Viongozi wa mlima Kenya wazindua muungano wa haki

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 тра 2024
  • Baadhi ya viongozi kutoka eneo la Mlima Kenya wamezindua rasmi muungano mpya wa kisiasa utakaotumika kuendeleza agenda ya eneo Hilo. Wakiongozwa na Kiongozi wa Chama Cha Narc Martha Karua na Karibu Mkuu wa Jubilee Jeremiah Kioni, viongozi hao wamesema kuwa muungano uliozinduliwa almaarufu Haki Coalition utaongozwa na aliyekuwa rais Uhuru Kenyatta ambaye pia walimtaja Kama msemaji wa jamii hiyo.

КОМЕНТАРІ • 21

  • @mathekarichard1382
    @mathekarichard1382 21 день тому +2

    A good move but in the wrong hands.
    Jus 2 people should be kept out of the movement enway it's good to keep singing

  • @wabannah9009
    @wabannah9009 21 день тому +1

    "Nilisema Mlima Kenya uko na Wenyewe Nikiwa Mmoja wao, wengine kama Ruto ni wapangaji"!!!.

  • @GERISHONKIPLETING
    @GERISHONKIPLETING 21 день тому +2

    Chama cha wanyonge

  • @sagespace5900
    @sagespace5900 21 день тому

    ONE MAN , ONE VOTE ...what is Different from what Raila was selling in BBI

  • @gulftranspoters1762
    @gulftranspoters1762 21 день тому

    The mountain is in the cold politically. If it's ONE MAN ONE VOTE ONE SHILLING include ONE MAN ONE TAX

  • @solomonmwangi9594
    @solomonmwangi9594 21 день тому +2

    I see the Kenyatta family's hand moving all these parpets no people's interest here!

    • @wabannah9009
      @wabannah9009 21 день тому

      Wewe kama "Kagege" kaa na "Vasco Ndanganya Ruto"!!!.

  • @jamalnasibu5397
    @jamalnasibu5397 20 днів тому

    Tribalism

  • @HillaryKoech-pk2se
    @HillaryKoech-pk2se 21 день тому

    It's why tunajipanga na tumejipanga vilivyo kukabili hawa wakora...hamna kitu watafanya....wembe ni ule ule!!!!!

  • @tophawktvtophawktv6101
    @tophawktvtophawktv6101 21 день тому

    Have you ever asked yourself this is the only community holding kenya at ransom ..you can oppose govt without using the tribal card.lets be kenyans and not kikuyus every day.

  • @johnluther106
    @johnluther106 21 день тому +1

    Political suicide..... no other groups of kenya support your tribal and racial leaning. The mountain is the region that has benefited from the Kenya government since independence than any other. Kenyans are smarter now, and your greedy ploy will never work again

  • @alextercisio
    @alextercisio 21 день тому

    Huo umatako wenu pelekeni uko nyanza

  • @mufush
    @mufush 21 день тому

    Tribalism of the highest level

  • @alextercisio
    @alextercisio 21 день тому +1

    Kioni speak about yourself

    • @OldisGold1982
      @OldisGold1982 21 день тому +2

      He will speak about me and others puga

  • @aronkibet7710
    @aronkibet7710 21 день тому

    Same people, no difference,so it's just for one region not the whole kenya.hakuna mahali inaenda