#live

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 65

  • @Tabibuibrahimu
    @Tabibuibrahimu 3 місяці тому

    Sawa anaweza kucheza Yanga lkn mshahara WA Million 25 sio kweli Acha Uongo .

  • @vicentnyanda828
    @vicentnyanda828 4 місяці тому +3

    We hujielewi ndo maana Friji bovu,Kafie kwa mwarabu koko

  • @Shekhan851
    @Shekhan851 4 місяці тому

    Iko haja ya Watanzania kuijua vzr lugha yetu.
    Utaona mtu anaandika ovyo ovyo penye L anaweka R penye penye neno lolote la kukataa lazima uanze na herufi H mfano: Hayupo,Haendi,Hataki,kaiharibu lkn wengi uandika: aendi,ataki,ayupo,kaiaribu hii nia aibu lugha yetu wakosee wageni sio sisi nawasilisha.

  • @fadhilinyengo8262
    @fadhilinyengo8262 4 місяці тому +1

    HERS aialibu Simba, vuongozi wa Simba ndio wanayoialibu Simba

  • @Moto1234-jl5ti
    @Moto1234-jl5ti 4 місяці тому

    Jamani binadamu uwezi kumurizidha Mimi nashukuru tu timuyangu yanga oooe nipo omani masikati nawafatria vizuri sana

  • @LinjeDc
    @LinjeDc 4 місяці тому

    Friji bovu, hapo umechemka sana siyo kweli kuwa wanachama wa Simba hawampendi Chama, tumia neno baadhi, na fahamu kuwa wapo pia Wanayanga ambao hawamuhitaji Chama kwa kuwa wanaona wanajitosheza, ACHA KUONGEA MAONO CHONGANISHI

  • @PhilomenaSteven-x9h
    @PhilomenaSteven-x9h 3 місяці тому

    Acha uwongo Chama icho ni Cha wapi

  • @ShadrackOwigo
    @ShadrackOwigo 4 місяці тому

    friji bovu kwer simba hawampendi chama nyooo!!

  • @benjaminnelson4834
    @benjaminnelson4834 4 місяці тому +3

    sio kweli Sasa kama mchezaji atakianakimbia unafanyeje ,futiria Jemedali alichoongea kuhusu kibu sio unaongea TU

  • @magidalenarauya4286
    @magidalenarauya4286 4 місяці тому

    Wanamlipa hela hiyo yote chama kwa kitu gani tafuteni mchezaji mwingine hana jipya kulinganisha na wachezaji wetu yanga,kwanza mzee

  • @danideuli5313
    @danideuli5313 4 місяці тому +1

    Huyu friji bovu naona habari zake naye ni za makisio tu.

  • @benjaminnelson4834
    @benjaminnelson4834 4 місяці тому

    We friji bovu aliponi Tena yaani yanga waiyaribu Simba sio kweli kaondoka okwi kaenda yanga Simba IPO pale pale wakina mogella, SHABANI Radhani, wengi wameenda yanga kaseja,

  • @timothmathiasmwakimbwala9455
    @timothmathiasmwakimbwala9455 4 місяці тому

    It's a goalllllll😊

  • @ahmedomar3020
    @ahmedomar3020 4 місяці тому +1

    friji bovu na makalio mabovu pia

  • @ekimnkande2873
    @ekimnkande2873 4 місяці тому

    Ukisema uongo sisikilizi tena

  • @kaberwarutachweka179
    @kaberwarutachweka179 4 місяці тому +1

    Ongeza na CEO wa Yanga Mtine ni wa kwao.

  • @RahmaMadani-gy6ge
    @RahmaMadani-gy6ge 4 місяці тому +1

    Kaka umeongea point ila wana simba wamepanik

  • @benedictodaniel1842
    @benedictodaniel1842 4 місяці тому

    Kibu siyo mtu pale manguvu mengi

  • @Shekhan851
    @Shekhan851 4 місяці тому

    Hapa chini kuna mtu kaandika hauwezi kumrizisha kila mtu neno sahihi ni kumridhisha kila mtu.

