Kama sifa znanoga hivi duniani mbinguni spat pcha 🤗🤗Mungu baba nisaidie nisiikose mbingu 🙏🙏
Hongereni Sana Ipyana na dadako Martha, mzee Kibona-Chuya Ana kila sababu ya kumtukuza Mungu
When you can’t change your circumstances, change your concentration. Peter walked on water until his concentration broke (Matthew 14:22-33). Once he took his eyes off Jesus and saw the wind and the waves, he began to sink. Likewise, if you concentrate on your circumstances, your soul will sink. But if you can concentrate on the Creator, fixing your eyes on Jesus and all that you have to be grateful for, you can rise above any situation.
Mungu akubariki Sana, awabariki wooote. Tunza Sana mafuta hayo mtu wa Mungu. Gharamia, Nyenyekea, utazidi kumuona Mungu kwa viwango vingine. I love you bro.
Nafurahia kuumaliza mwaka kwa kumwambia Bwana umewazidi wote na kuingia mwaka mwingine kwa uwezo wa Bwana Yesu alowazidi wote. Ooh Hallelujah! Nikupe nn Bwana kwa upendo wako ulionao kwangu!
Oh hallelujah hakika huyu mwanaume Yesu amewazidi woooote sifa ni zake milele yote, barikiwa mtumishi
the greatest man in history is Jesus.
He had no servants, yet they called Him master. He had no degree, yet they called Him teacher. He had no medicines, yet they called Him healer.He had no army, yet kings feared Him.He won no military battles, yet He conquered the world.He committed no crime, yet they crucified Him. He was buried in a tomb, Yet He lives Today.
Amen.
Copy paste and Spread this all over!!!
FROM KENYA
My son was dedicated to GOD today & this song 🎶 was sang . I felt the ❤💯.
🌲🎄🌲🎄
MERRY X MAS TO EVERYONE READING THIS
🔥💙🌳🌳💜
Wewe ambaye hujampa YESU maisha yako unachelewesha furaha,amani na baraka zako .come all lets practice vile tutaimba milele mbinguni🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Umewazidi wote BWANA wewe ni MWEMA powerful song MUNGU akubariki Dr. Ipyana na aendelee kukutumia kwa viwango vya juu.
Nani kama wewe Yesu! Umetukuka mbinguni na hata duniani
It amazes me how a Doctor finds time for God and change the lives of men through music.
All Glory is the LORD'S.
Sure worldly title don't limit us from God's divine purpose, doctor continue in that line approved by the holy spirit
Sure worldly title don't limit us from God's divine purpose, doctor continue in that line approved by the holy spirit
May the Almighty bless you daktari👏👏
To you who is scrolling through the comments remember you're amazing❤
JESUS🙌🙌
UMEWAZIDI WOTE ULIMWENGU KOTE🙌 HAKUNA KAMA WEWE.....
Bro Umebarikiwa, Mungu azidi kukutumia zaidi.💪💪💪
Uvuvio huu ni mzuri kama nini !!
Nabarikiwa sana nyimbo zako.. Mungu akulinde usikengeuke utembee katika kusud lake
Umewazidi wotee.....mwema ahsante YESU kwa uaminifu wako kwetu hakuna aliyekama wewe ulimwenguni kote🙌🏻🙌🏻
Glory to God## hakika wew Mungu ni mwema.. tumeuona wema wako 2020.. Thanks Jesus😭😭❤❤❤
Woooow what a song, what a bassist ❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Umewazidi wote
God😍 we love you....God you are good
Huu wimbo naupenda kweli, Dr na huyo binti sauti ya ujasili
Hakika ujumbe huu umenitia nguvu katika maisha yangu binafsi Yesu akubariki sana katika huduma yako hii daktari nitazidi kukuombea.
Natamani au hili ndilo ombi langu Kwa mungu kuvaa kama watu wenye Nia ya kwenda mbingu na nywele ambozo siyo bandia kama huyo anayeimbisha mikono ameshona tofauti SI sawa ni fasheni za kuzimu
Mimi nina ombi to moja, kama naweza hudhuria mkutano kama huu , sijui nitafikaje. Ninatamani kumuabudu bwana Kwa kiwango cha juu kama hili. Wacha Mungu akuzidishie. Nimebarikiwa sana
Fuatilia page yake ya Instagrams utaona @dr.ipyana
Karibu Sana Huwa anatoa updates
Woooow..you've surpassed them all in all the earth.wewe ni mwema kwangu ,huu ni ushuhuda tosha yesu
#umewazidi
#dripyana
Thankyou for this Christmas gift,
Amen
Amen
Amen
I don't see anyone saying that the girl is incredible too .........we she is also the best
That ccter,,she is too much #God bless her and bless u too dr
Wow... Glory be to God jaman
Amen amen. God bless you...❤❤❤
It good to dance before the Lord He is worthy. I like that🥰🥰🥰💃
Umewa zidi wote ulimwenguni kote daaa I love this song 🎵 ♥ ❤ 😍 💕 💖 🎵 ♥
Daktari you never dissapoint.We love you here in kenya.The lady is anointed u tell you.
