Taarab Maulidi Juma(mume ni moshi wa koko)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 211

  • @mufamozmufash166
    @mufamozmufash166 6 років тому +11

    I miss you mum R. I. P kila nikisikia nyimbo ya maulidi I feel wil see yu around, mother for real your wings were read and fly out, but as a son my heart was not ready, Plz R. I. P til we met again there. Allahu huma arham her kama rabayani saghira ya Rabi.

  • @AMIR_MANGISI
    @AMIR_MANGISI 5 років тому +13

    Old is Gold. Reminds me of my Late Mum....May Allah Grant her Jannat

    • @moharhussayn8
      @moharhussayn8 4 роки тому

      Tazama nyimbo ya balo wema
      ua-cam.com/video/wDlgjectDNQ/v-deo.html

    • @salmaguni6806
      @salmaguni6806 4 роки тому +1

      Wewe kama mimi jamani, nahisi kulia wallah, mwenyezi Mungu awaangazie nuru katika makaburi yao..daaaah

  • @UmmuSamrat
    @UmmuSamrat 11 місяців тому

    Yanikumbusha wazazi wangu Allah aniewekee kongamoyo yanikumbusha nilipo nolipokumdogo mama yangu anipa nasaha huko niendapo love u mom❤

  • @RamaMwatero
    @RamaMwatero 12 років тому +8

    Real message to our sisters!
    Asiyeshika haya ni mzuzu maishani! Bless Maulidi Juma and Party! Mombasa raha!

  • @ayshaysh3326
    @ayshaysh3326 6 років тому +17

    Dah. Hizi nyimbo zanikumbusha marehemu Mamangu. Allah ampe kauli thabit Amin

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 6 років тому +7

    Pwan Oyeeeeeeeeeeeeeeee

  • @ahdal5288
    @ahdal5288 6 місяців тому +2

    Hii ndiyo taarab sio uchafu wanapiga sasa hivi rubish

  • @mohammedsema7837
    @mohammedsema7837 10 місяців тому

    The favorite artist of my late mother

  • @salamahmngoya2932
    @salamahmngoya2932 2 роки тому +4

    Nmemkumbuka bibi na shangazi zangu tanga.....dada angu akiwa anaolewa barabara3 Kwa mumewe brbr14....weeeee

  • @feisal38
    @feisal38 Рік тому

    Hizi ndio ilikua taarab old is gold.

  • @bijumakassim3697
    @bijumakassim3697 5 років тому

    Asante babu zama za kina Bibi hizi na kina mama wasia Mzuri Sana

  • @saidaabdalla5098
    @saidaabdalla5098 7 років тому +4

    Natafuta nyimbo ya maulid juma naituma dua yangu

    • @nabwamzeeloo8863
      @nabwamzeeloo8863 7 років тому

      nipe number

    • @moharhussayn8
      @moharhussayn8 4 роки тому

      @@nabwamzeeloo8863 Tazama nyimbo ya balo wema
      ua-cam.com/video/wDlgjectDNQ/v-deo.html

  • @Gangalamu
    @Gangalamu 5 років тому +1

    What a song and his best lyric ist and wasia wa mke kwa mume. Wwwwwoooowwwwwwww

    • @phirimwase3004
      @phirimwase3004 2 роки тому +1

      please kindly share the meaning of the song I like but am unable to understand the massage

  • @mariabahati1264
    @mariabahati1264 5 років тому +2

    My Grand father Maulidi Juma i love you somuch babu no one like you

  • @saimmohamed9807
    @saimmohamed9807 8 років тому +1

    mashallah, asanta kwa kuweka hizi nyimbo humu. ongezani nyimbo basi mtupe rrrahha.

    • @moharhussayn8
      @moharhussayn8 4 роки тому

      Tazama nyimbo ya balo wema
      ua-cam.com/video/wDlgjectDNQ/v-deo.html

  • @SalimSalim-vd5nb
    @SalimSalim-vd5nb 8 років тому +3

    wasia huwo watoto wakike maulidi upo juu

  • @yahyaawadhmodel91
    @yahyaawadhmodel91 8 років тому +4

    Safi....Safi kabisa..... vugooo la hakika na Ukweli...fateni wasia ...mufanikiwe muidhi vyema..

