D Voice - NO (Official Visualiser)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 609

  • @JEANS-TZ
    @JEANS-TZ 3 дні тому +88

    Tulio vuka mwaka 2024 salama gonga like hapa kwa kum shukuru mungu 🙏

  • @robertmigabe8721
    @robertmigabe8721 День тому +1

    Dvoice saivi anaupiga mwingi mnooo yani namuona mbali mwaka huu 2025 nimeamua nitafute ela bola nibaki single nisake bingo Nikeshe studios nisake nyimbo

  • @DeeLover-gp7lx
    @DeeLover-gp7lx 3 дні тому +42

    Kuna washamba wanasema mondi alikosea kukusain WCB 😂oi we noma kaka🙌🙌

  • @MATIKO9640
    @MATIKO9640 3 дні тому +5

    Nimeanza kukuelewa sasa you're very talented

  • @D.voice-its
    @D.voice-its 4 дні тому +66

    Oya weeeee heri nikaè single searching for money 💷 🎉🎉sijui kupenda 🎉🎉🎉🎉 like zangu hapa jamani

  • @MuarabuTanga
    @MuarabuTanga 3 дні тому +5

    Mimi ndio wakwanza kufolo nakulaike gonga like hapa

  • @NshomaSayi
    @NshomaSayi 3 дні тому +25

    tuliorudia zaid ya mara 2 kuangalia wimbo wa D voice tujuane🎉🎉🎉🎉

  • @kbl9677
    @kbl9677 4 дні тому +52

    Kwa Wale walio angaliya huu wimbo zaidi ya Mara 3 tujuwane kwa kugonga like apa😂😂

  • @everrealboy1697
    @everrealboy1697 3 дні тому +5

    nmependa nyimbo kakangu

  • @MwambaClever
    @MwambaClever 3 дні тому +28

    Licha ya uchawi was CCM na Mzee Popo Harmonize bado WCB wanatoa Hits...Mungu Mweema🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @bravo_ke_
    @bravo_ke_ 3 дні тому +4

    Kijana umeandika. Kwanza kwenye stanza tu. Mwanangu pata Love Kutoka Kenya🇰🇪
    2025 uwe mwaka wako

  • @lovarbicard4378
    @lovarbicard4378 3 дні тому +8

    Lovar bicard hapooo nipeni liké yangu miye wakwanza toka 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @JaybardWilbard
    @JaybardWilbard 4 дні тому +46

    Oya wanangu like za d voice apa inyeshen jinsi gan tuna mkubali 🎉🎉

  • @britshgangonline123
    @britshgangonline123 3 дні тому +30

    Kweli diamond anaona mbali yani huyu d voic namuona simba mtupu ajaye

  • @PiscoPhiri
    @PiscoPhiri 2 дні тому +2

    Wanainchi Burundi 🇧🇮 mko wapi washabiki wa D Voici na ma likes

  • @lukadee
    @lukadee День тому +2

    Kama unashindwa kuacha kuuskiza huu mziki, gonga like 🔥. So much love from 🇰🇪

  • @daudimwanza
    @daudimwanza 3 дні тому +4

    Lemmi see people from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @GadMitagato
    @GadMitagato 4 дні тому +58

    Mimi wakwanza kuiona No. Munipe like zangu tujuwane numuwoneshe mapenzi d voic

  • @TangaMashewa-qe8kk
    @TangaMashewa-qe8kk 4 дні тому +10

    Kubababake acheni ujinga wa kuomba like skilizeni nyimbo ndo muamue mnasemaje mnawekwa wote mnaoomba like hii ngoma fungua mwaka hatari mno SIMBA NDO ATAIYONDOA HII KWENYE TREND MPAKA MWEZI WA PILI MAFALA NYIE

