Jinsi ya Kutengeneza Biskuti za Biashara

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • Hizi biskuti unaweza kupika na kuuza ushindwe Wewe. Hakikisha hukosi kitabu cha Mapishi ya biskuti kama umedhamiria kujiajiri kupitia Mapishi, kwani kina mapishi mengi mazuri na rahisi ambayo yatakufanya uonekane bora zaidi kwa wateja wako.
    Mawasiliano: 0718553999
    Instagram: lilyanapika
    Mahitaji
    Unga wa ngano gram 350
    Siagi gram 250
    Cocoa powder gram 2 (2 tsp)
    Corn flour gram 30
    Ladha ya vanilla vitone 3-4
    Sukari gram 135 (isage)

КОМЕНТАРІ •