Ihefu 2-1 Yanga | Highlights | NBC Premier League 29/11/2022

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 285

  • @rugemalilalucas4533
    @rugemalilalucas4533 2 роки тому +6

    Ihefu safi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mmemaliza unbeaten. Nawapenda mnoooooooooooooooooo

  • @beatricemusoma2160
    @beatricemusoma2160 2 роки тому +11

    Asante MUNGU wa mbinguni muumba mbingun nanchi kwakusikia Dua yangu yakufungwa yanga maana walijiona kama mungu mtu awataweza kufungwa

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 2 роки тому +2

      tena wamekuja kufungwa na timu inayoshika mkia😂😂😂

    • @suzypaul4559
      @suzypaul4559 2 роки тому +2

      Acha Tu Mungu huyu nifund sana

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 роки тому +1

      @@suzypaul4559 LEO KUKU KAJAMBA 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 роки тому +1

      LEO KUKU KAJAMBA 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @millytz
      @millytz 2 роки тому +1

      Wasiffungwe 2
      Haonan

  • @mlimilavangi
    @mlimilavangi 2 роки тому +11

    Aliemuona Nabi akikimbia kuhojiwa na waandishi agonge like hapa

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 роки тому +2

      MIE NIMEONA UCHOGO WAKE SIJUWI WENZANGU 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @abuuajmal1467
    @abuuajmal1467 2 роки тому +3

    Hongera kwa ihefu...akishinda mwengine mpongeze sio kutukanana 😊
    We will come back stronger 💚💛💪

    • @brunobrownghambilo
      @brunobrownghambilo 2 роки тому

      Wametumia nguvu zao wakashida muwapongeze hata m Yanga maan Kwan hawaendi popote usianze matusi

  • @nasrisadick8290
    @nasrisadick8290 2 роки тому +5

    Asanteni sana Ihefu

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 2 роки тому +6

    Yanga amefungwa leo nchi yote ina amani jinsi gani yanga ilivyo kubwa
    Big up chama langu Ur the best daima mbele💚💛💚💛

    • @luqman4030
      @luqman4030 2 роки тому

      Yaani

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 2 роки тому +2

      Yanga siyo kubwa ukitaka kujua yanga siyo tim kubwa angalia comments za simba zilivyo nyingi make simba ndio wenye nchi na ndio wengi

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 роки тому

      MME PASULIWA PWAA

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 роки тому +1

      @@luqman4030 NYANI MME PASULIWA PWAA 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 роки тому +1

      @@ramadhanmahongole9293 WAMETOBOLEWA 🤣🤣🤣

  • @maryjkiosa3380
    @maryjkiosa3380 2 роки тому +5

    Hongereni Sana mmetupa raha leo

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 2 роки тому +7

    Mungu ni wetu sote la ofcde na ikapigwa comeback ya maana utopolo wameloaaaaaawa

  • @yusuphmalongo6799
    @yusuphmalongo6799 2 роки тому +5

    OMG ihefu big up

  • @dianajeremiah1547
    @dianajeremiah1547 2 роки тому +2

    I love you yanga 🥰💚💛

  • @minskbelarus7255
    @minskbelarus7255 2 роки тому +3

    Ama kweli " WAJUMBE SIO WATU WAZURI " huwa pia wanakataa RUZUKU👕👕👕👕😂😂😂😂😂

  • @josephrassian9328
    @josephrassian9328 2 роки тому +7

    Waamuzi muachage upumbafu hii ni kazi itendeeni haki na sio kuzibeba timu kubwa tu,,,, ihefu kanyimwa penalty lakini piah goli la yanga ni clear offside.

  • @mwajabuabdallah3544
    @mwajabuabdallah3544 2 роки тому +3

    Hongereni ihefu kwawachapa hw vyura kuwarudisha majini mana wanajidai kusema kuwa hakuna wakumfunga yangu

  • @ephremmtuya3094
    @ephremmtuya3094 2 роки тому +2

    PROF NABI sometimes Mayele has to substituted Mayele he did not attempt even a single shot off or on target and Nabi did not take him out

  • @floraleonard9095
    @floraleonard9095 2 роки тому +4

    YANGA MBELE NYUMA MWIKO, mbona yanawatoka..Aahhh mna maumivu sana na unbeaten 49., mbwa mtaniiii

