I like hearing that you are always ready to support your followers no matter what🔥🔥🔥🔥🔥 ,I wish one day ningepatana na anyone from your family but ya mungu ni mengi,yakesho hayajuaye ni mwenyezi mungu.
Hi peninsula, am so glad to your work my youtube mentor friend. I would remind you of trainings whereby one can go through embassy in getting a visitor visa.
I admire that you conquered the initial challenges in the US. But,tell your hubby not to plan to come back to Kenya manze. Your cooperation as a family is so nice guys 👏👏👏
This is total inspirational. I admire you two. A blessed couple. You are the best; a good role model for other conflicting families. Ninawapenda sana. Cheers!
Huku Hakuna roles ya bwana ama ya bibi. We have to work together cuz things can be tough and sometimes one person might feel burnt out since we don’t have that community help kama nyumbani! Omg! My kids love those Romen noodles too lol 😂😂😂….kids are the same I swear
Hello Peninah!!! For kama mungu akinisaidia kuja hapo maju kukutana na nyinyi ndio first job nitafanya Watching from RWANDA❤ TUNAKUPENDA SANA you inspire us
Ninaanza na ku-claim hizo baraka za huu mwaka, AMEN!....and then Peninah uambie watu wewe unapenda misitu ndiposa you like parking near them, usidanganyane - hiyo parking space yote and you still prefer the bushes?.....😂😂....na ambia your hubbiness ni Part 3 tunangoja, si 2......😁....na muache kulenga story ya venye mlikutana na kukatiana, me nataka kujua.....🤭 ....I love and appreciate you guyz sana....by the way, Jonah, the term you were looking for ni prenup (prenuptials) zenye una-sign-ingi ku-state utapata nini after divorce....thanking you always for the roundi mwendaz na mucene mingimingi....😅....barikiweni sana...
Hi gal akh a love your content so much am your silent follower btw mmy NH wa kwenu from back home endelea kutuinspire kabisa najua chenye tunataka mungu atatutimitia ata zaidi kabisa,,I yap into this new year blessings in the mighty name of Jesus Christ
GOD bless you always 🙏🙏 dear I always follow up 🙏 you and your family good job 👏👏.I have applied waiting God to do his miracle on me too 🙏🙏. With God everything is possible 🙏🙏
You guys inspire me alot tangu nianze kuwtch nyinyi kila siku naamgalia kila siku nione kama mmepost I love you guys❤
❤❤❤
😂😂😂guilty as charged yaani nime watch your videos for the last 3days from morning to evening Wacha ni like hii
I like hearing that you are always ready to support your followers no matter what🔥🔥🔥🔥🔥 ,I wish one day ningepatana na anyone from your family but ya mungu ni mengi,yakesho hayajuaye ni mwenyezi mungu.
Ameen 🤗 ❤❤
Peninah nimekuwa your supporter sana and I know kusuka nywele so Kuja nipromote huku wins consistently state superior city
Wisconsin
Carol you support me alot haki sweetheart nitaambia hubby we come I think it's 1 hrs drive 🚗 from here
Hi peninsula, am so glad to your work my youtube mentor friend. I would remind you of trainings whereby one can go through embassy in getting a visitor visa.
What kind of visa it's depends
I admire that you conquered the initial challenges in the US. But,tell your hubby not to plan to come back to Kenya manze.
Your cooperation as a family is so nice guys 👏👏👏
Thanks so laban he is not coming bck
Addicted to your videos,haki peninah so you take us to ma house tours one day,then also acknowledges about buying a house Vs renting which is better
Buying a house is more better than renting 💯%
This is total inspirational. I admire you two. A blessed couple. You are the best; a good role model for other conflicting families. Ninawapenda sana. Cheers!
The inspiration I always look for. A new subscriber here and already love you❤. God, one day🙏.
