Mungu hambariki huyo kijana Kwa kazi aliyofanya,,,alisaidia sana,,kama si hivyo watanzania wagepoteza aslimia kubwa ya WAPENDWA wao,,, watching from Kenya 🇰🇪,,,poleni sana watanzania wale wamepoteza WAPENDWA wao🙏
Ushauri tu dogo km huyu aliekoa watu kwa kujitoa namna hii Serikal ilipaswa kumchukua na kumuingia katka moja ya jeshi la nchi hii. Bravo Janja Mungu akuismamie
Mashaallah Allah kampa nguvu za ajabu huyu dogo za kuweza kuwaokoa wahanga hao. Mama Samia Suluhu mama we2 kipenz Mpe kitengo kijana huyo usimuache sawa Mama Mola atakulipa Fil Dunia na Aakhera. AMIN.
Mungu akitaka kukuinua atakuinua kwa namna yake hakika naliona kusudi la Mungu juu ya maisha ya huyu kija. Umeniliza sana mdogo wangu aisee Mungu yupo jamn tusichoke kumuomba. Kuishi kwetu ni kristo na kufa ni faida🙏 hongera sana sana kaka
MashaAllah Majaaliwa hongera sana na wenzio wote waloshirikiana kuwasaidia na kuwaokoa walo pata ajali ya ndege Bukoba. Mungu awalipe kazi kubwa mno mlofanya. Tunamwomba Mungu awalaze pema peponi walofariki kwani ndiyo umri aliowakadiria Mungu. From Canada with great sadness and also joy😭🙏
Haikuwa kazi rahis Mungu akubarii sana Majaliwa kwan hata mim nisingeweza nmeamin Mungu huleta Watu watumike kwa manufaa ya Watu wengine nimeuona Mkono wa Bwana kupitia kwa Majaliwa aliyejitoa kwa ajili ya Watu wengi paspo hofu ya uhai wake nasi tujifunze kitu kupitia ilo tizama leo Mungu kampa furusa ya pekee kijana uyo tujitume pia vijana
Upendo wa namna gani mtu kutoa nafsi yake kwa ajili ya wengine,hongera Sana Kijana nimejikuta natoa machozi, tunajifunza kitu, tusidharau yeyote ktk maisha
The best advice I can give majaliwa n hivi kwasababu n Mungu ndo amemvua kwa Lindi la umaskini na akampa uwezo wa kuwaokoa wahasiriwa my bro do this take a 10%0f your million en gave thanks to God koz yeye ndo alisababisha hiyo yote kufanyika Chukua Hela kidogo pereka kanisani kuendeleza kazi ya Mungu Just for thanxxx giving
Tunashukuru kwa kupewa hongera, tumeona moyo wa shukrani Kwa waziri wetu, tunaomba apewe mafunzo ya jeshi na majini nakupewa nafasi hiyo Kwa ujasiri aliouonyesha, saloote Kwa Bro Mungu akuinue kijana
Mungu mbariki kijana hodari huyu asiye Jenga tamaaa Mbaya ... Mwenyezi Mungu Akamuinua na Kumtia nguvu ya kutuokorea wahanga wetu Mungu Mubari kijana aishi miaka mingi🙏🙏🙏🙏
Pesa ni Moja ya pongezi lakin kwa ujasir kama ule sidhan kama itapendeza saaana coz Kuna watu wachache San wenye mioyo kama hiyo nahic hat nafac ya kawaida tuu jeshi la maji ingemfaaa alaf tusikalili kwamba pesa ndo njia pekee ya kulipa wema wa mtuu
Walahi kijana mdogo sana. Alijitolea kwa moyo wake wote na kuweka maisha yake hatarini na kufanikisha kuokowa maisha ya watu 23 Allah ampe maisha mazuri SHUJAA huyu n'a kuanzia Léo maisha yake ya badilike in Allah 's Name Amin
Nimetoa machozi wakati namtazama huyu kijana mdogo. Hakika Baraka za utajiri wa Roho na karama vishuke juu yake. Asante kwa kuwa sehemu ya waokoaji wa watanzania wenzetu🙏🏿
