akina abdu kiba, k2ga, cheed na Killy wao sio jeshi

    • @mufasamufas6023
      @mufasamufas6023 5 років тому

      Jeshi la watu 5

  • @cassianopatricioadiz6388
    @cassianopatricioadiz6388 5 років тому

    noma sanaaaaaaaaaaaaaaa

  • @romydmichael6434
    @romydmichael6434 5 років тому

    Nimependa sana

  • @davidavda2922
    @davidavda2922 5 років тому +6

    Mzk mzur utaimbwa ata choon

  • @valentinetesha7915
    @valentinetesha7915 5 років тому

    Ile ni media na wapo kibiashara so hawawez acha kupiga ngoma ya msanii mkubwa km Alikiba

  • @fransiskahaule3343
    @fransiskahaule3343 5 років тому +1

    Wameongeza views wasafi TV na wanapata pesa zaidi wasafi ni waroho wa pesa sana

  • @martleonardileonardi9241
    @martleonardileonardi9241 5 років тому +1

    Juu sana

  • @makasittt16
    @makasittt16 5 років тому +1

    Acha uzushi nae ngoma nzuri n nzuri mwenye kupiga apige lkn ngoma wazimu

    • @RomanusTv
      @RomanusTv  5 років тому

      uzushi upi sasa ndugu?

    • @makasittt16
      @makasittt16 5 років тому

      @@RomanusTv wajua nn kaka kma wasafi tv wamepiga hii nyimbo y kibaa tatizo likowapi, umenixhangaza kwa kusema wasafi tv wamemfanyia kiba kitendo kp kma wamepiga wimbo ndio vzur waendele mbele kaka

    • @RomanusTv
      @RomanusTv  5 років тому

      kitendo kinaweza kuwa kizuri au kibaya, watu wanashindwa kuelewa kilicho zungumzwa kwenye video,ni hivi = wasafitv wamepiga wimbo wa alikiba bila hata mwenyewe kuupeleka ofisini kama wanavyofanya wasanii wengine, so huu ni upendo wa dhati na MUNGU ATAWALIPA KWA HILI

    • @makasittt16
      @makasittt16 5 років тому

      @@RomanusTv ok swa kaka nimekuelewa vzur ss

    • @hassansadiki6163
      @hassansadiki6163 5 років тому

      +Romanus Tv
      siyo upendo wa dhati ni kazi yao
      alafu ninachoona mm diamond hausiki na uoangaji wa vipindi wasafi
      wala hausiki na uendehsaji wa TV
      hiyo kazi inawatu wenye professional za uendashaji wa TV
      tena akae mbali na usimamizi wa hiyo media atabaki kuwa brand tu peke yake

  • @harunimfaume6280
    @harunimfaume6280 5 років тому

    lakin kila sku wenyewe kati ya alikiba na mondi hawana bifu ila watu ndo tunawagombanisha kwann wasipige ngoma za kiba mondi hana bifu na ali kiba

  • @mkavutv2043
    @mkavutv2043 5 років тому

    safi sana bifu za nn jaman

  • @mariamsaidi3084
    @mariamsaidi3084 5 років тому

    Kwazo ndio nimefurah sana simba king 🤴 mpo juu msisikize mambo ya watu fanya kazi pesa iingie

  • @allihassan3188
    @allihassan3188 5 років тому +9

    ngoma Kali n Kali tu waicheze wasicheze

    • @RomanusTv
      @RomanusTv  5 років тому +1

      Duuh 😀😀😀😀

    • @salimaamir5561
      @salimaamir5561 5 років тому

      Kiba alisema utaicheza hata ukiwa chooni

  • @didierdrogbar2302
    @didierdrogbar2302 5 років тому

    production yako ya sound ni mbovu just fix it utastk stak

  • @laurentmichael1204
    @laurentmichael1204 5 років тому

    I see

  • @peacemakerrecord88
    @peacemakerrecord88 5 років тому

    pamoja sanaa

  • @wemakalam9415
    @wemakalam9415 5 років тому

    Mmmh

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 5 років тому +1

    Kwa wanaojuwa muziki huwezi linganisha nyimbo za matusi za wasafi na "Hela" ya kiba,ni nyimbo yenye message, haina mambo ya singida dodoma kitandani sodoma,sijui nipitishe boda la kule

    • @rosemaiko9405
      @rosemaiko9405 5 років тому

      Haji Mnubi waambie ,maana Nyimbo zao za rika Fulani Fulani, aibu kuimba watoto,wazee ,watu wazima wapo unakuwa huna Amani that's music Wa kuishi,bang bang tu kwa muda

    • @timothmwakakusyu4563
      @timothmwakakusyu4563 5 років тому

      Haji Mnubi hamna kibaya hapo

  • @chitwangaseif8162
    @chitwangaseif8162 5 років тому

    Unazngua mamaaaeeee zako Huna mpya

  • @beingharmonyharona4835
    @beingharmonyharona4835 5 років тому +9

    i don't sure😂😂stick to Swahili

    • @RomanusTv
      @RomanusTv  5 років тому

      HAHAHAHA!