  • @shedrackkitomary3341
    @shedrackkitomary3341 2 роки тому +4

    Mungu haangaliagi upande mmoja tu hata ihefu ni timu

  • @rockmwamlima4740
    @rockmwamlima4740 2 роки тому +2

    Asante ihefu kukataa bahasha Jana na Leo mmewakomesha

  • @amehassanrehanirehani2231
    @amehassanrehanirehani2231 2 роки тому +5

    Ihefu wamekataa pesa za yanga utopolo leo imewakuta wamezoea kuhonga ihefu kakataa maan yupo kwenye hali mbaya na ligi anaitaka

    • @Aron-bz8zy
      @Aron-bz8zy 2 роки тому +1

      Utopoloooo mupoo hapooo vp

  • @franccoz94
    @franccoz94 2 роки тому +6

    Hii game utopolo wangikufa 6 -- 0 walibebwa sana

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 роки тому +1

      KWELI WALIKUWA WAPIGWE 9 REFA KAWAPENDELEA.

  • @zelambughi8903
    @zelambughi8903 2 роки тому +4

    Ihefu mmeupiga mwing nawapa bigup

  • @suzypaul4559
    @suzypaul4559 2 роки тому +4

    Suprise Nimeipenda Sana Ihefu kunywen soda najakulipa eeeee

  • @felixlaislais6561
    @felixlaislais6561 2 роки тому +2

    Nice one IHEFU

  • @amehassanrehanirehani2231
    @amehassanrehanirehani2231 2 роки тому +5

    Goli la yanga ofside safi hii haina marefa me naiman wanahongwa pesa waibebe timu maan kila siku lawama marefa

  • @khalidjamadi6016
    @khalidjamadi6016 2 роки тому +4

    Mzaramo aliwaambia hawa kuwa hizo bahasha wanazozitoa ipo siku jamaa watagoma kuzichuwa.
    Ndiyo haya sasa tunaanza kuyaona!

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 2 роки тому +6

    Nilisema juz siku wakivua hizi misukule yao tu mambo yataanzia hapo

  • @najmaally7556
    @najmaally7556 2 роки тому +26

    UTOPOLO mmepigiwa mpira mwingi pumzi ya moto mkaloa mkaloa Tena na mkavishwa vikoi vya KUTOSHA na mkapigwa goli 2🐸🐸🐸🐸🐸🐸

  • @mkombzimhina6450
    @mkombzimhina6450 2 роки тому +2

    Ihefu 2_0 utopwenga fc✌️

  • @satwanthoogan6429
    @satwanthoogan6429 2 роки тому +4

    Leo hakuna cha Aziz key! wala Aziz Kufuli!😂🤣😁

    • @official_phay1174
      @official_phay1174 2 роки тому

      Daddek chezea kissu ww na atigere✋️🤣🤣🤣

  • @dottokyangwe2205
    @dottokyangwe2205 2 роки тому +6

    VIJANA WA IHEFU WAFANYA KAZI NZURI TULIWAAMINI

    • @robertmboya7842
      @robertmboya7842 2 роки тому

      Unaonaje na wewe uwatafute ili wakufanyie kazi nzuri maana kama unawashwa vile

  • @neemacharles9848
    @neemacharles9848 2 роки тому +3

    Hahahahaa jezi nyeusi kumbe zilikuwa zinawabeba mbona wamebadili jez yanga wamefu ngwa na goli hilo la yanga ni ofside na hilo mtakuja kulipizwa tu subirini pumzi iwaingie sawa sawa😂😂😂😂😂

  • @rukizaseba5741
    @rukizaseba5741 2 роки тому +5

    Nimeamini kufungwa kunauma😂😂😂

  • @ezekielmmbuji3378
    @ezekielmmbuji3378 2 роки тому +3

    Ihefu fc imekata ngebe za Utopolo fc na goli la offside la Yanick.

  • @salumhassan2204
    @salumhassan2204 2 роки тому +7

    Hilo litangazaji roho yake inamuuma kweli sio kwakujeli hivyo. Eti kuna magolikipa na diara kweli huyu kiazi. Mbona katobolewa

    • @official_phay1174
      @official_phay1174 2 роки тому +1

      Il0 mm pia nmeli0na sjuw kama xi0 mlami0g0 nayeye uy0 ......ila manen0 y mk0xaj t ay0 mana mpaka sasa manula ndi0 ana0ng0za kw cleansheet

    • @medyaziz4806
      @medyaziz4806 2 роки тому +1

      Utakua umemuelewa vibaya hajaonyesha bias ya aina yoyote ile. Mwisho wa siku ile ni kazi yake lazima aseme vile ili ku decorate kazi yake mbona hata gori la ihefu amefanya vile??

