Kurasini SDA Choir - Nani Kama Yesu
Вставка
- Опубліковано 9 вер 2024
- 2019 Release.. "Nani kama Yesu", Who would be like Jesus? This is a video recorded in Nairobi Kenya Featuring Githurai SDA Church Choir (Audio by Kurasini) during their camp meeting in 2018. Video hii ilirekodiwa Nairobi nchini Kenya kwa kuwashirikisha waimbaji wa Kwaya ya kanisa la Githurai mwaka 2018.
Kurasini SDA choir songs should be sold in pharmacies. They heal the broken hearts. God bless Kurasini.
true ❤❤
❤
💯
Hakuna kama YESU ni hakika, Mbarikiwe sana Kurasini MUNGU awatie nguvu siku moja tuimbe wimbo wa Musa tukiwa na YESU pampja katika makao ya AMANI. AMINA.
***Toka nimekuwa msababto kwakweli kurasini nikiwasikiliza naona hao ndio wahabiri wakuu wa injili wanaonesha usabato pure***
Amen
Nakuunga mkono,yaani toka niko mtoto sijaona waimbaji wa kweli kama kurasini,hawa wanahubiri hawaimbi kama biashara,moyo wangu hutulizwa kila ninaposikia ujumbe wa nyimbo zao na sauti za nyuki...Mungu awabariki
Habel Kalume ameni
Let mwalimu rest IN power edid what he cud do. Better
Thankyou Jesus,nilitamani sana kuskia nyimbo za kurasini,nashkuru Mungu hii kwaya imefufuka,from Kenya Mombasa....Barikiweni Jameni,niende wapi mimi bila Yesu
Uimbaji halisi was kiAfrika, no artificial dancing! Real Adventist Church choir. Keep it up! Mungu awabariki
Nawapenda nani kama yes I asteria nimewamisi
Hakuna kama yesu maishani,mwamba wa kale.Mungu awainue zaidi kwa ajili ya Jina lake.
kuna haja ya kujifunza kupinga vyombo sawa sawa na kanisa la SDA
Nani kama Yesu? Hakuna.
To god be the glory
Aminaaaaaaa ,Mungu awabariki ktk nyimbo nzuri sana.
Hakuna kama yesu hakika
My favorite..... The only one have never regretted listen to...always healing my soul
The only begotten choir
Mbarikiwe sana maana mlinifany nikawapenda pia mlifanya nikapenda NYIMBO zenu hadi leo
Barikiwa..
Kwaya hii yazidi kungaa kila uchao...naona nyuso mpya ,Bwana awajazie nguvu Siku zote
So soothing.... at times like this. Keep up your standard of worship Kurasini. One group being used by God to heal the world. God bless your gifted soloists. I play this song every day!
❤❤
Aaaaaaaaaamina mbarikiwe saaana ninawapenda siku zote
Mbarikiwe, Kristo ndiye kimbilio langu!
Mungu awabariki sana
Hakuna kama Yesu mbarikiwe sana
My all time favorite Choir. Uzao wa Kristo ndio natafuta.
Ni gressi. Nawapenda sana kwaya ya kurasini nyimbo zenu ni nzuri zinaujumbe ndani yake🙏💞💞
Can pls ask government to make decision if Kurasini songs can sold in chemistry around Tanzania 💊👌🙏
in kenya too
mzidi kusonga mbele,,,barikiwa marafiki zangu
Kurasini mmeanza lini kutia nywele dawa,🤔🤔, 🤷🏽♀️
Sitaki kuamini kibaso amekua mpole kiasi hicho
Mungu wa mbinguni aendelee kuwainua 🙏👌👌👌🇹🇿🙏🙏🙏
glorious n kuna kwaya ya kenya humo so huwezi kujuae
Tony TV oooh kumbe , ningeshangaa maana ili uimbe kurasini sharti nywele zako ZIELEWEKE🤣🤣🤣🤣👌👌🙏🇹🇿
Nimeshtuka sana!!!!! Ifikie mahali tujivunie uafrika wetu kwani ndivyo Mungu alipenda tuwe. Unaenda dukani kununua dawa ili uzifanye nywele kuwa za kizungu. Naamini hii si sawa
Wimbo Mtamu HD video, mbarikiwe sana!
Tunahitaji zingine zaidi
Mbarikiwe sana kurasini
Mbarikiwe sana kurasini
My favourite choir
Always my favourite Choir, ninangoja ile "Kando kando ya kiti cha enzi"!
Subscribe to our channel, huo wombo utakuwa hewani wiki hii..
@@kurasinisdachoir I subscribed long time ago, that's how I know whenever you post a new video
@@kurasinisdachoir waiting !
@@kurasinisdachoir Hata mimi huo wimbo naungoja sanasanasanaaaaaaaaaaaaaah...Kando ya kiti cha enzi,hiyo album yote,Jameni tunakiu ya nyimbo zenu plz mupost every week new songs,,,,,uku kenya malindi izo ndo nyimbo tulikuwa tukiimba kitambo,Highschools kila shule ilkuwa ni kurasini bt now hatuwasikii tena,kama mmerudi itakuwa vyema,
May God bless u kurasini this song really blesses me listening from Doha Qatar
naomba muweke volume25,26,27 28 you tube yaan zile nyimbo ni balaa
Kurasini nawapenda Sana tangu nikiwa mtoto Bwana awabariki Sana msisahau MAADILI yetu
Tafadhali.
Waaooh great combination of my church choir Githurai central and kurasini,May God bless you all
Yes, I attended this camp meeting.
Ifeel tears comiñg out,niende wapi bila Yesu
Oh! Waoo! I'm very happy to see Mwl. Julius , this is really Kurasini SDA Choir
Amina
Oooh! YES
Tunasema. Amina
Amen,it is only my God .
My all time choir. God bless you Kurasini
***barikiwa kurasini***
Amina!
Mbarikiwe sana Kurasini!
Amen
Be blessed Kurasin choir
Much blessings to you..
Nikweli hakuna kama yesu,mbarikiwe sana
Hakuna kama yesu
Yes
waau kurasini am blessed,,,
What a powerful song.For sure it heals broken wounds.May God bless your ministry.
Great music.. Amin
Ubeti wa pili umeanza vzr sana
Kamwe hatuwezi bila yesu
Wow! I was waiting for this release
This is soul touching. God is good
What a wonderful piece
Ni nani Kama Yesu
Barikiweni sana
Amina
MLICHOHARIBU NI NYWELE ZENU
Kuna choir ya Nairobi humo mchanganyiko. Ilikuwa camp meeting pale August 2019.
not Kurasini,,, hii ni githurai central sda church
Amen. Mikaeli ni mwenye uwezo. God bless your ministry
Amen!
Mbarikiwe sana
Amina
Amina mbarikiwe
Ni nani kama yesu??????? Hakuna
barikiweni sana
BWANA AWABARIKI
Barikiwa pia!
@@kurasinisdachoir Nabarikiwa sana sana na nyimbo zenu,hasa hui umenipa faraja kubwa sana. Mbarikiwe sana
Kurasini choir hamjawahi kufeli
wonderful
Nc
aa ninapoumwa magonjwa yasiyotibika
niende wapi......
Dunia Ina mwisho,lakini Mikaeli Hana mwisho, Wala mwanzo 🙏🙏
Mbarikiwe, Kristo ndiye kimbilio langu!
Hakuna kama Yesu mbarikiwe sana
Hakuna kama Yesu mbarikiwe sana