  • @zirabaabasa6373
    @zirabaabasa6373 3 роки тому

    Asanta kwa kuweka hizi nyimbo humu. Allahummah Ameen

  • @chikukhamis7792
    @chikukhamis7792 7 років тому +3

    Santa Babu....Usipo waka moto utafuka moshi...manenozzz

  • @Gangalamu
    @Gangalamu 7 років тому +2

    the best wasia wa mke kukaa na mume

  • @fatmaswaleh7278
    @fatmaswaleh7278 5 років тому +2

    Wasia jmn...mung aniweke mamang

  • @UmmuSamrat
    @UmmuSamrat 11 місяців тому

    Hizi ndo nyimbo Sasa mpaka Raha inakonga moyo yanikumbusha mbali sannaaa

  • @ashakea6758
    @ashakea6758 3 роки тому

    Mawaidha tosha maulidi juma hatujakusahau

  • @khadijamzee7304
    @khadijamzee7304 8 років тому +4

    Asante sana kwa wasia baba mkwe wangu

    • @moharhussayn8
      @moharhussayn8 4 роки тому

      Tazama nyimbo ya balo wema
      ua-cam.com/video/wDlgjectDNQ/v-deo.html

  • @khalidkitito7644
    @khalidkitito7644 4 роки тому +1

    Tunamuenzi Maulidi Juma Swahili Culture siku ya Jumamosi tarehe 15/02/2020 saa tatu asubuhi. Nyote mwaalikwa, yeye mwenyewe atakuwako inshaalah! Atupe wosia! Nyimbo zake ni adhimu na ujumbe wake uko hai hadi sasa.

  • @zuhuramwawimo997
    @zuhuramwawimo997 6 років тому +6

    hahaha haraaaaaaa babu tupe raha ndani ya Saudi 🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋

  • @majjitu
    @majjitu 12 років тому +1

    Asente sana kwa makumbusho haya na wasia hapo ni mujarabu kabisa.pigwa kwa mengine lakini nje usende!! MJ ROCKS

  • @marwaibrahim8696
    @marwaibrahim8696 5 років тому +1

    Ahhh😢nakumbuka mwambasanii..

  • @saadarahman7172
    @saadarahman7172 6 років тому +3

    Hoyaaaa mjombo hapo chacha SAUDI ARABIAN

  • @abdiothman346
    @abdiothman346 Рік тому

    Hizo ndio nyimbo,kwa sisi tujuawo

  • @mohammedabdulrahim6667
    @mohammedabdulrahim6667 6 років тому +2

    JAMANI NATAFUTA WIMBO WAJUMA BALO UNAOITWA INGAWA KWAHERI HUKUNIPA NYONDA,NITAKUSUBIRI MADAMU NAPENDA, ALIENAO NAOMBA ANIPATIE,

  • @ummyleylahadya5202
    @ummyleylahadya5202 7 років тому +5

    "Heri pigwa kwa mengine sipigwe kwa kwenda njee" halloooooo!!

  • @ShabanAsman-z8v
    @ShabanAsman-z8v Рік тому

    Baby uko juu😊

  • @amneghaniya6190
    @amneghaniya6190 9 років тому +1

    Swadakta, Wasia mzuri.

  • @khadijayussuf5649
    @khadijayussuf5649 6 років тому +3

    Babu uko juu

  • @zamzamhamisi7332
    @zamzamhamisi7332 6 років тому +1

    Hodiiiiiii bora atimize jiko na mengine kadhalika

  • @chizikombo308
    @chizikombo308 2 роки тому

    Pumzika peponi babangu nikisikia hii nakukumbuka baba

  • @didahababu1894
    @didahababu1894 6 років тому +2

    from Egypt napata burugani

  • @hemedwow8802
    @hemedwow8802 6 років тому

    Gomba wapi jamaaaaaaaan!!! Mume ni moshi wa koko.

  • @mkamburilucia4001
    @mkamburilucia4001 9 років тому +1

    Nice message to every lady..Tuambie ukweli wa mambo.