  • @buberwamujungu6987
    @buberwamujungu6987 4 місяці тому

    Mtaongea Sana kuwafuraisha hao yebo yebo mtabaki na Arufu lkn amli

  • @annalubango9899
    @annalubango9899 4 місяці тому

    Hebu tujadili steel bando kaitumia wewe huku akiamini yupo sahihi

  • @kwangahudispensary7238
    @kwangahudispensary7238 4 місяці тому

    Simba ondoeni wachezaji wote,,,anzzeni upya,,,hicho kizazi kinatakiwa kuondoka

  • @RamaUrembo
    @RamaUrembo 3 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hatari sana jilaniiiiiiiiiiii😅

  • @Smart_jarm
    @Smart_jarm 4 місяці тому +2

    WANATAKA KUIARIBU AU KUIHARIBU? ONLINE TV MNATIA AIBU NDUGUZANGU😮

    • @fredmbossa-kc3qn
      @fredmbossa-kc3qn 4 місяці тому

      kuiharibu

    • @EdinaPastory
      @EdinaPastory 4 місяці тому

      Kiswahili hujui

    • @fredmbossa-kc3qn
      @fredmbossa-kc3qn 4 місяці тому

      neno aribu lazima uandike haribu,,
      neno uaribifu huandikwa uharibifu
      mwandishi yupo sahihi kumbuka waandishi wa habari wamejikita zaidi kwenye kusoma hadi lugha

    • @fredmbossa-kc3qn
      @fredmbossa-kc3qn 4 місяці тому

      mwandishi yupo sahihi kabisa ni kuiharibu✅

    • @victaboy7273
      @victaboy7273 4 місяці тому

      Unajifanya mjuaji pimbi wewe

  • @CyprianChuwa
    @CyprianChuwa 4 місяці тому

    Ok

  • @paulkapiki2779
    @paulkapiki2779 4 місяці тому

    maneno mengi unaongea kuhusu chama ila ni wewe mwenyewe uliwahi kumbeza huyo huyo unaemsifia leo .broo maneno yako yawe na akiba kesho mtambeza na kumuongea vibaya ni nyie nyie ndio mtakae msema hovyo this is bongo,wenzetu wako kimaslahi sio kama uanavyotazama au kuliongelea kama unavyoongea.

  • @abdallahakida7908
    @abdallahakida7908 4 місяці тому +1

    Sasa ndio wanasema oohh mchezaji mkubwa acha tuone kama atakua na upepo kama ule wasimba na naamini yanga mtalia ninazandani huenda mkamkosa mtu hapo jangwqni

    • @bentvmedia
      @bentvmedia  4 місяці тому +1

      nani huyo ebuu nigeee😁😁

  • @dominickiungulia1016
    @dominickiungulia1016 4 місяці тому

    Fridge bovu ni ukweli mtupu anaongea, viongozi pamoja na Mwekezaji Mo wajitafakari kwa Sasa Mpira ni fedha, kama pesa ipo utapata wachezaji wazuri!

  • @buberwamujungu6987
    @buberwamujungu6987 4 місяці тому

    Wewe mtangazaji hakili yako aipo sawa unayoongea hayana mantiki!

  • @LilianBitwale
    @LilianBitwale 4 місяці тому

    Huu ndo ukweli ambao koro hataki kuskia😂😂😂 ukitaka kuthibitisha hivo cheki coment 😅😅

  • @Joycekwolola7
    @Joycekwolola7 4 місяці тому +1

    Kaka mwandishi unamdoboa mwenzio na kidole usifanye hivo wengine hawapendagi wanavimiliaga tu

    • @bentvmedia
      @bentvmedia  4 місяці тому

      bora umesema wewe 😁 ataniuaa

    • @Joycekwolola7
      @Joycekwolola7 4 місяці тому

      @@bentvmedia mtu anavumilia tu unavyomdoboa na kidole na kumshika kufuani angalia kwanza rangi ya nguo alioivaa kuacha na nguo sio vizuri hata kama mkono unakuwa msafi mwambie samahani eneo Hilo abadilike hata kama story au interview imenoga asimdoboe mtu wengi hawapendi ila hawawezi kusema

  • @DONALDYOWAS-rr7tz
    @DONALDYOWAS-rr7tz 4 місяці тому

    Achausenge unaongea usenge usenge tu

  • @buberwamujungu6987
    @buberwamujungu6987 4 місяці тому

    Mtakula mchuzi lkn minyama amuifikii

  • @annalubango9899
    @annalubango9899 4 місяці тому

    Steel bando inatutesa 😂

  • @januarysungura8119
    @januarysungura8119 4 місяці тому +1

    Acha ujinga wewe , kwani usajili wa yanga unafanyika kwa utaratibu upi alihali timu imefungiwa wewe

  • @abdallahakida7908
    @abdallahakida7908 4 місяці тому

    Hizo nistory

  • @buberwamujungu6987
    @buberwamujungu6987 4 місяці тому

    Kwani hao yanga Wana ubora gani?wako nafasi yangapi Afrika?!

