UMASKINI WANGU FULL EP 02

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @BabaJoani
    @BabaJoani  8 днів тому +57

    KUNA GROUP LA MASHABIKI ZANGU KUJIUNGA GUSA LINK👇👇👇
    chat.whatsapp.com/DNLyqNPiekpDTbrXEJOjUa

  • @emmanuelmutisya2225
    @emmanuelmutisya2225 8 днів тому +36

    Karobo karobo karobo, you are a good actor. Big up toto karobo. You will go far in Jesus Name. I like your videos karobo with baba joan. Goga like, nawapenda kutoka kenya 🇰🇪

  • @NeemaStephen-oe4ww
    @NeemaStephen-oe4ww 8 днів тому +15

    Patronize hongera kaka kwa wimbo wako mzuri🎉🎉🎉

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei 8 днів тому +26

    Wa pili pia kutokea kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 😅😅😅...hii nayo noma nimeikumbali mno🎉🎉🎉🎉

  • @user-jm8870
    @user-jm8870 8 днів тому +11

    E mungu tueke Bali na umaskini tusifanye uamzi mbaya 😢😢😢

  • @rosewandera2095
    @rosewandera2095 8 днів тому +18

    Ila sijapenda baba kalobo unaenda kumubaka mwanao kisa umasikini sijapenda 😢😢😢😢😢😢😢

  • @benjaminbrucesports3945
    @benjaminbrucesports3945 8 днів тому +20

    Nawaombea watu wote katika Ulimwengu huu Mwenyezi Mungu Awalinde na Kuwavusha katika Mwaka Huu 2024 na kuingia kwenye mwaka wa 2025 kwa IMANI dhabiti.. Mungu Aendelee Kuwa Pamoja Nanyi ❤❤❤❤

  • @MadikoMakumazan
    @MadikoMakumazan 8 днів тому +13

    Wa kwanza mimi from CONGO Drc bukavu ongera Sana babajoan

  • @glorymanga3650
    @glorymanga3650 8 днів тому +6

    Huyo mtoto anayeigiza na kalobo sijapenda alivyonyoa,amekaaa tofauti kabisa na maisha yenu

  • @MadikoMakumazan
    @MadikoMakumazan 8 днів тому +12

    Wa kwanza mimi from CONGO Drc bukavu ongera babajoan

  • @NacirMendez-j5c
    @NacirMendez-j5c 8 днів тому +11

    Dahh mmetupiga sehem kana tatu hivi baba Joan move nzur kuna vinatukio flan vya uongo bhana plzzz badiliken

  • @NtirenganyaNahasoni
    @NtirenganyaNahasoni 8 днів тому +21

    Wakwanza toka burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @ajesterkalulu7927
    @ajesterkalulu7927 8 днів тому +7

    Ahaaaa ndio maana kesi za wazazi kuwabaka watoto wao zimekuwa nyingi 😢😢😢😢hakika unafundisha uhalisia wa maisha

  • @AsiaSelemani-z7x
    @AsiaSelemani-z7x 8 днів тому +12

    Karobo ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉safi sana mdogo wangu

  • @METRINEOKELLO
    @METRINEOKELLO 8 днів тому +4

    Aki baba karobo unsnikumbusha mbali 😢hii maisha nimepitia aki natamani siku moja watoi wangu wasiyapitia ndio maana napambana san lakini nimetokwa n machozi 😢mungu akubariki san congratulations 👏 🎉❤

  • @RahmaRashidi-ih9tk
    @RahmaRashidi-ih9tk 8 днів тому +7

    Baba baba kazinzuri sanaa brooo nakukubali sana❤❤❤

  • @NeemaStephen-oe4ww
    @NeemaStephen-oe4ww 8 днів тому +6

    Twende mbele turudi nyuma huyu mama karobo anauvaa kisawa sawa uhusika wa umasikini😢nakupa maua yako 🎉🎉🎉