  • @aishaelias5781
    @aishaelias5781 3 роки тому +1

    Dead!!!?😳😮😮😮😮huyu alikuja kuimba kwa harusi yangu jamani 😭😭😭😭😭niko Germany 🇩🇪🇰🇪

  • @mejumaamabrouk9087
    @mejumaamabrouk9087 8 років тому +1

    umesema kweli mnyika mume ni moshi wa koko

  • @zeynebsalim1879
    @zeynebsalim1879 8 років тому +1

    keep da candle burning babuu maulidi juma

  • @mia_playz9759
    @mia_playz9759 9 років тому +1

    best song ya wasia wa mke kwa mumewe

  • @mwanamisigulu2401
    @mwanamisigulu2401 5 років тому

    Zama izo nikiwa +254....MashaAllah babu taarab zko zina mafunzo

  • @babalaoosman3328
    @babalaoosman3328 5 років тому

    IKOLOVEEE MZEE WETU.WE LOVE'S YOU SO MUCH.

  • @baazzamd4
    @baazzamd4 7 років тому +2

    huno ni wasia wako mwanangu nakupa shika.. mume ni moshi wa koko!. bora atimize jiko na mengine kadhalika.. wasia mzito huooo.. babu umeturegesha miaka ya 90 tukikufuata popote pale uendapo. Kisauni hadi ukunda... babu maulidi hoyeee!!!!!!. wimbo usiochakaa wala kuisha hamu.. chunga heshima yako upate kustirika!!!!...mmhh mmmhhh.. mwanangu hee mwanangu heee mwanangu..

  • @swalhaomar162
    @swalhaomar162 4 роки тому +1

    Maulidi hoyyeeee

  • @omarali1779
    @omarali1779 9 років тому +2

    Assalam alaykum. hoyeee!!Maulidi

  • @mariamomar6588
    @mariamomar6588 8 років тому +1

    wasia mzurii babu

  • @Kipendaroho123
    @Kipendaroho123 2 роки тому

    Pia twaitaka kijakazi Sada song

  • @winniemwangoa1125
    @winniemwangoa1125 5 років тому

    Nyimbo Ni hizi sio matusi na kuvaa uchi

  • @noorabubakar4249
    @noorabubakar4249 7 років тому +6

    Taaaraaab zamani

  • @skblackbarbie6067
    @skblackbarbie6067 2 роки тому

    2022😭😭😭😭😭😭I love this old man ah😄😄♥️♥️♥️♥️

  • @mufamozmufash166
    @mufamozmufash166 6 років тому

    Siandame malimwengu, malimwengu wengi yaliwavunjia

  • @faridabakari8511
    @faridabakari8511 8 років тому +3

    eahh mama wasiaa mamaa sikikizaa dadaa

  • @a.856
    @a.856 5 років тому

    Wasia mzur baba

  • @mizemwafrika2146
    @mizemwafrika2146 6 років тому +1

    Babu oyeeeee

  • @shamimhussein1351
    @shamimhussein1351 8 років тому +2

    wasia nimeusikia babu 👌

    • @mariamk1488
      @mariamk1488 8 років тому

      shukran sana maulidi j..

  • @abduljumaa7898
    @abduljumaa7898 6 років тому +1

    Babu Weeee Wacha..

  • @mariamumbapirafreefaturt9644
    @mariamumbapirafreefaturt9644 3 роки тому

    Hatari enzi za uhai wake

  • @riazshaikh8577
    @riazshaikh8577 5 років тому

    Zamani hii sasa hivi wanawake michepuko wamechipuka

  • @romariozagalos3981
    @romariozagalos3981 11 років тому +2

    Mambo na watu-nchi ulipkauka si rewee mwanangu

  • @fahadabubaker7007
    @fahadabubaker7007 8 років тому +3

    khadija wimbo wataka leso alafu pole pole

    • @moharhussayn8
      @moharhussayn8 4 роки тому

      Tazama nyimbo ya balo wema
      ua-cam.com/video/wDlgjectDNQ/v-deo.html

  • @vdm2ooo
    @vdm2ooo 4 роки тому +1

    Отличная песня (NICE SONG)

