1_Ushuhuda wa Nabii Selina Ramoos alivotokewa na Yesu mara 6"Jiandae Yesu anakuja kulichukua kanisa"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 15

  • @Stelaelias-i8o
    @Stelaelias-i8o 7 місяців тому +1

    Naomba umuulize Mungu hayo mapambo hayafai wigi heren hizo cheni nimachukizo

  • @Marthamodest-l7q
    @Marthamodest-l7q 7 місяців тому +2

    Amen Mungu nisaidie nisipotee niongoze Bwana peke yangu sitaweza

  • @susanilunda
    @susanilunda 7 місяців тому +1

    Mtumishi wa Mungu naomba usome katika mwanzo35:2,kutoka33:4-6,isaya4:16-24,1Timotheo2:9,1petro3:3

  • @JESUSISLO891
    @JESUSISLO891 7 місяців тому +4

    Siku hizi mnatuletea chochote tukisikize Mimi naamini hakuna mtu aliyewahi tokewa Na MUNGU asibadilike Kwa maana ya hata uvaaji wake hamwezi tuletea watu wamevaa mabangili Na mashanga Na kusuka nywele kutulisha neno ama mna lengo Gani promover tv mmeanza kujali matumbo yenu kuliko neno la Mungu ndio maana maandiko yanasisitisha kuwa ishi Kwa kiasi Bora una mavazi Na chakula

    • @fortunatatarimo2219
      @fortunatatarimo2219 7 місяців тому

      Usiwe mwepesi wa kuhukumu, fanya sehemu yako mwache Mungu abaki kuwa wa haki na hukumu. Utashangaa siku hiyo, Mungu hawazi kama wanadamu

    • @stephanomakoye6936
      @stephanomakoye6936 7 місяців тому +1

      Kwa Nini haujali ujumbe wa neno la Mungu?,,badala yake unajali kuhukumu kwa nje tu

    • @bonifacemwansasu6638
      @bonifacemwansasu6638 7 місяців тому

      Mungu humtumia mtu yeyote yule aliyemchagua kufikisha ujumbe, wewe ni nani hata umpangie Mungu?

    • @eugeniuslugangira7899
      @eugeniuslugangira7899 7 місяців тому +1

      Binafsi kwa kumtazama tu!!! Nimekosa tumaini juu anachokiwasilisha.

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 7 місяців тому +1

    yawe yaukweli. Kama kweli. Kunawatu. Watapona namimipia

  • @Peace.2018
    @Peace.2018 7 місяців тому

    Bwana Yesu Kristo asifiwe, ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kwa ujumbe uliotuletea,mimi nimeuelewa sana katikati ya kusikiliza ghafla nimejiona nimetolewa kwenye kusikiliza na nimepelekwa kwenye kuangalia kutoka kichwani ,shingoni na mikononi, sasa siwezi kujua nani aliyenitoa kwenye mada, samahani lkn nimeshindwa kunyamaza kimya kama nimekosea Mungu anisamehe,ila nilikuwa nakuuliza Mtumishi wa Mungu vipi Mungu hajasema na wewe kwa habari ya mapambo?na vilevile je Mungu ana upendeleo? kiasi cha kuwa wengine aongee nao na wengine asiongee nao?Promover tv naomba mnisaidie kufikisha swali langu.

  • @GodfreySilvesta
    @GodfreySilvesta 3 місяці тому

    Mama angu utapewa vazi jeupe lakin langonk utaingia utakataliwa sabubu ulivyi viweka kichwani na masikioni so vya ufalme wa mbinguni ivo badilika usije ukawa mtu wa kukosa