Huyo kijana amitimiza wajibu wake jinzi ambavyo Mungu alimkusudia aishi ata Leo. Niswali Kwa kila mmoja wetu yakwamba wajibu letu ni lipi hapa duniani ju ya kusudiletu kua hai Kwa mapenzi ya Mungu. Kongole bro
Woooi mungu akuongoze kijana mdogo kuingia ndani ya maji c rahisi futa machozi na Iyo 1m mungu amekufungukia mlango uliokoa mioyo mingi be bless from kenya
😭😭😭😭😭serikali mchukuweni huyo kijana mumuajiri kwenye kikosi cha uwokowaji mungu akupe maisha marefu mdg wangu waliyotangulia mbele yahaki allah awasamehe makosa yawo😭😭
Asante serikali kumpa kijana Majaliwa mafunzo hadi apate kazi,tujifunze kusaidiana ndio funzo nililolipata itokeapo ajali na sio kukimbilia mali za majeruhi,mafuta,ila tuokoe roho za watu jamaniii ni funzo kijana Majaliwa kalipata
Manyunyu ya.mvua ni ishara ya kupunguza majozi na nishara ya kuwekwa mahali pema..uyo kijana mpeni kazi ajisaidie maishani mwake yote...tena kazi ya jeshi la wanamaji
Uyu dogo kupewa kazi jeshini tu aitoshi, Maisha yake na Familia yake Wana deserve zaidi ya Hilo, watu kama awa ndo wanaitwaga HEROS WA NCHI, KUMBUKENI ule jama aliye wai kusaidia mtoto ufaransa, alipewaka kazi, urahiya, na utajiri juu, vip kuusu uyu dogo aliye saidia watu 24, TZ please muangaliye hili jambo kwa Hali nyingine bila kuangalia umri wake please, he deserve more than just kazi jeshi la uokoaji. Serekali angalieni hili please 🙏🏽
@@nyongoyamambatz5312, Hakuna lugha ya shukuru dogo kwa serikali ya udhalimu. Mil za wananchi wamezieka kwenye acc zao hakuna lifanywalo hata boti za uokoaji zimewashinda aibu kumpa mil 1 angalau kuanzia 10. Kwani si wanachota tu ssa kwann wasimchotee nayy wakampa???
Hadi machozi jaman.....naamini asingeumia na kamba basi angewakoa wote......but kifo ni ahadi na kazi umeifanya kijana....kioo cha tanzania....Mungu akubaliki bila kipimo...
Ajali ya ndege si rahisi kupona mtu lkn hii wangenusurika wengi tu mana ndege inaelea juu ya bahari km ingekua Tnz inazana za uokoaji wangeokoa wengi sana lkn ulafi ndio unaotumaliza Afrika. Ndege inavutwa kwa kamba, waokoaji wavuvi na mitumbwi yao pamoja na raia wa kawaida hawana uzoefu wwte hakuna hata boti za kuokolea??? Aibu sana.
Mungu amsutiri hapa duniani Mpaka akhera kama alivyowasitiri wenzake.kwanza huyo siyo wakupewa million Moja kazi aliyoifanya ni kubwa sana serikali imwangalie kijana huyu .serikali inampa Nini?
Maisha riziki Mungu akikupa akupigiii hodi ni wakati wowote Mungu ambariki kijana Huyu kwa kuokoa maisha ya watu haali ya ndege ni hatari hawa ndio watu wa muhimu katika taifa letu sio machawa kama wakina jumalokole issa azam Babalevo mwijaku na h baba wanapiga makelele tu hawawezi kuokoa maisha ya watu
Tafakari kwanza.....Wanapewa Mafunzo ya Uokozi ....Watapewa Vifaa vya Uokazi...Watatambulika Rasmi ...Milion 1 Amepewa kwa Ujasiri wake...Nautambuwe Mungu ndiye Muweza wa kila jambo...Aliyempa Ujasiri huo ni Mungu pekee...katika 1milion akitowa mia 1 Akienda kutowa Sadaka Msikitini Au kanisani ..ni sadaka Tosha.