  • @gulamomar6394
    @gulamomar6394 2 роки тому +7

    Goli la UTOPOLO ni la Offside kwel hii ligi ni ngumu 🤣

  • @luqman4030
    @luqman4030 2 роки тому +3

    Hatuwadai kitu wachezaji wetu 💛💚

  • @emmanuelmasse459
    @emmanuelmasse459 2 роки тому +3

    Eti viyanga alipoingia aziza na kimoloko viyanga vikashangilia kwenye kiukumbi nikaviangalia kwa jicho baya Sana nikaondoka

  • @yusscodollars7714
    @yusscodollars7714 2 роки тому +1

    Ihefu Love You

  • @gloryenock9473
    @gloryenock9473 2 роки тому +4

    Nabi acha makasiriko mpaka unataka kupigana na ushukuru hata waganga wanakusaidiaga na hizo bahasha

  • @robertfransis1680
    @robertfransis1680 2 роки тому +3

    Ihefu wameupiga mwingi watopolo hoi

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 2 роки тому +1

    Unbeaten 😁😁😁😁

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 роки тому

      UNBEATEN YA POCHI 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ezeedi871
    @ezeedi871 2 роки тому +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kocha lazima achezee adhabu maana anataka kumpiga refaree live yaan🤣🤣🤣

  • @calvinasery8022
    @calvinasery8022 2 роки тому +4

    Nikwel kbsa goli ofsaid lkn halijasaidia hongera kwa ihefu kwakuwatuliza midomo utopoloo

  • @abelyjoseph3440
    @abelyjoseph3440 2 роки тому +4

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 limekufa ji2 hukoooo

  • @yusscodollars7714
    @yusscodollars7714 2 роки тому +2

    Mihogo Fc Wameliwa na watU wabaya 🐸🐸

  • @superherotv1750
    @superherotv1750 2 роки тому +3

    Ihefu ataki bahashaa

  • @nicholausdaniel675
    @nicholausdaniel675 2 роки тому

    Hongereni unbeaten

  • @evancejohn8726
    @evancejohn8726 2 роки тому +5

    2:0 lile la yanga halihesabiki sio goli

  • @badrumbarouk3377
    @badrumbarouk3377 2 роки тому +2

    Kenge wakijan poch leo haikufanya kazi na bado huu ni mwanzo tu maumivu yanakuja meng tu

  • @amehassanrehanirehani2231
    @amehassanrehanirehani2231 2 роки тому +3

    Hahaha yaani kabana koote kajaachia mapaja kwa ihefu timu ambayo inapambana isirudi ilipotoka inafurahisha san na iyo pia unbeaten hahahah utopoloooo inauma ila itabidi muzoee

  • @konshazikonsha6180
    @konshazikonsha6180 2 роки тому +2

    Aaaaahhh,Hiii bikraa minilidhani mnato,Kumbe mimaji mitupuuu😂🤣🤣🤣🤣

  • @EmmanuelJanuary-gi8gd
    @EmmanuelJanuary-gi8gd Рік тому +1

    Polen yang mwak huu mtalia sana

  • @jamesnyibe5656
    @jamesnyibe5656 2 роки тому +4

    Pongez kwa ihefu

  • @vincentjaphet3106
    @vincentjaphet3106 2 роки тому +2

    Maranyingi wanakuwa offside na hakuna majibu

  • @paulmasilu1325
    @paulmasilu1325 2 роки тому +2

    Tulimisi kufungwa jamn,kitambo sana ety,

  • @badrumbarouk3377
    @badrumbarouk3377 2 роки тому +3

    Yn uyu mwiz ni sugu sana mana za mwiz ni 40 ila kafika hd 49 pumbavu zake siku zote zulma haidumu utopolo huko tunako kwenda ndio utakapo aibika zaid mana hakuna atakae chukua vishiling vyako mwendo wa bakora tu nyan fc

  • @sadickmkanda8214
    @sadickmkanda8214 2 роки тому +2

    Waamuzi wetu bado wanatuaibisha Sana yaani bado mizwazwa. Hawajui. Kitu!

  • @ashurajumanne8354
    @ashurajumanne8354 2 роки тому +4

    Kachomekewa kidude ndoige

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 роки тому +1

      TENA CHA MOTOOOOOO 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @rodrickibrahim
    @rodrickibrahim 2 роки тому +2

    Dk 20 du kutulia mb mnajua mamae

  • @mickdadybakari6052
    @mickdadybakari6052 2 роки тому +3

    Masharti ya mganga ya mganga yashavunjwa watu watapigwa kama ngoma

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 2 роки тому +3

    Hapa ni 2-0 utopolo goli lao n ofusaidi😅😅

    • @dastan3170
      @dastan3170 2 роки тому

      Nawewe sio ofusaidi ni offside

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 2 роки тому

      @@dastan3170 nyankundo ni Hofusaidi kabisa ile

    • @dastan3170
      @dastan3170 2 роки тому

      🤸🤸🤸🤸🤸🤸

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 2 роки тому +3

    UTOPOLO MAVI YAMEGONGA CHUPI 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @emmanuelbonifas2804
    @emmanuelbonifas2804 2 роки тому +3

