TAMBUA USAWA KIJANA JAMADA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 19

  • @JuchonlineTV
    @JuchonlineTV 2 місяці тому

    Mwalimu haya maswali mpaka leo hajui kujibu

  • @ShuaibuMsofe
    @ShuaibuMsofe 2 місяці тому

    Mashaallah

  • @mwambashiiddi9295
    @mwambashiiddi9295 2 місяці тому

    Ilaumu akili yako
    Aya hazijagongana abadan

  • @rashidyyusuph4386
    @rashidyyusuph4386 2 місяці тому

    Kumbe mjinga kiasi hicho

  • @matendupiterngoge8707
    @matendupiterngoge8707 2 місяці тому

    Hili kipumbavu kweli hili linadhani Aya zinatafsiriwa kutumia akili

    • @muhammedaloufy4086
      @muhammedaloufy4086 2 місяці тому

      Mpumbavu zaidi ni wewe! mnakataa Taawil kisha wenyewe mnafanya taawiyl! jibuni masuali ya Sheikh

    • @FaridaSalumu-d2t
      @FaridaSalumu-d2t 2 місяці тому

      Namhurumia huyu kijana aliyeingia mabanoni na silaha butu zisizo na ncha Kali halafu akaizirusha zote kwa wakati mmoja , Sasa hakuna lililobakia kwake ila fedheha na majuto Kwa nini alijiingiza kwenye mapambano haya na silaha zote ashazimaliza na chumba Cha mapambano kishatiwa kufuli hakuna kutoka , Kila akikimbia ajikungwaa kwenye ukuta walillahilhamdu ,
      Na hiyo ndio dawa ya makhurafi wanaojaribu kuwaparamia ahlussunna wakidhani watafika mbali, Sasa hivi Hadi msikiti wako umeukimbia utafikiri Kuna upupu humo ndani Sasa sijui waswali na mkeo kwako !
      ​@@muhammedaloufy4086

  • @jumanneissa8226
    @jumanneissa8226 2 місяці тому

    utash jamada hakika umelichapa hili jisufi na sura kama ana lia

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 2 місяці тому

      Hahaha kijana hata kiswahili hukijui bwana

    • @mussaissa6796
      @mussaissa6796 2 місяці тому

      UNAMUHUKUMU KWA MWONEKANO WA SURA, HUONI HAPO UNAMTUKANA MUNGU ALIYEMUUMBA!!?
      BUSARA UNGETUONYESHA JIBU LA MASWALI ALIYOULIZA TU BASI.
      KAMA HUNA JIBU ACHA KUBWEKA

  • @jumanneissa8226
    @jumanneissa8226 2 місяці тому

    inajulikana maneno ya imum shafi kua masufi ni wapumbavu lkn hili ni zaid ya abuu jahali 😂😂

    • @mhusinigau3231
      @mhusinigau3231 2 місяці тому

      Mm najua mawahabi ndio viumbe wajinga ktk huu mgongo wa ardhi

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 2 місяці тому

      Jumanne issa umebaki na matusi huna geni mukibanwa na dalili hamuna la kusema na hivi ndivyo mawahabi mulivo

    • @jumanneissa8226
      @jumanneissa8226 2 місяці тому

      @@AbdulkarimShosi andika vizuli bc au hujasoma shule ikiwa kiswahili ndo hiki kama mwalimu wako vipi kiarabu ndomaana anaongea kiswahili eti ndo radd 🤣🤣

  • @SwahibuRashidi
    @SwahibuRashidi 2 місяці тому

    Kaa chini usome wewe nijaahili bado