@@nasramuhammad2046 Yaan hii ajali imenikumbusha mdogo wangu aliefia baharini hatujaona ht maiti yake kifo cha maji c masihara ndmn mwenyezi mungu alisema kufa maji ni kifo cha ushahidi
Mungu hambariki huyo kijana Kwa kazi aliyofanya,,,alisaidia sana,,kama si hivyo watanzania wagepoteza aslimia kubwa ya WAPENDWA wao,,, watching from Kenya 🇰🇪,,,poleni sana watanzania wale wamepoteza WAPENDWA wao🙏
He will never be the same. Utajiri wa baraka za roho 23 pamoja na familia, ndugu, marafiki na jamaa zao zote ziko juu yake, hatapungukiwa.
Amen
Amen
Ushauri tu dogo km huyu aliekoa watu kwa kujitoa namna hii Serikal ilipaswa kumchukua na kumuingia katka moja ya jeshi la nchi hii. Bravo Janja Mungu akuismamie
Amepew nafas kweny jesh la uokoaj
Ni kweli kabisa maneno Yako kaka.anatakiwa apewe moyo Zaid Kwa kujitoa muhanga kwake
Ni kweli ushauri mzuri
Kweli kabisa sasa iyo Pesa aito mfikisha popote
Rais kashaoa tamko tumeona uyu kijana aende jeshi
Mungu akupe maisha marefu shujaa wetu wa jana,,,,,,na akupe moyo huo huo🙏
Aaamina.Allah nawe akulinde pia baba
Ammin yaa rabby
Watching from kenya may God grant this young soul many more years
Much love from Kenya majaliwa....hakika wewe ni shujaa kweli aisee.....mungu akulinde daima🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪stands with you
Mashaallah Allah kampa nguvu za ajabu huyu dogo za kuweza kuwaokoa wahanga hao.
Mama Samia Suluhu mama we2 kipenz Mpe kitengo kijana huyo usimuache sawa Mama Mola atakulipa Fil Dunia na Aakhera. AMIN.
Kama angekuwa baba Magufuli ningekumbali 🇲🇿🇲🇿
Kwakweli serikali imchukue nakumuajili jeshi amefanya kz kubwa sn
God bless the young man,alijitoa maisha yake kuokoa wengi.keep up the good job,the LORD strengthen the family affected, the grace of GOD to you all.
Asante sana kijana allah akujalie kuwa na roho ya imani. Na roho yakujituma
Mungu akitaka kukuinua atakuinua kwa namna yake hakika naliona kusudi la Mungu juu ya maisha ya huyu kija. Umeniliza sana mdogo wangu aisee Mungu yupo jamn tusichoke kumuomba. Kuishi kwetu ni kristo na kufa ni faida🙏 hongera sana sana kaka
Pamoja Mungu aliuangalia moyo wake,kila jambo linasababu na kila karibu linamlango wa kutokea
Hakiamungu nimelia dah dogo asante sana,Mungu awe nawe sana kwenye maisha yako yote na atakulipa kwa ujasiri na wema wako pia
MashaAllah Majaaliwa hongera sana na wenzio wote waloshirikiana kuwasaidia na kuwaokoa walo pata ajali ya ndege Bukoba. Mungu awalipe kazi kubwa mno mlofanya. Tunamwomba Mungu awalaze pema peponi walofariki kwani ndiyo umri aliowakadiria Mungu. From Canada with great sadness and also joy😭🙏
Haikuwa kazi rahis Mungu akubarii sana Majaliwa kwan hata mim nisingeweza nmeamin Mungu huleta Watu watumike kwa manufaa ya Watu wengine nimeuona Mkono wa Bwana kupitia kwa Majaliwa aliyejitoa kwa ajili ya Watu wengi paspo hofu ya uhai wake nasi tujifunze kitu kupitia ilo tizama leo Mungu kampa furusa ya pekee kijana uyo tujitume pia vijana
Mungu azid kumpa moyo wa ujasir inshalha
Ee mungu wangu mpe maisha marefu huyu kijana
Upendo wa namna gani mtu kutoa nafsi yake kwa ajili ya wengine,hongera Sana Kijana nimejikuta natoa machozi, tunajifunza kitu, tusidharau yeyote ktk maisha
God bless this young boy but also give him more n more courage to tackle any kind of disaster.
