Mmmmmmh Mungu wako wewe Mama ni mzuri mno , nampenda sana , Hivi nafikiri fikiri kuja kujenga nyumba mbeya ili niabudu shalomu . Nakupenda wewe Mungu wa Mama Nyisake nakupenda sana . Mungu akutunze sana Mama
Hallelujah,niko inchi ya ugeni uharabuni asante kwa hii neno nalipokea kwa moyo wangu wote,naomba mungu usitoe kwa huu utumwa na utakapo nibariki nisikusahau mungu wangu nena nami mungu roho mtakatifu nifundishe kusikia sauti ya bwana🙏barikiwa sana mtumishi wa mungu shupavu 💪🙏
Naitwa Ayubu .J. Sanga Niko Iringa nakupata vizuri sana mtumishi wa Mungu. Kila ninapofuatilia jumbe zako Mtumishi, Napata ujumbe mpya kupitia mafundisho hayo, (MUNGU AKUBARIKI SANA MCHUNGAJI)
AMEN AMEN AMEN
Yaani mungu akubariki sana nyisake chaula ushuhuda wako umenitoa mbali sana
MUNGU akubariki sana sana mtumishi WA MUNGU alie hai 🙏🙏🙏
Mmmmmmh Mungu wako wewe Mama ni mzuri mno , nampenda sana ,
Hivi nafikiri fikiri kuja kujenga nyumba mbeya ili niabudu shalomu .
Nakupenda wewe Mungu wa Mama Nyisake nakupenda sana .
Mungu akutunze sana Mama
Karibu sana
Mungu akubariki mtumishi wa mungu
Hallelujah,niko inchi ya ugeni uharabuni asante kwa hii neno nalipokea kwa moyo wangu wote,naomba mungu usitoe kwa huu utumwa na utakapo nibariki nisikusahau mungu wangu nena nami mungu roho mtakatifu nifundishe kusikia sauti ya bwana🙏barikiwa sana mtumishi wa mungu shupavu 💪🙏
Amen
Amen Amen Amen 🙏 🇨🇦🇨🇦🇨🇦👆🏾
Amen
Naitwa Ayubu .J. Sanga Niko Iringa nakupata vizuri sana mtumishi wa Mungu.
Kila ninapofuatilia jumbe zako Mtumishi,
Napata ujumbe mpya kupitia mafundisho hayo, (MUNGU AKUBARIKI SANA MCHUNGAJI)
AMEN
Niko Kigoma,natamani siku moja nije Mbeya kuabudu na kujifunza hapo Kanisani kwako wanaheri washilika wa Hapo Shalom, KGM lini mtumishi,
Amen 🙏🙏
Amen sasa na kusikia hallelujah pst
Amen
Amina tupo pamoja
Amen Amen pamoja tunakupata
ÀMEN GLORY TO GOD
Amen amen
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeen , Ameeeeeeeeeeeeen, Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen!
Amen Amen
ÀMEN GLORY TO GOD