Mtu aliyeenda shule akaelimika Hawezi kukazana kuagiza sukari wakati unao over 40m people wenye uwezo wa kulima, mawaziri waliopo warudi shule Tena wajue maana ya kuzalisha...
Kuna shida kubwa kwenye kilimo. Nashanga watu wanasema anaupiga mwingi. Hawa ni mafisadi wanaompa Rais sifa kumuziba macho. Watu wa kawaida wana mateso makubwa. Wabunge ni wachache sana wenye uwezo wa kutetea wananchi
Huyu Ndugu yetu ana akili sana. Elimu yetu kiukweli ni biashara ya mzungu sawa mahakama, magereza, hospital na dini kwa kutaja chache. Tukipata akili huru tutaokoka
Uko sawa mh.kishimba akili yako ni kubwa sana mzee
Fact sana unaongea mzee sjh serikar inakwama wap
Nimesikia mheshiniwa Angelina Mabula, afu namwona dume hapa anaongea na lisauti likubwaaa. Sijaelewa
Kama ajira mtaani hamna chuo kinahusikaje? Huo ni mtego kwa vyuo
Watu kama hawa hamuwapi uraisi mbawapawatu wasio nauwezo
Huyu ni mbunge na sio kibaraka
Mtu aliyeenda shule akaelimika Hawezi kukazana kuagiza sukari wakati unao over 40m people wenye uwezo wa kulima, mawaziri waliopo warudi shule Tena wajue maana ya kuzalisha...
Huyu bwana ana IQ kubwa sana.
Kuna shida kubwa kwenye kilimo. Nashanga watu wanasema anaupiga mwingi. Hawa ni mafisadi wanaompa Rais sifa kumuziba macho. Watu wa kawaida wana mateso makubwa. Wabunge ni wachache sana wenye uwezo wa kutetea wananchi
Wizara ya kilimo anapewa msomali unategemea nini kipya?
😂😂😂😂😂😂
3:50
Huyu Ndugu yetu ana akili sana. Elimu yetu kiukweli ni biashara ya mzungu sawa mahakama, magereza, hospital na dini kwa kutaja chache. Tukipata akili huru tutaokoka
Mapenzi 😂😂😂😂😂😂😂