  • @SafiMahoro
    @SafiMahoro 8 днів тому +5

    Baba kalombo kazi nzuri sanaaaa ❤❤❤❤❤

  • @RitaLourençoBandela-s2v
    @RitaLourençoBandela-s2v 8 днів тому +28

    Waliteguemeia kuamba baba kalobo ameua muanae likes apaa🙏😆

  • @SleepyBeachCoast-ku4gk
    @SleepyBeachCoast-ku4gk 8 днів тому +16

    Nimejifunza mambo mengi kutoka kwenye hii Epsod Mungu azidi kuwapa moyo wa kuendelea kufundisha jamii. Katika utaftaji kuna mengi tunapitia ila ni bora kidogo cha halali kuliko kikubwa cha kisicho halali😢😢😢. Baba Joan kazi yako ni uhalisia wa maisha aseeh 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SAFANdaykanza
    @SAFANdaykanza 8 днів тому +8

    Asaramwaraikum bwana yesu asifiwe nawapenda🇧🇮🇧🇮💕🇸🇦

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 8 днів тому +4

    Victoria umekuja huku kwa baba Johan hongera sana

  • @MirandaDaLitzyYurica
    @MirandaDaLitzyYurica 8 днів тому +3

    Dada Vick na Baba Joan nawakubali mno,,yani dhaaa nawapenda sana

  • @SAKINAOmaryBakari
    @SAKINAOmaryBakari 8 днів тому +8

    Leo wa kwanza🎉🎉 kazi nzuri

  • @MonicahKamau-z7j
    @MonicahKamau-z7j 8 днів тому +3

    Mwenye amelia J y huzuni apite n lyk bd tunawait episode 3😘😘😘😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 8 днів тому +4

    Subhanallah llah waganga mnatupeleka kusiko kwa kweli

  • @OmanOman-ru4eu
    @OmanOman-ru4eu 8 днів тому +3

    Vicky umeuvaa uhalisia wa mke bora na sio bora mke hongera sana❤

  • @CarolyneLiona
    @CarolyneLiona 8 днів тому +3

    Nimekwama hapo pa Yani nipande gari Hadi nyumbani kwangu wanione nikishuka kwa gari alafu katoa ndala 😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹❤️❤️

  • @EstherAlbert-m4x
    @EstherAlbert-m4x 8 днів тому +3

    Unamuona karobo na safi now a rembo Sana wa kwanza Leo Ku lake Baba joan 😢😢😢 wewe karobo Na safi 😮❤❤

  • @Najmahnyangasi
    @Najmahnyangasi 8 днів тому +2

    Ooooh kumbe ilikua ndoto bakarobo ple umasikini niwetu lakini mmmh sio kwa hali hiyo ndo maana ukanitoa nikaja Saudia aky mungu tusaidie tulio warabuni jaman maisha magumu inshallah tutatomboa kwa uwezo wa Allah ❤❤❤🙏🙏🤲🤲💯

  • @TsumandaroTsuma
    @TsumandaroTsuma 8 днів тому +6

    Hii nayo ninyengine kalii❤❤❤

  • @AbelRobert-f6c
    @AbelRobert-f6c 8 днів тому +6

    Baba Joani unaweza sana

  • @MasauShida
    @MasauShida 8 днів тому +3

    Kazi nzuri sana Mr. Jacobo🇹🇿

  • @AsiaSelemani-z7x
    @AsiaSelemani-z7x 8 днів тому +5

    Baba karobo hongera na wapenda

  • @jellysazaina8491
    @jellysazaina8491 8 днів тому +5

    Kaz nzur baba joan ila uyo dada acije akakutongoza ukamsahau mkeo anakuvumilia kama anakusaidia akusaidie tuu

  • @BintalyB
    @BintalyB 8 днів тому +131

    Umasikini wetu ndio umetulita galf😂😂kma unaukubali umasikini wko weka like apoo tujuane

    • @Fathasssane-vs2th
      @Fathasssane-vs2th 8 днів тому +7

      Kwakweli miaka kumi 😂😂stress tu na upwiru juu😂😂

    • @MalkaNinik
      @MalkaNinik 8 днів тому +8

      Niliupenda sana maana ulinifunza dunia na binadamu walivyo

    • @hadijaabass
      @hadijaabass 8 днів тому +3

      😂😂😂😂😂😂

    • @AliceAnn-og8ol
      @AliceAnn-og8ol 8 днів тому +1

      aki kwali kabisa 😅😅😅😅😅😅

    • @HalimaMo-n2f
      @HalimaMo-n2f 8 днів тому +3

      Yani nikweli kabis hujakosea 👍

  • @swabrinamwaka2437
    @swabrinamwaka2437 8 днів тому +6

    Mmmh ila ndoto hiziiu😂🎉🎉

  • @FurahaChristine-g8w
    @FurahaChristine-g8w 8 днів тому +3

    Victoria kweli una ni furahisha ebu punguza uzuni umaskini wako utaishaKa tu mtegemeye mwenyezi Mungu yeye ndiye byote

