Wewe Harmonize na Diamond njooni hapa msameheane Magufuli amuita Alikiba waziwazi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024
  • Please subscribe now on Our UA-cam channel To be the first to hear about the latest news and updates on Time.

КОМЕНТАРІ • 55

  • @ommylevel4413
    @ommylevel4413 4 роки тому +28

    Harmonize umenijaza Sana nitakua your fan forever

    • @zou7470
      @zou7470 4 роки тому +1

      Kwel kbs yani hata wote wamutenge mim niko nae daima mana anahikma

  • @mlasinyongolo3256
    @mlasinyongolo3256 4 роки тому +13

    MAGUFULI MZEE wa Jamii Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee % 100

  • @agustinolugusi9671
    @agustinolugusi9671 4 роки тому +16

    vizur sana harmonize

  • @m.g4187
    @m.g4187 4 роки тому +17

    Harmonize wamekulea kesho utawalea, you are very okay. Go on singing.

  • @damarissyombua3663
    @damarissyombua3663 4 роки тому +43

    Wapi likes za harmonize na diamond 🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪

    • @nasorospati3075
      @nasorospati3075 4 роки тому +2

      Safi kondee boy

    • @marypeschke1750
      @marypeschke1750 4 роки тому +1

      🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪👏🥂🔥♥️

  • @abbykruger1625
    @abbykruger1625 4 роки тому +5

    Sawa mr President...🤝🤝🐘🐘🐘

  • @polinahkilunju9414
    @polinahkilunju9414 4 роки тому +2

    I just love this man. Magufuli hoyeeeee!

  • @julianacharles6014
    @julianacharles6014 4 роки тому +8

    CCM OYEEEEEEEE 😙😙NAKUPENDA RAIS WANGU 👏👏👏

  • @marypeschke1750
    @marypeschke1750 4 роки тому +3

    Tz🔥🔥🔥🔥🔥♥️♥️🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mwarabuwatanga3250
    @mwarabuwatanga3250 4 роки тому +10

    Msameheane kweli sio mkitoka Hapo bifu ziendelee utakuwa unafiki huo

  • @buhaagrovettv6331
    @buhaagrovettv6331 4 роки тому +6

    Leo mambo yamekaa poa sana like kama umependa

  • @faridaalwaily4260
    @faridaalwaily4260 4 роки тому +1

    MashaAllaah mwenyezimngu Akubareek muheshimiwaa rais magufulii.unaaa thawabuu kubwa kuwapatanishaa diamond na Ali kibaa na Haramon.pepooo unayooo.muheshimiwaaaa rais.Allaah Akuhefadhi na kukupa ummriey mwema .

  • @habibtyismailhassanismailh714
    @habibtyismailhassanismailh714 4 роки тому +1

    More life to u president of Tanzania more life to u

  • @blandinadambala6887
    @blandinadambala6887 4 роки тому +3

    Hapo sawa makufuli

  • @anjunurdin2392
    @anjunurdin2392 4 роки тому +7

    Safiiii hivyo ndio inatakiwa Hamoniz sio unasahau kusifia ulipotoka

  • @hamisimapalala7709
    @hamisimapalala7709 4 роки тому +4

    Hii wasafi, ni chuo Cha kutengeneza wasanii

  • @kenyanboy8517
    @kenyanboy8517 4 роки тому +1

    This President deserves paradise may God grant him that inshaAllah

  • @caroadela3687
    @caroadela3687 4 роки тому +3

    Long live magufuli

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 4 роки тому

    Wee baba Mola atuwekee🙏🙏

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 4 роки тому +2

    Diamond mimi iko penda sana mdogo wangu

  • @clarissekabarwana4714
    @clarissekabarwana4714 4 роки тому

    Nakuchimu sana Rais from Canada nakubali sanaaaaa

  • @mlasinyongolo3256
    @mlasinyongolo3256 4 роки тому +9

    Msivae ngozi ya Kondoo mbele ya macho ya watu, mkaendelea kuwa MACHUI ma nyumbani. Tekelezeni kusifiwa kwenu na Mweshimiwa JPM. Hacheni, tupeni sauti za Mashabiki ZENU wanawaharibu bure tu, jueni tangu Leo dunia tunapipita . Pendaneni Wana wa Kitanzania Mungu awazidishie Baraka tele. TUPA BIFU, AHINA MSINGI, maendeleo N.K ..............