Who else has realized these guys have always sung it from the depth of their hearts ✨❤️
The holy ghost sing together with him... anyone who fast and pray his songs are always powerful like this of Dr
Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah God bless you brother
@@charlespassocharlespasso3364 😂😂😂😂😂😂😂😅😆😆😆 tapeliiiiiiiiii umwache bro ipyana kuchafua jina lake
Woooh this is really beautiful 😍....much love from Kenya 🇰🇪
Mwema yesu ooooh hallelujah 🙌 👏 hakuna kama wewe yesu huezi linganiswa jinsi unavyio tupenda unavio tufaliji unavyio tumia wengine kutuonyesha uko nasi oooh jeeeesu
Dr …. We need this song on boomplay 🔥🔥🔥💃🏾📌📌
Wonderful Gorgeous Dr Ipyana and Remnant Malita, surely God is above all
Mimi nadhani kwamba huyu Dr Ipyana alipokuwa anasoma medicine (MD) tafsiri aliyokuwa anaipata ilikuwa ni zaidi ya kile ambacho wakufunzi wake walikuwa wanafundisha. Naamini kabisa kuwa Dr Ipyana alikuwa anapata tafsiri ya SPIRITUAL MEDICINE
Dr ipyana take it higher I like that part blessed ( kweli hakuna kama wewe MUNGU)
woow glory to GOD ..hakika amewazidi wote ..hii ni gift kubwa kuliko zote
Ndio inavyotakiwa
Najivunia wa Tanzania wenzangu kufanya mambo makubwa kama haya pasi na shaka Utukufu wa dhahirika kila wakati. Mungu awafanye kuwa juu zaidi . Hongera @Dr. Ipyana na Timu yako . Nawapenda sana.
Nyimbo Ina mguso wa roho mtakatifu. Barikiwa mtumwa wa Yesu
Hakika mungu umewazidi wote ulimwenguni hakuna Kama wewe
I love you Dr.Ipyana God bless you so much
#Yesu umewazidi wote🔥🔥🔥🔥🎹🥁🎸🎺🎤
God has chosen you,,,I love your songs,barikiwa saana,am a Kenyan
What a good praise. Mungu azidi kuachilia mafuta kwa ajiri ya ibada 2021💯👏👏
HAKIKA YESU UMEWAZIDI WOTE. HAKUNA WA KUFANANISHWA NA WEW. YOU'RE BLESSED servant of GOD. Such a beautiful song❤
❤❤❤❤❤Akuna Wewe Baba Mu ngu wetu Yesu Kristu wala Akuna kama Wewe 👌💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🌹🌹🙏🙏🙏🙏
Nyimbo nzuri ya kumpa Mungu utukufu asante Dr. Ipyana kwa zawadi hii ya Krismas🙏🙏
Mungu azidi bariki sauti hizi....🙏
Umewazidi wote kweli Mungu yu mwema. Unaweza Baba Mungu uliye hai.
Aeeeee Merry Christmas 🎊🎊🎊🎊
VERY BLESSED WITH THE SONG.GOD BLESS YOU AND KEEP FIRING DR.KIBONA, Sr. MARTHA AND YOUR TEAM: AMEN
Mungu ni mwema maana fadhili zake ni za milele. Nabarikiwa na daktari unavyowashika vijana wengine mkono kuinua talanta zao ili watumike madhabahuni pa bwana. Mungu akubariki mno sina neno zuri la kukushukuru unavyowatambulisha vijana wengine katika jamii. Biblia inatuambia Mungu alimwinua Mtume Paulo kupitia Barnaba
Glory to God.
This is powerful. Tunamtukuza Mungu kwa huduma hii
God Bless u Man of God and ur team. Mungu atunze haya mafuta.
I just can't get enough of this
Love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Dr Ipyana, Sir you really a blessing to us
Thank you for allowing God to use you in a mighty way
To higher heights you are going
Thank you for being a blessing and allowing God to use you mightly
Live za doctor...Ni lazima kuwe na ka Beat 🎶 flanii kenye upako kakudancee .... 🔥🔥🔥🔥Basi kakifikaa Ni hivi tu 🕺🕺🕺
Mwema Mungu mwema maana Fadhili zako za milele you're a faithful and merciful God.....
