Nileteeni Mwinyi. Nileteeni Mwinyi. Hayati Magufuli alisisitiza. Huyu ndiye mufano wa Hayati Magufuli aliyebaki. Mungu ampe nguvu na amani. Apigane na mafisadi bila ya kujali sura zao.
Na ndio kazi yetu hio kudanganywa kwa vitu vidogo tukaona jambo kubwa sana skuli ikijengwa tu tena kwa msaada basi siku ya kufunguliwa viongozi wa serikali nzima watakuepo yaani ni kudanganyana tu kwenda mbele.
Mungu Amuongoze huyu kiongozi bora
Km 200 lami Zanzibar....Safi Sana....
Mungu akulinde
Nampenda kuliko rais yeyote now
Nileteeni Mwinyi. Nileteeni Mwinyi. Hayati Magufuli alisisitiza. Huyu ndiye mufano wa Hayati Magufuli aliyebaki. Mungu ampe nguvu na amani. Apigane na mafisadi bila ya kujali sura zao.
Nimefurahi hujavaa barakoa ,, huku Tz ni siri yetu
He is very nice I can see him do well like late JPM,
Chapa Kazi Baba
Rais wangu
Rais mwinyi vp barabara ya Chakechake wete kupitia njia kongwe ina hali moja mbaya kweli kweli yaani
Huyu ndye kiongozi bora, Mama yeye ni Safari za nje ila kero za wananchi wake hataki kujua
Kiongozi bora kuingia madarakani kwa mtutu
Balalbala chache tu miaka miaka 65 hamjalitatua uwongo kudandangany umma
Kura ya mapema pia ni Tatizo baba.
Kwan nyengine hua hawazitii lami
Kilomita 200 daa poleni wazanzibar huku bara kilomita elf kazaa lami tupu tena munasubiri mfazili kilomita 200 daa poleni
Tutafanya nini na Tumetawaliwa
Na ndio kazi yetu hio kudanganywa kwa vitu vidogo tukaona jambo kubwa sana skuli ikijengwa tu tena kwa msaada basi siku ya kufunguliwa viongozi wa serikali nzima watakuepo yaani ni kudanganyana tu kwenda mbele.
huyu ndorahisi cyo mm etu kiguu nanjiya kilakukichaa😏😏😏😏😏😏😏mungu ilaze roho ya magufuli peponi
🤔🤔🤔🤔🤔🤔
Huku bara halipo hilo