  • @hamisimapalala7709
    @hamisimapalala7709 4 роки тому +4

    Hacheni ushamba, marangi magufuli anampigia Simu diamond, et hamjui , ivi mtu akiwazid maendeleo mnamchukia tu.

  • @salimrashid2295
    @salimrashid2295 4 роки тому +12

    Duu tembo katisha sana

  • @theoniyonkuru6423
    @theoniyonkuru6423 4 роки тому +2

    Heshima mzee

  • @emdybwoy7690
    @emdybwoy7690 4 роки тому

    Very good magufuli namkubali

  • @catherineamos7087
    @catherineamos7087 4 роки тому

    Uko sawa Mheshimiwa

  • @saidially5892
    @saidially5892 4 роки тому

    Magufuli umekosea.
    UNGEWASHIKANISHA MIKONO HARMONIZE NA DIAMOND KISHA ALIKIBA NA DIAMOND then ungetoa amri harmonize na diamond wafanye colabo kish alikiba na diamond wafanye kolabo
    Kwa heshima yako wangefanya hence ingeongeza mshikamano baina yao

  • @denisimaliyaweni9183
    @denisimaliyaweni9183 4 роки тому +2

    Kweli diamond hajulikan kwa magufuli duuuu

  • @theoniyonkuru6423
    @theoniyonkuru6423 4 роки тому +1

    Magu baba lao

  • @WaridawaridaWarida
    @WaridawaridaWarida 4 роки тому +2

    Yan wewe baba ni Rais wawote hakuna anaye kuchukia wenda wachawi lakin hawawezi kukushinda kwakuwa Mungu yupo pamoja na wewe Leo vijana wamejitolea nikitu kipya hiki hakijawahi kufanyika Mungu atufungulie tuwe kama uarabun uwe wewe miaka yote utawale

  • @samniza1763
    @samniza1763 4 роки тому +1

    Ikulu ni ya vyama vyote kwani atakayeshindwa ataondoka ikulu atampisha aliyeshinda. So it does belong to the people and not a certain party.

  • @alajmialajm8794
    @alajmialajm8794 4 роки тому +1

    Huyu rais ana utu na hekima tena ni rais wa wanyonge

  • @كرستينالجابري
    @كرستينالجابري 4 роки тому

    Asate.baba

  • @ayushjhay1979
    @ayushjhay1979 4 роки тому

    Da! leo makufuli amjui diamond eti.kweli dunia duwara

  • @starridge3615
    @starridge3615 4 роки тому +2

    Ungeliunganisha kiba na mond ndio tuone kama kiba angelirusha mkono tena

  • @mrs2918
    @mrs2918 4 роки тому +2

    zeee zima la kiarabu wa kuapia au koko anafundishwa busara na mtoto wa kumzaaa ukiwa unasinzia.

  • @Ryoof-qo7if
    @Ryoof-qo7if 4 роки тому

    Mimi nangoja juma lokole asee utumbo wake

  • @keyasaidkeyasaid7386
    @keyasaidkeyasaid7386 4 роки тому

    Sawsaw kufur kwa kaz

  • @maikoatufigwegemwakapoja8709
    @maikoatufigwegemwakapoja8709 4 роки тому +1

    Jpm inamana hamjui domo

    • @عبداللهسالم-ه2ي
      @عبداللهسالم-ه2ي 4 роки тому +1

      Nami nimeshangaa but no need, I'm fan for jeshi

    • @Ryoof-qo7if
      @Ryoof-qo7if 4 роки тому

      Magufuli leo amemuona friend wake hamo🐘🐘🤣🤣🤣ndomana amesahau

    • @mussalulenga9939
      @mussalulenga9939 4 роки тому

      No diamond no maarf kuliko yey ndo maana kauliza ili waseme waooo

  • @keyasaidkeyasaid7386
    @keyasaidkeyasaid7386 4 роки тому

    Sawsaw kufur

  • @ladislausngoyinde4384
    @ladislausngoyinde4384 4 роки тому

    Harmonize kasmama hata kabla hajatajwa 😀