The best advice I can give majaliwa n hivi kwasababu n Mungu ndo amemvua kwa Lindi la umaskini na akampa uwezo wa kuwaokoa wahasiriwa my bro do this take a 10%0f your million en gave thanks to God koz yeye ndo alisababisha hiyo yote kufanyika
Chukua Hela kidogo pereka kanisani kuendeleza kazi ya Mungu
Just for thanxxx giving
Tunashukuru kwa kupewa hongera, tumeona moyo wa shukrani Kwa waziri wetu, tunaomba apewe mafunzo ya jeshi na majini nakupewa nafasi hiyo Kwa ujasiri aliouonyesha, saloote Kwa Bro Mungu akuinue kijana
God bless you young brother... Keep doing good things in life God will pay you
Jaman hakupewa hiyo milion moja tu kapelekwa kwenye jeshi la kulinda taifa yaan ni mwanajeshi mungu akuzidishie zaidi kijana wangu
Asante waziri mkuu kuwa na wananchi wako nyakati za majonzi
Jamani wasijewakamuibia nimejikuta nalia sana Mungu akutunze milele wewe na kizazi chako
Milioni moja pesa gani na wewe mpaka wamuibie 😂
😭😭😭😭
@@AceB4real 😂
God bless you baby boy ubarikiwe Sana uishi maisha marefu na uendelee tu...kuokoa wengi
Mungu hakuongoze kaka haki umeniluza Hadi Mimi juu ya furaha.mungu hawasamee wengine walotangulia 🤲🤲🤲.
Hadi machozi yamenitoka kajitahidi kuokowa maisha ya Watanzania we zake, Mungu akulipekheri🙏.
Mungu akupe maisha marefu ndugu yangu,,, much love from kenya
Hakika mungu humwongoza mtu yeyote bila kuangalia umri...ahsante ndugu na mungu akuzidishie maisha yako yawe marefupamoja na familoa yako.
Mungu mbariki kijana hodari huyu asiye Jenga tamaaa Mbaya ... Mwenyezi Mungu Akamuinua na Kumtia nguvu ya kutuokorea wahanga wetu Mungu Mubari kijana aishi miaka mingi🙏🙏🙏🙏
Huyu Anatakiwa kampuni ya ndege pia impe pesa kidogo japo milioni 3
Haswaa
kijana kazi nzuri God bless you
Mashallah Mungu azid kukuinua kijana uwe na ujasiri zaid ya huu uko uendapo
Mnazingua million moja tu, Mtu kajitoa maisha kuokoa watu alafu mnampa hela mbuzi. Nchi ya ajabu mpeni nyumba na kazi.
Kaongezewa million tatu na amepewa nafasi ya kujiunga na jeshi la uokoaji
I don’t understand just 1M
@@masumbukojonas5510 still ndogo, dah
At least angepewa kuanzia 10. Pengine ingefanya vijana wengi wajitoe penye ajali.
Pesa ni Moja ya pongezi lakin kwa ujasir kama ule sidhan kama itapendeza saaana coz Kuna watu wachache San wenye mioyo kama hiyo nahic hat nafac ya kawaida tuu jeshi la maji ingemfaaa alaf tusikalili kwamba pesa ndo njia pekee ya kulipa wema wa mtuu
Mungu akuzidishie baraka ndugu
Yaani huyu mzalwnso kweli Sana, vijana wengine wangekuwa busy kupiga picha..... Aiseeee Majaliwa I love you my son Mungu akutunze.