    • @RomanusTv
      @RomanusTv  5 років тому

      😀😀😀😀

    • @meddy_upette9511
      @meddy_upette9511 5 років тому

      Hahaaaaa kabla cjaskia nlitaka nkuponde wewe ghafla nkaiskia..Lugha hiz jamn tunapata shda jah..

    • @RomanusTv
      @RomanusTv  5 років тому

      *Mills* 😀😀😀😀

    • @jbrillshetta8070
      @jbrillshetta8070 5 років тому

      I was so sure this post is from a kenyan.

  • @jumaiddy3636
    @jumaiddy3636 5 років тому

    Mbona headline zenu zinapishana na video zenu unazingua

  • @athumanbisudy4635
    @athumanbisudy4635 5 років тому +10

    Watanzania tuache ushamba iyo media inahaki ya kuonyesha chochote kile tuache maneno na tuache bifu zisizo tuhusu na tim zetu zisizo na maana

    • @RomanusTv
      @RomanusTv  5 років тому +1

      Kweli kabisa ndugu

    • @ramseyrmsy3366
      @ramseyrmsy3366 5 років тому

      Athuman Bisudy kabisa kaka maana hata Kiba angekuwa na roho mbaya angekataza Wasafi wasipige lakin sijawahi kumskia wala kulala mika hivyo wote wako sawa hawana shida tatzo ni ushabiki wakijinga na media zinaongoza kwa kuchonganisha baada ya kubuni vitu vizur ili ziendelee wao wanaendekeza chuki ili wapate pesa.

  • @aminamohd604
    @aminamohd604 5 років тому

    Jamani kiba na diamond hawana bifu ila sisi mashabiki ndio tunawatengenezea mabifu

  • @jumajxmart3653
    @jumajxmart3653 5 років тому

    frexh 2 ni vizur

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 5 років тому +10

    Mwisho wa siku kila mtu afanye muziki wake,lkn nyimbo za kiba zinaishi,tizama seduce mi na zilipendwa ambayo wasafi walijikusanya wote kuitengeneza ishindane na seduce me,Nani anajua sikiliza zilipendwa tena baada ya ule mwezi mmoja wa viewers,seduce hamna club inakosa kuupiga na ukipigwa mahali hata kama humpendi kiba utakugusa

    • @rashedmido4793
      @rashedmido4793 5 років тому

      B

    • @jastinmushi4031
      @jastinmushi4031 5 років тому

      Ni kwel kbs

    • @mufasamufas6023
      @mufasamufas6023 5 років тому

      Hatufanani Hayo ni mapenzi yako wewe kwa sababu kipimo kizuri angalia mpk sasa kati ya zilipendwa na seduce me ipi in views wengi seduce me imepata watazamaji wengi tena wengi sana kuliko hio seduce me yani nina maana hatufanani nikiwa na maana walioupenda wimbo wa seduce me ni watu milioni 10 na waliopenda wimbo wa zilipendwa wako milioni 25 kwa hiyo wewe upo kwenye ile list ya watu milioni 10

  • @mdouharuna6849
    @mdouharuna6849 5 років тому +1

    Ally kwan kafanya nn kwnye bongo fleva tuxm na ukwel king angepewa fully sky's or q chilla na wengn achen ugombnxh wa tz

  • @simonpadon6458
    @simonpadon6458 5 років тому

    Alie post hii habar mm namuona boya kwan haelew kaz media sasa hapo raajabu nn???

  • @irenei9480
    @irenei9480 5 років тому

    Team Kiba 100%

  • @amirmotors9735
    @amirmotors9735 5 років тому +3

    Mi sion ajabu kwan wasaf ni media kama zngne tu

    • @RomanusTv
      @RomanusTv  5 років тому

      Yah ni kweli

    • @victormboka4732
      @victormboka4732 5 років тому

      Kusaga hana roho kubwa sioni tatizo tv yake kucheza nyimbo ya msanii yeyote.