Kama Mbinguni
Dr Ipyana thank for this add me one collaboration with Dr Ipyana ft essence of worship
So good to dance for the Lord can't imagine in heaven how it will be
usemi sina bali kusema ubarikiwe sana ww na kundi nzima hilo maana nami natamani nifikie viwango ivyo 🙏🙏🙏
Hakika ni Mwema MUNGU wetu
Hakika nabarikiwa na wimbo huu najisikia kama niko mbinguni
Huyu mwimbaji wa kike jina lake kamili ni lipi ni Remnant au Martha au Faith
Je kweli ni mdogo wako? Natamani kujua hilo
This lady can sing 🇹🇿🇹🇿🙌🏿🙌🏿dada Mungu akuinue na kukuhifadhi mpaka ushangae 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿sending prayers your way .
No one like u my LORD JESUS.
A song full of annointing
I feel annointed♨️
Yes He is so good kwa kweli... No one is like Him... Bless you Dr. Ipyana and Malita
Huu wimbo umenifanya nilie nikikumbuka wema mkuu wa Mungu. Mungu ni mwema sana
Fadhili zako ni za milele... wala hakuna kama wewe.. utukufu kwa Mungu kwa ajili ya wimbo huu.. hongera daktari Ipyana na engineer Martha.
💃💃💃💃 the song is finally out 😂nilivyokuw nahesabu siku 💃
Fire.Did you hear this ?
👇👇👇👇👇👇
ua-cam.com/video/xRuuX0u64Cc/v-deo.html
Wow! Mungu mwema, amewazidi wote! Mungu awabariki sana kwa huduma njema!
Wow! amazing song mwema god amewazidi wote ulimwenguni kote hallelujah!!
Umenibariki sana huu wimbo... Mungu ni mwemaa 🙏❤️
MUNGU amekuamini sana my brother 🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🎼💥
Ubarikiwe kaka napenda huduma yko inanibariki sana mimi pia nina huduma hyo japo bado nichanga natamani cku moja nifikie vwango hvo na kuzd kwa Utukufu wa Mungu
Mungu mwemaa🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌❤❤❤❤❤dr.epyana mungu azidi kukutumia kamachombochake cha kuhubiri kwa njia hiii.....lovely😍😍😍😍😍
Ipo vizur
MUNGU akubariki..endelea kuinua vipawa vingine...uwe daraja la wahudumu wengine barikiwa mtu wa MUNGU tunakuombeaa
Heaven will be so sweet!
Wewe Ni mwema haufanani na hatotokea wa kufananishwa na ww uko pekeyako Mungu mwenye uwezo wa ajabu.
This is the 50th time im listening to this song as i dance along. Aaaah Lord Jesus is a faithful God.
Ndagha gwe kaka usajigwege fijo yani mponjoli akutule Fiji yani unanibariki sana Mungu ndo zaidi babaangu anabarikiwa sana Huduma yako
Karibuni na morogoro mtumishi tumsifu mungu wote hata kwa cku moja tu plz
Ayee🙌🙌🙌🥳🥳🥳
Ubalikiwe san kaka Mungu azidi kuwa pamoja nawe najifunza mengi kutoka kwko balikiwa
hakika hakuna Mungu kama Bwana. Yeye amewazidi wote. Wako miungu wengi lakini hakuna aliye kama Mungu wa Israeli.
A force to reckon.. This is powerful music #KenyanLove
❤❤❤❤❤❤❤❤ Mungu wetu ni mwema sanaa na fadhili zak niza milele na milele amen amen
Mubrikiwe sanaaaaa❤❤
Mungu ni mwema
Finally imefika tayari 🔥🔥💃💃
This replies??? Are they really the Ministers of God replying or someone else? I got a similar response from a different Minister's page after I had made a comment.
Powerful may the Lord God lift you up Dr Ipyana Umekuwa Baraka sana
Utukufu una Mungu juu Asante kwa maombi
Asante Mungu kwa zawadi ya huyu mtumishi wako lpyana.
Nakutamani sana kaka
Amen
Wimbo huu umenipa nguvu na ujasiri wa katika Unyonge wangu. Nilikata tamaa katika kuoa lakini muda wote nilikua nikiusikiliza na kuimba, Namshkuru Mungu ametenda jambo kubwa, hivi sasa ndoa yangu imefanyika kwa viwango vya juu.nashindwa kueleza but Mungu amewazidi wote
@@DrIpyana wonderful song