  • @HidayaHamisi-w5k
    @HidayaHamisi-w5k 8 днів тому +3

    Daaaah hi movie mbona Kali hivo kinoma noma

  • @FatumaSeif-s7i
    @FatumaSeif-s7i 8 днів тому +2

    Napenda movie zako baba karobo mana unatupa mafunzo na kinacho tokea kwa maisha ,,Kuna watu wanayapitia maisha kama haya 😢

  • @MosesBarasa-ks8eb
    @MosesBarasa-ks8eb 8 днів тому +2

    Baba joan big up ni Mimi mc king of love nakupata nikiwa kenya kazi mzuri sana nakukumbali

  • @ArthurArthur-e4q
    @ArthurArthur-e4q 8 днів тому +3

    Mungu abariki watu wote wana fatiliya iyi séries❤❤

  • @AghHh-v3f
    @AghHh-v3f 8 днів тому +2

    Asante kaka tukubariyane nawumasikini wetu 😢😢😢 nakufata sana kutoka 🇧🇮 🇧🇮 ❤❤❤

  • @Yvonne-hu6zd
    @Yvonne-hu6zd 8 днів тому +4

    Baba Joan wapi zuu nawapenda sana❤

  • @wavinonoclassic1274
    @wavinonoclassic1274 8 днів тому +4

    victoria yupo vizur sana

  • @FestusJuvinary
    @FestusJuvinary 8 днів тому +3

    Baba karobo kula chuma hicho👍💯💯🙏🙏🙏🙏🤜🤛

  • @EverlineMutisya
    @EverlineMutisya 8 днів тому +3

    Karibu uku VICTORIA nakupenda

  • @saraphinaJohn-k2m
    @saraphinaJohn-k2m 8 днів тому +6

    Jamani wimbo mzuri huu naomba

  • @emmaemmaculate
    @emmaemmaculate 8 днів тому +2

    Hiki kipindi kinapo elekea kitakua kitamu 🎉 hongera baba karobo na wahusika wote,,,,, kenya tuko sawa🎉🎉

    • @everlyneiminza5722
      @everlyneiminza5722 8 днів тому

      Umeona eee 😂mi nahisi Yule mrembo wa Gari alimpea hela nikama jini anatafta damu🙌🙌😆

  • @HalimaAthman-p5d
    @HalimaAthman-p5d 8 днів тому +2

    Kiukweli baba karobo nimependa hii movie sana lkn unapo baka mtoto Chunga mamake asijue kitaumana sawa big up broo kazi nzuri sana 🎉🎉

  • @loreenmwambinguloreen7373
    @loreenmwambinguloreen7373 8 днів тому +2

    Hii pia n mzuri inaleta mvuto kama ile ya baba yangu kipofu

  • @SarahEmily-dm3gz
    @SarahEmily-dm3gz 8 днів тому +2

    Move nzuri sana ila muna celewa kwanini 😊😊

  • @Chelseamwanah
    @Chelseamwanah 8 днів тому +2

    Na mko karibu na ofisi ya mjumbe wa mashamba apo angukeni naye😅😅😅😅

  • @Nestor.V8.SR1
    @Nestor.V8.SR1 8 днів тому +3

    Mala nyingi mafanikio anakuanga kwa filamu tu 😂😂😂😂

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 8 днів тому +3

    Nyie umaskin jau😢 alafu chiko sasa😂😂😂 anataka kujaza dunia kwasababu maandiko yalisema😊

  • @Lidya-e1i
    @Lidya-e1i 8 днів тому +2

    😢😢😢😢baba joan tafadhali usifanye na mwanao mapenzi nakuomba,vumilia shida na umwamini mungu,huyo binti atakuja kukuchukia alaf mkeo akijuwa hilo haitakuwa sawa