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 5 років тому +2

    Sisi sote niwakupita hatuitaji bifu chamsingi nikazi wcb 4life

  • @denismrema4062
    @denismrema4062 5 років тому

    Mbona ni editing kila kimacho onekana

  • @mahamudusuwedi440
    @mahamudusuwedi440 5 років тому

    Diamond ni fear boy

  • @ashanuru4234
    @ashanuru4234 5 років тому +12

    king kiba nakukuball

    • @mohamedkhatib5526
      @mohamedkhatib5526 5 років тому

      nyie mnawaza bifu wenyewe wanapiga mpunga hahahahaha twende kaz mziki mzur na mtamu king music mooko!!!!!!

    • @jayratumaulid582
      @jayratumaulid582 5 років тому +1

      Asha Nuru sanaa tyu yaan

    • @hoseanobocka4533
      @hoseanobocka4533 5 років тому

      Msimshindanishe Diamond na msanii yeyote East Africa ukweli unajulkana ,sasa washndani wa Diamond ni wizkid na davido ,tu kiba mshndanshe na akina aslay ,mbosso harmonize na wengne

    • @ashanuru4234
      @ashanuru4234 5 років тому

      Jayratu Maulid umeonaa eeee

    • @allizohhassan5964
      @allizohhassan5964 5 років тому

      Hosea Nobocka mziki n mashabiki asa ukisema ashindanishwe na kina mboso wamansha mashabiki wa alikiba mboso anseza washnda, that is not real my frinend truly kiba can only compete with diamond bt those small kinds ......think twice b4 u talk.

  • @kulwakasimulikombe2508
    @kulwakasimulikombe2508 5 років тому

    biashara na bifu ni 2 tofauti.biashara itabaki biashara na bifu litabaki bifu.

  • @diamondplatnumz5851
    @diamondplatnumz5851 5 років тому

    Sikuipenda hiiyo maana wcb ni watu si wazur

  • @mpilimieston9982
    @mpilimieston9982 5 років тому

    Eti kiba juu kakimbia mziki kaende kwenye mpila wakati huko kuna kagere na okwi na kichuya

  • @azizikapakapa3831
    @azizikapakapa3831 5 років тому +1

    Mwambie Sina

  • @ericbajeme
    @ericbajeme 5 років тому

    Achaga usenge wew kichwa cha habar na maudhui ya video havifanani unakua Kama sio mwandishi

  • @salmaothman153
    @salmaothman153 5 років тому +18

    Hata wasipopiga bado itaendelea kuwa juu kiba ndiyo kiba

  • @dailummala3792
    @dailummala3792 5 років тому

    lazima wapige coz wanamkubali wcb wote wansmueshimu king kiba na watz wote tunamkubali king kiba

  • @allymapande7241
    @allymapande7241 5 років тому

    hebwana heee king kiba yuko juu xana kwa vi2 vyake anavo towa

  • @princehancesam9892
    @princehancesam9892 5 років тому +1

    Wasaf hawana roho ya korosho

  • @eddiemnene3022
    @eddiemnene3022 5 років тому

    Hivi wasafiTv ni ya Diamond???

  • @muhsinmsimu7115
    @muhsinmsimu7115 5 років тому

    mtesema sana kiba yuko poa tu saba

  • @rhinaamiry8535
    @rhinaamiry8535 5 років тому

    Kiba ana eshimika sio hao wavaa vikuku

  • @stanfordkifaru6257
    @stanfordkifaru6257 5 років тому

    Kweli kaka wabongo shida kwnn tuweke ubaya wa watu sisi sote ni binadamu

  • @misalabadotto6251
    @misalabadotto6251 5 років тому +1

    hata waache kuipiga

  • @bushratshabani4757
    @bushratshabani4757 5 років тому

    Nyie ndio baadhi ya media ambazo unachochea matatzo ku...a zenu

  • @raheemidy1245
    @raheemidy1245 5 років тому

    I don't sure....dayyyym

  • @yusuphuhakwea8896
    @yusuphuhakwea8896 5 років тому +1

    Hayeni bwana kwa uchonganishi wenu

    • @vannymudamadi5403
      @vannymudamadi5403 5 років тому

      Wcb danger kiba na mbwa wenzie wajipange kuma aoh

  • @ramadhanirashid7798
    @ramadhanirashid7798 5 років тому

    Tatizo tumeshazoea majungu mond anatuonyesha upandemwingine wa shilingi kwani nyimbozote za nje zinaretwa na wasaniii

  • @egbertrwiza6120
    @egbertrwiza6120 5 років тому

    Kumbe wa2 hamuangalii mpaka mwisho

  • @benjaminkalevela1380
    @benjaminkalevela1380 5 років тому

    Wasaf akil kubwa sana zile

  • @vediantazvedastus6107
    @vediantazvedastus6107 5 років тому

    hiv we mtangazaji ulisomea hii kaz au ulipewa ada ukaitumia ktika mambo yako ... anyway sijaona ulichoongea zaid ya UCHOCHEZ af hujui kiswahili

  • @abrahmansleiman9743
    @abrahmansleiman9743 5 років тому

    Hatakama haunipendi utakimbia tu hata ukiwa chooni

  • @kisongo7985
    @kisongo7985 5 років тому

    we unataka kukuza beef tuu kwan shida ipo wapi hapo

  • @dullahmakongo5210
    @dullahmakongo5210 5 років тому

    Muda mwingine mnashindwa kuweka vitu vya maana

  • @jamesm.darnes640
    @jamesm.darnes640 5 років тому

    Wasafi hawana mda wa kubifu na mtu ambaye hana hata muelekeo. Wanamsaidia tu.