  • @RamadhanNdune-k5q
    @RamadhanNdune-k5q День тому +2

    D voice nakukubali sana ama vp jama like basi comment yangu

  • @DangerMusictz-n5c
    @DangerMusictz-n5c 4 дні тому +7

    Wangapi wana mkubali jiniii

  • @mussamressa
    @mussamressa 4 дні тому +7

    Tunaomkubali d voice tugonge like nyingi hapa

  • @ZanlatShaa
    @ZanlatShaa 3 дні тому +5

    d voice nakukubali kwanz ww somo wangu

  • @ElizabethNyabu-q1x
    @ElizabethNyabu-q1x 3 дні тому +4

    Hata soda yenye ctak ni kaziiii2 Cna sura ya mapenziiiii

  • @benitokibwaa4251
    @benitokibwaa4251 2 дні тому +3

    Kali sana mdogo wetu keep going boy

  • @MOVIERECAPHD-sq7ph
    @MOVIERECAPHD-sq7ph 3 дні тому +12

    duuh kubabakeee d voice ni hatar mzeee kitu NO

  • @ClementNjobvu-i7b
    @ClementNjobvu-i7b 3 дні тому +5

    Umejitahidi Kaka umeguza hisia za watu❤

  • @ameiryameiry2235
    @ameiryameiry2235 4 дні тому +6

    Unajua Kaka uko vzr

  • @officialzebaq
    @officialzebaq 3 дні тому +8

    Katika nyimbo umecheza kama mondi nihii

  • @boyyoshida3
    @boyyoshida3 2 дні тому +3

    mwezako me jana nlipata nimegongewa na boss wa dem angu bora sasa nibaki single mapenzi sijui yana kizungu mkutu 😂😂 nakubali d voice nipeen like nipone jaman YOSH

  • @badboyjephanie-uh3mz
    @badboyjephanie-uh3mz 4 дні тому +79

    Tunao mkubali d voice tujuane kwaku like hii comment

  • @HappynessIsacka
    @HappynessIsacka 3 дні тому +10

    Kaka ngoma Kali d voice hajawai kufeli

  • @abdulkaym7374
    @abdulkaym7374 4 дні тому +4

    Niko hapa ku'represent wakenya wenzangu nkisema big up D voice unazidi kuupiga mwingi,,,

  • @SwahibuKhatibu
    @SwahibuKhatibu 3 дні тому +5

    D voice zidi kukaza buti kila siku tunaona mabadiliko mziki wako unakua

  • @KennyIninahazw
    @KennyIninahazw 2 дні тому +1

    Noma boy D voice star wangu hujawahi niangush

  • @KidalosMafumbula
    @KidalosMafumbula 3 дні тому +3

    Wa congolais muko wapi tujuwane APA kwa like zenu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🙏🙏

  • @KingManagertv-d5c
    @KingManagertv-d5c 4 дні тому +3

    Mimi wa kwanza toka Congo

  • @WetchiKhams
    @WetchiKhams 4 дні тому +5

    Hello hello my Tanzania 🇹🇿🇹🇿 like kwa d voice 💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥

  • @severinemziba6226
    @severinemziba6226 4 дні тому +4

    Kwer WCB ni chuo cha musiki hapa bongo🎉🙌

  • @brian_imbaha
    @brian_imbaha 3 дні тому +6

    hii nayo noma sana 🔥

  • @tplatnumz
    @tplatnumz 17 годин тому +2

    Kuna Sauti Ya Zuchu Kwa Hii Song

  • @MabruckAmade
    @MabruckAmade 3 дні тому +6

    Very nice song .2po pamoja kwa Dvoice.from Moçambique

  • @MumTish
    @MumTish 3 дні тому +10

    Jamani malavidavi Zii afathali ninywe soda nipate Raha😢😊 D voice ❤ Love ni tricky Sana 🇰🇪 kenyans gather here

  • @CONSTANTINOROMAN-ys7th
    @CONSTANTINOROMAN-ys7th 3 дні тому +3

    Kali

  • @erickdavid400
    @erickdavid400 4 дні тому +4

    Mmmh nipo Malawi dzaleka camp wa kwanza 🎉🎉🎉❤

  • @TEACHERt3y
    @TEACHERt3y 3 дні тому +3

    D voice umeanza kuvuta bange nww, mond kashakuharibu

  • @Elia-dn1mx
    @Elia-dn1mx 4 дні тому +12

    Oshiiii!!!!! That's y chibuu 🔥 alikuchuku Lebo kubwaaa TZ unajua kk

  • @DekelvaSoujaboy-mb8ps
    @DekelvaSoujaboy-mb8ps 3 дні тому +10

    Na kukubali Sana my mwamba D_voice Ngoma kali Sana never disappoint from Drc Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩💥💥

