Siwezi kuandika na kumaliza mane no yote ya moyoni mwangu. watu wa Mungu, Wana Chato Mission. Nawakumbuka sana, nakumbuka miaka ya 2008-2010. nikiwa chato high school, mlinibariki sana. endeleeni kutumika, tunaweza tusikutane tena duniani lkn natamani siku moja nikae karibu na kwaya yangu pendwa hii mitaa ya mbinguni tukiimba kwa furaha. Mmekumbusha mzee wa imani Magolinya. Nawapenda sana. Huu wimbo umetungwa ukatungika, umeimbwa ukaimbika. wasalaam mama Bulizo, Mr & Mrs Mkilya,
Nawapendaaaaa Sana watu wa chatooo barikiweeeen Sana waimbajiiii chato mission mpooo vzr sanaaaaaaa🙏🙏♥️🌹🌹
Barikiweni Sana Wana chato nawaombea mfike mbali Ila msipotee
Mnaimba vzr Sana chato...
Nawapenda sana mbarikiwe mwende mbali mpotelee mbinguni Kwa nyimbo hiz zikapate kuwa hubiri tosha la kuwaandaa watu Kwa ajiri ya uzima wa milele
Asante sana
Wasabato haturuhusiwi kumarch wapendwa sauti ni ya Yakobo Ila mwili ni wa Esau tafakuri!!!
Nimewamisss sanaaaaa na mmeimba vizuri sana
Barikiwa sana ,,nice song
Safi sana
Siwezi kuandika na kumaliza mane no yote ya moyoni mwangu.
watu wa Mungu, Wana Chato Mission. Nawakumbuka sana, nakumbuka miaka ya 2008-2010. nikiwa chato high school, mlinibariki sana. endeleeni kutumika, tunaweza tusikutane tena duniani lkn natamani siku moja nikae karibu na kwaya yangu pendwa hii mitaa ya mbinguni tukiimba kwa furaha. Mmekumbusha mzee wa imani Magolinya.
Nawapenda sana.
Huu wimbo umetungwa ukatungika, umeimbwa ukaimbika.
wasalaam
mama Bulizo, Mr & Mrs Mkilya,
Woow nice song.
waimbaji chukueni maua yenu