Kado nakukubali miaka mia ila uyu dogo round ya mwixho ulikuwa umpe punch kali za kuwapa mzuka raia lkn hain mbaya we kwangu ni mwanfrestyl no moja tz ata km ngwea engekuwepo?
My ninja Toxic alifunika na sisemi hivyo kisa mchizi ni wa home Arusha sema Jamaal alikua na punchlines kibao.Cado we mkali ila shida unaleta toungible emotions wakati unafreestyle..Acha kuguzaguza ua opponent
Kado mc kali zaidi lakin toxvuvu nayee mkali big up
Ayeeeeeeeeeeeeeeee🔥🔥🔥🔥🔥kado zaidi ya kitengooooooooo Iko sawa ndugu fan from Mombasa kaka 🔥🔥🔥🔥💯💯💯nakukubali mia mia💯💯💯💯
Ayeeee
Kado nakukubali miaka mia ila uyu dogo round ya mwixho ulikuwa umpe punch kali za kuwapa mzuka raia lkn hain mbaya we kwangu ni mwanfrestyl no moja tz ata km ngwea engekuwepo?
Wote jamaa niwanoma
Wote ni 🔥🔥🔥🔥
Ayeee midamu ilimwagika kitengo 🔥🔥🔥
Kadooo atalll
Uko good mwanangu
Achia nyimbo
audiomack.com/goodboymusic3/song/cado-kitengo-dear-father-official-audio-ghostmunde-1
My ninja Toxic alifunika na sisemi hivyo kisa mchizi ni wa home Arusha sema Jamaal alikua na punchlines kibao.Cado we mkali ila shida unaleta toungible emotions wakati unafreestyle..Acha kuguzaguza ua opponent
Kaka Toxic ni wa Lindii
Toxic
Kado kamuua mbali kumamake