  • @SophiaAlifa
    @SophiaAlifa 8 днів тому +23

    Huu ni uwalisia wangu mm hii muvi inaniusu mliobalikiwa kupata hata elf 50 mshukuru mungu kuna wengine tumekosa hata shilingi mia 5 kwasiku😢😢😢😢

    • @LuciaBukula
      @LuciaBukula 8 днів тому +4

      Mshukuru Mungu hata bando unalo unaingia mtandaoni na kujifunza kama hivi wengine hata simu kubwa Wala ndogo hawana😢😢

    • @SophiaAlifa
      @SophiaAlifa 7 днів тому +2

      @@LuciaBukula sahihi kipenzi

    • @KulwaAndrew
      @KulwaAndrew 6 днів тому

      Pole ​@@SophiaAlifa

    • @RahelMhezi-f9o
      @RahelMhezi-f9o 5 днів тому +1

      Sophia pole Kipenzi Mungu atakusaidia

  • @MonaaOm
    @MonaaOm 8 днів тому +2

    Baba karobo sijapenda kwa unachataka kukifanya 😢😢😢😢

  • @BrendaMogambi
    @BrendaMogambi 8 днів тому +2

    Right kama tungelikua na uwezo atunge toka nje ya nchi kwajili ya familia zetu 😢😢

  • @wamboiwamboh
    @wamboiwamboh 8 днів тому +2

    Karobo bravooo mamaaaah❤❤❤❤your the best actor indeed ❤❤❤

  • @NyotaScola
    @NyotaScola 8 днів тому +5

    you are one of the one😢😢😢

  • @EugenieNziavake
    @EugenieNziavake 8 днів тому +4

    Umasikini ni kitu kibaya. MUNGU wangu!! mbona makubwa hii tunaya ona apa! baba Joan mbona una muamini MUNGU ? hiyo ni ushirikina kabisa

  • @ZainaSur
    @ZainaSur 8 днів тому +1

    Kazi nzuri baba kalobo inatfunza kiukl😢😢😢😢

  • @SophiaPaulo-w4i
    @SophiaPaulo-w4i 8 днів тому +2

    Baba karobo ucfanye hvo jaman kwa mwanao vumiliatu ipo cku mungu atawabarikitu

  • @BintalyB
    @BintalyB 8 днів тому +3

    Nmewahi leo ckuchelewa sna ❤❤tm bba joan mpo wp like zake

  • @arikibok4735
    @arikibok4735 8 днів тому +4

    Courage ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @RamaRamwendo
    @RamaRamwendo 7 днів тому

    Yanii hii thamtilia huyu mama anaweza sana ongera kubwa kwake mtarnashart hapa kutoka S COMPANY SWAHILI kenya film naombeni like zenu 🎉🎉

  • @Arafa-dt9sh
    @Arafa-dt9sh 8 днів тому +5

    I love you so much vick❤❤❤❤❤

  • @FatumaBahatihassan
    @FatumaBahatihassan 8 днів тому +1

    Baba Karobo kiukweri sjapenda unachotaka kumufanyia mtoto juaumaskini uronao sjapendezwanaro

  • @StellaNambuya-bp9cp
    @StellaNambuya-bp9cp 8 днів тому +3

    Ea umasikini jamani umefanya nifike uarabuni

  • @Faithkerubo-v4r
    @Faithkerubo-v4r 8 днів тому +2

    Kazi nzuri sana bro n team Yako ❤❤❤❤🇰🇪

  • @JonhDanielisabai
    @JonhDanielisabai 8 днів тому +1

    Aise haya maisha bhana tuombe mungu tu tuondokane na thuluma kama hizi

  • @Lydia-oy1cz
    @Lydia-oy1cz 8 днів тому +2

    Daaaah 🤣🤣 hapa Kwa nukti amechemsha😂😂😂😂

  • @IsabelFelipeNhakunhaku
    @IsabelFelipeNhakunhaku 7 днів тому

    Ongera sana baba joan kwa kazi yako ,ni msuri sana 🎉🎉🎉from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @Emilymama2boys
    @Emilymama2boys 8 днів тому +2