Mungu uwalaze mahala pema peponi 🙏🙏 Kwa Jina la Mungu Baba na mwana na laroho mtakatifu wote walio Tangulia mbele za haki Amen
Walahi kijana mdogo sana. Alijitolea kwa moyo wake wote na kuweka maisha yake hatarini na kufanikisha kuokowa maisha ya watu 23 Allah ampe maisha mazuri SHUJAA huyu n'a kuanzia Léo maisha yake ya badilike in Allah 's Name Amin
Mwenyezi akubariki kijana wetu...nimetokwa na machozii..mi pia,Mungu akulinde
Mungu abariki kijana wetu mungu amulinde
Mashallah majaliwa mungu amekujalia moyo wa huruma kabisa
Mungu aendelee kukupigania uishi katika heri daima jamani Hadi machozi kweli Mungu hamtupi mja wake
Mungu mfikishe mbali huyu kijana. Baraka zako zikatawale kwake na kwenye kizazi chake. Amen.
Mungu Akubariki Sana Mdogo wangu
Nimetoa machozi wakati namtazama huyu kijana mdogo. Hakika Baraka za utajiri wa Roho na karama vishuke juu yake.
Asante kwa kuwa sehemu ya waokoaji wa watanzania wenzetu🙏🏿
Mwenyezi Mungu akukumbuke kijana katika maisha yako yote na akufungulie milango ya baraka zaidi
God bless you young man na akuzidishie baraka sufufu🙏🙏🙏🙏
Wakati wa Mungu, nitakukalisha meza moja na Wakuu🙏 Majaliwa shujaa
Hé is a HERO wampe medalion,n'a zaidi ya million moja
Milioni moja itatumika itaisha fanyeni jambo litakaloweza kuleta alama katika maisha yake moyo wake ni mkuu sana jamani
Umeongea point
Kapewa ajira serikalini tayari mbona
Mungu akubariki dogo akupe maisha marefu na mazuri umekua moja ya mashujaa Tanzania kwa msaada wako mzuri ulioufanya mungu akulinde inshallah
Congratulations bro God bless you ,
Kindness is a virtue
jamaa nimuzalendo sanaa mungu amubariki sanaa
Huyo kijana amitimiza wajibu wake jinzi ambavyo Mungu alimkusudia aishi ata Leo. Niswali Kwa kila mmoja wetu yakwamba wajibu letu ni lipi hapa duniani ju ya kusudiletu kua hai Kwa mapenzi ya Mungu. Kongole bro
Mungu akupe maisha marefu yenye kher na ww 🤲😭
Hongeara sana kijana allah akujalie afya njema
Woooi mungu akuongoze kijana mdogo kuingia ndani ya maji c rahisi futa machozi na Iyo 1m mungu amekufungukia mlango uliokoa mioyo mingi be bless from kenya
Mungu akulinde popote uendako wepamoja nawe kaka angu 😥🤲🙏
Jamani Hadi nalia duuu
@@frollaomary2474 inauma xana mm mwenyewe nimejikuta nalia
God to bless you 👍👍👍
@@linaosaloh6081 🙏🙏😘
😭😭😭😭😭serikali mchukuweni huyo kijana mumuajiri kwenye kikosi cha uwokowaji mungu akupe maisha marefu mdg wangu waliyotangulia mbele yahaki allah awasamehe makosa yawo😭😭
Asante serikali kumpa kijana Majaliwa mafunzo hadi apate kazi,tujifunze kusaidiana ndio funzo nililolipata itokeapo ajali na sio kukimbilia mali za majeruhi,mafuta,ila tuokoe roho za watu jamaniii ni funzo kijana Majaliwa kalipata
Watching from Kenya am really sorry for the loss of the people, may God bless u young man 🙏🙏🙏💝💕
Poleni sana Kwa huu msiba
Allah amuongoze kwa kila khatua na ampe imani. Congratulation boy mungu akupe unacho stahili kwa maisha yako.Pongezi sana
Manyunyu ya.mvua ni ishara ya kupunguza majozi na nishara ya kuwekwa mahali pema..uyo kijana mpeni kazi ajisaidie maishani mwake yote...tena kazi ya jeshi la wanamaji
😭😭milioni moja nindogo kabisa,hiyoyakujitibia alipoumiatu msifanye mzaha.pesa.mnapelekawapi?jamani magufuli tunakukumnuka kwawemawako,tunajua,ungefanya kubwa juu yahuyo kijana,Allah amlinde,ampekila laheri,Amin
Usiposhukuru kidogo hata kikubwa Mwenyez Mungu atakunyima! aliipokea kwa furaha akapata ajira ya kudumu
MUNGU akubariki sanaaa broo
Good work brother, Mungu akuongoze masiku🙏🙏
He deserves more than a million
Asante Sana Munguvwa Mbinguni kwa kumtumia huyu kijana.