    Utopolo kumbukeni mungu ana mshauri wala ali ugal wa mtu hicho ndio mmestahili leo kwa kocha mliesema ana elimu

    • @abuuajmal1467
      @abuuajmal1467 2 роки тому

      Wamefungwa makocha wangap? Kufungwa leo tu iwe balaa😀😄😂
      Hakuna timu itayocheza bila kufungwa maisha yote...

  • @abdulitwaili9174
    @abdulitwaili9174 2 роки тому +2

    Tanzania atuna marefa. Ni. Uchafu tu. Sasa. Uyo. Kenge aliongeza. Dk. 5. Za nn. Wakati. Mpira. Aukusimama. Yaani. Mpira wetu. Bd. Sana marefa. Wote. Wasenge wanakuwa. Na. Mahaba. Na. timu

    • @barakakaduma4395
      @barakakaduma4395 2 роки тому

      Acha mambo yako dakika 5 ni timu zote tumia akili wewe Kolo

  • @danielkilango1375
    @danielkilango1375 2 роки тому +2

    mlete mkongo mlete .hatimae tundu limeonekaana

  • @TonnyCaesar
    @TonnyCaesar 2 роки тому +3

    Mbona refa alitolewa nduki na Nabi nmecheka🤣

  • @mahadshekh398
    @mahadshekh398 2 роки тому +1

    Goli la Utopolo ni offside tena ya wazi.Lakini leo Tigo Pesa haijasaidia.

  • @husnamiraj9252
    @husnamiraj9252 2 роки тому +4

    Wakina ashura cheupe bira bahasha ushind akuna😂

  • @shedrackkitomary3341
    @shedrackkitomary3341 2 роки тому +1

    Bora tungefungwa na ihefu

  • @barakabutawantemi720
    @barakabutawantemi720 2 роки тому +5

    Kwanza Holi lao la mchongo

    • @abuuajmal1467
      @abuuajmal1467 2 роки тому

      Kila mtu ana goli la mchongo, ata lile la simba walilo-draw na mcc majuzi ni la mchongo😛😝😝😂😂😂

  • @jacksonwilliam5093
    @jacksonwilliam5093 2 роки тому +1

    Tanzania hatuna waamzi wote machoko 2 wanazibeba timu kubwa 3 goli walilofunga yanga sio sahihi kbs

  • @mbanomrage604
    @mbanomrage604 2 роки тому +2

    Vijana wamekataa tigo pesa 🤣🤣🤣🤣

  • @lovenesskalenge2683
    @lovenesskalenge2683 2 роки тому +1

    Najua tuu furaha itaendelea💛💚💛💚

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 роки тому +1

      MME PASULIWA PWAA

    • @fatmahussein6085
      @fatmahussein6085 2 роки тому +1

      Hawatoamini macho yao hawa simbaa,
      Mbona bado mapemaa sanaaa

    • @lovenesskalenge2683
      @lovenesskalenge2683 2 роки тому

      @@fatmahussein6085 Kabisaaa hizi ni changa moto

    • @lovenesskalenge2683
      @lovenesskalenge2683 2 роки тому

      @@salimmalaka256 Kufueahia matatizo ya jiran yako hakupunguz matatizo yako .

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 роки тому +1

      @@lovenesskalenge2683 KAMA NYINYI MLIFURAHI SISI KUFUNGWA NA AZAM

  • @boaziernest5921
    @boaziernest5921 2 роки тому +5

    Walikuja namatokeo yaomkononi Sasa yamewakuta

  • @shadrackjuliuskaboya5239
    @shadrackjuliuskaboya5239 2 роки тому +3

    *muda mwengine marefa wapigwe tuu sasa huu niujinga*

  • @lulumadongo1540
    @lulumadongo1540 2 роки тому +1

    Walifurahia kweli kumbe kifilo kiliwasubili 😄😄😄

  • @official_phay1174
    @official_phay1174 2 роки тому +1

    Huuuu mpila angetangaza Baraka mpenja hap0 pangen0ga✋️😂

  • @mosesemmanuel7751
    @mosesemmanuel7751 2 роки тому +3

    Tatizo mlizalau mechi ndotatizo

  • @rockmwamlima4740
    @rockmwamlima4740 2 роки тому +2

    Maviii nyie mlijua wanalima tu mpunga

  • @anthonyandrew8682
    @anthonyandrew8682 Рік тому

    🤣 🤣 🤣 Bado hawajesema... Na watasemaaa

  • @abdallahhamisiiddi4513
    @abdallahhamisiiddi4513 2 роки тому +2

    Yanga bingwa tu ,pamoja nakufungwa ,hongereni ihefu kwakutufunga ,ulionawapi nkane akaanza ?

