TAZAMA ULINZI MKALI WA MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI AKIONDOKA TANZANIA, DKT MPANGO AMUAGA AIRPORT.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 83

  • @mpenzisamaki9488
    @mpenzisamaki9488 Рік тому +10

    Makamu tu kapokelewa na watu kibao ka nn lakini mama yenu alivoenda marekani kilikuwa kituko tutajipendekeza Hadi lini huu ni ushamba

  • @barakastephano8889
    @barakastephano8889 Рік тому +3

    Mungu aturehemu.
    Atupe hatima njema kwa kizazi kinachokuja.

  • @OscarLucars-yh5jj
    @OscarLucars-yh5jj Рік тому +15

    Naskitika sana maana cjui utumwa tutaacha lini naumia sana kuona wa2 wazima wenye akili zao wana ruka ruka hovyo na kuwaimbia wanyonyaji 😢 kweli njaaa ni k2 kingine kbs polen hata nafsi zenu ziwasute basi

    • @johnmalembo6464
      @johnmalembo6464 Рік тому +1

      Tukijitambua wote kama wewe nchi yetu itakuwa mfano wa kuigwa Kwa utajiri... iwe heri Kwa watz

    • @zackrichard3617
      @zackrichard3617 Рік тому +2

      Samia akienda kwao hujikuona wanafanya huu ujinga looo

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 Рік тому +1

      Hata hizo ngoma jamaa hawana mpango nazo !! Tena sisi tunavilipa hivuo vikundi...

    • @ambwenedaniel358
      @ambwenedaniel358 Рік тому

      Ni upumbavu wa hali ya Juu tuna viongozi wa ajabuajabu sana tanzania 🇹🇿

    • @adamkivale-wi4vg
      @adamkivale-wi4vg Рік тому

      Watu wakula mtonyo hats Mimi ningejirusha hovyoooo😅😅😅

  • @manwoka4078
    @manwoka4078 Рік тому +4

    Haya pitisheni sasa sheria ya kuruhusa uchoko na usagaji,pesa mshapewa

  • @zablonnyanda6095
    @zablonnyanda6095 Рік тому +3

    DA? SIJUI HILI LA USHOGA! LIMEONGELEWAJE?

  • @dianerditto
    @dianerditto Рік тому +1

    Kaja na ulinz mkuuubwa angejua ka nchi ketu tulivyowaoga hata angekuja pkyake na rubani wake tu angeondoka salama

  • @silvatv8294
    @silvatv8294 Рік тому +2

    GOD ONE DAY I WILL REJOICE UR NAME IN SUCH LEVEL IN JESUS NAME.AMEEEEN

    • @jacksonwilson5772
      @jacksonwilson5772 Рік тому

      Ameeen. Na itakuwa hivo.

    • @nativeGold.10
      @nativeGold.10 Рік тому +1

      Wabongo kwa matumaini hehe🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌

    • @jacksonwilson5772
      @jacksonwilson5772 Рік тому

      @@nativeGold.10 usipokuwa na matumain wew ni sawa na mfu tu anaetembea. kwan unafkir hao viongoz walizaliwa wakiwa wanaongoza? wengine walikuw hawana mwelekeo kbsa,wengine walikuw watot wa mtaan, wengine walikuw mayatima. mfano rais wa Ukraine Vladimir Zelensky alikuw comedian tu mwisho wa siku kaibukia ikulu, na sasa anakabiliana na Russia kiume tu. Kuna mtu aliyewah kufkir ata kuwa Zelensky angekuwa rais? Na Mungu huwa ana makusud na kila mtu, kama wew umekosa matumain wacha wenzako wawe na matumain.😂. Usiwakatishe tamaa

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 Рік тому +2

    Afazali mmeondoka, msije tena Tanzania

  • @emmanuelaloyce932
    @emmanuelaloyce932 Рік тому +1

    Ivi kweli watanzania tuna akili kweli!!!!????😢😢😢😢 Sasa hapo mnacho shangilia nini!????? Ushoga ndiyo tayari umeshapitishwa hivyooo. Ee mwenyezi Mungu utunusuru waja wako😢😢😢😢

  • @biddii1972
    @biddii1972 Рік тому +2

    Kweli mungu alitunyima akili 😢😢😢

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 Рік тому

    Duuuh!🙆‍♀️🙆‍♀️

  • @Thewhiteclassic3717
    @Thewhiteclassic3717 Рік тому +3

    Wa Africa mpaka ivi atujafunguka macho? Sasa wana sherekeya nini? Raisi wa tanzania anafikaga marekani atuonagi watu wa USA wana mshobokeya sasa makamu wa raisi wa usa 🇺🇸 kufika tanzania ndo sherehe inawekwa ? Nini amewaletea kam sio mashauri mabovu tu?

    • @mandlasakhile9109
      @mandlasakhile9109 Рік тому

      Sasa wewe si ni maskini huna kitu unataka nani akusherehekee gdb ya dola trillion 25 utalinganisha na gdp ya dola billion 76? Umetoa msaada kwa nani? I think iko hivyo tu you are late 😅🤣

    • @del-mohaa7527
      @del-mohaa7527 Рік тому

      ​@@mandlasakhile9109 koma kuita muafrica mwenzako maskini na magufuli nadhani aliwakataza hilo leo hii unasema muafrica ni maskini jitambue ww sisi tungekua maskini hao mabeberu hawangekuja kamwe africa uliona wapi tajiri akimtembelea maskini jitambue usiwai rudia tena hii neno

    • @mandlasakhile9109
      @mandlasakhile9109 Рік тому

      @@del-mohaa7527 mataifa haya ni maskini ndugu yangu, umaskini wa taifa unapimwa kwa kitu kipi labda nikuulize?

    • @mandlasakhile9109
      @mandlasakhile9109 Рік тому

      Hio kua na rasilimali haitoshi kuitwa tajiri..go back to DISMAL SCIENCE!!

  • @lodrickmwambene133
    @lodrickmwambene133 Рік тому

    Ndio raisi wa marekani hajaye

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 Рік тому +2

    Hadi magari ya kumbeba wameleta ya kwao wenyewe jamani hatuaminiki

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Рік тому +1

      Kwa kweli yaani hawa watu ni sisi tu tunaendekeza kupewa

  • @sophiayusuph5424
    @sophiayusuph5424 Рік тому

    Mungu tunaomba utuokoe na janga hili lilioletwa na hawa wamama wawili😂😂😂😂😂

  • @MunirDaniford
    @MunirDaniford Рік тому

    Yani apo unaona kwa uwazi kua sisi ni watumwa kabisa

  • @lama6310
    @lama6310 Рік тому

    Hatutak Ushoga sisi😢😢

  • @hermanmssa232
    @hermanmssa232 Рік тому +1

    Baada ya kusikia mashoga tunataka tuwakomeshe sasa wameamua kuja kutoa pesa ili swala tusiliongelee

  • @onesmoelias2285
    @onesmoelias2285 Рік тому +1

    Kusikitika lazma tunaonekana matahila kwa kpga ngoma hzo emungu wangu tupe hakil ya utanbuz

  • @emmanuelkache4646
    @emmanuelkache4646 Рік тому +2

    Ninachokiona mimi vijana tuwekeze akili zetu kwa kujitegemea, tujiamini, tuwe wazalendo, tujitume ktk kazi tutoe fikra kwamba bila wazungu hatuwezi kuendelea. Ni aibu KUBWA MNO viongozi wetu wa AFRIKA tena wa ngazi za juu wakienda ulaya mapokezi kama ya Balozi wa nyumba kumi kumi. Wanatudharau sana TUBADILIKE BASI

  • @rukiakhamis-le6kg
    @rukiakhamis-le6kg Рік тому

    Ni kuhamasisha ushoga tu, Tz ushoga hautoisha hata, hawa jamaa hawana jema

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 Рік тому

    Kwaheri Mkoloni Mambo leo

  • @HassanHassan-sn5cj
    @HassanHassan-sn5cj Рік тому

    Mbona wankuja kiindi hiki vp wana ajenda gani hao wanaosapot ushoga?

  • @hamisrajabu1675
    @hamisrajabu1675 Рік тому +4

    Vijana mtaongea sana na kucoment kwa sana lkn hamuta sikilizwa hata kidogo kwasababu watanzania wote na viongozi wa dini na kisiasa ni wanafiki kila anaangaria nafasi yake yeye Alipo wala amuangalii mtoto wake , mjukuu wake , binamu yake, wa rafk yake anacho jari nikuonekana yy ndo kila ki2 na waafrika hatuna mshikamano sote niwanafiki2 nyiye nae komment wapo mnakoment unafk2 mkiambiwa nendeni mkapge kuja kwa wazungu katk bara ra afrika yote marimba mnaogopa kufa kwhy huo tunauita unafk kwhy yamazeni kaend kmy tuone inch inavyoenda , usbir mda wako wa kufa ifike

  • @julianpeter7165
    @julianpeter7165 Рік тому

    Lini atatokea kiongozi Afrika apige marufuku haya mambo ya kikoloni ya kucheza ngoja uwaniani

