Hakuna sehem mnayo boa kamakwenye sauti ya jingo ya cheka tu kubwa lakini sauti ya mic mnazotumia hovyo kabisa sauti mnasikika kwa mbali kelele tupu mnaboa bwana kampuni kubwa ila mnazingua sana
@@1000Brain mtoto afanya mambo ya utoto bro. Zaidi ya shule mtoto kufanyishwa comedy za kimapenzi kweli? Kweli bro? Mtoto akatumbuize watoto wenzie mchana, sio usiku kwa ma club penye pombe
@@theindustry6361 tuache kuishi kwa fikra. Tuishi kwa uhalisia. Hivyo vitu unavyovisema wanaviona hata wakiwa majumbani kwao. Wanaviona kwenye movie wanaviona kwenye tamthilia. Kumbuka kuna watoto wanakulia kwa muuza gongo na hawajawahi kunywa gongo
@@1000Brain kwa hivyo sababu wanakulia kwa muuza gongo walazimishwe kuinywa au? Haimake sense bro. Vipaji sio lazima vikuziwe kwenye mazingira yasio faa. Kuna njia nyingi nzuri. Hata hao wazungu tunaopenda kuwaiga ni lini ukaona wanapeleka watoto vilabuni usiku kutumbuiza walevi? Wanaofaidi ni hao washenzi kina coy wala sio hao watoto, tusidanganyane hapa.
😃😃😃😃baby zuchu yuko poa, level ya confidence ipo juu 🙌🙌🙌🙌safi sana Cheka tu kwa kuinua vipaji
Jmn hawa watoto wana coffidence ya hatal waliopenda tujuane
Hata kama angekua hachekeshi lakini hii confidence tu ni next level
great talent
Kweli kabixa
mtoto yupo vizuri jaman nmempenda bule
Katoto kajasili sana ivi ni vipaji vya kulindwa Sana ✍️
piga kelele kwa zuchu wake umeweza mwanangu 💯 💯💞💞👌👌👍👍🔥🔥👏👏🌹🌹💕💕🥰🥰🏆🏆🏆🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tuliopenda Mwishon aliposema " OK asanten" Tuko wangapi
We are here
Mungu akulinde mtoto mzuri na uendelee na kipaji chako nakupenda
Hongereni sana kwa kulea na kukuza vipaji. mbarikiwe sana.
Baby zuchu asante nimecheka kwakweli and coi kuza vipaji broo
Mai zumo na dogo sele kaeni mkao wa kula baby Zuchu in the house🤣🤣
Nampenda uyu Mtoto ni kazuri kafanana na zuchu kweli
Kafanana na Marioo
Kuuzaa vipajii viendelee mashallah beb zuchu kauwa 🔥🔥🔥💪✌️🇦🇪
Daaah,sio level za kuna MC Pilipili😬😬😬
Kazembe kalala atafaulu shuleeee kweliii 😂😂😂
Jamani mwenyezi mungu akukuze 😂😂mutoto wetu
Dahhhh hawa watoto wanafundishwa na nan....
Mungu akubariki Sana kwa kuinua vipaji vya watoto.
Hapo kwa cheka tu ni ka Churchill show 👏🔥🔥🔥kali sana baby Zuchu
Uwiii mmeingiliwa huku kabla ata sijaangalia🤣🤣🤣
Anaongea Kama magufuli 😂😂😂
Huyu mtoto aekewe ulinzi mkubwa sana.....😆
❤
Nimecheka kwa nguvu ety🤣🤣🤣🤣🤣🤣
My God am from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 and I love her already..the future is bright for this lovely kid..
Nampenda sana huyu mtoto ZUCHU jamani ana talanta kweli Mungu ambariki sana ili aweze kukuza kipaji chake
Energy ya huyo mtoto🔥
Vituko
Zuchu shenzy type wee mtoto utatuua kwa kucheka,,,,hongera sana
Mtoto wa Marioo😂🙌🏿 dogo kafanana na Mario..
Anyways anajua 🙌🏿
Coy ✊🏿
😂😂 umefikiria Nini aseeee
@@godknowsbetter.6352 wamefanana😂
@@godknowsbetter.6352 lkn wamefanana kwel
😂😂😂😂Kazembe Kalala
Wow this little Angel killed the show😂😂
Napenda sana baby zuchu Mungu akulinde jaman
Natamani nikukute zuchu nikafanye Ngoma nawe.🎸🎸🎸🎸
Dah CHEKA TU hatari 😂😂😂
Jaman mwenyezi mungu hakiiendeleze kipaji chako ❤
Hivi kwa nn wadada mnapenda sana shkamoo??
Hapo kwny marahaba sijasikia mwanaume hata mmoja kaitikia 😀😀
She had my curiosity but now she has my attention,,,this kid is lit🔥🔥🔥
Mndogo wangu komaa
Coy safi kwa kuwapa nafasi hawa watoto
😂😂 mungu azidi kukukuza katika kipaji chako
from Kenya zuchu baby my everything 🙏
Nampendaga sana huyu mtoto
Big up sanaaa🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏼🙌🏼
Hongera sana Zuchu baby!nakuona mbali sana
S/O kwa coy mzungu 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Nakupenda sana wewe mtoto MUNGU akukuze uwe tunu ya taifa
Zuchu nakapenda anampenda Sana baba ake vichekesho lazima amtaje baba ake
Sema dogo matamshi anakosea kwasababu mapengo nayo yanachangia ila hongera kwake
This kid made ma day.....such a charming kid....baby zuchu💥🤸♂️
Big gup baby zuch ni gun 🍁🍁 kwakooo...
Yaan wew mtoto ndy unanimalizia bando langu kweli
Killed it... joel master akasome!
Kwakweli huyu mtoto amempa baba yake utajili, anakipaji cha aina yake
Cheers to a brand new queen of cheka tyu bebiii Zuchu
Napendekeza zuchu aige hutuba za nyerere najua atapatie
Huyu mtoto ametrend na ile video ya kufanana 🤣😂😂
Daah! Hapa mai zumo kapata mwenzie
Ameuwa Zuchu😂😂😂💥👊🤝💯💯💯🇰🇪✅✅✅
Hakuna sehem mnayo boa kamakwenye sauti ya jingo ya cheka tu kubwa lakini sauti ya mic mnazotumia hovyo kabisa sauti mnasikika kwa mbali kelele tupu mnaboa bwana kampuni kubwa ila mnazingua sana
Hongera Sana beb zuchu mungu akulinde
She killed it
WOw 😳😳 Coy thanks to you.. This Is Big🔥🔥🔥
Namuona Boss Martha
Daaa zuchu baby hatarie😂
😂😂😂😂daaah uyu dogo ni hatarii apewe tuzo
Kelele moja kwa baby zuchuuuuu
Haka katoto ni noma,nimecheka mpaka natoka machozi
🤣🤣🤣🤣🤣 zuchu baby,big up little one
Hongera mama mzaa chema
At her age kukariri hivi tu peke yake ni kipaji 🙌🏻
Kazembe kalala hawezi kufaulu
Ujue nakupenda mno ❤zuch
Inabidi elimu aendeleee lkn pia tukuzee kipaji chake maana kipaji bila elimu amna kitu kipaji na elimu kitaenda sana
Baby zuchu huyu jaman noma san kauwa san
Mvalishe vizuri mtoto
Mungu akubariki under mbali
😅😅 Hongera Sana
baby zuchu she afunny girl .and she teaches other childred to active like her. good girl and God blesses you.
Tanzania got talent
...may you keep on pushing the young generation to the higher levels.🙏🙏🙏🙏🙏
Mtoto n moto😂😂😂
Uyu mtoto mama ake ninan mbona akil nyng hivyooo
Yuko powa Sana mtoto
Kapiga huyo
Awesome like it🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩
Waacheni watoto wasome please
Ndo ujinga wenu watanzania mnafikiri hapo anaharibikiwa! Hii ni zaidi ya shule unayoifikiria weww
@@1000Brain mtoto afanya mambo ya utoto bro. Zaidi ya shule mtoto kufanyishwa comedy za kimapenzi kweli? Kweli bro? Mtoto akatumbuize watoto wenzie mchana, sio usiku kwa ma club penye pombe
@@theindustry6361 tuache kuishi kwa fikra. Tuishi kwa uhalisia. Hivyo vitu unavyovisema wanaviona hata wakiwa majumbani kwao. Wanaviona kwenye movie wanaviona kwenye tamthilia. Kumbuka kuna watoto wanakulia kwa muuza gongo na hawajawahi kunywa gongo
@@theindustry6361 waache watoto wapalilie vipaji vyao
@@1000Brain kwa hivyo sababu wanakulia kwa muuza gongo walazimishwe kuinywa au? Haimake sense bro. Vipaji sio lazima vikuziwe kwenye mazingira yasio faa. Kuna njia nyingi nzuri. Hata hao wazungu tunaopenda kuwaiga ni lini ukaona wanapeleka watoto vilabuni usiku kutumbuiza walevi? Wanaofaidi ni hao washenzi kina coy wala sio hao watoto, tusidanganyane hapa.
So talented 🎉🎉🎉
May you be blessed my dear zuchu baby 🤲🏽
Jaman mtoto ana kipaj kikubwa
This child will go far ✍️
Zuchu baby waooo🤣🤣
keep it up my❤❤❤❤🎉
Yaaaaah apewe.maua
May God bless the leaders of CHEKA TU for raising this children 🙏
Very talented 🙌 WOW that's awesome
Waaho bevy zuchu I love yooo
Ukorofi sana😂
😂😂😂😂anajua sana
Mtoto noma huyu nimemkubal
talented
Zuchu baby ❤️💕 Mamas's Doll
God bless this baby girl
Mudogo Sana alafu mpoa.😄😄😄😄😄😄
Daaa baby zuchu hatari