    • @official_phay1174
      @official_phay1174 2 роки тому

      Bingwa yup0 kimqtaifa uk0 ✋️🤣🤣🤣

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 2 роки тому

      Kocha na wachezaji wake wamezarau mechi.
      Ndio timu inaburuza mkia lkn sio kwa kuanza Zawadi Mawiya na pasi zake za nyuma.
      Hapo ndipo Yanga walipozidiwa tokea kipindi cha kwanza Mawiya alikuwa hana msaada wowote.
      Wachezaji wote wa kasi wapo nje kipindi cha kwanza unategemea nini.
      Uyo Sure boy ktk mipira 200 aliyopata pasi zilizo fika kwa usahihi 10 kweli utashinda hapo.
      Mechi hii ni sawasawa na ile ya Gwambina kuchezesha kikosi cha pili hatma yake droo kwa kutegemea mechi ngumu ya Simba halafu wanakujaomba radhi kwa mashabiki waswahili wanasema chukua chako mapema ukimkuta kibonde mpige kwelikweli sasa kibonde amezarauliwa ameleta maafa kama kweli Yanga ameamua Ihefu hawana uwezo huo ni zarau tu imepita.

  • @jamesjames2368
    @jamesjames2368 2 роки тому +2

    Waburushi hawakukubali Bahasha 🙉🙉🙊😂😂🤣

  • @aristidrichardmrema536
    @aristidrichardmrema536 2 роки тому +4

    NDIO MAGOLI YAO YA OFFSIDE YA UNBEATEN

  • @damianpatrenesto
    @damianpatrenesto 2 роки тому +1

    Wamevunjwa Bikram sambani

  • @dismasedward2307
    @dismasedward2307 2 роки тому +3

    Wametobolewa na goli lao la offside
    Bikra imetolewa na mtoto mdogo

  • @jaspermtuya228
    @jaspermtuya228 2 роки тому +2

    Un.B10

  • @sambayo2440
    @sambayo2440 2 роки тому

    Ila ihefu wanaiteaaga sana yanga asemara ya pili hii

  • @waziribori2280
    @waziribori2280 2 роки тому

    HAPO NDIYO HIGHLAND ESTATE KWA MBOGO MAJI WAMEVUNJA MWIKO

  • @elisantenyange8751
    @elisantenyange8751 2 роки тому +2

    Mihogo imeliwa

  • @ephremmtuya3094
    @ephremmtuya3094 2 роки тому +1

    Pia jana kaze na Nabi nadhani kuna kitu hakikuwa sawa maana hata hatujawaona hata kubadirisha na mawazo bila shaka hawajakubaliana juu ya upangaji wa mechi

  • @charlescharles3668
    @charlescharles3668 2 роки тому +3

    goli la offside halijawasaidia lolote hongera ihefu

  • @oscarsikavizye7628
    @oscarsikavizye7628 2 роки тому

    Asante ief utopolo ziiiiii

  • @jemsamtz8411
    @jemsamtz8411 2 роки тому +2

    Tukumbuke kila timu imekuja kushindana

    • @robertmboya7842
      @robertmboya7842 2 роки тому

      Kwani haya manyumbu yanalitambua hilo basi yanajua tuu kukariri yaani mijitu ambayo haijasoma bhana

  • @isaarfares9099
    @isaarfares9099 2 роки тому +2

    Mdaka nin vile 😁😅🤭

  • @damiankamage9287
    @damiankamage9287 2 роки тому +4

    Wamelowa wamelowa

  • @rodrickibrahim
    @rodrickibrahim 2 роки тому +2

    Iv viwanja mvitunze

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 2 роки тому

    Daah ihefu unamfanya mayele wetu kama maderere leo,haina kesi tutalipiza kwa simba

  • @jofreymsigwa85
    @jofreymsigwa85 2 роки тому

    Yanga bana

  • @dawayao2837
    @dawayao2837 Рік тому +1

    😂😂 Utopolo

  • @mozain3951
    @mozain3951 2 роки тому +2

    Tatizo yanga imebadilisha Jezi

  • @henrybenison
    @henrybenison 2 роки тому +2

    Wameko