  • @MachondaMtoto
    @MachondaMtoto 4 місяці тому +1

    😂😂😂😂😂

  • @ahmedomar3020
    @ahmedomar3020 4 місяці тому +1

    kalee ugali na dagaa ww njaa inakusumbua, upambee ndio mboga mboga kuu

  • @buberwamujungu6987
    @buberwamujungu6987 4 місяці тому

    Ww huna hakili nzuri nyote mnaongea ugoro tu

  • @buberwamujungu6987
    @buberwamujungu6987 4 місяці тому

    Akili yako ww wa miwani nikama tope

  • @pierrefilm7078
    @pierrefilm7078 4 місяці тому +1

    Mimi nilijua wanaovaa Miwani Wana akili kumbe vilaza tu umevaa tai kumbe zuzu tu

  • @enockmwampiki
    @enockmwampiki 4 місяці тому +1

    Mzee wa friji bovu hebu rudia kuichambua combinations ya chama, azizi na pacome hapo naona migongo wazi povu linatoka kinoma

  • @LeonidasStephano
    @LeonidasStephano 4 місяці тому

    Hakuna mchambuzi hapo mpuuzi tu

  • @Komdomhando59
    @Komdomhando59 4 місяці тому

    Wanazi wa simba bwana, vigeugeu kweli. Mchezaji akiwa Simba wanamsifu kweli na kumpamba. Sasa aondoke Simba, laaa! Watamnanga na kumkashfu balaa. Mala ookilema, mala ookipofu, mala oohafai, yaani shida kwelikweli

  • @mohammedgulamali8849
    @mohammedgulamali8849 4 місяці тому

    Huyu Chama alikwa ana hujumu Simba alikwa ana rafiki na upande wa pili. Wacha aondoke. Hatumtaki ame hujumu sana Simba.

  • @leonardfungo
    @leonardfungo 4 місяці тому

    Uzushi Nyuma mwiko mnakitanzi na Fifa acheni ulozi.

  • @MawazoKitumbo
    @MawazoKitumbo 4 місяці тому +1

    Waache wajicbukulie Wala hamna shida kwanza nikilema

  • @charleskuyeko1660
    @charleskuyeko1660 4 місяці тому

    Wee mjinga mpuuzi unasema Simba haijawahi kuwa bora kama yanga au kuzidi? Huo ni uchawa wa kipumbavu. Hujui Simba imesha cheza Fainali na nusu fainali za Caf na yanga ndiyo kwanza imeingia makundi mpaka robo fainali msimu huu. Lakini unaipamba yanga utafikiri wamekuwa mabingwa miaka 10 mfurulizo. Yanga ilivyoteseka miaka mnne mbona hatujakusikia kusema lolote. Si majuzi tu mlikuwa mnasema wachezaji wa Simba wote ni wazee na wamechoka? Tena mnasema ili kujenga Simba imara ni kuwatema wazee wote. Leo Chama amekuwa bora kwa kuwa anaenda yanga. Hesabu za magoli na assist za Chama zimeenda zinashuka. Zitapanda kwakuwa anaenda yanga? Chama bora alikuwa yule wa miaka mitatu ya nyuma. Kibu hesabu zake uwanjani ziko vipi kama siyo mbio tu na maguvu. Au kwakuwa aliwafunga yanga X2? Hao wote chukueni lakini tunawajua vizuri hawatatudhuru. Wala Roho haiumi Yanga anawachukua hao kwa kudhani wanaikomoa Simba lakini si kwa ubora wa wachezaji.Tena tunashukuru kwamba mnapunguza idadi ya kusajili mchezaji aliyebora zaidi kwa kumchukua Chama kutoka nje ambaye ameshatumika miaka 6 na amechoka kama mlivyokuwa mnasema tena wewe mwenyewe kwamba Chama huyu siyo yule wa misimu miwili iliyopita. GANDA LA MUWA CHUNGU KAONA TAMU.