Mwenyezi mungu akukuze vyema shujaa wetu hakika utabarikiwa
Uyu dogo kupewa kazi jeshini tu aitoshi, Maisha yake na Familia yake Wana deserve zaidi ya Hilo, watu kama awa ndo wanaitwaga HEROS WA NCHI, KUMBUKENI ule jama aliye wai kusaidia mtoto ufaransa, alipewaka kazi, urahiya, na utajiri juu, vip kuusu uyu dogo aliye saidia watu 24, TZ please muangaliye hili jambo kwa Hali nyingine bila kuangalia umri wake please, he deserve more than just kazi jeshi la uokoaji. Serekali angalieni hili please 🙏🏽
Kijana Mungu amzidishie ampe haja yamoyo wake Amen
Cograturations kijana shujaa kwa kuokoa roho za hao watu mungu akupee maisha marefu
Mungu akulinde sana mdogo wangu awe pamoja nawewe popote
Nimejikuta nalia wallah. Allah akulinde na hasad kijana, innallillah wainna ilayhi rajiun.
Aamina Yaa Rabby🤲🤲🤲😭😭😭😭
Serikali inazingua unampaje million Moja mtu kasaidia watu 23 hio Hela itaisha mpen kitengo
@@nyongoyamambatz5312, At least wangeeka 10...naamini watu wengi wangejitoa wakiona ajali. Lkn mil 1 nusura afe???
Kweli ila nacho shukuru dogo kapewa kitengo na rahisi hio safi sana
@@nyongoyamambatz5312, Hakuna lugha ya shukuru dogo kwa serikali ya udhalimu. Mil za wananchi wamezieka kwenye acc zao hakuna lifanywalo hata boti za uokoaji zimewashinda aibu kumpa mil 1 angalau kuanzia 10. Kwani si wanachota tu ssa kwann wasimchotee nayy wakampa???
God bless you bro
Hadi machozi jaman.....naamini asingeumia na kamba basi angewakoa wote......but kifo ni ahadi na kazi umeifanya kijana....kioo cha tanzania....Mungu akubaliki bila kipimo...
MashaAllah kijana shujaa sn uyu apatiwe kazi jeshini
Thank brother you will leave long
Mashaallah hongera kakangu kwa kazi uliyo ifanya Allah akufungulie milango ya kheri
Mungu wetu akutunze bro majaliwa 🙏
Shujaa wetu tunaomba apewe nafasi katika kikosi cha uokoaji✍️✍️✍️
Hakika Mungu akubariki mno kijana Kwa neema hii
Mungu akupe imani na huruma izidi kusaidia binadamu wenzio
Mimi mwenyewe siamini kama kuna waliopona maana ajali ya ndege sikia tuuu Allah awasamehe mazambibyaooo
😥😥
Ajali ya ndege si rahisi kupona mtu lkn hii wangenusurika wengi tu mana ndege inaelea juu ya bahari km ingekua Tnz inazana za uokoaji wangeokoa wengi sana lkn ulafi ndio unaotumaliza Afrika. Ndege inavutwa kwa kamba, waokoaji wavuvi na mitumbwi yao pamoja na raia wa kawaida hawana uzoefu wwte hakuna hata boti za kuokolea??? Aibu sana.