    Baba karobo jamani umaskini hutakufa pambana achana ushauri wa wachawi

  • @MaryamKher
    @MaryamKher 8 днів тому +1

    😂😂😂 baba karobo leo umenichekesha yatapita lakini mungu mkubwa

  • @RahmaRashidi-ih9tk
    @RahmaRashidi-ih9tk 8 днів тому +1

    Usilale na mwanao hapo eka chochote broo amini mungu tuu

  • @vivinenibitanga8529
    @vivinenibitanga8529 8 днів тому +2

    Mama karobo stand up ufanye kazi yoyote,ingia kwenye matajiri hapo kwenye mtaa wenu ukafue,omba kazi yoyote hata kwenye sokoni ubebe mzigo ya watu Mwenyezi Mungu atawabariki kupitia njia hizo na Mume wako 😢😢simama acha kukaa nyumbani

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti 8 днів тому +3

    Ndoto nyingine xina maana baada ya kuuwa mwanao imebid ulale nae 😢😢

  • @Daniel-rl2cw
    @Daniel-rl2cw 8 днів тому +3

    Good day and good job Baba joan

  • @MagretAndeka
    @MagretAndeka 8 днів тому +3

    Baba karobo enda hosy coz unachzi😂

  • @BashiruMsukulu
    @BashiruMsukulu 8 днів тому +2

    Hongera mzeeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @JeanChrysostomeHakizimana
    @JeanChrysostomeHakizimana 7 днів тому

    🎉🎉 Kazi nzuri Baba Joan Ila movie zama jini hamna funzo zozote 🤷 Ila congrats kwa hizi movie zamafunzo🎉🎉

  • @Mrpasakaonline70
    @Mrpasakaonline70 7 днів тому +1

    Baba Joan number one say yes 💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪

  • @MaryamKjor3
    @MaryamKjor3 8 днів тому +2

    Kalobo nakupenda ❤❤❤❤❤❤

  • @StarciaAvitosh
    @StarciaAvitosh 6 днів тому

    Baba karobo umeniuthi sana😢,kumbaka mwanawe🤔hakuna shida ya milele..maisha ubadilika😢from Dubai

  • @GraceThoya-u7d
    @GraceThoya-u7d 7 днів тому

    Msichelwe Kutoa hio part 3bax maana hii movie ni nzuri sana lkn umaskini huu waeza kufanya kitu kbya ambacho hakistahil mbele za mung pole sana kasembe❤❤

  • @SanuraNamlola
    @SanuraNamlola 8 днів тому +2

    Yani baba karobo WALA kuku na mayai yake kisa utajiri umekuwa Simba Mwenda pole wamvizia mwanao😢😢😢

  • @munalove-x4u
    @munalove-x4u 8 днів тому

    Nampenda huy dada anajua kuekti move za majozi san

  • @JescaMarykarisa
    @JescaMarykarisa 8 днів тому +1

    Safi sana kwa kazi yenu nzuri 🎉🎉❤❤

  • @AbelRobert-f6c
    @AbelRobert-f6c 8 днів тому +5

    Kazi kazi

  • @bigstonemcb9171
    @bigstonemcb9171 2 дні тому +1

    Karobo está tudo certo, Deus te abençoe para sempre 🇲🇿🥀

  • @BIDALAABDALLA
    @BIDALAABDALLA 8 днів тому

    Wa tatu kutoka kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪hii movie imenigus😢😢

  • @Emilymama2boys
    @Emilymama2boys 8 днів тому

    Waaa ndala zinakungutwa😅😂

  • @NyotaScola
    @NyotaScola 8 днів тому +3

    you are one of the one

  • @FurahaChristine-g8w
    @FurahaChristine-g8w 8 днів тому +3

    Baba korobo ebu achana n'a hiyo uchafu ya kufanya mapenzi n'a mwanawo waku mzala sababu ya umaskini apana

  • @BornMwangangi
    @BornMwangangi 6 днів тому

    Wah kumbe Victoria alipotelea uku naomba mungu awatangulie af nadai number ya baba Joan mwenye akonayo

  • @AminaHabibu-u1h
    @AminaHabibu-u1h День тому

    Kwani baba karobo unapenda kuigiza ukiwa umevaa miwani muvi zako zote

  • @Lucymuhonjasionda
    @Lucymuhonjasionda 8 днів тому

    Jamani hii inaweza😢😢😢🎉🎉🎉❤❤

  • @NeemaMzur
    @NeemaMzur 8 днів тому +13

    Wanaotaka vikiy aludi kwa kelvin tujuane😂😂