Awww thanks so much 🙏 love you right back 💓
Hey mary from nakuru new member nawapenda sana the bond and love
Huku Hakuna roles ya bwana ama ya bibi. We have to work together cuz things can be tough and sometimes one person might feel burnt out since we don’t have that community help kama nyumbani!
Omg! My kids love those Romen noodles too lol 😂😂😂….kids are the same I swear
Kabisa 😅 😅 🥰🥰
First to comment. Leo nimekupata Live❤
❤❤❤awww 😅thanks
Penny mimi nangoja tu mwenye utapata anataka a ready lady to marry am single 41yrs hustling in saudii now 7thyear
Haki I will ❤❤
Hello Peninah!!! For kama mungu akinisaidia kuja hapo maju kukutana na nyinyi ndio first job nitafanya
Watching from
RWANDA❤
TUNAKUPENDA SANA
you inspire us
Nawapenda Sana pia haki thanks God will make a way 🙏
Ninaanza na ku-claim hizo baraka za huu mwaka, AMEN!....and then Peninah uambie watu wewe unapenda misitu ndiposa you like parking near them, usidanganyane - hiyo parking space yote and you still prefer the bushes?.....😂😂....na ambia your hubbiness ni Part 3 tunangoja, si 2......😁....na muache kulenga story ya venye mlikutana na kukatiana, me nataka kujua.....🤭 ....I love and appreciate you guyz sana....by the way, Jonah, the term you were looking for ni prenup (prenuptials) zenye una-sign-ingi ku-state utapata nini after divorce....thanking you always for the roundi mwendaz na mucene mingimingi....😅....barikiweni sana...
Be blessed too Susan and thanks ❤❤
Hi Mr. Riungu, waiting for part three of your story.
Loading
You guys you really inspire me....pia Mimi ipo siku nitafika marekani
Ameen ❤❤
Addicted to your videos
Thanks so much 💓
continue flying the kenyan flag high 🇰🇪 💯💯🤩
Kabisa to the world 🌎 ❤❤
Fika Mombasa
Mombasa tutakam very soon ❤❤
@@missriungu InshaAllah waiting
Hi miss riungu ile maneno ya msichana wa kazi kwako niaje
Bad sijapata haki kupata visa dio shinda
Ukipata unikumbuke na ukija kenya utanijulisha huwa na ku follow sana
Pia mimi n mmeru kutoka mama but naishi coast naitwa lenah mukami
Wow Sawa sis tutaona ❤❤
Wee sema tu kama mchezo na Niko na faith one day nitakushuka
I have faith too Dia 🙏 kabisa sio mchezo 🥰
God bless you mwari. Love you and your family.
Be blessed too 💖 ❤️ 🙏
Be reminded us gal story uflow mpaka liking tunasahau like ❤❤
Iknw ❤❤😂😂
Ukikam Kenya..ni promote mama I know braiding ❤Niko apa Nairobi..pia Mimi nionje madollars 😂
I promise I will lora🥰🥰
@@missriungu aaaw thanks 😊 mammy you're so kind and sweet be blessed always will appreciate
@@missriungu8:06
Kuja nikushuke ya kuenda naye kenya I know home watu wanashuka fiti sana yangu ni kushikilia tu😅
Haki thanks love 😘
Peninah mimi nitakuwa nakusonga 😊
❤❤can't wait 😢
What about snow ikicome mnafanya aje coz ya magari ziko tu kwa open spot
Zinafunikiwa then tunafunua harafu juu huoni parking lines unapark tu vile utapark bora ikae straight 😑 😒 🤣🤣
@@missriungu okay en thanks
Akh ukam Kenya make sure umepitia mombasa
Wuee will try Dia ❤❤thanks
The area is so beautiful riitwa
Kabisa thanks riitwa
always looking forward to your videos, love you
Love you too cherono🥰🥰
Happy new year too darling
Thanks 😊 🫂 🙏
How big is tht washing machine 😮😮
It's really big hahaha 😆 😂 🤣
Amen. Happy new year to you too
Thanks zippy ❤❤
Hello nimengoja akii hadi waa nitafutie tu mtu anatafuta mwanaume akii siz
Nikipata nitakwambia but ni ngumu 😢
Kwani mvua ya snow iliisha
Eeh haikuwa mob 😢❤❤
Keep up pesh!