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Рік тому

      Sio kiongozi sema lini nchi za kiafrika zitaacha kuwa omba omba

  • @giovannygracious3434
    @giovannygracious3434 Рік тому +1

    Yaan mim hapo ningekuwepo uwanjani ningelia I love u kamala I love yo you kamala help me mtaji kamala yaan mpaka angenigawia poch la mzungu chezea...
    Mawazo ya maskin siku zote huwa mgando

  • @maskthegreet8400
    @maskthegreet8400 Рік тому +1

    Nirifaamu wakati unatoa rakini nikaisi umemwambia mamasamia zakwangu anitunzie kwanza rakini zamchere napirau anipe♥️⬜🤾💚🤸🏁✋🇦🇶😆🏃

  • @habibndyeshobora6848
    @habibndyeshobora6848 Рік тому

    Je Hakutubia Yale ya Ghana !!!!??? Au watayaesma kadri tunavyoendelea na madini, gas ,mafuta ,etc. Wameona wakijichanganya , watavikosa !!!!!

  • @zackrichard3617
    @zackrichard3617 Рік тому

    Wanamshangilia makamu wa rais wa mashoga na wasagaji

  • @britonkanumba6828
    @britonkanumba6828 Рік тому

    Hivi ka bahati kabisa hata kukutana na wasanii wake 😂😂

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 Рік тому +2

    Madini yetu hayo yana paa

  • @djmpemba
    @djmpemba Рік тому +1

    Watanzania bana yani mama akiwa kwao anaonekana wakawaida tu lakini iko kidada kikija kwetu mnamuona mtu na tarumbeta mnampigigia😂

  • @ericklibaba1198
    @ericklibaba1198 Рік тому +2

    Africa bhn khaaaa

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 Рік тому +2

    #NONSENSE

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Рік тому

    Pambeee

  • @abdulbongekapunye
    @abdulbongekapunye Рік тому +2

    sema nn poa tu

  • @juenimusimu6359
    @juenimusimu6359 Рік тому

    Uo ulizi mkali ni upo??

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 Рік тому

    Ayo Magari yanaonekana mabayaaaaaa😂😂,,,lakini ndo magari yenye gharama kubwa dunian kuwai kutengenezwa..

  • @anwary_sultan
    @anwary_sultan Рік тому

    Ila ss waafrika niwakalim asee so mchezo mtu anakarbishwa kwa shangwe anaagwa kwa shangwee duuh...African cultures are best..

  • @del-mohaa7527
    @del-mohaa7527 Рік тому +2

    Wakati wa magufuli haya ckuwai yaona hata mara moja viongozi wabaya tulionao africa tutafunguka lini sisi kuwasujudia hawa mabeberu mm ni mkenya ila nawachukia sanaa wazungu kwa jinsi wanavyokuja kutupora mali zetu kupitia viongozi wabaya tulionao ili wakienda jijenga kwao alafu wakijifanya kuja na misaada na ilhali hio misaada ni mali yetu yenye walitupora

  • @saidimuhsini7379
    @saidimuhsini7379 Рік тому

    Mbona kaja na mumewe mwanaume kumbe hajui haki za binadamu

  • @sanzeclassic3386
    @sanzeclassic3386 Рік тому

    Jamaa zangu wa FBI

  • @saidimuhsini7379
    @saidimuhsini7379 Рік тому

    Mbona magari kama ya viongozi wetu apa bongo

  • @nassjr6566
    @nassjr6566 Рік тому

    Kwhy km anauliz mkali hafii au hlf tuachen ushamb sn kw akija na kuondok itakuw hajafk sehem husik mbn viogoz wet wakiend hawafnyii km hv inafk mahali tuone wa kawaid tu haw

  • @nigerian_4736
    @nigerian_4736 Рік тому

    Byeeeee😂🤣

  • @YusuphGallah-bm6vx
    @YusuphGallah-bm6vx Рік тому

    Saf

  • @del-mohaa7527
    @del-mohaa7527 Рік тому

    Tizama hapo anavyopigiwa vinanda huyo mama mzungu anasema kimoyo moyo angalia hawa wajinga wanavyotupokea kwakuja kuwaletea ujinga 😏

    • @nassjr6566
      @nassjr6566 Рік тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.. kw ss au waliompokea naiman umulze raia kila mt atakupa jb baya kuhuxu huy mw.mke

  • @donaldnzigo1730
    @donaldnzigo1730 Рік тому +1

    Tena nyie mnaopiga ivyo vigoma na vitarumbeta watoto wenu kila kukicha wanapoteza uhalisia wa jinsia zao.(ushoga/usagaji) becouse of this stupid guy from another country

  • @donaldnzigo1730
    @donaldnzigo1730 Рік тому +1

    Ayo majamaaa ndo yanayochochea wimbi ongezeko la mashoga apa Nchi and then mnayapokea kifalme kma ivyo.stupid