  • @sureladykiba5608
    @sureladykiba5608 5 років тому +1

    MashaaAllah taratibu 🤗🤗🤗

  • @yahyasaleh2129
    @yahyasaleh2129 9 років тому +2

    dis iz really good advice to our sisters

  • @faridamahir2338
    @faridamahir2338 Рік тому

    Mashllh

  • @saumumwantumusaumu4131
    @saumumwantumusaumu4131 4 роки тому

    Mume nimoshi wa Koko nikweli kabisa babu

  • @milhatbela7306
    @milhatbela7306 8 років тому +2

    naipenda xana hii song

    • @moharhussayn8
      @moharhussayn8 4 роки тому

      Tazama nyimbo ya balo wema
      ua-cam.com/video/wDlgjectDNQ/v-deo.html

  • @biabumwaruwa3795
    @biabumwaruwa3795 5 років тому

    Yani hii nyimbo lazima ujizuge polepole hata ukiwa umekaa😀😀😀😀

  • @zuhurakassu1427
    @zuhurakassu1427 3 роки тому

    Ujumbe mashallah

  • @AminaSaid-dk3yp
    @AminaSaid-dk3yp 8 місяців тому

    Kweli mume nistara

  • @sadakhamis1261
    @sadakhamis1261 6 років тому

    Saiv ndoa zimekua ndoa na...

  • @monasadi7629
    @monasadi7629 5 років тому

    Santhaa babuu

  • @MohammedAli-up6cu
    @MohammedAli-up6cu 5 років тому

    Wimbo unamambo mengi ya kuzingatia, unaburudisha nahauna matusi

  • @fatimahfatma.3311
    @fatimahfatma.3311 9 років тому +1

    tupe raha maulidi juma unamazito moyo

  • @abukulthum
    @abukulthum 12 років тому +1

    usiyaandame malimwengu mama....shukran @mtaamuini
    ...

  • @saab20122013
    @saab20122013 9 років тому +1

    Samira malimau:tupe wasia babuuuuu aaaaah:be blessed mr maulid:wadaaaaaah....

    • @moharhussayn8
      @moharhussayn8 4 роки тому

      Tazama nyimbo ya balo wema
      ua-cam.com/video/wDlgjectDNQ/v-deo.html

  • @halimaanzazi718
    @halimaanzazi718 4 роки тому +1

    Mke.nimwenye.adabu

  • @halimamasudi8301
    @halimamasudi8301 6 років тому +1

    heeee,sisemi kitu

  • @ilhamahmed3494
    @ilhamahmed3494 6 років тому +1

    maneno mazur

  • @hawaalaly1194
    @hawaalaly1194 7 років тому +4

    Babu wasia naufata mjukuu

    • @munirali256
      @munirali256 6 років тому +1

      Hawaa Laly wasia wataka moyo si mchezo

    • @moharhussayn8
      @moharhussayn8 4 роки тому

      @@munirali256 Tazama nyimbo ya balo wema
      ua-cam.com/video/wDlgjectDNQ/v-deo.html

  • @halimaali2963
    @halimaali2963 9 років тому +1

    maulidi juma tupe rahaa

  • @rehemakazungu471
    @rehemakazungu471 5 років тому

    Babu safi

  • @fatumakaniki5325
    @fatumakaniki5325 6 років тому +1

    maneno kuntu👌

  • @dadymuhina4375
    @dadymuhina4375 10 років тому +1

    Hapo Barbara nakumbuka hm kabisa.

  • @salimmagadog959
    @salimmagadog959 5 років тому

    Big up babu

  • @salwasaid4425
    @salwasaid4425 7 років тому +1

    Na kumiss babangu

  • @sufianihoza3098
    @sufianihoza3098 3 роки тому

    Safi sana

  • @jaffarmwazecha6826
    @jaffarmwazecha6826 3 роки тому

    Ujumbe mufti

  • @sophiahassan7488
    @sophiahassan7488 4 роки тому

    Masha Allha

  • @mishijuma6326
    @mishijuma6326 6 років тому +3

    Wasia jamani huu

  • @nurufareed6785
    @nurufareed6785 4 роки тому +2

    Namupate sitara jamani

  • @zuhurakassu1427
    @zuhurakassu1427 3 роки тому

    Swadakta naupenda

  • @majaliwaabdalla5844
    @majaliwaabdalla5844 7 років тому +1

    wasia wa maana

  • @lacicass8288
    @lacicass8288 7 років тому +1

    Mume ni moshi wa koko usipowaka hufuka,patamu hapo!

  • @kadijakadija6170
    @kadijakadija6170 5 років тому

    Mashaallah is

  • @aisshamohamed3452
    @aisshamohamed3452 8 років тому +17

    natamani baba angenipa wasia kama huu

  • @zuhuramwawimo997
    @zuhuramwawimo997 6 років тому +1

    babu maulidi juma