@@alhamdulillah5796 🙏🙏🙏❤️❤️❤️
Mungu amsutiri hapa duniani Mpaka akhera kama alivyowasitiri wenzake.kwanza huyo siyo wakupewa million Moja kazi aliyoifanya ni kubwa sana serikali imwangalie kijana huyu .serikali inampa Nini?
@@hamidashaban1203 haswaaa naimani watampa zaidi maana ameweka uhai wake rehani sababu ya wenzake
Mungu akulinde daima🙏
Safiiii sana Aiseeeeee daaaah majaliwa Jackson mungu akubarikiiii
Shujaa wa kweli. Mungu akubariki kwa upendo kijana
Mungu akupe maisha marefu uzidi kuwa na moyo huohuo,poleni sana pia mliopoteza ndugu zenu wapendwa
Nice job 👍👍👍
Ni kijana mdogo Sana lakini ni shujaa MUngu amsimamie ampe haja ya moyo wake jamn kumbe tunamashujaa wazuri Sana
Hadi machozi yamenitoka🥺umefanya kazi kubwa mno dah..Mungu akubariki.
Mungu aweke kukuezeshea maisha marefu⭐⭐⭐
Mungu akubariki na akuinue akupatie wasamaria ili maisha yako yakawe baraka
Hali ya hewa Bukoba Mungu tunasaidie
Mungu nakushukuru kwaajili yakijana huyu mwongezee siku za kuishi
Maisha riziki Mungu akikupa akupigiii hodi ni wakati wowote Mungu ambariki kijana Huyu kwa kuokoa maisha ya watu haali ya ndege ni hatari hawa ndio watu wa muhimu katika taifa letu sio machawa kama wakina jumalokole issa azam Babalevo mwijaku na h baba wanapiga makelele tu hawawezi kuokoa maisha ya watu
Mtu kahatarisha maisha yake kwaajir ya watu wengine unampa milioni moja!!
Kwann hasipatiwe fursa ya kufanya anachokipenda kwasababu pesa uisha.
Hapo majaliwa kafeli kwa kweli
Ww unamawazo kama yakwangu million 1aitoshi kbsa kwa kijana Huyo
Raisi tayari kampa nafasi ya kuingia kwenye jeshi la uokoaji
Hapo mzee Majaliwa kafungua milango kwa walioguswa na ushujaa was huyo kijana wamchangie. Naamin kabisa mihela itammwagikia kijana
Tafakari kwanza.....Wanapewa Mafunzo ya Uokozi ....Watapewa Vifaa vya Uokazi...Watatambulika Rasmi ...Milion 1 Amepewa kwa Ujasiri wake...Nautambuwe Mungu ndiye Muweza wa kila jambo...Aliyempa Ujasiri huo ni Mungu pekee...katika 1milion akitowa mia 1 Akienda kutowa Sadaka Msikitini Au kanisani ..ni sadaka Tosha.
Anastahili zaidi maana amefanya kazi ambayo Mungu kamuhimiza kuokoa watu 23 c masihara
Dadangu si mchezo amerisk maisha yake huyo n shujaa anafaa apewe kazi kwa serekali
Magufuli kabisaaa
Waliookolewa nao wampe zawadi nono sio mchezo, Mungu ambariki
@@nasramuhammad2046 Yaan hii ajali imenikumbusha mdogo wangu aliefia baharini hatujaona ht maiti yake kifo cha maji c masihara ndmn mwenyezi mungu alisema kufa maji ni kifo cha ushahidi
Mmmh anafaa apewe kazi ya uokoaji kwa aerekali jeshi la nevy na wavuvi wapewe mtaji ajira mafunzo ju haijawai tokea
Milioni moja ni ndogo sana lazima afikiriwe mno Mungu akutunze mnoo
milion 1 kwa uokoz wa watu 24
tena inatolewa na serikali, This bigshame to Tz's leadership , real. 😊
Hakika kijana umefanya jambo kubwa sana🙏🙏
May God give you strength young boy 👦 be blessed 🙏🙏
Mungu amtie nguvu hyo kijana