Nilishasema wachambuzi wetu wanachambua matokeo na hawajui kuchambua kabla ya matokeo. Ni watu wanaoongelea matokeo ya mchezo jambo ambalo kila aiyeona mchezo huo kwenye TV au uwanjani anaweza kuchambua bila kwenda chuo chochote. Huwexi kuwatofautisha wachambuzi wa bongo na akina Kisugu,GodYanga, GB 64, nk. Wanashabikia zaidi kuliko kuchambua ukweli wa mchezo wa soka. Hawana tafiti wala data na wanatupotezea muda na fedja zetu za data.
@@DominicMakamba Suala sionkufosiwa ila majina wanayojipa viichwa vya habari vinatushawishi tuwasikilize kumbe ni walewale wababaishaji na machawa wakubwa
Mfumo huu ni mzuri, but kimataifa siyo mzuri kabisa couch kimataifa angebaki na mfumo wa gamond ni mzuri cause unaretain mpira muda mrefu so unapunguza kushambuliwa
Unakua ni mpumbavu kuponda usichokijua! Hawa woooite hawajui mpango wowote WA Ndani ya clubs! Huyu anajua nini mipanga Ndani ya YANGA Africans! ? Anajua YANGA itamsajili Nani, kuna kocha aliyopo YANGA yoyote aliyokua anajua Kabla hawajaja!!? Kama hujui kitu ,stay neutral!
Uko vinzr kocha mkalaboko❤❤

Uko sahihi kabisa maana huyu jamaa alikuwa anampenda sana Ramovic anasema ni kocha dhaifu ambaye inabidi ajieleze sana kama sumu ya panya 😂😂😂
Hawawachambuzi ni washenzi kweli si nihuyu Mchambuzi alisema kocha wa yanga Hana mbinu zozote Leo hii anamsifia tena dahhhh Hawa jamaa nivigeugeu sana
Na siku tukifungwa wanabadilika @@sittandaki2135
Mmmhhh kwani unakuwa umefosiwa ndugu yangu kuview
@@DominicMakamba Suala sionkufosiwa ila majina wanayojipa viichwa vya habari vinatushawishi tuwasikilize kumbe ni walewale wababaishaji na machawa wakubwa
Mkalaboko na kiswahili chake😊....anafurahisha kumsikiliza
Mchambuzi wa matokeo tena mtuache na Yanga yetu
Uko vzr mkalaboko wapige shule
Uwa anakua kama kinyonga uwa anaiponda sana yanga
Mkalaboko kama niliwahi kukusema vby unisamamehe kunywa soda nakuja kulipa 😁😁😁😁😁😁
Daaah nimejikutaa nacheka muoka mikatee anapunguzaa Moto badala aongeze motooo😅😅😅😅
Kweli fadru muokamikate
Huyu jamaa si ndiye alikuwa anamponda sana Ramovic akisema Ramovic ni kama sumu kuulia panya au wadudu mpaka ujielezee sana 😂😂😂
Kwel mwanangu afu alisema dude ni kama uji wa ulezi eti mpaka upoe😂
Kumbe tunaomkumbuk n wengi huyu pumbavu
Kuma tu huyu
Wachambuzi wengi wanafiki tu
Regina hizo data hatupo chuo kwenye title
Kweli wananguvu mm napeleka maji ya wachezaji kipindi cha gamondi nilikua napeleka katuni za maji 20 sasa napeleka katuni 50 pia dube analalamika
Sana diwani wakasanga
Kumbe mwamba ni diwani? Ni moro?
Kwakwer tz hakuna wachambuz woote nimbuz leokaisifia yanga😂😂😂
😂😂😂😂😂😂huyu jama bahna eti ni kama mchoma mikate😂😂😂
Hahahaha hahahaha hahahaha hutaki kuomba rathi
Mchoma mikateeee😂😂😂😂😂
Kocha umechambua Kisomi sana yaani nimekuelewa
Uko sawa kiongozi
Muoka mikate tena 😂😂😂😂
😂😂😂
Tena mikate Yao haina chumvi Wala sukari😂😂😂😂
@@NeemAmianaMramiFamily 😂😍😂😂
Hapo kiongoz unafeli sana kwasabab unajifanya unajua uongo wewe kwanz hueleweki sana
♥️😂
Mfumo huu ni mzuri, but kimataifa siyo mzuri kabisa couch kimataifa angebaki na mfumo wa gamond ni mzuri cause unaretain mpira muda mrefu so unapunguza kushambuliwa
Wacha afanye kazi ramovic alosomea
Staki kuomba radhi😅😅😅
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Toka hapo bwana
Counter attac vipi Kama Tim ikisogea mbele Yanga na Kasi yake je! Msiba utakosekana?
😂😂😂😂😂
Wachambuzi mbumbumbu 😂😂😂
Mtangazaji wewe ni koloooooo vipi uulize jiins ya kuifunga Yanga.... mbñ huulizi simba itafungwa jé.??? Acha UJINGA wewe mtangazaji 😅😅😅
😅😅😅😅😅
Huyu kocha wa timu gani? Huyu huyu aliipiga vita na kuisema vibaya kipindi yanga inafungwa! Yaani wachambuzi wa mpira Tz ni takax2
Uchambuzi maanake n ipi kwani? Unachambua ulichokiona au unachambua ambacho hujakiona?
Najua huwa tnachambua tnachokiona,
Kelele za GSM,SINDANO,MANGUNGU,KUHAMA UWANJA,ZIMEANZA KURUDI TENA,SHIDA NI HAWATAKI KUKUBALI UKWELI ILA KUNA UIBGO MWINGI WANAOUAMINI
Vinyonga hawa. Mbona mwanzo uliikandia mbwiga wewe😂😂😂
Mlikuwa mnasema wanatumia dawa na leo ni kama kumbukumbu.
Eti kumbikumbi
Wachambuzi njaaa
Kama aliiponda mwanzo ina maana imebadilika na hivyo siyo vibaya akiisifu sasa.
Unakua ni mpumbavu kuponda usichokijua! Hawa woooite hawajui mpango wowote WA Ndani ya clubs! Huyu anajua nini mipanga Ndani ya YANGA Africans! ? Anajua YANGA itamsajili Nani, kuna kocha aliyopo YANGA yoyote aliyokua anajua Kabla hawajaja!!? Kama hujui kitu ,stay neutral!
Ww unajua kuongea hujui kuchambua
Kuna vitu anajua huyu jamaa
Kwaiyo tuaminiwemepigwa cndano
Brother unajua bor unafulahish ongea yako
Nlikwambieni km huyu jamamaa fisadi
Ana fanana na watu wafutuwiiiiii mvaviatuu virefuuu
Chizi huyu njaaa
Aaaa mpira ni mchezo ila Kocha wewe unasanaa yako ya nje ya soka mnafki
Nilicho gunduwa bongo tunawachambuz wanna data upepo tu
Umeon kk
😂😂😂😂