  • @samrankingfire5009
    @samrankingfire5009 5 років тому +1

    Mafara ninyii

  • @jeremiahmwasapilicharlie2926
    @jeremiahmwasapilicharlie2926 5 років тому

    mkubwa hawez gombana na mdogo jamaniii ,mond msanii wa Dunia na kiba ni wa afrika Tuy , ugomvi wa nm

    • @rosemaiko9405
      @rosemaiko9405 5 років тому

      mwasapili mwasa ni mtazamo wako watu tunafika hizo nchi Na hawamjui,Na Ali ajulikana,,kwa nguvu nyingi anatumia kiki skendo ,Lucifer's, music mzuri hauitaji nguvu nyingi bro,mbio za sakafuni tu tuombe uzima kwa mungu tuone

    • @jeremiahmwasapilicharlie2926
      @jeremiahmwasapilicharlie2926 5 років тому

      Rose Maiko unauhakika anatumia mashetan

  • @jamesmwakitalima96
    @jamesmwakitalima96 5 років тому

    Ulikua unataka tu views huna jipya

  • @heriramadhani8231
    @heriramadhani8231 5 років тому

    Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wakuache.

  • @raphaelmakori2881
    @raphaelmakori2881 5 років тому

    Umeanguka rudi ucheze mpira..
    Kechezwa kwa ngoma yako amna shida ju n TV inaonyesha kila msanii niaje uko na lalama..
    Diamond ana noma na wwe acha mambo za watu

    • @dailummala3792
      @dailummala3792 5 років тому

      akili auna mziki nzur utapigwa kila sehemu kiba fundi wcb wote akuna asiyewahi kuimba mziki wa kiba pindi wanasoma hata ww umeimba sana hila unaleta ubishi tu

  • @bin_mussa_hondabike4860
    @bin_mussa_hondabike4860 5 років тому +1

    Ebwan wameon km umoja ni nguv

  • @Habarika-onlinetv
    @Habarika-onlinetv 5 років тому +5

    Mond simba ni m2 wa wa2 so so ana mambo ya kitoto kama ayafanyayo alikib

  • @wilsonmhaku60
    @wilsonmhaku60 5 років тому +23

    Hata kama hawatapiga kitu kizuriii ni kizuriii tuu kiba juuuuu

  • @wacmber2131
    @wacmber2131 5 років тому +1

    Huu upuuzi wenu nyie watu wa media ndio unaosababisha chuki ulimwengu mzma sasa wasafi TV c ni TV kama nyingine tu kwani ni lazma wafanye kazi mtakavyo nyie acheni kukonganisha wasanii kama hamna cha kupost kakojoeni mlale

    • @RomanusTv
      @RomanusTv  5 років тому

      Sasa kwenye hayo maelezo yote kuna sehemu tumechonganisha?

  • @kibokoyaotz4509
    @kibokoyaotz4509 5 років тому

    Kwani wasafi tv mnamjua mmiliki wake....au ndio mnaangalia vichwa vya habari na sio habari halisi....waandishi uchwara...diamond ni km balozi tu wa wasafi

  • @uwimanaraoul6824
    @uwimanaraoul6824 5 років тому +1

    Sasa sinisawatu

  • @ngumaonline5550
    @ngumaonline5550 5 років тому +11

    Wcb awana ukabila

  • @abdiazizabdullahi6879
    @abdiazizabdullahi6879 5 років тому

    I dont sure😂

  • @mohamedbakari9167
    @mohamedbakari9167 5 років тому

    Nyimbo yenyewe mbaya

  • @josephmnama5102
    @josephmnama5102 5 років тому

    tukio lakuzamakivuko

  • @azezaalkh8536
    @azezaalkh8536 5 років тому +1

    kwani kipi kibaya

  • @raymondkanyama6387
    @raymondkanyama6387 5 років тому +1

    unafiki tu

  • @erasmusnzibonela5151
    @erasmusnzibonela5151 5 років тому

    Daimond awezishindana na mtu mdogo kiasi iko