  • @kongwiziibraah
    @kongwiziibraah 4 дні тому +12

    wa kwanza kutoka Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩👍💰

  • @clementemanueljr
    @clementemanueljr 4 дні тому +28

    Aliesikia ka saut ka zuchu alike hapa pale kwenye Bora nibaki single

    • @RehemaFabian
      @RehemaFabian 3 дні тому +2

      Ngoja nirud kusikiliza tena😊

    • @RehemaFabian
      @RehemaFabian 3 дні тому +3

      Samaleko umetisha🙌🙌🙌🙌🙌

    • @clementemanueljr
      @clementemanueljr 3 дні тому +3

      ​@@RehemaFabian😂😂😂😂 alaikum sàlam umeonaaaa rey

    • @Manoti_Mk
      @Manoti_Mk 2 дні тому +2

      Nilikua na itafuta hii comment 👏👏👏

    • @clementemanueljr
      @clementemanueljr День тому +1

      😂😂 hatare​@@Manoti_Mk

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 4 дні тому +18

    Nimekuwa wa kwa D voice unajw sana❤🎉

  • @hassankhamis7380
    @hassankhamis7380 3 дні тому +7

    Wcb 4 life Mondi aliona kipaji cha kijana iase kutoka singeli kua mtu mwengine big up Voice unajua ❤❤❤❤❤❤❤

  • @PALMAVIBESBYWAMBUESSO
    @PALMAVIBESBYWAMBUESSO 4 дні тому +6

    Kama ume pokea sala uhuuu mwaka 2025 coment asante Mungu pia gonga like apa

  • @hassansammy1076
    @hassansammy1076 3 дні тому +6

    Kweli tafuta hela kwanza mapenz badae❤❤❤❤

  • @Mayeyetz
    @Mayeyetz 3 дні тому +2

    No no no mapenzi ukiingia kwenye mfumo unaweza kuw chizi

  • @AliyMbega-x6x
    @AliyMbega-x6x 3 дні тому +7

    Hili songs nila kinyamwezi 💥💥💥💥💥

  • @pascalmusana2137
    @pascalmusana2137 3 дні тому +1

    Kama mondi vile goma kali sana

  • @MaikoMaikowilimkagine
    @MaikoMaikowilimkagine 9 годин тому +1

    Jamaani tanguu. Ianze kugonga like sijawahi pata hatamoja naomba hata likes 05

  • @MwamposaChinga
    @MwamposaChinga 4 дні тому +2

    Eti Mimi si wakwanza, kweli d ni noma ataki shobo no

  • @fundiseif1096
    @fundiseif1096 4 дні тому +12

    No by dvoice Ginni ni balaa hii ni fungua mwaka 2025🔥🔥🔥🙌

  • @patrickSimtowe-v4i
    @patrickSimtowe-v4i 3 дні тому +5

    Ngoma Kali bro umeuwa kinoma 💕💕💕

  • @mohamedfamau797
    @mohamedfamau797 3 дні тому +10

    Loo loo tawa dogo langu🔥🔥💝💝 nĩ moto wa kuotea mbali yasha nikuta nayo ,tunaenda na wakati,,😎

  • @xxxl-jf2ji
    @xxxl-jf2ji 3 дні тому +4

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @erickkahindi9898
    @erickkahindi9898 4 дні тому +8

    Jiniii❤❤❤🎉🎉nakubli nimengoja kwa hamu hilo goma

  • @bonizomapicha
    @bonizomapicha 3 дні тому +2

    Ndioooooo

  • @kabandilwafariala6093
    @kabandilwafariala6093 4 дні тому +15

    Ladies and Gentlemen, the best artist from WCB is back .🇧🇮🇨🇩🇹🇿 🇰🇪 Tujuwane

  • @ZenVeeZeneration
    @ZenVeeZeneration 3 дні тому +3

    Sapoti yenu jamani❤❤

  • @EricOfficial27
    @EricOfficial27 3 дні тому +4

    Hit ❤nakubali sana d voice

  • @ElopuleSimuzosha
    @ElopuleSimuzosha 3 дні тому +4

    Slowly proving yourself..keep it up

  • @YoungFighterGinnies
    @YoungFighterGinnies 17 годин тому +1

    Ngoma Kali sana broo

  • @ShabaniKiza-u1e
    @ShabaniKiza-u1e 4 дні тому +18

    Siowatu tu adi bata zimeshanga mwanaume kutembea kama zenyewe😂😂😂😂😂 D voice ni 🔥 🔥 🔥

  • @PascalIsaacsaul
    @PascalIsaacsaul 4 дні тому +3

    Apa kbs d voici kanikumbusha historia yng ya love kweli tubaki tuh single tuh

  • @RajabujumaNalyogo
    @RajabujumaNalyogo 3 дні тому +1

    Nimeipendaga toka mozambique Maputo

  • @taleboychannel9448
    @taleboychannel9448 4 дні тому +4

    Verse zooote kali D voice hii umeuwa sna💪

  • @DanishKillo7-n6n
    @DanishKillo7-n6n 3 дні тому +2

    Mdogo wa simba lama simba ❤

  • @AfrikanMilan
    @AfrikanMilan 3 дні тому +16

    Kenyans mnasign apa😅👍

  • @prosperabison1368
    @prosperabison1368 3 дні тому +8

    Jiwe juu ya jiwe hamna kupoa baba 🔥🔥

  • @martingwanduluko1135
    @martingwanduluko1135 3 дні тому +2

    Apa Sasa utafwnya niwe nakufuatilia bonge la dude🎉🎉🎉

  • @Duly699
    @Duly699 3 дні тому +10

    Mzeee Hii ni hit song😂itafika mbali aise. MWaka umeanza ukiwaka❤

  • @jozeejr8896
    @jozeejr8896 3 дні тому +57

    Huu wimbo umekuja wakat muhimu nimeachana na demu wangu that is my favorite song😂😂

  • @StalonTeo-jb2td
    @StalonTeo-jb2td 4 дні тому +114

    ETY MIMI HUYO HATA MAPENZI YENYEWE SIYAWAZIIII. BORA NIBAKI SINGLE 🎉🎉🎉

  • @Anthonyzombie-d2s
    @Anthonyzombie-d2s 3 дні тому +2

    Mzee baba toa ngoma mkimboze lavlava kazubaa japo anakipaji kikubwa

  • @JohnLuckas-it7ei
    @JohnLuckas-it7ei 3 дні тому +1

    wooow congratulations d umnikosha kichaw wangu

  • @FilbertKakiko
    @FilbertKakiko 4 дні тому +20

    KWELI. Wcb hatokagi fala nyimbo kali 🔥🔥🔥

  • @brownlyzo2621
    @brownlyzo2621 4 дні тому +11

    Leo D nimekua wa kwanza kila kitu kwako ku view like na ku comment🎉😂

  • @kinjeathuman2350
    @kinjeathuman2350 22 години тому

    Mimi ndo mkaguzi mkuu wa nyimbo Kali Tz........ Nasema hivi HII NI YENYEWE KBS 🫰

  • @omaryjongo3351
    @omaryjongo3351 3 дні тому +1

    Umetisha mdogo wangu

  • @kissboydaga
    @kissboydaga 3 дні тому +11

    Style nzuri broh❤ kwanziya ngoma mpaka mistari

  • @georgekinyemba5397
    @georgekinyemba5397 3 дні тому +2

    Kali sana

  • @LumbalaEstra
    @LumbalaEstra 3 дні тому +2

    Best song du mois de janvier

  • @mtstv4125
    @mtstv4125 3 дні тому +2

    Tunao skia hili song tukiwa 2024 gonga like

  • @SepamaybeMsafii
    @SepamaybeMsafii 4 дні тому +7

    Love from Burundi 🇧🇮 ❤️ 💕 💖

  • @FabianSamson-m9u
    @FabianSamson-m9u 4 дні тому +7

    Wakwanza

  • @janetymatola6639
    @janetymatola6639 3 дні тому +5

    Lovely umejarjbu kijana mashsiri safi tafuta pesa dogo mapenzi kwa sasa no no no tafuta pesa jenga nyumba bado mdogo sana X voce Mungu zkuskmamie ishallah❤❤❤

  • @NeemaMacheni
    @NeemaMacheni 3 дні тому +4

    Tunao mkubali Genii tuna kikao hiko join please 😂😂 much love D.voice🎉❤❤❤❤❤❤😊

  • @othmanibnabdullah
    @othmanibnabdullah 3 дні тому +2

    Napenda wanawake wa Burundi.

  • @mulangirakimerareaganstarbwoe
    @mulangirakimerareaganstarbwoe 3 дні тому +6

    D Voice has got those postive vibes 🔥🔥🔥

  • @Johnsondollar
    @Johnsondollar 3 дні тому +3

    Kasauti zuchu kwa mbali

  • @JohndevoJohndevonjusi
    @JohndevoJohndevonjusi 3 дні тому +1

    Nakubal kichau wangu

  • @joelHenriquemediMedi
    @joelHenriquemediMedi 3 дні тому +3

    Bora kubaki single 💔 From Mozambique 🇲🇿🔥🔥🔥