Mtumishi wa Mungu Masanja yupo sahihi kabisaa mganga wa kienyeji ni bosi wa mchawi ndio maana mganga anaweza kutoa uchawi mahali au kwa mchawi mwenyewe ina mana anaujua na yupo juu level za uchawi na pia mganga anauwezo wa kumpa mtu uchawi na akawa mchawi......
Nipo pamoja na Masanja Tujuwe kuwa kuna 1)Mganga 2)Na mganga wa kienyeji Pia kuna dawa za hospitalini na kuna miti shamba ambayo pia hutumika na Watabibu wa dawa za asili Kisha kuna huyo mganga ambaye tunamuita mchawi mimi na Masanja hutumia pia dawa asili (Miti shamba) ila yeye huengezea masharti mengi tofauti na yale ya watabibu wa tiba asilia. Niite RARE-ZANZIBAR-ADVANTURE Kutoka Paje Zanzibar
Sema na wewe masanja ni mchawi nakuchana ukweli sema uchawi wako ni WA kuleta mafanikio yako katika utajiri nasio wakutibu au wakumroga mtu najua wajua ninacho maanisha hapa.
Mtumishi wa Mungu Masanja yupo sahihi kabisaa mganga wa kienyeji ni bosi wa mchawi ndio maana mganga anaweza kutoa uchawi mahali au kwa mchawi mwenyewe ina mana anaujua na yupo juu level za uchawi na pia mganga anauwezo wa kumpa mtu uchawi na akawa mchawi......
Hata mimi naungana na Masanja wote ni wachawi
Nipo pamoja na Masanja
Tujuwe kuwa kuna
1)Mganga
2)Na mganga wa kienyeji
Pia kuna dawa za hospitalini na kuna miti shamba ambayo pia hutumika na Watabibu wa dawa za asili
Kisha kuna huyo mganga ambaye tunamuita mchawi mimi na Masanja hutumia pia dawa asili (Miti shamba) ila yeye huengezea masharti mengi tofauti na yale ya watabibu wa tiba asilia.
Niite
RARE-ZANZIBAR-ADVANTURE
Kutoka Paje Zanzibar
Masanja yupo sahihi kabisa.
Huwezi kuwa mganga wa kienyeji bila kuwa m chawi
Kwahyo Dr. Mwaka ni Mchawi😂😂
Kwenye hili naungana na Masanja kwa asilimia miatano,
Kila mganga wa kienyeji ni mchawi.
Yani Masanja yuko sahihi
Ndio nimchaw
Nakuunga mkono mm mwenyewe nafanya hii kazi tunayo kutana nayo ni uchawi mtupu.
Masanja wengi tu hua wanasema ukweli kua tatizo hakiwezi
Mitishamba Si Uchawi.
Masanja Yuko sahii mganga Ni mchawi
Kwan Uchawi maana yake ni nn me sielew
Kizimba ni ni jamani
atar massanja
❤😂😂😂😂😂😅😊
Sema na wewe masanja ni mchawi nakuchana ukweli sema uchawi wako ni WA kuleta mafanikio yako katika utajiri nasio wakutibu au wakumroga mtu najua wajua ninacho maanisha hapa.
Muohope mungu are you sure
Hiki kipindi nitaanza kusikiliza
Namuona Mussa tabasamu limerudi kwel Masanja umeziba pengo la yule jamaa
😂😂😂😂
Aq0+1
Nikwele ata mganga wakienyeji nimchawi