🥰🥰kabisa thanks bro
Peninah, mtu anaweka manguo zote pamoja? Mtu anajua aje the amount of soap ya kuweka sababu ni kama mliweka kidogo😅😅😅😅
Huezi shidwa alafu hulingana na sabuni detergent gani,kaa huku kwa warabu ndio nilijulia
❤❤❤
Lov you back
Snow iliisha ivo?
Eeh haikuwa mob 😢❤❤
Bro is so calm
Thanks so much
Hi couple❤🎉 much love from DRC Kinshasa
Thanks our sister we love you 😍
Place poa hivyo unaitaga village na hubby unatuweka parking na part 3
😮😮sawa
Will you take us swimming one day😂❤ pleaase😊
Yes I will Dia
@@missriungu thanks 👍🏿
If i apply DV as single then i win , can my hubby join us in US with K1 Visa ?
Siz if I come there can you look for a host
Huwezi kosa host 🥰🥰 yes naeza kutafutia
Na penny niulize kwani mtu haezi kuwa na yake kwa hao au kuna shida ya maji
Wenye wako na manyumba zao 🥰🥰
Nice one 💪💪💪
Thanks 😊 🫂
yani kila kitu yues ni machines tupu,atakupika una tumia machine 😂😂😂walai one day i will be there
May God Grant you favour josh mimi niko saudii n have hope too us I wll land
@@Grace-p2u natamani sana kufika yues
❤❤Ameen josh
@@Grace-p2uAmeen ❤❤
@@missriungu mungu ata fungua milango
You guys are really blessed
Thanks 😊 🫂 🙏 be blessed too 💖 ❤️
uko ni wapi jameni 😂😂😂
😂😂wapi uko❤
Kunakaa fity,you have a huge packing sides
Kabisa thanks ❤❤
Snow imeisha au ni video ya siku nying?
Siku ingine ❤❤haikunyesha mob😢
Hiyo paper mtu husign before marriage inaitwa prenup.
Haha😂😂❤❤ wuee ni kubaya😂
Thanks ❤❤
I do Sisterlocks and Microlocks
😮😮❤❤
True ❤❤❤
❤❤❤ thanks love
Happy new year baby girl🎉❤
Happy new year sweetheart 😘
Uko na shape poa
Wewe😂😅thanks sis❤❤
kendi mambo❤
Poa sweetheart 💕
Please fanyeni colabo na akina Monique unique please please please please*100
Hi 👋 zurie
Hi auntie 😂
Kwenda kwa laundromat na kubuy machine ni gani cheap?!
My Dia ni cheap kununua machine but nitaiweka wapi Sina place..may b nikiwa na house na Sina
Usione nakusumbua aki please nisaidie tu
Sawa ❤❤
Hi gal akh a love your content so much am your silent follower btw mmy NH wa kwenu from back home endelea kutuinspire kabisa najua chenye tunataka mungu atatutimitia ata zaidi kabisa,,I yap into this new year blessings in the mighty name of Jesus Christ
Ameen 🤗 and thanks so much 🙏 💓 ❤️ be blessed ❤️
Penny peda wewe bure ,hunibaba nakunipea hope nitafika huko ,
😘😘😘 love you bck
❤❤❤
❤❤❤❤
If i apply DV as single then i win , can my hubby join us in US with K1 Visa ?
Yes he can
Thanks dr, am addicted to your videos hki🥰🥰🥰🙏🙏🙏
GOD bless you always 🙏🙏 dear I always follow up 🙏 you and your family good job 👏👏.I have applied waiting God to do his miracle on me too 🙏🙏. With God everything is possible 🙏🙏
❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤❤